Mashaallah tabaraka Allah kwa kweli nimesikia furaha ndani ya moyo wangu kwa hii movie na huyo dadangu mkubwa waliofiliwa na marehemu mama Allah awape afya na swiha njema yaraab ewe mola nijaalie mke mwema km huyo binti ❤
Mombasa na Zenji haina tofauti hata lafudhi zao zinaendana japo sio zote... na lafudhi za Kipemba na Wagunya Lamu na Visiwani kama Mwana Mjomba na Shangazi🤗🤗 hata Utamaduni wao.. sote ni wamoja
Mashallah movie mzuri. Namuona rafki yangu ambae sikutarajia kumuona tulosoma nae Madrassatul ikhlas Gongoni.
Muhammad Awadh
MashaAllah nimevutwa na alivyo soma Quran yule binti 👌
Mashaallah kumbe kenya twaeza alhmdllh, yaani movie nzuri ina mafunzo mazuri
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🇰🇪
Watu wa Mombasa yani kipindi kizuri na sauti kuntu
Asante ni sana kwa kutuleteya moves yenyemadili mazuri sana ishallah Allah atawalipa kheri nyingi
Maasha allah watu wanyumbani mwa Fanya vizuri sana,allah Ajalie kheri tufikishe ujumbe na tuelimishe jamii.
Shukran dua zako
@@tamthiliazapwaniofficial4361 ALLAHUMMA AAMIIN.
@@HABIBULLAH-nd9ft asalama,alaikum
Ma sha Allah ongereni kbs nimependa movie pia Allah awahifadhi kenye mombasa mko vyema nikiangalia nikiwa saudia
Mashallah movie nzuri sana tena yenye mafundisho.hongereni wahusika.sichoki kuitazama
Mashaallah tabaraka Allah kwa kweli nimesikia furaha ndani ya moyo wangu kwa hii movie na huyo dadangu mkubwa waliofiliwa na marehemu mama Allah awape afya na swiha njema yaraab ewe mola nijaalie mke mwema km huyo binti ❤
Mombasa na Zenji haina tofauti hata lafudhi zao zinaendana japo sio zote... na lafudhi za Kipemba na Wagunya Lamu na Visiwani kama Mwana Mjomba na Shangazi🤗🤗 hata Utamaduni wao.. sote ni wamoja
Swadaqta
Swadaqta
Asante
Ilo halina kipingamizi
Allah awaongoze
❤mashaallah 🤝
Mashaallah movie nzuri ya mafunzo namuona ustadha wangu hapa
MASHAA ALLAH sichok kuangalia hii movie naipend sana,shukran kwa mafundisho mema Allah atujaalie watot weny adabu na utii ktk dini
Shukran
Maashaalah
Napenda sana hii movie leo nikama mara ya kumi kuiingalia🤗🤗🤗😍😍😘😘
Shukran
Karibu mombasa iko juu kutokana na nyinyi
MashaALLAH iko na mafundisho.keep it up
Hii ni kwl jaman tunapaswa tuuangalie ktk maisha ya badae
Mashallah movie nzuri na ziwe kwa wingi kwa ajili zatupa funzo mashallah
Mashallah mungu awaongoze na kheri na movie nzuri
Ma shaa Allah, move nzuri mpaka raha. Allah awalipe kheri
Shukraan wa Afuan
wallah mwili wangu wansisimka innigusa kula mahala hii movie mashallah
Shukraan
Masha Allah hizo ndo movies za kuangalia jaman waislam wenzangu
Kweli kabisa
Maashallah muvi nzuri na yenye mafunzo hongeleni
Asante sana
Kweli kabisa
Mashallah nami pia nimeipenda Kila mmoja alikaa vizur kwenye nafac yake,ukimuangalia zuwena daah ,hongeren Sana mmeleta mafunzo hasa ktk family
Shukran
Vp Kuna tamthiliya nyingine Zaid hii na jila lake n lipi
@@salamaawadhi6969 ipo inaitwa masaibu ipo hapa hapa kwenye chanel hini
@@tamthiliazapwaniofficial4361 shukran ngoja niangalie manake nazipenda sana
@@salamaawadhi6969 in shaa Allaah usisahau kushare hii link
Dah hii movie jamani niwangapi bado mwata zama hii 2023
Inamafunzo ndio twaipenda
Akika inamafundiaho Allah awaifadh
masha Allah duu wakwetu kabisa nimesikia hio kongowea yani duu mungu awaogeze kipaji
Ameen
Movie nzuri sana, bora kuwe na movie za maadili ili watu kuzuilika kuangalia ziso maadili
We need more movies like dis May Allah guide u all through the right path...#001
Ameen dua zako tupate wadhamini tuweze kufanya kazi nyingi zaidi. hela ndio tatizo
Mm nashangaa au wa upande wa pili
@@tamthiliazapwaniofficial4361 mashallah😚😚😭😭
Mashallah allah awalipe kwaiyi filam ninzuri sanaa mashallah
It’s nice but the problem is I understand little 😢
Mansh.Allah tabarakallah Kenya mko juu
Iam from somali mashallh i like you for the seek of Allah
Shukran
Mi naona Zubeda uko fiti.
Kwani pia mama kachangia kumbadilisha moyo.
Wazazi tujaribu kutafta maneno ya kuwajenga watoto wahisi wote wanapendwa.
Mashaallah baaraka llahu fiikum Allah atuongoze ktk njiia ya kheri
Mashallah movie nzuri shukurani nimeipenda😍😍
hamissi furaha manshallah
MashaAllah yarabii twakuomba tuongozee vizazi vyetu wawe kama hussein
Allaahumma twaomba sapot yk kuendelea kushare hii link kwa kusubcribe
Tanzania Hatawa wa
She get nice voice of yasin mashaallah
Manshaallah Jazzakumullallah❤❤❤
MashaAllah Allah atuongoze kwenye njia yake ilio sawa
Allahumma amiyn
Mashaa Allah may Allah Grant all of us janatul firdauz
اللہم آمين
Masha ALLAH hili move inafundisha tusiwe na thulma
Mashaallah mungu awazidishie neema🙏🙏🙏
Inamafunzo mazuri sana kabisa mansh allah
Mungu akuzidishieni zaidi nazaid kuielimisha jamii yakiislam na wasio waislam wajifunz
Mashaallah, Allah akulipen mema Inshaallah
Mashallahhh tamthilia ni nzuri sanaaa
Machaallah
Ma Sha Allah tabaraka al rahmaan Raheem
Mashaallah Allah awaongoze muongozo mwema inshaallah
Manshaalah , Mwendelezo bãsï baada ya Hussein kufuzu masomoni .
Hii kmbe hjaona bdo aliwasamehe wote ndo ikawa mwisho wa mchezo
Jazzallah kheir, ❤❤
Ma Sha Allah munaweza ila Zubeda wakati wa kutupikia vishethe uko fiti na kukaanga sumu pia huachwi nyuma#from Bahrain munatambulika🔥💯
Asalama alaikum
Mashaa Allah the best movie I ever watched
Shukran
@@tamthiliazapwaniofficial4361 p
Jazakumullah khayr
mashaallah
Ma shaa Allah nice movie
Shukran sister khadija Said
MashaAllah TabarakkaAllah jazzakkamullahu kheir
Maashaallh mungu awahifadhi thamsiliy imenivutiy
Ameen
Hujambo
Maashaallah kwa movie nzur ❤❤❤
*Asie mpenda ndugu yake anae muona hawezi kumpenda mungu asie muona*
Masha llah 🥰🥰🥰🥰🥰👌
Man'shallah I from kongo DRC I like this movie
Thanks
Mashallah Allah awazidishie vipaji ndug zangu
❤
Mashaallah
Nilipo kua mdhrsah thaufiki
Maashaallah vizuri sana allah awalipe❤
Maashaallah
mashaaalah nimependa sanaaaa
Mashallah Kenya nyinyi kweli mpojuuu sanaa
Wadau wangu vp apo naombeni like zenu🎉🎉🎉🎉
Mashaalh
ma sha Allah nice Movie
Shukran
Maasha Allah
Mashallah
Asalama,alaikum
Mashallah nice movie
I like this video
Mansh allah
Shukran
Masha Allah muvi nzuri
Ma sha Allah
Ahsante
Tnx
Mashal ❤️❤️❤️❤️❤️
Mashallh mmejitaid sana
Shukran Dua zako
Mashallah movie nzuri sana
Mashallah nzuri mno msibadili stair yenu.
mashaallah movie nzr
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰
Hii movie huwa yaniliza na c choki kuiangalia maskini hussein 😭😭😭😭😭😭😭😭
Mashallah movie nzuri sana,napenda sana kiswahili chenu
Nurul yaqin wallahy
mashallah jaman hii filmu imeictiwa Mombasa kenya
Ndio mombasa kenya
Mashallah arhadulilah
Maashaalah
Allah may bless you (AMIIN).
Mshallh
Nawapenda sana watoto suafi awa natamani nimuoe mmja
Ally_one Tv In shaa Allaaah utawaona siku moja
Mash Allah
Mashaallah.
Team musa athman
mashaallwah
MashaAllah movie ina mafunzo
Mungu awa zidi jamani
Shukran
Movie zuri Asante
Rebecca Senga Shukran
🙏🙏inafundisha vizuri
allahu akbar allahu bariki
Duuh mov nzuri
مشاءالله😍
Shukran kwetu sote
Masha Allah my bro
Aki hii movie ni nzuri sana
Mashaallah
umependeza sana na mavazi yenu