Wananchi wa Ngorongoro walia na Waziri Mkuu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 2 роки тому

    Safi sana dada yangu

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 роки тому +1

    Ufumbuzi wa matatizo ya wafugaji sio hapo ngorongoro tu ni nchi nzima. Tubadili mfumo wa ufugaji, tuwekeze kwenye uboreshaji wa mifugo, malisho na Elimu. Tulifanya makosa kufuta mamlaka ya mifugo, LIDA ambaye ilikuwa inashughulikia mfumo nzima wa mifugo ukiwa ni pamoja na masoko. Na ni mifugo yote hata kuku ,samaki nk. Wachunga ng'ombe wamebaki Africa tu. Hili ni suala la utaalamu wa ufugaji kitaifa. Tutoke kwenye peasant economy Sasa.

  • @akidamakida6092
    @akidamakida6092 2 роки тому +1

    Maneno mengi hayaitajiki hapo... muda wa action ni sasa.. timua hao wote hapo

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 2 роки тому

    Wamasai hawana raha kwa sasa maana Tanzania imebadilika

  • @loshipangoipa5810
    @loshipangoipa5810 2 роки тому

    WaZiri. Muku ukosai