❤❤❤❤kiukweli hii movie dah unaelezea kbsa uhalisia wa maisha na siku zote mti wa matunda ndio ambao hupondwa mawe siku zote unapofanya wema watu watasema tyu lkn nn Cha kufanya ni kuendelea kufanya tyuoole sana mwalimu mkuu
Mih hapa bado huwa nakesha mtandaoni kufatilia kazi zao 😅😅😅... Kwa hio niwaombeni nyie like hata tano basi... Kwa sababu mih ndo wa kwanza hapa 😢😢😢😢❤❤...
Chukua maua mwalim mgen na team yko ❤❤❤❤❤mwalim mfundishe mwanafunz wko uache wivu 😂😂😂😂😂😂 nasubir tu wala cna haraka japo nataman zipostiwe hata mbili ❤❤❤
Baba joan (mwalim tusuvile) kama ni kucheza kwa hisia umecheza na hisia toka mwanzo wa mchezo mpaka sasa upo vizuri brother mungu ukuongezee na akulinde maana ni wachache sana wanao weza kucheza mchezo na ukawa na hisia halisi
Nawashukirusana is ishiye apa tuu iyendelee mana ipo vizuri Sana na inaelimisha mm mbosso wapemba tupopamoja mpaka kieleweke mpaka mwisha Asante ni kazi chema
bado tuko woteee❤❤❤❤❤❤ ila huwez amini hata mm pia nilishawahi kupitia hii hali wakati nasomeshaga Madrassa😢 inauma zaid yasana adi nikaamua kuacha tu moja kwa moja😩😫😫😩😩😫
@@radhiamohaa3723 ni afadhali hii ni walim kwa walimu but me ilianza kwa Mzazi ikaja kwa Uongozi mzima japo wengine walipuuzia na kuendelea kunisapoti lakin nikaona fitna zinazidi so nikaona bora tu niache kama yale ndio malipo yao kwangu
Mwalimu mgeni Baba Joan Naitwa Haruna aka kaka yao napenda sana kazi zenu Niko nanyi sambamba mimi ninakipaji cha kuigiza ila sijawahi pata nafasi hio 😢 Haruna 🇧🇮Burundian stay South Africa 🇿🇦
Toeni ratiba tujue ni baada ya muda gani mnatoa inayofuta ili wanaowafatilia wasiyonauwezo wa bando wawe wanajua na wanaweka bando wakijua ni muda wa Episode kutoka, siyo Kama hivi kila muda ni kuchungulia chungulia imekuwa kamali..pia ondoa interval kubwa nyie bado wachanga toa haraka iishe mlete nyingine
❤❤❤❤kiukweli hii movie dah unaelezea kbsa uhalisia wa maisha na siku zote mti wa matunda ndio ambao hupondwa mawe siku zote unapofanya wema watu watasema tyu lkn nn Cha kufanya ni kuendelea kufanya tyuoole sana mwalimu mkuu
Jamani tuongezeni muda movi nzuri mwalimu mugeni pole mungu yuko pamoja nawe 😢yapita yote hayo
Ndio Mimi si mtabiri but ukweli Baba Joan na team yako yote you are the next big thing in TZ.. support from Kenya🔥🔥🔥 NAFATILIA SANA📌
Natamani kulike mara 10 ila haiwezekana❤❤❤❤ BABA JOAN hongera na uendelee iviv hatutakufelisha mashabiki🙏🙏
😭😭😭😭😭
Aìna. Shinda. Bat. Mimi. Nikiwamimi. Siwazi. Faya. Ivio. Mimi😢😢
Namuonea mwalimu mgeni uruma😢 lakini nikikumbuka ni maigizo nachema sana😂😂😂
Mih hapa bado huwa nakesha mtandaoni kufatilia kazi zao 😅😅😅... Kwa hio niwaombeni nyie like hata tano basi... Kwa sababu mih ndo wa kwanza hapa 😢😢😢😢❤❤...
Chuma hyo
@@PeterMilanzi-em9jn ndio mbwa mimi 🤣🤣
@@Jaydannychawaboy.Kama unakubali kz zao like na u coment hii comment
e lxxxxxxxxxxxx
🤣🤣🤣...
Chukua maua mwalim mgen na team yko ❤❤❤❤❤mwalim mfundishe mwanafunz wko uache wivu 😂😂😂😂😂😂 nasubir tu wala cna haraka japo nataman zipostiwe hata mbili ❤❤❤
Mmetufundisha kwakweli kama walimu mko vizuri sana
Namuoneya sana huruma mwalimu mgeni😂😂😂 from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
Upo wap
Estamos juntos
Nawapenda sana mda wote nakuja darasani mie apa kutoka usa naombeni likes zenye
Nakuonea sana huruma mwalimu mungeni sio vizuri wanacho fanya walimu wenzio
Napenda kazi nzuri mnayoifanya na huwa nawafwatilia sana😍😍
Baba joan (mwalim tusuvile) kama ni kucheza kwa hisia umecheza na hisia toka mwanzo wa mchezo mpaka sasa upo vizuri brother mungu ukuongezee na akulinde maana ni wachache sana wanao weza kucheza mchezo na ukawa na hisia halisi
Baba joan and the team love you people kwa kipindi safi cha mafunzo ya muhimu❤
Ak hii Kali kazi nzuri❤❤❤ nawatakia kila la heri inshallah ❤❤
Mm leo ni wa Kwanza kutok Burundi
from burundi 🇧🇮 nami mwalimu piya nice movies 🙏
Kazi nzuri sana mkiendelea hivi mtafika mbali❤❤❤
Baba Joan unajua sana na mungu azidi kukupa matrio zaidi Huwa tu furahi sana
Asante
Mwalimu mgeni nitasimama nawe no matter what
Much love from Kenya
A lesson well learnt. Thank you baba Joan and the entire team.
Nawashukirusana is ishiye apa tuu iyendelee mana ipo vizuri Sana na inaelimisha mm mbosso wapemba tupopamoja mpaka kieleweke mpaka mwisha Asante ni kazi chema
Nataka like kutoka Kenya tunaona mwalimu mgeni💯💯💯🔥🔥🔥✅✅
Tunalike pia huku
Mwalimu mgeni tunakupenda sana huku Rwanda
Baba joan next level appreciate you from hapahapa kwetu Tanzania big up sana talented
Nawafuatilia Sana mniko🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sawa tumekusikiya usijali baba tukohpa nawewe😂😂😂😂
Dah. Wallah ata cjutiii kueka gb 15 kwa ajili ya hii series kwakwel so creative babajoan 💪✌️❤
😂😂
Kazi nzuri jamani I love this movie from South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
IPO sawa lakin mwalimu kipara kutoka mwanzo alikuwa hajashiri mbona lakin ipo sawa nawakubali Sana jitahidini
Mchezo mzuri ila hizi nyimbo ndani zaki south Africa sitakuja kutucost
Mwalim mngeni jameni pole sana baba 😢😢😢♥️♥️♥️frome kenya
Wow amazing serie 🎉❤from TURKEY 🇹🇷
❤🎉😢😮😅😊
Pona pona yako,, mbaka unifundishe 😂😂😂😂😂 kumbavu weww 😅😅😅😅😅.... all the way from UAE am following it.....tamu kweli ❤❤❤❤
Baba karobo napenda video zake kabisa ,,natumai wakenya wenzangu nao watazifatilia zaidi
Cheusi mangala limemkuta jambo😂😂😂😂😂😂
Love from Kigali Rwanda 🇷🇼
Kazi zuri baba joan nakitazama kila wakati
Hongera move nzuri sana big up mwalimu mgeni
Mwalimu mgeni ameaga kwao bhileke bhigende ibhindi bhiloza,KGM 1
Pole sana baba joan kuna muda natoa machozi namimi😢😢
We kibonge unaambiwa husikii mbona lohombaya achana na mwalim mgeni maana hutowezana naye ONA Sasa yamekukuta
Kiukweli Kuna mbinu nyingi za kusomesha ila fitna katika kazi IPo sana na ndio tunaona hapo fitina iliyofanyika zaidi ya mwaalim mgeni
bado tuko woteee❤❤❤❤❤❤ ila huwez amini hata mm pia nilishawahi kupitia hii hali wakati nasomeshaga Madrassa😢 inauma zaid yasana adi nikaamua kuacha tu moja kwa moja😩😫😫😩😩😫
Doh pole ndmana ukajiita trust no body
Pole sana dada kwamana nimtihani kwakweli
Pole sana inauma kweli 😢😢😢😢
@@neemamkuchu ah we acha tu, man mtu kanikabidh mtoto mwenyew na anasom vixur tu, ila mwisho wasiku kaja kunitukan mbel ya waalim wote
@@radhiamohaa3723 ni afadhali hii ni walim kwa walimu but me ilianza kwa Mzazi ikaja kwa Uongozi mzima japo wengine walipuuzia na kuendelea kunisapoti
lakin nikaona fitna zinazidi so nikaona bora tu niache kama yale ndio malipo yao kwangu
Nipeni like zangu wenzangu wakenya
Wanamzigishiya walaaataakufanya. Ivo😢😢😢😢😢
Leo mimi wa kwanza❤❤
Much love jmn from Burundi 🇧🇮 ❤❤
Jamani ongezeni muda kabisa hiyi movie mzuri munooo ila shida muda mdogo
Uko vizuli kaka ubaguzi wameanza wao da uko vizuli sanaaaa 👏👏👏👏
Wesley kutoka Kericho
Kazi mzuri kwenu
Mi wamwisho nalomba like
Uchawi ni mbaya sana mwalimu umepata kichapo chako😜😜. Hongera sana baba Joan kazi nzuri
Mnafanya Kazi Nzuri Sana Team NZIMA YA #MWALIMU_MGENI CONGRATS
❤❤❤❤
Alafu nibasi ni Movie ila Mwali mchawi mbna kafanana mtu mweny roho mbaya iyo nafasi imeanza kumfanan anapacheza poa saaana ❤hongereni
Mwalimu mgeni hanabaya
Mwalimu mgeni Baba Joan Naitwa Haruna aka kaka yao napenda sana kazi zenu Niko nanyi sambamba mimi ninakipaji cha kuigiza ila sijawahi pata nafasi hio 😢 Haruna 🇧🇮Burundian stay South Africa 🇿🇦
mwakimu magesa you are so funny
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI.MWALIMU NGENI ongela Sana
Mwalimu mgeni your so funny
Uyu bonge kanyakanyanga kwa mwalimu mgeni ila pore mwalimu mgeni 😢yatapita tu nakupenda bure unajua san ❤️❤️
So much amazing big up mwalimu mgeni na team yako Heko kwa kazi njema Mungu akupinganie 👏👏👏👏👏
Nampenda huyu demu 😂😂
Ebhna iii ngom iko poa sana.emb fanya iwe inapatkan bac Kwa wakat. Icwe inachelew sana wat tnaiftilia
Kaži safi sana,,,,,Tena hongera😂😂😂
Asante
Kazi nzuri sana
Love from kenya❤😂🎉
Alaa😂Best friend untill mwisho😅
Bab Joan na timu yak mnafanya kaz nzuriii honger
Asante
Pamoja San
Naomba utulushie ya 9 na 10 nipo Moçambique naipenda Sana
😂😂😂😂😂humuezi mwalimu mgeni wewe 😂😂😂
Much love from Kenya mambrui sand dunes❤
Love from Kenya
Mwlim ntunsubhile bhileke bhigende ibhindi bhiloza nakubal sana tuko pamoja mwnzo mwisho
Nafuatilia kutoka kenya
Kazi nzuri
Musiwe mwakaa sana jmny napenda sana kazi zenu ❤
Hewaaa
Much love from kenya🔥🔥🔥❤️
❤more love from kenya nxt plz
Jamani hii movie Fanyeni kuitoa kwa haraka maana najifunza vi2 vingi kweli❤❤❤❤❤
Maskini mwalimu mgeni anasikitiaha kweli
Hongeren kwa mafunzo yenu Mungu awongeze maarifa zaid
Jmn uyu madam mvaa nguo za mitego anapatikana wap?😂😂😂
H0ngera mwalimu mgeni kwa moyo mkunjufu❤❤❤❤❤❤❤❤
Kula chuma hyo
Nimeamini ukiigia katika kazi kweli majaribu kama haya hutokea chukizisizo na ukweli inauma sana unachukiwa na watu bila sabab nihusd tu za waja
First of all, give me my likes today
Ila sio sawa, Mwalimu yupo ktk kipindi ,alafu hata humuombi, au ungeacha Mwalimu amalize kipindi kwanza.
Kazi nzur San
Nakubar san
Mm wa 15 leo
Wow amazing series ❤️❤️❤️
Pole mwalimu mgeni kwa yote yaliyo kupata😢😢😢😢😢😢😢
Nimeipenda jamni bureee
Leo mm wa kwanza
Mwalim mgeni pole sanaaaa Kwa yote yaliotokea Anna kutoka mbeya
Mko vizur lkin mnachelewesha sanaa
Jaman kwann mwalimu mgeni lakin kila siku inauma sana ety 🙏🙏
Unatisha baba Joan.
Mwalimu mgeni anatia uruma sana adi natamani kulia, nume wangu ana niambia ingizo😅😅😅😅
Mwalimu mgeni anajua sana sana
Toeni ratiba tujue ni baada ya muda gani mnatoa inayofuta ili wanaowafatilia wasiyonauwezo wa bando wawe wanajua na wanaweka bando wakijua ni muda wa Episode kutoka, siyo Kama hivi kila muda ni kuchungulia chungulia imekuwa kamali..pia ondoa interval kubwa nyie bado wachanga toa haraka iishe mlete nyingine
Ila huyu mwalimu chibonge kwakweli ni mbaya wa umbo sura tabia cheusi mangaraa 😂😂😂😂