CCM YAANZISHA CHOKOCHOKO, YATAKA DKT. MWINYI AONGOZE KWA MIAKA SABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 15

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 місяці тому +3

    Hii miaka 5 tunaiona miaka elfu tano.. tumechoka nae afunge virago atokomee

  • @MattarMohammed-f5v
    @MattarMohammed-f5v 3 місяці тому +1

    Angoze maisha yote na asife milele

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 3 місяці тому

    Mtoa hoja (Kesi) sio mbunge tena..mpokea hoja (ndugai) sio spika tena na mtolewa hoja(maguful) hayupo duniani..
    ...ushindi usiofariji moyo ni sawa na mkosi...

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 місяці тому +1

    POMBE BADO INAWASUMBU HAWA CCM. AKILI ZAO HAZIELEWEKI ZINAFIKIRIAJE 🤣🤣

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 3 місяці тому

    Wmesahau Mungu Pia anamipango yake

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 2 місяці тому

    Dimwa hajielewi hataki dogo na kamati ya halmashauri kuu ya taifa inatakiwa lazima imuajibishe dimwa kwanza amekiuka katiba ya chama pili una kiuka katiba ya nchi tatu yeye sio mwenyekiti wa chama ilikuwaje akaiweza kutamka kupitia kikao kikaokipi ambacho kimesibitisha hili

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman 3 місяці тому

    Bimwa mgonjwa tu nawenzewe

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 3 місяці тому +1

    Dimwa ana mimba changa,inamsumbua

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 3 місяці тому +1

    😊😅 watu wakisha shiba wali mtamuu ,huandika na husema utoporo 😅😂

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 3 місяці тому

    Namkumbuka Rais mstaafu Amaan Abeid Karume aliposema. "WANA AKILI ZA SAMAKI'

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 3 місяці тому

    Hizi kelele zilianza hv hv na kipindi Cha Mwendazake wabunge waliibua hoja akiwepo Juma Nkamia. Tafadhali wachumia matumbo acheni kujikomba na fateni katiba, haiingie akilini mtu anaibuka na kutoa hoja isiyo na mashiko Kwa umma.

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 3 місяці тому

    Aongoze miaka 5 Ili badaye aje Tanzania kama Rais. Akatae wanamfanyia figisu ili asije gombea 2030 Mwinyi ukatae, Wanaogopa Mwinyi kuwa Rais 2030 , Kuna kundi wanajoto na huyo baba

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 місяці тому

    Hilo halitofanyika kamwe labda tuwe hatupo hapa duniani ndio wafanye wanavyotaka CCM.

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 3 місяці тому

    Mpuuz huo wafwate katiba Dimwa aache uchawa vilishapitwa na wakat hvo ina mana nzanzibar nzima hakuna wasomi wala anayeza kuongoza upuuz uo

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 3 місяці тому

    Alhamdulillah 🇹🇿 ❤