ANTII prt 3 { new episode} Best film | Full HD Video { madrasa shop} MASH TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 584

  • @zaituniluboge8897
    @zaituniluboge8897 4 роки тому +40

    Funzo zuri yaa Allah nijaalie niwe mke mwema kwa mume wangu

  • @radhiyarashid1314
    @radhiyarashid1314 4 роки тому +9

    Masha Allah filamu nzuri Sana na imenijenga sana nimejifunza kitu hapa inshallah namuomba mungu anipe mume mwenye upendo na Imani thabiti nami naahidi kuwa mke mwema inshallah.

    • @abuujuhayfah5130
      @abuujuhayfah5130 2 роки тому

      Hujaolewa

    • @sumaiyahsaid1447
      @sumaiyahsaid1447 2 роки тому

      Mashaallah filamuu ni nzur Sanaa nimejifunzaa kituu hapaa Natakiwa mkee mwema kwa mime wanguu inshallah na muombaa mungu snipe mime mwemaaa inshallah Kam huyu

  • @zaharatoto8004
    @zaharatoto8004 4 роки тому +24

    Yarabbi nijalie niwe mke mwema kwa mume wangu 🤲🤲

  • @thumuali4406
    @thumuali4406 2 роки тому +1

    Duh sijaolewa lkn namuomba mungu anisaidi niwe mwema kwa mume wng

  • @ibrahimomar1073
    @ibrahimomar1073 4 роки тому +3

    Pole sana kaka,kwa mtihani bora muoe huyo antii

  • @aishaa346
    @aishaa346 3 роки тому +2

    😂😂😂🤣🤣🤣🤣 najizuwia lakini nashindwa 😂😂😂😂🙌🙌corona tucgusane

  • @mwazansaid1491
    @mwazansaid1491 4 роки тому +9

    Lkn hicho kiantii kizuri mashaa allah

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +7

    Mashallaah movie nzuri Sanaaa 🙏 hongeren washlki wote kaz nzuri

  • @nuruyassin482
    @nuruyassin482 4 роки тому +9

    Mashallah tabarakah Rahman filamu yenye mafunzo allah azidi kuwasimamia mutulete zaidi na zaidi zenye mafunzo

  • @soumyasingh2011
    @soumyasingh2011 4 роки тому +6

    MashaAllah nlikuwa naisubiri hii movie sana Asante kwa mafunzo

  • @qweenrapunzel0078
    @qweenrapunzel0078 3 роки тому +10

    Wapi like za madrasa shop mbona sizioni jamani

  • @AISHARamandhan
    @AISHARamandhan Рік тому

    Mafunzo mazuri wanawake tunajisahau sana mungu atuongoze ishaalah

  • @azizarajab2650
    @azizarajab2650 3 роки тому +2

    Huu ni uvivu tenaa mhh
    Allah atunusuru

  • @imaiskaka8305
    @imaiskaka8305 4 роки тому

    hongera kwa muvi nzuri yenye mafunzo

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому

      Shukran pia Kwa kushukur na kutizama

  • @AishaSuma-r7b
    @AishaSuma-r7b 10 місяців тому

    😢nzuri nimejifunza kitu Allah atuongze wanawake inshallah tuwe wake Bora katika ndoa zetu 😮❤

  • @maibakari7758
    @maibakari7758 4 роки тому +4

    Mashaallah iko poa tunasubili muendelezo ishaallah msitucheleweshee tena tunawapenda sana kwan ni burudan but kunamafunzo yenye maadili ndan yake

    • @abubakaryusuph6555
      @abubakaryusuph6555 4 роки тому

      Ahsante
      In shaa llaah tutajitahidi

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому

      Jazzaka llah Ghayr
      Shukran Saana kwa Kuburudika kupitia Sisi.
      Tunawapenda pia Mashabiki Wetu Kwa mwatufanya Tuzid Kupata Nguvu ya kufanya mambo mazur zaid❤

  • @uthaymaanashshiraaziyy2413
    @uthaymaanashshiraaziyy2413 4 роки тому +6

    Maa Shaa Allaah
    Nzuri wallah
    Msichelewe kutuletea ladha tamu km hizi ili tuepukane na kutazama bongo muvi zisizo na maadili
    Allah awajaaliye Kheri aibariki na kuisimamia group hii ya Kiislam iwe zaidi ya bongo muvi
    بارك الله فيكم وجزاكم الله خير الجزاء
    اللهم آمين يارب العالمين

    • @abubakaryusuph6555
      @abubakaryusuph6555 4 роки тому +1

      شكرا جزيلا يا مولانا
      Na in shaa llaah tutajitahi kuharakisha

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому

      Aameen Allahumma Aameen

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 3 роки тому +2

    Hyu Mama ameolewa na simu kadhi wke ni Tv😏😏mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yke mwenyewe

  • @farhatomar7495
    @farhatomar7495 4 роки тому

    Jmni mwendelezooo👌👌👌👌💥💥💥💥mashallh hongeren ndungu zetu wakiislm mnaitendea hak hii film kwa hakika ujumbe umetufikia kwenyewe jamii

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому

      Maasha Allah
      Maasha Allah
      Maasha Allah
      Tunafurah saana Kuona Mmeielewa

  • @AishaSuma-r7b
    @AishaSuma-r7b 10 місяців тому

    😢nzuri nimejifunza kitu Allah atuongze wanawake inshallah tuwe wake Bora katika ndoa zetu

  • @mwanalimahamisi2529
    @mwanalimahamisi2529 4 роки тому +26

    Subhannah Allah wanawake wengine tunapata wanaume wa kutupenda ila hatuwajali kabisa. Allah nijaalie mume mwenye upendo wa dhati kama uyu insha Allah

    • @jumaayyoub2519
      @jumaayyoub2519 4 роки тому +1

      Vip hali mwanalima
      Samahani kama nitakuudhi.
      Kuna ust anahitaji mke wa kuoa.
      Kama inawezekana tufanye mawasiliano.

    • @rabiarashid4483
      @rabiarashid4483 4 роки тому

      @@jumaayyoub2519 mmmh njoo

    • @jumaayyoub2519
      @jumaayyoub2519 4 роки тому

      @@rabiarashid4483 Naomba Namba ya mawasiliano basi.

    • @rabiarashid4483
      @rabiarashid4483 4 роки тому

      Tuma yako

    • @rabiarashid4483
      @rabiarashid4483 4 роки тому

      @@jumaayyoub2519 Tuma yako

  • @mobyyusuph7175
    @mobyyusuph7175 2 роки тому +1

    Subhanaallah huyu mwanamke hafai nami namuomba Allah aisimamie ndoa yetu In shaa Allah 🙏

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 9 місяців тому

    Yarabbi Mungu Wangu Nakuomba Unitafutiy Mume Muzuli Tafhadali🤲🤲😢😢♥️♥️♥️♥️♥️♥️

    • @milakauli
      @milakauli 7 місяців тому

      Mimi hapa Inshallah

  • @zakayokipingi7963
    @zakayokipingi7963 2 роки тому

    Shehee ulizidusha sana kupenda baba

  • @mariajulius943
    @mariajulius943 4 роки тому +2

    Nashukulu Sana Jamani nimeisubili sana naomba mwendelezo PRS

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 3 роки тому +1

    Haya mambo wallahi yapo kweli Tena mitaani mwetu kabisaa

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 4 роки тому +3

    MashaAllah na subiri part 4🤝🤝🤝

  • @fatymafafa4215
    @fatymafafa4215 4 роки тому +2

    Uyu mwanamke km wakiarabu yni😂😃😃🤣😀Hana asiliya ya wanawake wa kiafrica hasa tz

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
      Ahsante saana Itabidi nitafute mume wa Kiarab

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 роки тому

      Hataa waarabu hawampati huyu. waarabu wafkiri waeza muachia mume maid ampake mafuta amkande??

  • @eliascherehani281
    @eliascherehani281 3 роки тому

    Mmmmm hatary sanaaaa huyo mkeee

  • @abdulhamidhaji5056
    @abdulhamidhaji5056 4 роки тому +19

    Inaumaaa saanaa, Allah asinipe mke Kama huyu.

  • @mwanajumamndoro5487
    @mwanajumamndoro5487 2 роки тому

    Mashaallah mungu awa zidisie

  • @tmwata6669
    @tmwata6669 4 роки тому +29

    nani ameona mume kwa mawazo mengi amekumbatia linguzo la umeme halafu amesema "CORONA tusikumbatiane"😂😂😂Ya Rabbi tupe stara wallah wanawake wataua

  • @khadijaismail5013
    @khadijaismail5013 2 роки тому

    Mashaallah hay mambo yapo kwenye jamii

  • @ummusalha9863
    @ummusalha9863 2 роки тому

    Natamani niwekamahuyu mwanamke mungu tunusuru manahawawanaumewemahawana tunaojua thamaniyandowa hatahawatujali

  • @bimsinani5944
    @bimsinani5944 4 роки тому +1

    Muendelezo mpka leo kimyaaa vip ustadh

  • @aminamsomali1619
    @aminamsomali1619 4 роки тому

    Shukran sana mash TV muendelezo tafadhal nimeipenda sana

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 2 роки тому

    Mashaallah huyu mume hidari sana mashaallah ila mke mitihan mtupu arabi nijalie niwe mume mwenye her na mm nikawa mke mwenye her kwake tukaihudumisha vzur ndoa yetu

  • @mariajulius943
    @mariajulius943 4 роки тому

    Daaaaah movie ni nzuli San ila mnachelewesha sana mwendelezo PRS part 4

  • @ummuramadhan1842
    @ummuramadhan1842 2 роки тому

    poleee kwa kujigonga na corona🤣🤣🤣

  • @thumabby1135
    @thumabby1135 3 роки тому

    Masha allah hongera sana Kwa kaz yenu

  • @sophiaabdallah7821
    @sophiaabdallah7821 3 роки тому

    Mwanmk huna hyaa weweee 🙌🙌 unashndw kumpokea mumeo unmuit antii nd aje ampokee mumeee looh ukiachw umtfte mchaw w ndoa yko😏😏😏

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 3 роки тому

      Yan anakeraaaa kila kitu antii mbna kitandani hamuiti antii au hio sio kazi

    • @sophiaabdallah7821
      @sophiaabdallah7821 3 роки тому

      @@mimahmimah1595 kaah yaan amentibua hatr nashngaa mume kaamua kwend kw antii anaanz kumletea dhorubaa wkt ujingaa wakee

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 3 роки тому

      @@sophiaabdallah7821 natamani ningepewa iyo part ya antii angenyooka kama ruler

    • @sophiaabdallah7821
      @sophiaabdallah7821 3 роки тому

      @@mimahmimah1595 🤣🤣🤣🤣🤣ingepndeza sanaaa

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 3 роки тому

      @@sophiaabdallah7821 😜

  • @Zahra_Media255
    @Zahra_Media255 4 роки тому +2

    Maa shaa Allah filamu yenye mafunzo Maa shaa Allah
    Napenda kuangalia filamu za madrasa shop so tunaomba mtuletee nyingi

  • @abutwalibuiddy8734
    @abutwalibuiddy8734 3 роки тому +3

    Nakuomba allah mke wangu asije kuwa na tabia kama za huyu mama

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 роки тому

    Ya allah nijaalie niwe mke bora kwa mume wng na si ilimradi mke na nimtwii kila lenye umuhim wa ndoa thumma amina

    • @zamanaidarusi4317
      @zamanaidarusi4317 3 роки тому

      Aaaaamin 🙏 na akujaalia mume Bora na sio Bora mume

  • @aishaaisha9636
    @aishaaisha9636 2 роки тому

    movie nzuri sana yenye mafunzo

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 роки тому

    Ee Mungu naomba unijalie mume mzuri

  • @shaabanmrisho-ko5fg
    @shaabanmrisho-ko5fg Рік тому

    Shekhe huyo ni mkeo kweli pili shkhe huku ndiko uliko
    Na haya ndio unafunza dini au ni kipi
    Lakini hawa wanawake unaoigiza nao mavazi yao
    Ni kupeleka ujumbe gani katka jamii
    UISLAMU bila kufanya kazi katka maisha kukopi
    Mfumo ni mtihani shkhe

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 4 роки тому +6

    Ila wanawake wengi tuko ivi jama au mana ata mimi sometimes huonaga uvivu kujituma jamani, miili tunaiyendekeza wanawake wenzangu

  • @mashtv5103
    @mashtv5103  4 роки тому +4

    Asl alykm ahsanteni kwa ushauri wenu tutajitahid kuileta haraka japo kua tuna changamoto za hapa na oale hivo tustahmiliane ishallah na tunaomba radhi kwa usumbufu munaoupata

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 2 роки тому

    😅😅😅😅😅😅Sasa nguzo ya umeme na corona 2sikumbitiane yametoka wap😅😅😅😅🙌

  • @sharifashekutu8937
    @sharifashekutu8937 4 роки тому +1

    Mashallah shukrani Kwa mafunzo mazur

  • @saumrajabpalomar9569
    @saumrajabpalomar9569 3 роки тому

    Mpaka kumkanda mume antiiiiiiii jamani 🤣🤣🤣🙌🙌🙌kazi ipo

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +12

    Huyu wa kuacha2 😂😂😂

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 роки тому

      Huyu ni mzigo tu kwa nyumba. heri kukaa bachelor😂😂😂

  • @hussnabakary3507
    @hussnabakary3507 3 роки тому

    Uyo mwanamke ata wivu hana mm nilivyokua na wivu leo mume nimkabidh mschna wa kazi mmmmhh mhh kwnza mm mm ata mfnyakazi cmtka😁😉😉😉

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 роки тому

    Hahaaaa mchue baba Antii baadae atakua mumewako huyo

  • @asiazaitun5949
    @asiazaitun5949 3 роки тому

    Mmenifanya nizidi kumpenda na kumuhurumia mume wangu

  • @halimaomar2795
    @halimaomar2795 4 роки тому +5

    Mashallah ❤️ shukran sn kwa mafunzo nxt part

    • @shaibunalola4192
      @shaibunalola4192 4 роки тому

      Naitaka hii filam naipata wapi

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому

      Soon In Shaa Allah
      Thank you

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому +1

      @@shaibunalola4192 IPO humu UA-cam tu Akhy Shaibu
      Tumetoa part 1 , 2 , na 3 Karibu tuburidike na Tuelimike

    • @shaibunalola4192
      @shaibunalola4192 4 роки тому

      @@sallysaidy685
      Mm nataka nizipate CD zenyewe humu UA-cam sielewi chochote
      Nichek 0688 562 000
      Wasap

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому +1

      @@shaibunalola4192 Akhy Shaib Hatuna CD Tunaweka Online Tu

  • @maswarramadhan6462
    @maswarramadhan6462 2 роки тому

    Uyoo nae amezd mm ndo antii nabeba jumla jumlaaa😂

  • @MOVIEMAX265
    @MOVIEMAX265 4 роки тому +2

    Mashaallah pongezi kwenu kwa kazi bora na nzuri

  • @fatumaamri3743
    @fatumaamri3743 4 роки тому

    Mashallah asante kwa kutukumbusha majukumu yetu

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 4 роки тому +1

    Hayo mazungumzo twayasubiri kwa hamu Sana antiiiiij

  • @fainahhussein5484
    @fainahhussein5484 4 роки тому +1

    Mashaallah ♥️ nimejifunza mengi

  • @fadhilisalum7071
    @fadhilisalum7071 4 роки тому

    Mnachelewesha sanaa mm mpaka niliisahau

  • @haleemaom1193
    @haleemaom1193 2 роки тому

    Kwa kuita mume tuuu hodarii....
    Lkn huduma ziro kwa hyo unaemuita mume...
    Polee mwanamke mwenzetu... kweli upele unampata asiyekuwa na kuchaa

  • @priscalameck8700
    @priscalameck8700 4 роки тому +1

    Mwendelezooo jamani hadi raha

  • @rukiasaid679
    @rukiasaid679 4 роки тому +2

    Antiiii Mme hyooo jinyakulie

  • @zuhurasekei6436
    @zuhurasekei6436 4 роки тому +4

    nzur hatar nilisubili kwaam sana

  • @sharifaabdallah2248
    @sharifaabdallah2248 3 роки тому +1

    Mbon mnazichelewesh kuzitum muendelezo mpak inachush aaa

  • @NnNn-ob5ut
    @NnNn-ob5ut 3 роки тому

    Mwanamke ovyoo kila kitu auntii utaachwa buree

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 3 роки тому

    Subhanna allah , Allah atufanyie wepes niwe mke mwema kwa kumtii mime wang na nipate mue mwema inshaallah 🤲🤲

  • @aishamatangamatangamatanga1344
    @aishamatangamatangamatanga1344 3 роки тому

    Mashaallah namuomba Allah anijaalie niwe mke mwema 🤲🤲

  • @madrasashoptvonline4175
    @madrasashoptvonline4175 4 роки тому +20

    Ishallah Ila sapoti zenu zinahitajika ili kuharakisha itoke haraka

    • @hamzashayo8809
      @hamzashayo8809 4 роки тому

      MADRASA SHOP TV ONLINE naomba unitumie kwa NAMBA hii 0679397722 part one mpaka three

    • @dyjjahsalum7704
      @dyjjahsalum7704 4 роки тому +1

      Mashallah bas tumeni kipnde cha nne naipenda sana mashallah

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 4 роки тому

      Muendelezo ukowapi jmn. Tuwekeeni madrasa shop mstufanyie ivo

    • @abasiyassyatakiwawaigeemfa8236
      @abasiyassyatakiwawaigeemfa8236 4 роки тому

      Inshaallah jtdhdn nanyi twawaposty sana

    • @ummujamali4536
      @ummujamali4536 3 роки тому

      Mmmh yarabii nijaliy mwisho mwem ishaalahh naniwe mke mwema

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 роки тому

    Leteni utamu mapema jamani pamenoga hongereni kazi nzur

  • @joharimloge7976
    @joharimloge7976 4 роки тому +1

    Aisee Masha Allah inafundisha sana

  • @zaynabmohamed3641
    @zaynabmohamed3641 4 роки тому +1

    mashaallah jitahidin kuiwahish inshaallah na allah awafanyie wepes

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 роки тому +1

    Yaaani mmenikonga kuu moyo hongereni sana

  • @siruemuemamito7468
    @siruemuemamito7468 3 роки тому

    Mola nijaalie niwe mke mwema inshallah

  • @fatmaabdallah1756
    @fatmaabdallah1756 4 роки тому +1

    Haijatoka nyengine mana tunasubiri inaendelea vip nimeupenda hatary

  • @عايشهبرندي
    @عايشهبرندي 4 роки тому +3

    Mashallah turikuwa tunayisubiri kwahamu musirudi kucerewesha

    • @abubakaryusuph6555
      @abubakaryusuph6555 4 роки тому

      Sawa in shaa llaah
      Tunataraji dua zenu ili mambo yawe mepes

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Muoe antiy ndio mke bora umevumilia vyakutosha

  • @sameerndekeja4211
    @sameerndekeja4211 4 роки тому +1

    Huyo mdada anaudhi aseee

  • @samicutebby3450
    @samicutebby3450 4 роки тому +1

    Mashaallah...natamani ingekuwa na next part tayari..!

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому

      Soon In Shaa Allah
      Shukran Kwa kutizama❤❤❤

  • @nazomohammed185
    @nazomohammed185 3 роки тому

    Sawa ni antii tu

  • @salafinatanzani2813
    @salafinatanzani2813 3 роки тому +3

    Mm mungu nisaende namweshimu mume wangu kwel kwel

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 3 роки тому +1

    Nilitamani iwe imetafsiriwa kiarabu
    Ili hawawa2 hajuwe. Hamawasikiee
    Lakini Ndoivo... 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢

  • @mwinyitima8032
    @mwinyitima8032 3 роки тому

    Jamani nzuri Sana... Tunaomba part 4

  • @zainabuwahid3147
    @zainabuwahid3147 4 роки тому +1

    Twaomba muendelezo nzur Sana Wallah inamafunzo mazur

  • @adamathuman1772
    @adamathuman1772 4 роки тому +1

    Manshaallah jaman xehem yanne inshaallah

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому +3

    Tatizo mnatuweka sana mnachelewesha hadi tunaisahau

  • @ناجمهحسن
    @ناجمهحسن 3 роки тому

    subhanaallah hii kali

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Рік тому

    Hata pia ukipigwa unaita antii🤣🤣🤣

  • @abdulhamidhaji5056
    @abdulhamidhaji5056 4 роки тому +1

    Dah ! Kuanza tu jamaa amekumbana na mapokezi ya jiko, na antiii

  • @maliamhamdun3115
    @maliamhamdun3115 2 роки тому

    Yarabi nijarie niwe mke mbora kwa mume wang lshalla

  • @dijatysaid3232
    @dijatysaid3232 3 роки тому

    Ivi kuna wanawake wa hivi kweli kabisaaaa

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 роки тому

      Wapo wengi nimeshayashuhudia kwa macho yangu wala usikatae wapo bwana tena wengiii

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 роки тому

      Na ndio maana yakaigizwa ili tujifunze

  • @swalha8456
    @swalha8456 4 роки тому +8

    Dah tume subiri sana kueendela Naomba msi icheleweshe sehem ya 4

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 4 роки тому +1

      Okay Ukhyy Halima
      In Shaa Allah tutafanya hivyo soon part 4 yajaaa

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 2 роки тому

    Subhallah Allah dhoba

  • @anisabakari5298
    @anisabakari5298 4 роки тому

    Manshallah movie nzuri inamafunzo kweli

  • @madrasashoptvonline4175
    @madrasashoptvonline4175 4 роки тому

    Aslm alykm jamani tuweni na subra utakuja muendelezo wa hii ishallah Ila tu utengezaji c kazi rahic hivo musione tunawakwaza malengo yetu no kupatikana muendelezo kwa haraka Ila sisi tunapanga na Allah anajua zaidi kupanga.
    Muhimu duwa zenu
    Tunawajali na tunawathamini

  • @fatmasanze6096
    @fatmasanze6096 4 роки тому

    Ma shaa Allah, igizo lina mafunzo ila mnalichelewesha sanaa muendelezo, kama hyo part ya 2 kuja ya 3 imekaa sanaa hadi watu wamesahau. Pia iongezwe muda, mana part moja mnaweka fupi mno. Ni ushaur wangu tu

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Mwanamke mvivu khatariyy wanawake tuwe na nidhamu jamani mmhh