KUMEKUCHA CCM YAKANUSHA TAARIFA ZA KUMUONGEZEA MUDA DKT, MWINYI / MAPYA YAIBUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 місяці тому +2

    Usanii waoga wa uchaguzi kushindwa si aibu hakuanza mwinyi toka salmini mnashindwa

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 3 місяці тому +1

    Mmeishiwa mfamaji (haachi kubwia maji wazanzibari njia nyeupe biidhillah 2025

  • @MachanoMohdmachano-mo6xe
    @MachanoMohdmachano-mo6xe 3 місяці тому +4

    Mumekwisha nyie ccm hatuitaki tuanataka nchi yetu dhulma hii ndo faida yake tokeni tomeshoka na madhalim

  • @seifmohd5357
    @seifmohd5357 3 місяці тому +1

    Ccm imekufa tunasubiri khitma tu mwakani pumbav zenu

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 місяці тому +1

    Wanafiki ccm Zanzibar waongo wanafiki madhalim

  • @KhamisKali-oc5rh
    @KhamisKali-oc5rh 3 місяці тому +1

    Aaa hunahata haya.. Mbweto

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 місяці тому +1

    Hawa wanasema uwongo hawa hawa hii kura ya mwanzoni walianza hivi hivi wakapeleka baraza la wawakilishi nawakapitisha leo kupiga kura watu laki tatu visiwa viwili siku mbili kupiga kura

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 3 місяці тому +1

    Sai wana mchi wachini hatuwataki hata kuwaona hali ya maisha ngumu hta muza kahawa analipa kodi nchii ndio ipofikia hapa

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 3 місяці тому +1

    Wanaongopa uchaguzi

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 3 місяці тому

    Sio wananchi mobeto bwana sema ccm wenzake hebu jaribu kuwa mkweli

  • @jumasaleiman
    @jumasaleiman 3 місяці тому

    Ongezeni tuuu nyiyi mbwa nyieee na ile ya mara pili ifanyeni mara 10 washezii sisi hata hatuna haja kupiga kura tenaaa

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 3 місяці тому

    Acha uongo, amesema mmeshapitisha bado kamati kuu tu.

  • @MachanoMohdmachano-mo6xe
    @MachanoMohdmachano-mo6xe 3 місяці тому

    Hayo siomaendeleo hivo ni vitu vya lazima musidanganye watu

  • @KhalidAbubakri
    @KhalidAbubakri 3 місяці тому

    Zama za uongo zimesha clip zipo haziongopi

  • @seifmohamed8725
    @seifmohamed8725 3 місяці тому

    Waongo nyie kina mbeto mmekemewa na amos makala wanaume zenu nyoko.wee

  • @seifmohamed8725
    @seifmohamed8725 3 місяці тому

    Sasa munabadisha maneno sauti za kibaradhuli lainii

  • @KhalidAbubakri
    @KhalidAbubakri 3 місяці тому

    Mfamaji haachi kutapatapa.

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 3 місяці тому

    CCM WATIA ULIMI PUANI