Maa shaa Allah muliotowa kwajili ya mayatima hakika mumempendeza Allah na Mtume wake,Allah awabarik nyote, Allah awape kheri kila khatuwa zenu pamoja na masheikh wetu wote.
May God bless u sheikh ramadhan from USA 🇺🇸. We love yo channel and we have been learning a lot from it. We watch every single video that you put on yo channel. ❤may Allah bless u and give u strength.
Mashaa Allah great job Sheikh Ramadan. This guy Mwai ni mgumu sana kuelewa na kuelezwa. Anakataa haki peupe tangu kitambo. Sheikh Abubakar ameshinda kumwambia ukweli. Letu ni kumwombea tu Allah amuongoza na apate hidaya.
Sheikh Ramadhan, may Allah bless you and reward you here wa fil akhera. I love your channel very much, daily after Taraweh I watch every video you add in the UA-cam. May Allah bless you and strengthen your heart in this Holy month of Ramadhan.
Wakiristo wanapenda ubishi sana haswaa wakisha ona ukweli wanajaribu kukwepa maswali hivi huko kanisani ndio munafunzana hvo,Duhh!! Hii nayo ni kali yani yesu ni mtu kwa maandiko lkn anangania ni mungu tu bado, subhanallah najivunia kuzaliwa muisilamu
Subhana Allah hawa watu kwa kweli wame oshwa brain na wa zungu, maskini asa yaarab Allah awa hidi yaarab na awa onyeshe haqi. Allahumma Ameen yaarabil Aalamiin
Karibu kwa uislamu mimi na mme wangu tulisilimu na hatujutii kamwe.biblia iko hadi na verses zenye zinaongelea mambo ya phonographic ukisoma ezekiel dah.Alafu mathew inatuambia Yesu alisujudu...alafu kwa revelation inasema malaika alimwambia john aambie watu wamsujudie alieumba mbingu na ardhi maana siku za mwisho zinakaribia...meaning that kama humsujudii Mungu uko pabaya...Karibu kwa islam hapa ndio haki iko
Very difficult to deal with this guy Mwai because amekaa kwa ukristo for decades . He is not getting it other than the few verses he has heard and was told for that long.
@@Catherine-mh8sw hapo tupo pamoja, injili hata kwenye coran ipo tunaitambua na ndio maana hakuna muislamu anaemkataa yesu ila tofauti Iman kati ya waislamu na wakristo ni kumuabudu yesu
Waislamu mko na shida kubwa. Allah sio yule MUNGU wa BIBILIA ambaye ni JEHOVAH ELOIM --Allah Hana ROHO Jehovah Eloim ako na ROHO MTAKATIFU --Allah Hana mwana anaitaji MKE ( girlfriend) ndio awe na mtoto Jehovah Eloim ako mtoto mpendwa ambaye ni YESU KRISTU -- Katika mbingu ya Allah wafuasi waume LAZIMA WAOZWE na Allah wake 72 KATIKA mbingu ya JEHOVAH ELOIM HAKUNA KUOLEWA WAKA KUOA -- YESU KRISTU BIBILIA inamzunguzia alikufa na akafufuka baada ya siku tatu ISSA aliepeshwa na Allah ndio asiuliwe na akadanganya Kwa kufanya mfano wake MSALABANI.
Waislamu wapeda mbishi sana ,,tena hawapedi mkristo anaye njua bibilia ,wanapeda wakristo ambao hawaelewi bibilia iliwawaconfused.. YESU NDIYE ROHO YESU NDIE MWANA NA NDIE MUNGU John 4;1 God is spirit Kama mungu ni roho naye yesu ninani????? Yesu aliishi Duniani ila watu hawakujua yeye ninani??? Wakati wa judgement day waislamu wajua yesu ndie atahukumu ulimwengu ,,,swali langu ni ,,yesu atahukumu dunia akiwa nanii????? Every mouth shall confessed jesus is the Lord .....who is Lord ,,the Lord is mighty God .......Nawaonea huruma sana
Sheikh Ramadhan mimi naomba nikuite professor wa maandiko 😅😅😅 dah unaweweza sana hao mapastor wakutoa aya moja na kuongea kwa masaa manne porojo tupu ... Hapo kwa TOA ANDIKO tu ndipo wanapokamatika 😅
Typical Mkristo, aki KABWA na maandiko, ata sema: 1) Ata anza kusema : "wewe hau elewi maandiko", while everything is written in a plain language!! 2) Au ata sema : "wewe hauna ROHO mutakakitu"! 3) Au ata sema : "TAFSIRI lake sio hiyo, ni hivi", halafu ata anza ku DANGANYANA na with HIS own Version! 😅 😅 "TAFSIRI" gani na ALREADY Biblia ISHA TAFSIRIWA into the language of SWAHILI! Sasa hata sijui ana ongea habari ya 'Tafsiri kwa nini? 🤔 AllahuAkbar. ❤️ BarikAllah kwa woteeee walio towa Mali zenu Kwa Ma YATIMA! ALHAMDULILLAH BarikAllah Team Kuria!
No trinitarian can refute john 17:3 😂😂 it's the hardest verse for them.. He can't answer simple and clear questions..that's Christianity/polytheist for you.
JOHN 8:58 BEFORE ABRAHAM WAS BORN IAM .. KAMA YESU ALIKUWA ULIMWENGU KABLA ABRAHAM ,NA ABRAHAM ALIKUWA MZEE SANA KWA MIAKA ZAIDI YA YESU...NA YESU ANASEMA ALIKUWA ,,ALIKUWA WAPI ???? ????? ALIKUWA KWASABABU YESU NI ROHO ,KABLA ULIMWENGU KUUMBWA YESU ALIKUWA ,,KWA SABABU YESU NI ROHO ,BINADAMU ,MUNGU.. WAISLAMU MNAPEDA MABISHI SANA ,SOMENI NENO NA MJUE REVELATION .
Kama huamini bibilia ,,mbona unasoma bibilia??? ....confused elements Kusema mungu ni baba haimanishi mungu alituzaa ,mungu hazai ,, Sisi ni wana w mungu ...nanyi waislamu mnasemanga sisi ni vyumbe vya mungu......Iknow there is one God ,waislamu muwachache kuongezea maneno
Wakristo mnataka tuwaeleweshe vipi nyinyi wakati huyu pasta ameuliza nn kuusu uzima..akajibiwa yesu asema uzima wa milele ndio huu wakujue wwe mungu wa pekee.....yani ili neno pekee pia akili haifunguki ikaelewa pekee ni mmoja hana mungu mwenzake? Bado mnakazana miungu n watatu cjui utatu kwa andiko gani? duuh wakristo moto mnaulazimisha aki tena..
Mshalah sheikh ramadan kuria bin kaguo may God protect you an evil eye ❤❤❤❤❤
Mashallah kwa hakika nimefurahi sana kwa furaha ya hawa watoto endelea hii kazi nzuri brother ramadan mpendwa
Mwenyezi mungu awazidishie wote mlio slim na kumuamini mungu mmoja tu.
nyie amuna Mungu umoja bali muna miungu,yani amuna tofauti nawa catholic!
Mashaallah tabarakallah masheikh wetu n wote waliochagia Allah amlipe pepo inshaallah
Maa shaa Allah muliotowa kwajili ya mayatima hakika mumempendeza Allah na Mtume wake,Allah awabarik nyote, Allah awape kheri kila khatuwa zenu pamoja na masheikh wetu wote.
Allah amlipe kila la kheri Kwa aliyefurahisha vijana
Amiin...Allah a'barki ramadhan kuria bin kaguo amjaalie hikma na afya na IKHLASW...amiin
May God bless u sheikh ramadhan from USA 🇺🇸. We love yo channel and we have been learning a lot from it. We watch every single video that you put on yo channel. ❤may Allah bless u and give u strength.
dah mzee mbishi sana na maandiko yako wazi kabisa
Nakupenda kwa hajili ya Allah kwakazi nzuri
Shukran jazila naminakupenda Kwa akili ya Allah
Ma sha Allah great job by sheikh Ramadhan Allah akujalie Iam your great fan.
Mashaa Allah great job Sheikh Ramadan. This guy Mwai ni mgumu sana kuelewa na kuelezwa. Anakataa haki peupe tangu kitambo. Sheikh Abubakar ameshinda kumwambia ukweli. Letu ni kumwombea tu Allah amuongoza na apate hidaya.
masha Allah kila alie changia kwa hao watoto mungu amlipe zaidi ya anavyo tegemea wamefurahi wenyewe 😊😢
MashaAllah TabarakahAllah
Alhamdulillah MashaAllah! Uislam Raha sana !
Ma-sha-Allah Sheikh Allah Azidi kukupa ilmu na uzima uzidi kuwaelemisha wengi Allah Akulipe hpa duniani na ksho Akhera
Allah akupe janna Ustadh Ramadhan
AaminaYaarabi.nawoteUmmat.Muhammad.S.w.w
Sheikh Ramadhan, may Allah bless you and reward you here wa fil akhera. I love your channel very much, daily after Taraweh I watch every video you add in the UA-cam. May Allah bless you and strengthen your heart in this Holy month of Ramadhan.
It's my pleasure❤
Wakiristo wanapenda ubishi sana haswaa wakisha ona ukweli wanajaribu kukwepa maswali hivi huko kanisani ndio munafunzana hvo,Duhh!! Hii nayo ni kali yani yesu ni mtu kwa maandiko lkn anangania ni mungu tu bado, subhanallah najivunia kuzaliwa muisilamu
ALLAHU AKIBAR nimefurahi sana kwakuwaona watoto wamefurai Allah awalipe wote wenye kujitoleya zadaka zao inshaallah
Subhana Allah hawa watu kwa kweli wame oshwa brain na wa zungu, maskini asa yaarab Allah awa hidi yaarab na awa onyeshe haqi. Allahumma Ameen yaarabil Aalamiin
Takbiir..... Allah akbar
Allahu akbar
Mbona.sioni.ukhristo.yoyote.an.comment.hatari.hapo💥💥💥💥
Nimefurai kuona vijana wamfrai wote waliochagia Allah amlipe pepo inshaallah
Ni mbishi hope arudi home aisikilize tena , allah awabariki
Ramadhani Kurya ALLAH akupe Pepo ya Firdaus.
@@salimmjungu8745 mashabki ata kitabu chenu amuso kazi nikuwapongeza masheikh wenu kwa kuwadanganya watu!
Masha Allah watabarakallah I love you
❤
May Allah bless you ya raab❤
Uislam ndiy dini ya khaki na ndiyo mwongozo wetu..
😂😂😂Mzee wachana na wadigo jitete mwenyewe na maadiko tunataka usilimu uone haki na ukweli
Allah akulipe Janna pamoja na wale walio toa hii sadaka kwa mayatima.
Hi Jamila uko,
@@christinenangila nipo, nani mwenzangu?
Allah awafariji sikuya kiyama waliyotoa kuwafalijinwatotoyatima 😭🤲
Sheikh una kazi ngumu 😂😂 uyo mzee hana akili mi sio Christo tena maana hauleweki 😅
Allah akuongoze
Mwenyezi Mungu akuongoze ufanye maamuzi ya haki Insha Allah
Karibu kwa uislamu mimi na mme wangu tulisilimu na hatujutii kamwe.biblia iko hadi na verses zenye zinaongelea mambo ya phonographic ukisoma ezekiel dah.Alafu mathew inatuambia Yesu alisujudu...alafu kwa revelation inasema malaika alimwambia john aambie watu wamsujudie alieumba mbingu na ardhi maana siku za mwisho zinakaribia...meaning that kama humsujudii Mungu uko pabaya...Karibu kwa islam hapa ndio haki iko
Karibu Kaka, Njoo tumalize Ramadhan Pamoja Inshaa Allah Taalah
MashaLLAH karibu kwa dini yahaki
Shekhe Ramadan Allah akulipe pepo inshallah maana waja wsgumu sana
Mashaallah , Allah na cc atupe imani ya kutoa Yarrab
Good job sheikh Ramazani 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Safi sana Mzee waambie hao wasiojielewa. YESU NI MUNGU , NI NJIA UKWELI NA UZIMA
Wewe na huyo mzee akili zenu zinafanana
Mashallah mashallah ramadhan Allah akupe kheir zaidi inshallah
When you give a Christian the clear verses they go for the ambiguous ones.
Exactly 💯
the is not ambiguous but just their understanding.
Sh Ramathan my Allah (s w t) barik you knowledge fidunya wa akhira,
Masha allahy Allahy Azidikutufanyia Wepesi Rabin alamin
hehe. akaislimu tu kamzu. heheh
Safi kabisa.
Very difficult to deal with this guy Mwai because amekaa kwa ukristo for decades . He is not getting it other than the few verses he has heard and was told for that long.
Uyo Mzee mbishi Sana adi haeleweki
MASHAALLAH 🥰
Masha allah ila kazi unayo kweli kwahuyo mtu ni mbishi😮
YESO NI MTU SAWA SAWA
Nampenda nyote kw ajili ya Allah
Mashaallah Allah Allah awajalie kila kheri
Mashaalah
Allah akubariki kwa ulichotoa na akufurahishe kama ulilivyo wafurajisha watoto
Jamaa Hana tofaut na Abu Jehel
Mic is very hot he keep backing up
Allah akupe umri mrefu
Mashallah
Nimecheka kwa baba
Asante sh-ramadhani wafaha mishe hao
Allahu Akbar
Maa shaa Allah ❤❤❤❤
Wakristo bhanaa.
Bega kwa bega Hadi peponi kaka
❤❤❤
Masha Allah
😂😂😂Mbishi na anajuwa kusoma lakini maandiko hayataki hawa ndio watu WANAFIKI MAKAFIRI.
Hii bibilia inapotosha haki sana 😢
@@albusaidi5132 nani kakwambia bibilia ni kitabu cha Allah?
@@kutailass6671 injili ni ya Allah
@@Catherine-mh8sw lakini siyo bibilia,
@@kutailass6671 kabisaa
@@Catherine-mh8sw hapo tupo pamoja, injili hata kwenye coran ipo tunaitambua na ndio maana hakuna muislamu anaemkataa yesu ila tofauti Iman kati ya waislamu na wakristo ni kumuabudu yesu
Mashaa Allah sheikh Ramadani tu na kutaka apa Lubumbashi Drc
kuwa muislamu nikama umejipeleka motoni mwenyewe!
@@jeanmuzaliwa9023 can you explain it??🤔
@@jeanmuzaliwa9023 ww utakua juni 😂
Kukataa kuwa mwislamu ni kukataa kuingiya peponi mwenyewe
@@allanmonga3942 pepo gani nyie munaingiya?
Sheikh Rama huyo mwai ni bora hata ungeongea na mtoto wa nursery
Waislamu mko na shida kubwa. Allah sio yule MUNGU wa BIBILIA ambaye ni JEHOVAH ELOIM
--Allah Hana ROHO
Jehovah Eloim ako na ROHO MTAKATIFU
--Allah Hana mwana anaitaji MKE ( girlfriend) ndio awe na mtoto
Jehovah Eloim ako mtoto mpendwa ambaye ni YESU KRISTU
-- Katika mbingu ya Allah wafuasi waume LAZIMA WAOZWE na Allah wake 72
KATIKA mbingu ya JEHOVAH ELOIM HAKUNA KUOLEWA WAKA KUOA
-- YESU KRISTU BIBILIA inamzunguzia alikufa na akafufuka baada ya siku tatu
ISSA aliepeshwa na Allah ndio asiuliwe na akadanganya Kwa kufanya mfano wake MSALABANI.
Waislamu wapeda mbishi sana ,,tena hawapedi mkristo anaye njua bibilia ,wanapeda wakristo ambao hawaelewi bibilia iliwawaconfused..
YESU NDIYE ROHO
YESU NDIE MWANA
NA NDIE MUNGU
John 4;1 God is spirit
Kama mungu ni roho naye yesu ninani?????
Yesu aliishi Duniani ila watu hawakujua yeye ninani???
Wakati wa judgement day waislamu wajua yesu ndie atahukumu ulimwengu ,,,swali langu ni ,,yesu atahukumu dunia akiwa nanii?????
Every mouth shall confessed jesus is the Lord .....who is Lord ,,the Lord is mighty God .......Nawaonea huruma sana
Kivipi
Sheikh Ramadhan mimi naomba nikuite professor wa maandiko 😅😅😅 dah unaweweza sana hao mapastor wakutoa aya moja na kuongea kwa masaa manne porojo tupu ... Hapo kwa TOA ANDIKO tu ndipo wanapokamatika 😅
Soma yohana 1:1 na hutaelewa kikamilifu kuhusu yesu...
Ts not the eyes that blind, its his heart
Mzee kabanwa mpaka kapagawa😂
Wakristo watu wa kushangaza sana anapinga bibilia
Masha Allah aki wewe😂😂😂 Ramadan
Kwani vipi?
Wapishi. They always deny their own scripture. It’s always personal opinion rather no evidence.
Mimi ni mu christo forever
Biblia inakwambia, waliolala kwa ukristo wamepotea
Typical Mkristo, aki KABWA na maandiko, ata sema:
1) Ata anza kusema : "wewe hau elewi maandiko", while everything is written in a plain language!!
2) Au ata sema : "wewe hauna ROHO mutakakitu"!
3) Au ata sema : "TAFSIRI lake sio hiyo, ni hivi", halafu ata anza ku DANGANYANA na with HIS own Version! 😅 😅
"TAFSIRI" gani na ALREADY Biblia ISHA TAFSIRIWA into the language of SWAHILI!
Sasa hata sijui ana ongea habari ya 'Tafsiri kwa nini? 🤔
AllahuAkbar. ❤️ BarikAllah kwa woteeee walio towa Mali zenu Kwa Ma YATIMA!
ALHAMDULILLAH
BarikAllah Team Kuria!
Hiyo aya ya “ UZIMA wa milele ndo huu wa kumjua mungu na yesu kristo ulomtuma ‘ inabomoa ukristo … Ni Bitter pill
Literally 💯🤣🤣
Eti huyuu mtuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂kumbe ajijuwa ni mjinga. Mbishi
😀😀hapo kila mmoja itakuwa KAZI kukaa pamoja
Ustadh mtu musima kama Mimi nawesa kuja madrasa Kwa Ile msikiti wa mukurueni
insha'Allah
Nenda dini yetu hata ukiwa mzee unatakiwa kusoma dini
Hiyi ndiyo shida ya wakristo wote hawana utaratibu wa kusikiliza kimya kimya
Si mohamed atahukumu dunia ,,imagine ni yesu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ata.hukumu.kabila.kumina.mbili.acha.ww
Pasta Anajuwa akisema ukwali hata pata Sadaka kanisani Kawa m,bishi anaogopa waumini wake wataujuwa ukweli😂😂
Wasiram wabishi
Kwan.nn.andiko.iko.wazi.bro.yesu.ni.mtu
No trinitarian can refute john 17:3 😂😂 it's the hardest verse for them..
He can't answer simple and clear questions..that's Christianity/polytheist for you.
Hhhhhh ubishi
Kuna watu wabishi hii dunia😂😂😂😂😂
Bingwa wa ubishi nani? Ni Ndacha? Kbl sijaona na guess ndacha....hahahaa
JOHN 8:58
BEFORE ABRAHAM WAS BORN IAM ..
KAMA YESU ALIKUWA ULIMWENGU KABLA ABRAHAM ,NA ABRAHAM ALIKUWA MZEE SANA KWA MIAKA ZAIDI YA YESU...NA YESU ANASEMA ALIKUWA ,,ALIKUWA WAPI ???? ????? ALIKUWA KWASABABU YESU NI ROHO ,KABLA ULIMWENGU KUUMBWA YESU ALIKUWA ,,KWA SABABU YESU NI ROHO ,BINADAMU ,MUNGU..
WAISLAMU MNAPEDA MABISHI SANA ,SOMENI NENO NA MJUE REVELATION .
Unajua hawa wakristo wa African ya mashariki wanaroho mtakatifu, wanapata ufunuo,
Kamwe hawawezi ujua ukweli, kwakweli wanepotes
Aliposema yeye anakubali kuwa Yesu ni MTU 100% nadhan mjadala ulikuwa uishie hapo, hakuna tena cha kujadili
Only catholic ndio almost na islamic
What do you mean??
kaZi unayo lkn ataelewa tu
Jesus is the way not destination.
Ramadhan Leo umeniangusha.unamuelewa sana huyu Mzee but wewe uko hapa kuleta arguements
Bure kabisa
Ramadan don't come with a fixed mind About Jesus. As taught on the Quran
What.do.u.mean
Yenyewe huyu ni mbishi
Kama huamini bibilia ,,mbona unasoma bibilia??? ....confused elements
Kusema mungu ni baba haimanishi mungu alituzaa ,mungu hazai ,, Sisi ni wana w mungu ...nanyi waislamu mnasemanga sisi ni vyumbe vya mungu......Iknow there is one God ,waislamu muwachache kuongezea maneno
Wakristo mnataka tuwaeleweshe vipi nyinyi wakati huyu pasta ameuliza nn kuusu uzima..akajibiwa yesu asema uzima wa milele ndio huu wakujue wwe mungu wa pekee.....yani ili neno pekee pia akili haifunguki ikaelewa pekee ni mmoja hana mungu mwenzake? Bado mnakazana miungu n watatu cjui utatu kwa andiko gani? duuh wakristo moto mnaulazimisha aki tena..
Summun bukmun
Bonge ni mbishi