Kwanini Mahakama imekataa Vicky Kamata kumiliki mali za BIL4 na kudai hakuwa mke halali wa Likwelile
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
Mwanasheria yuko vizuri mno,uwe unamtumia👏👏👏
WAPENDA DEZO KAENI MBALI NA NDOA ZA WATU.JAJI APEWE MAUA YAKE
Asante sana wanasheria kwa kazi zenu nzuri mliyoseomea
Daah! Asante mwanasheria, umetufungua🙏🙏
Very interesting story..... We need more of these type of storys
Yes
P😮000
Ungeandika kwa kiswahili...'storys' au 'stories'
Salamu ziwafikie vimada wote waliopo Tanzania.
Vimada wajinga ,ila siyo wenye akili unadhani huyu Vicky anavyo hivyo tuuu anavyo vingi zaidi, nyie wanaume ndiyo muwe makini.
Kama Anavyo vingi si aache hivyo vichache!
@@fridageorge2809ebu sikiliza hiyo habari vizuri kwanza!!!
baadhi ya wanawake ni hatari sana kwenye suala la mali ndio mana unakuta wanapo olewa wakajua mume alikua na mke au ana mke wa kwanza wpo tayari wazae mpaka viuno vikatike ili warisi mali😅😅😅😅😅
Hata wanaume nao wawe waelewa kwenye haya maswala mbona marehemu alikuwa msomi mzuri kwanini asiandike wosia akauficha hata kwa watu wa kanisA kue
SNS Asanten Kwa habari zenu nzuri na zenye mafunzo
Yaan hawa wadada huwa wanataka mali zote ziwe zao bila kujali mzee kaacha familia, wadada kuweni na huruma aisee😮😢
Imekula kwake basi hapati ngo
Dah nimejifunza sanaaaa yaani leo . Ubarikiwe sana SNS.
Sns asanteni sana nimejifunza kitu kuhusu cheti cha ndoa nilikuwa sijui,nilijua ukifunga ndoa kanisani ndio imeisha palepale kumbe mbaka upeleke rita❤mahakama hongereni👏👏👏👏
Inategemea na kanisa au nyumba yoyote ya kuabudia na dhehebu mara nyingi ndoa za voda fasta za makinisa fulani.hawaoji au kuchunguza au kukataa kitu matokeo yake ndio hayo kuna jambo hapo!
Mm pia ndo nimejua leo
Uja muelewa uyu ana mahanisha kama ulifunga ndoa na mtu ambae amesha funga ndoa apo mwanzo na bado mke wake bado ajafariki au mume wake ajafariki au umefunga ndoa na mtu ambae tayari ana ndoa lakin aja toa taraka kwa alie muacha ilo ndio tatizo
@@syliviakente9460 Nilivyo muelewa atakama ndio umenza nae kufunga ndoa unatakiwa uwende,kwasababu akija kufunga na mwengine alafu yeye akaenda wewe ulie anza kufunga ndoa unakosa haki yako
Lakini mbona kanisani wanapewa vyeti viwili kimoja cha,serikali na kingine cha kanisa , pia ukiolewa na mtu kutoka taifa lingine bora ufunge ndoa kwa DC baada ya hapo cheti chako unaenda sajili Wizara ya Mambo ya Nje ndio kinatambulika huko mbele hivi vitu vipo ila watu huwa hawavitilii maanani hata waweza enda Tangaza ndoa yako.Rita kabla ya kufunga kama Makanisa yanavyo fanya
Mungu yupo kwa ajili ya wenye hakika wote🙏💪
Nimejifunza kitu thank you rita
Safi sana mungu huwaumbua hawa wajanja wa town tafuteni pesa
This is an excellent explanation from the LEARNED ADVOCATE.
Pole sana Vicky, wanawake hawana kwao, ndo maana tumeamua kutafuta wenyewe. Mungu akulinde mdogo wangu. Ninadhani una misingi ya kutosha. Usipiganie sana mali za urithi.
Asante sana mwanasheria Isaac naomba tu unifahamishe juu ya
"Ninani anayepaswa kukipeleka hicho cheti cha ndoa kwa msajiri wa ndoa?
Je ni mfungishaji wa ndoa au wanandoa wenyewe?"
Wakwanza kucomment leo nipewe likes zangu
Hivi You Tube huwezi kumtag mtu ee😂😂
Unyama ni mwingi na unamwagika 🙌🏾🙌🏾
wa.mama wa dada mje hapa kuna jambo la kujifunza hapa, tunapodandia waume za watu tuwe makini, km jamaa yupo vizuri bora chako akupe mapema, mtihani
Umeona eee!!!
Kwanini udandie waume za watu
@@mukhsintwaha5909 kudandia si kwa ubaya huyo mzee.mkewe alikifa au walitengana na sio yy aliyewatenganisha , ss unapoingua ktk maisha hayo ujiandae, kwa ufupi maisha tuliyonayo kwa sasa hata huko zamani uakuna wa peke yako , si kwa wanaume wala wanawake kwani ukiachwa utokua na mwingine, au.kafa inakuaje ss ispokua utakapo ingia ktk maisha km hayo ujipange mapema, kiukweli.kabisa jamaa alimuoa na haikua siri ss sikui tatizo nini
Nielekezeni LITA fastaa nipo na rigazeti langu apa 😅😅
Safi sana Lerned Advocate umechambua kwa kina sana na maswala ya LITA
Nimejifunza kitu kikubwa sana hapa...hongera SNS
1)ndoa za kikristo ni tata( mahakama ya dunia inajadili ndoa ya kiimani kuliko kitabu/biblia)
2)Mali ni changamoto za familia.
3)Wasia ni muhimu sana ukiwa hai mwenye afya na akili timam.
4)Usomi wa madegree unaweza kuwa na mapungufu kama binadamu so kuna haja ya kukumbushana.
5) Sasa kuna haja ya watu kutathmini ndoa zao na wenza wao.
6) Siku moja tutakufa
Kama ilivyo uislam kula kitimoto...kwahyo ndoa ya imani ya Kikristo...mke mmoja...ndoa ya kiislam ni mpaka wake 4...na ndoa ya kitamaduni ni wake wengi uwezavyo......kwahyo ni kuheshimu imani ya mwingine
Mahakamani Kuna kesi zimejaaa tele za waislamu ,wameahindwa huko kuamuana Kwa dini .So shida sio dini ila watu wenyewe wanaofuata hizo dini
HIZO NI SHIDA WALIZOFUNGWA KWENYE NIRA ZAO SABABAU HIKO KITABU CHAO KINATOA MUONGOZO WA TORATI KWENYE MASUALA YA NDOA,,,,,MKIPENDANA NA KUOANA NDOA ITADUMU TU,,ILA UKIWA UNAKANDAMIZA MWEZANKO LAZIMA AKIMBIE TUKO KWENYE DUNIA YA DIGITAL SIO TORATI
@@emmadora7848
Tatizo ukikimbia shule
Nakubariana na wewe watu hatufuati dini inavyotaka, ukiifuatilia Uislamu MWENYEZI MUNGU KATIKA UISLAMU HAPENDEZWI NA TALAKA YAANI UNAPOTAJA HILO NENO MBINGU NA ARDHI HUTIKISIKA, IKIMAANISHA KUTOA TALAKA NI SWALA LISILOMPENDEZA, DINI ZIKO SAWA ILA SIE WAJA NDIO TUNAONA SAWA@@emmadora7848
Makaman shikamooo 🤗🤗🤗🤗🤗
Asanteni sana MAHAKAMA
Elimu kubwa sana nimepata leo kubwa mnooo nimefumbuliwa macho hongereni sana SNS
Shida ya yote haya ni watu hawana hofu ya mungu,elimu dunia imekuwa muhim kuliko mungu,,yan mtu ajua kabisa kama mali haimhusu lakin analazimisha iwe yake kisa anajua sheria
Jamani wanawake tunachakujifunza hapa asante sana sns kwa somo hili kunanilichojifunza kupitia da vicki
Jaman sheria nyingi tufundishwe mashulen toka awali 😢ili tujitambue sio mpka usomee sabb mambo meng yanatuzunguka hapa duniani 😢
😂chanuimu ukisikia mume ana mke wame achana ndugu anza kujua sheria nanujue haki zako usingie kwa kuangalia leo angalia na nabadae na ufikrie je alie toka aka acha izo mali yupo au
Vitabu vidogo vidogo vya sheria mbali.mbali vipo, vinauzwa
@@judithkatabaro3294Sasa huyu ni mke alikuja juu anataka kumiliki Mali alizokuta kwa mume ambae mkewe alaifari ki na watoto wao wapo,unaweza kushikwa uchawi usiologa
@@hadijamandanje6189 🤣🤣🤣
kabisa zifundishwee.... Maana km Cheti kupita Rita watu hawajui kabisa
Nikama huyu mume alichuma mali na mke wa kwanza alafu huyu mke wa pili akaja akadandia Mungu ni nani sai anazi enjy mali kiulauniii..Mashallah ❤...
Ndivyo ilivyo.
Alafu huyu dd si ndo amezaa na mbowe, yaani ni mchepuko wa mbowe.
@@maryamtan682 mmmmh unauhakika?
Ndio
Sio hivyo huyo mke wa kwanza wakishaachana zamani na inasemekqna alikuwa ameolewa na mtu mwingine shida ni kuwa ndoa ya kwanza haikuvunjwa kiutaratibu ndio maana watoto wamepata nguvu kwakuwa ndoa ya Vicky imeonekana ni batili
Kuna siku aliwajibu watoto wa marehem mkitaka haki nendeni mahakaman Tena kifedhuli Leo watoto wamepata Haki Yao anajitilisha huruma huko mitandaoni huyu mwanamke ni ibilis zambi ya dhulma haiwezi kumuacha Salama
Ulikuwepo maku wewe
@@faiththawe4371 mbona umeumia na unatoa matusi au na wewe ni mnufaika kwa kupitia Vicky😀😀😀
@@faiththawe4371Sasa kinachofanya utoe matusi nini? Ujinga mtupu 🚮
@@jacklinezebedayo2923 no
shida wanawake wa kitanzania wanapenda sana hela za wanaume,wakiona mwanaume wanona hela sio mpenzi.Ni mke wake kabisa,ila shida anapenda sana mali za wanaume,ni tatizo kubwa sana Tanzania.Asinge dai mali,tmaa ndo shida zingegawiwa kifamilia asaidie simamia watoto wa marehemu.
Nyie nyie mwisho wa siku na cheti chake kawa kimada uuuwwiii haki marehemu aliupiga mwingi 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
Kimada ni kimada
😢😢😢 daaaah,hivi huyu dada ndo yule aliyeimba ule wimbo wa "WANAWAKE NA MAENDELEO""
Ndio yeye
Yani huyu mama ni tapeli wa kutupwa tunamshukuru mungu kwa kuiongoza vyema mahakama hongera zake ziende kwa hakimu ametenda haki sijui lingepewa mali hilo lijanamke watoto wangekuwa na hali gani kimaisha ASANTE MUNGU.
Tapeli sana
Vick nae alikuwa na tamaa kuchukua vitu vyote wkt watoto halali wapo😢😢😢😢
Umeona eeeh
Na ubunge wote ule dah sio poa
Eti jamani! anataka majumba yote, viwanja, si angechukua chache..
Jambazi mkubwa!
Ni funzo kwa wanawake wajanja wajanja amekosa vyote pamoja na kidogo alichochangia. Pole sana
Namshukuru Mungu kwa sababu nilielewa mapema kumbe ni Sheria ahsante Mungu kwa kunipa akili
Acheni tamaa! Mali ni xa mke wa kwanxa na watoto wake,kwani huyo mume hakuwa amejenga?vicky wacha yacje yakakukuta km yule mama wa Mwanxa alochinjwa na mimbajuu,alichinjwa na mtoto wa marehemu.
😂
Ina maana huyu Vick alimkuta jamaa hana hata kitanda?
@@AdrusHassan vitanda kaachiwa
@@AdrusHassanndo hapo sasa huyo mwanaume ameoa ndoa ya kwanza tokea 1964 iweje huyu vivky wa 2020 eti anasema ame zalisha mali😂😂kwenye ndoa
Jamani na sisi familia zetuu ziko kwenye hili janga tuzidi kuombeanaa🙏
Habari kamili kwa vimada kuingilia wanaume wenye watoto wao
😂
Hana ki2 hapo 😂😂ndiyo mukome kuvamia vamia kwenye family za wa2
Hahaaaaaa😅
Duh amepishana na pesa,pole zake,ladies always make your future is secured ,tusikae tu bila kufuatilia mambo waume zetu bado wakiwa hai ju wakifa bila muafaka wetu tutajuta😮
Ukitangulia ww
Sheria za bongo noma sana
Nimecheka pale aliposema nimejenga swimming pool 😂😂huyu mama nyie khaaa
WANAWAKE NA MAENDELEO MFANYE KAZI MSONGE MBELE , 😃😃😃😃😃 TAFUTA PESA YAKO 😆😆😆
😂😂😂
Yeleeeeyeleeee kina mama🤣🤣🤣🤣
Yolololo😂😂
😂😂😂😂jmn
😂
Wanawake wakome kuvamia Mali ambazo sio zao
Tuanze safari ya kwenda rita kusajili vyeti tulovieka kabatini 🏃♀️🏃♀️
Kuna taasisi za kufungisha ndoa zinatoa cheti cha ndoa cha rita na cha dini
jamani hivi mwaka 1 unaweza kuchuma vitu vyote hivyo,?? halafu huyu Vick inaonekana kabisa yeye ndo alivunja ndoa ya watu sasa wanawake mnaopenda Waume za watu ndo mjifunze
😂
Mahakama ukweli mmetenda haki asanteni kwa hili watoto wamepata haki yao huyu dada awe na huruma nawatoto kwanini aweke pingamizi asanteni mahakamani 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
Uzuri wa Mahakama Kuu
@@syliviakente9460sana🙏
🤣🤣🤣 Vick mwenzio kachum Juan wew unatk kivulin tena sio nusu zote hahaha asnte MAHAKAMA
Aiseee,kimada ni kimada na mke atabaki kua mke hii sentensi nzito sana
Sanaaaaaaa
Habari yenu imejitoshereza saana
Wanaume wenzangu mpo ndoazetu tuwe tuna enda kwa ramani sahihi, vick chaliii 😅😅 wadada tafuteni malizenu acheni kudandiadandia mtu humpendi unaingiakwenye ndoa kisa anamali
Hizo mali zenu mtazikwa nazo? Mmeumbwa mtutafutie bwana.
Shida ni cheti akikusajiliwa
Dah huyu mama anainekana anatamaa 😂😂😂sema tumejifunza
Vita vya mirathi huwa n kubwa sana asee
Navyo muona huyu mwanamke ana tamaa ya mali
Mange kamkomesha sio mchezo 😅😅😅😅😅
Rita ongezen viti vya wangen hapo nnje 😂😂😂
Sheria iyo iyo cndo inasema mkiishi zaid miaka mi 3 ....!!!
Sis kanisan kwetu hao wasajili wa ndoa wanakuwepo siku ya harusi kw hyo anaondoka na taatf kamili
Huyu mzee hakumpa mke wa awali talaka ivyo bado inaleta tu shida
Heeeh hapo kwenye vyeti jamani tunashukuru wengine tulitoka kanisani tukaviweka ndanj
Jamani mbona watu mnakuwa na tamaa sana na hizo mali ukifa unazikwa nazo!
Na huyo viki anazo si ashukuru mungu ndio maan akaungana na zamard kumbe wote wqhanga
Kma kutakuwa na uhalali wa kuzifuatilia Mali za ndugu yake sio mbaya .😅
Jamani barikiwa sana hilo la cheti umetuzindua sasa.
Tatizo la vimada wanaloga mno. Sasa weupe wote huo ulikosa mume wako kweli hadi unakuja kuning'inia mume wa mtu kiasi hicho!
safi sana umetuelewesha vizuri
Haya mambo ni mtihani sana kwa ndoa zetu
Du hizi Mali nyingi Sana duh ,,,,,,,,but haznunui uhauiuiii
Unafikili cash aliacha ngapi .
Tukiolewa tukimbie kusajili vyeti na ni bora mtu utafute mali zako mambo ya kutamani mali za watu heeee .
Jaji kasimamia sheria
Hivi niwe na billion 4, halafu kuna mtu anakufa kwa kukosa million 3 na msaada anaomba kwenye mitandao, na nina billion 4 wala sijigusi,, aaah hii dunia bwana haina usawa, ni kweli tutafute hela lkn pia tusaidie maskini,, sijui huyu mzee pengine alikuwa anasaidia Mungu amuweke pema
Tamaa mbaya Sana.. Vimada mnazingua Sana sometimes heshimuni ndoa za wanawake wenzenu.. It's very satanic spirit
Kweli
Unakuwaje na mali za bilion 4 na cash isiojulikana alafu unajiamini unaweza kulala na kesho ukaamka watu tusiwe na mali nyingi km ivi tuwawezeshe wengine watu wanashida sana hapa mjini wagonjwa nk wanaangaika
Nimependa point yako
Dunia haiplay hivyo mzee ....🤣
Acha makasiriko mzee, tafuta Mali za kwako 😊
😃
@@kiliansupernova7074 sio makasiriko brother ujui watu wanashida gani hapa nenda hospital ukajifunze watu wanaoza kufanya opalesheni lak 2 mtu awezi
Urithi wenye sheria za wanaadamu ni mtihani sana
Asante rita
Mwanasheria mwenyewe Muhaya hahaha 😂 Vick hapo sahau mahi wetu😃
😂😂
Kimada ndiyo mchepuko😅😅
Sasa dada umeolewa 2o2o na 2o21bwana amefariki umemkuta na Mali zake mtihani sana
Duh hapo kwenye vimada 😅😅😅 wanawake kueni makini msije poteza time time kama uyu dada
Hakim alikiwa sahihi sana
Watu wanahela aiseee
Machozi ya mke halali wa ndoa yanakutapisha.
Nimecheka mpaka nimejamba kwamba siyo mke na hajawahi kuwa mke, ila na yeye angekuwa mpole ujuaji ndo huo unakosa hadi mia sasa.
Duh hapa wanawake tujifunze mengi kupitia hii
Marehemu kafa 2021 vicky kaolewa 2020 kwahyo mwaka mmoja wamechuma mabilion manne jamaan
Vicky umebugi step 😂😂😂
Hii shule kubwa kwa dada żętu na mama zetu
😮😮😮nilikuwa sijui kuhusu chetiiiiii kumbeeeee kazimaa kisajiliweeee!😮
Uyo vicki kamata ni bonge la tapeli conkodi kbx ila apo amechemka asee ww mtu kaowa tangu 60 kweusi uko ww kimada cha 2020 unataka mali za wa2. Kirahisi tu tapeli waheedi uyo shubamiti
Kwani amezaa naye huyo vick kamata mtoto naye ana haki
sky woka uko vzr braz
Wa Mrema sijui kaishia wapi?
Alijua kawini 😅😅😅😅😅😅 kudadeki mwenzio kataabika miaka chikili we uje uvune kiurahs manina 😂😂😂😂😂
Nimeisikiliza kwa umakin kbs na hii imenyooka sana
Mtumishi wa serikali billionaire 🥺 duh endeleeni kulipa Kodi
😭😭😭😭😭
Yale yale ya mzee Mengi na mrembo wake mbona watu hawapendi kuandika usia yote haya yangekwepeka
Waa kuna walidhania wamepata kumbe wamepatikana yani uishi na mtu 5years tu na uende na majumba yakeel
Mwana mama kabuma kupewa urithi
Wale wadada wa sogea tuishi mnacho cha kujifunza hapo mtu unaishi na mtu unamzaliq watoto 4 or 6 na hujaolewa ni kimada sasa ndugu wakijachachama mume akifa unaabza kuona watu wabaya 😅😅😅😅haya mtoke kwenye hizo nyumba mkaolewe hivi mwanaume unaishi nae miaka 10 km mke na mume c muoane tu kwani ndoa ina gharama kiasi gani
A story of my family 😢
Salamu kwa nyumba ndogo Zote ndoa ya kikristo balaa