WAKRISTO WALEVI WATAMANI KUSILIMU ILI WANUSURIKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 132

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 2 роки тому +5

    Uislamu raha kwa kweli Alhamdulillah kwa neema ya kuwa mwislamu Allah awaongoze hawa wenzetu wajue ukweli.

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 2 роки тому +8

    جزاكم الله خيرا و احسن الجزء،،،،
    ماشاءاللہ

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 роки тому +1

      Asalam Alaikum warahmatullah wabarakaatuh, Allah awalipeni kila lakher

  • @andyismailbuanado6703
    @andyismailbuanado6703 2 роки тому +3

    Mashalla alhabdulilai barakalla fih 🤲📖📿

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 2 роки тому +3

    Shekhe muna kazi ngumu Allah awazidishie uvumilivu

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 Рік тому +1

    From green and spice island Zanzibar Allah akupe umri mrefu uzidi kuwatoa watu katika giza waje katika nuru

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 2 роки тому +4

    Msomaji uko sawa sana Allah jazallah khaira

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 роки тому +1

    ALLAH akusaidie kwa kz elimu zaidi na akupe sibra kazi unayoifanya , na akuepushe na mitiani na misuko suko na akujalie janatul fridhausi amiin

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 2 роки тому +3

    Ma shaa Allah kazi nzuri sheikh wetu Allah akulipe kila la kheri na akuepushe na kila la shari .

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 роки тому +4

    MashaAllah Allah awabariki masheikhe wetu azidi kuwazidishieni nguvu afya njema na umri mrefu inshaAllah amiin

  • @omaar5693
    @omaar5693 2 роки тому

    Yesu ni mwana wa mungu
    Angekuwa na mke
    Mkwe wa mungu
    Angekuwa na watoto
    Wajukuu za mungu
    Ndio si alikuwa ni mwanaume na ametairiwa kama mimi APA nko na mke na watoto na kizazi cha mungu kingeendelea hadi leo

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Рік тому

    Mashallah mungu akubarik sheh ramazan

  • @ashagrace3333
    @ashagrace3333 2 роки тому +2

    Inshaallah pole pole tu watasilimu

  • @ahmedrustu1283
    @ahmedrustu1283 Рік тому +1

    Ma sha Allah

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 6 місяців тому

    Ma shaallah Allah awalipe janna

  • @yassinijumanne1763
    @yassinijumanne1763 2 роки тому

    Shekh Allah akubariki akulinde na shari zote azijuaye yeye nakukubali sana haina haraka wala hasira Allah akuhifadhi shekh

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 2 роки тому

    Maa shaa Allah
    Jazaakallah khayrii shekh

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 2 роки тому +2

    MashaAllah Allah awabarikie

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 2 роки тому +1

    Mashaallah awasimamie inshaallah

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 роки тому

    Allah awape uwezo zaidi na zaidi shekh ramadhan na teem yake usambaze da,awah wazidi kusilimu

  • @fatimaismail2250
    @fatimaismail2250 2 роки тому

    jazaaka Allah khairan

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 2 роки тому +1

    Nachoka kabisaa hiyo sehemu walevi kibao!!

  • @عبداللهباحميد-ت7ج
    @عبداللهباحميد-ت7ج 2 роки тому

    MASHA ALLAH Twaombea Kila La Kheeri Na ALLAH Awahifadhi Na Awape Umri Na Afya Njema Amin

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому

    Maashallah tabarakallah mashehe zetu Allah awajalie mwishomwema

  • @hamidharoon3918
    @hamidharoon3918 2 роки тому +1

    Kazi nzuri mayor fanya tuna Shakur xna

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 роки тому

    Masha Allah sheikh Ramadan Allah akupe umri mrefu uzidi kulingania ishalla

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 2 роки тому +1

    Mashallah jazakallah kheir

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +1

    Duuu walevi mpka huruma awa walevi 😭 msiba huu mungu awaongoze

  • @mrimh7798
    @mrimh7798 2 роки тому +1

    Hao walevi wanafurahsha kweli 😀😀 et wameonja, Allah awaongoze waache 🙏

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      Ule mmoja asema naangalia mbingu najiuuliza nani kaziumba😅😅😅

  • @mhjgkgjfjzuzu9545
    @mhjgkgjfjzuzu9545 2 роки тому

    MashaaAllah shekh Allah akufanyie wepesi.

  • @aminaomar3807
    @aminaomar3807 2 роки тому

    Umeenda mwakweni ustadh ramadhani lkn wape dawa huenda Allah akawapa hidaya wakaslimu insha Allah

  • @ramadhankisingile6539
    @ramadhankisingile6539 2 роки тому +2

    sheikh ramadhan karibu tz maeneo ya njombe huku.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 роки тому +1

      InshaAllah ndugu

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 2 роки тому

      @@StraightPathDawah huko hawajui uislam kabisaa

    • @ramadhankisingile6539
      @ramadhankisingile6539 2 роки тому

      @@fatmazullu4933 ni kama hamna maanake hata watu wa dawah nadra kufika. Kuna sehemu zingine za jiran hapa hamna kabisa uislamu.

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 роки тому

    ALLAH AKBAR , ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, wallaih amdhu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

    Subuhanallah hukokunawalevi

  • @ramazecha8862
    @ramazecha8862 2 роки тому

    Mashallah masekh wetu mungu awaongoze

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 2 роки тому

    Masha Allah , JazakAllahu kheyran ustaadh wetu ...

  • @samxx411
    @samxx411 2 роки тому

    Dah!!! Pole sheikh, naona leo umekutana na walevi wengi. Inaonesha wanatamani waache na waijuwe haki ila usichoke kuwasaidia ndugu zetu ndivyo wanavyofundishwa kunywa pombe wanaambiwa damu ya yesu maskini kumbe ni kazi ya shetani lakini wengine bado wanasema waislam wana majini na mashetani lakini hawajioni wanavyotumika Kwa shetani. Wape elimu angalau wapo watakaoelewa kwa uwezo wa Mungu na kuifata haki

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 6 місяців тому

      InshaAllahKwauwezo.waAllah.wataacha

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 6 місяців тому

      MashaAllah.shekhe.Ramadhan.umepanda.kwenyenini.nawewe.umekuwa.mrefu.kumfikiahuyo.mutu.murefu🤣🤣

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 роки тому

    Mashallah Allah 💕

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 роки тому +1

    Duuu kweliii Mambo ni moto

  • @mwanahawamohamed9333
    @mwanahawamohamed9333 Рік тому

    Walevi noma

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 2 роки тому

    Mashallah very friendly

  • @mugishadjuma6617
    @mugishadjuma6617 Рік тому

    Asalam waleikum warahmatulillah wabarakatuh sheikh allah akulipe pepo ya firdaus insha allah kwa kujitolea kuwafunza uwislam. Nimejarubu ku dowload vidéo

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 роки тому

    Well said big up Shekh

  • @hansmswagara2789
    @hansmswagara2789 2 роки тому

    Masha Allah

  • @halimazuberi1036
    @halimazuberi1036 2 роки тому

    MashaAllah

  • @prettyaysha7892
    @prettyaysha7892 2 роки тому

    MashAllah raha kweli

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 роки тому

    Duuu Allah Akbar

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 2 роки тому

    Mashallah

  • @ikujoitambu2712
    @ikujoitambu2712 2 роки тому

    Mashekhe mashallaah, Allah awape umri mrefu na afya njema ili mtoe dawaa kwa umaa wote,

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 роки тому

    Mashaalah

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 2 роки тому

    Subhana allah

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 роки тому

    Duuu kweliii kaonja

  • @عبداللهباحميد-ت7ج
    @عبداللهباحميد-ت7ج 2 роки тому

    Na Awaogeze Hekma Na Subra Kwa Kzi Hii Ya Daawaa Kwa Sababu Some Times Mna Pambana Na Watu Wengine Vichwa Ngumu Na Wazito Kuelewa

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +2

    Felix hajui kama Iblisi ni jini,, hawa wakristo hawajui kutofautisha Jini, Iblisi na shetani.mkiwafunza wafafanulieni vizuri wapate kuelewa.

  • @fridafrida7665
    @fridafrida7665 2 роки тому

    Brother please soma Bibilia usije ukapoteha

  • @cabdikarimck1421
    @cabdikarimck1421 2 роки тому +1

    This is a big opportunity yenye huyo kijana hajagundua

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +2

    Awa walevi wanachekesha eti ni Mimi ni Mimi kila Moja anaona yeye anamakosa 😂

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +1

    Hapa patamu Sana! 😂😂😂

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 роки тому +1

    Masha Allah, ila ustadhi Ramadhan huyo kijana alitaja kufadanuliwa kisa cha Adam na ibilisi maana wao makanisani hawafafanuliwi wanaambiwa tu kua ibilisi alimkosea MUNGU lakini hawajui alikosea wapi, hivyo basi hichi kisa ni muhimu kwao napia uenda wakajua kua kumbe ni sijida tu ambapo haikuwa yakumuabudu MUNGU bali ilikua niyaheshma tu kwa Adam, watajiuliza kuavipi wao ambao wanakataa kumsujudia MUNGU itakuaje kwao?

  • @allironjo2698
    @allironjo2698 2 роки тому

    Ustadhi upo sawa ila kiswahili kinakupashida wakati mwengine wanakuzonga kidogo na unashidwa kuwafahamisha kama huyo anakuliza bilisi majini na mwanadamu hujajibu vizuri ila nakukubali wataelewa tu

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +2

    Yani mm nasisitiza watu wa siache kusabsicraibu jamani musisahau chanali yetu pendwa 😂

  • @ramakira7895
    @ramakira7895 Рік тому

    Mm naitwa Ramadhan kira niko zanzibar swali langu kwako Kuria kwa nn kenya vijana wengi walevi? Hamuon mnapoteza nguvu ya Taifa?

  • @fridafrida7665
    @fridafrida7665 2 роки тому

    Yenye wote hamujuhi kitu

  • @fridafrida7665
    @fridafrida7665 2 роки тому

    Jalipu kupepa Bibilia

  • @issajumamwinyi6191
    @issajumamwinyi6191 2 роки тому +1

    KWELI MKUKI MTAMU KWA NGURUWE.....KWA MUISLAMU UCHUNGU!!! >>>>>> ua-cam.com/video/FM7D036kjuA/v-deo.html

  • @HassanHassan-sp4yw
    @HassanHassan-sp4yw 2 роки тому

    Kkkkk subhana allaah

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 2 роки тому +2

    Tuna waislamu walevi wengi sana mahali nilipo kwa hiyo first stop being judgmental only God can judge we are all under grace nahukana mtakatifu kila mtu ana weakness yake

    • @bakariomari3692
      @bakariomari3692 2 роки тому

      Kuna judgemental ya mtu na kuna judgemental ya kitabu cha mungu so hapa ni kitabu cha mungu kina judge sio hawa watu apo tu ndo unafaa uelewe

    • @bakariomari3692
      @bakariomari3692 2 роки тому

      Already God has judged in the holybook ama hujasikia maandiko yakisomwa

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 роки тому

      Waislamu kulewa hakuifanyi pombe kuwa halali. Wakristo mnalaumiwa zaidi kwa kuwa nyinyi ndio watengenezaji wakubwa na wauzaji.

    • @bakariomari3692
      @bakariomari3692 2 роки тому

      Kitu unafaa uelewe tu ni ujue mtu anatumia maandiko Wala hajaji kutumia akili yake so ukiambiwa pombe ni haramu na hakuna andiko lolote wee kunywa paka upasuke tumbo,,,lkn ukisikia mungu amesema kwenye kitabu chake tukufu ww kazi yako nikusikiza na kufuata baaaaaassss

    • @kingsdaughter2040
      @kingsdaughter2040 2 роки тому

      @@bakariomari3692 kiaje nimesema ukweli ni tabia ya mtu

  • @ndetim7043
    @ndetim7043 2 роки тому +1

    Allah anasema pombe ni zuri,‎ Surah 16: 67 "Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnapata ulevi.‎1‎ pamoja na utoaji mzuri. Hakika katika haya ipo Ishara kwa wanao fahamu.‎" pia anasema jannah kutakuwa na mito itirikayo pombe. kwanini Allah's word contradict each other, Surah 5:90 contradict S16:67.

    • @absuisissa1426
      @absuisissa1426 2 роки тому +1

      Hakuna contradiction ktk quran ndugu, muheem uelewa na kaa chini na wanaojua wakueleweshe. Al Akh Kuria ni mzur sna kwa ilo no yake ipo mtafute akufahamishe

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому +1

      Ndugu Quran huijuwi, tafuta wanaojuwa wakusomee, wewe utakuwa kama akina ndacha na ex-imam wanasoma Quran wakiwa chumbani mwao, hivyo sivyo Quran inahitaji usomeshwe na wenye kujuwa. Jitahidi kusoma Mungu atakusaidia

    • @ndetim7043
      @ndetim7043 2 роки тому

      @@samxx411 oooh uwenzi imagine vile tunafunzwa quran na #arabianprophet a.k.a #christianprince, you should also learn from him, he is very educative.

    • @ndetim7043
      @ndetim7043 2 роки тому

      @@absuisissa1426 i find contradiction when i read S6:14 first muslim muhammad, S22:78 Abraham is first muslim,S7:143 most is first to submit to allah, is this not contradiction?

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому

      @@ndetim7043 not contradiction, the problem u learn Quran alone in the room without any Quran educated that is your problem, the same problem with ndacha and ex imam

  • @Est1434-e7l
    @Est1434-e7l 2 роки тому

    Kwahiyo pombe ni wakristo tu wanakunywa
    Kamari , uganga , ni waakristo tu wanafanya. Be practical . I know a lot of Muslim who smoke and drink alcohol. Kamari na kinywa kahawa Kali ndo mpango mzima.

    • @Est1434-e7l
      @Est1434-e7l 2 роки тому +1

      Kwahiyo mbingu
      Ni ya waslam tu. You are too mean. You will pay for that one day

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 2 роки тому +1

    Wacha kutukana wakristo ikisema n walevi, aliye mkristo wa kweli awezi kuwa mlevi

    • @fridahmulongo2697
      @fridahmulongo2697 2 роки тому

      Hapo akuna mtu ametukana wakristo maandiko ndo yanasema hivyo basi laumu bibilia ,wacha chuki bure weww

    • @fridahmulongo2697
      @fridahmulongo2697 2 роки тому +1

      Laumu bibilia wewe hakuna mtu ametukana wakristo wacha chuki wewe

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 роки тому +1

      @@fridahmulongo2697 nyie waislam fundisheni yaliyo ya kweli na haki Wala sio kutukana dini za wengine

    • @fridahmulongo2697
      @fridahmulongo2697 2 роки тому +1

      @@fredrickgitonga1972 kuelewa ndo shida kwako au nn bibilia ndo imeandikwa hivyo ,na kama unasema hivyo meaning maneno ya bibilia si ya kweli juu mmesomewa maandiko kutoka kwa bibilia I wonder ni vitu gani huwa mwafundishwa kanisani kama maandiko yenyewe hamyajui

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому

      Mkristo wa kweli ndie mlevi hasa mana kanisani mnapata mvinyo inaitwa damu ya yesu kwani mlevi ndo hadi uanguke???cha Msingi mnaruhusiwa kunywa au hamruhusiwi???

  • @Est1434-e7l
    @Est1434-e7l 2 роки тому

    Huwezi wafanya waslam bila kufanyiwa therapy .hiyo ni kazi Bure unafanya coz they are addicted. Solve a problem first. Atahamoshia ilevi Kwa msikiti

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 2 роки тому +1

    uislam ni hell , biashara tu

    • @zuu515
      @zuu515 8 місяців тому

      How? Islam is. Clear,christians ask for money in church 😂

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 2 роки тому

    Pia sisi tunatoa kutoa ni moyo

  • @fridafrida7665
    @fridafrida7665 2 роки тому

    Wasilam maan yake ni wahizi alamu

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

    Hapo ni kijiji cha walevi au ? Mana kila mtu kaonja 😂😂😂.

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 2 роки тому

    Hata sijiu kwanini hawa WaKristo wana fikiria kitabu kilicho andika na King James na WAZUNGU wenzake, in 1611ad, ati itawa Okoa?!
    Huyu Felix anaji confuse!
    MUNGU ana Umba as HE wishes:.
    IBLISS ni smokeless fire.
    MALAIKA from Noor.
    ADAM kwa udongo.
    HAWA (EVE) from a Rib.
    Melizadec Bila parents.
    MIMI na WEWE, from Maji.
    ULIMWENGU from Matter.
    Sasa, what is it that you Dont understand Mr Felix!?

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      Hata mie umenielimisha

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 2 роки тому +1

      @@pilimusa3217 kweli kabisa

    • @kingsdaughter2040
      @kingsdaughter2040 2 роки тому

      Mbona Muhammad aliwambia kama hamuelewi muulize watu wa kitab 🤣🤣🤣

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      @@kingsdaughter2040 vitabu vya Mungu injili zaburi taurati qur an. Wewe unafata kipi kati ya hivyo

    • @Est1434-e7l
      @Est1434-e7l 2 роки тому +1

      Yako imeandikwa na mwarabu

  • @ibrahimkadabla2111
    @ibrahimkadabla2111 Рік тому

    Mashalla

  • @muminaroba9122
    @muminaroba9122 2 роки тому

    MashaAllah

  • @hasannishey9881
    @hasannishey9881 Рік тому

    MashaAllah

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 6 місяців тому

    MashaAllah