Naipenda Imani yangu Katoliki sanaa. Asante kwa wimbo huu wa moyo Mtakatifu wa Yesu, Naukumbuka kwenye kuabudu, hasa hasa baraka ya kuabudu Sakramenti ya Ekaristi takatifu.
Kwakweli Mungu ni Mkubwa, katika uwezo anaowajalia watumishi wake...wimbo huu unainua nyoyo kwa Mungu katika tafakari tulivu, wimbo unaleta amani, furaha na upendo kwa jirani na kwa mtu binafsi...mtunzi ubarikiwe sana...😊😊😊
daa asee Asante sana kwa wimbo huu, hakika nimeutafuta kwa mufa mlefu sana Zaid ya miaka 2, maana nilikuwa cujui jina lake, lakn Leo mwez wa6 2022 nmesearch lahayo baht nzr nimeupata. wimbo huu uko na baraka ndani yake, na muimbji abarikiwe🙏🙏🙏
Kwa kweli wimbo huu ni wa zamani kidogo, lakini niliutafuta sana nikikumbuka enzi hizo, tukiimba wakati wa kuabudu Sacrament Takatifu... Hakuna unanisogeza karibu kwa Mungu..! Mungu Awabariki enyi Waimbaji
Wana Moyo mtakatifu Wa Yesu tujuane hapa,......😍😍
Naipenda Imani yangu Katoliki sanaa. Asante kwa wimbo huu wa moyo Mtakatifu wa Yesu, Naukumbuka kwenye kuabudu, hasa hasa baraka ya kuabudu Sakramenti ya Ekaristi takatifu.
Amina
Huu wimbo nikimkumbuka marehemu mama yangu alikua anapenda kuuimba zaidi alivyokua mgonjwa kitandani pumzika kwa amani mama ...👏
Pole sana sana ih nyimbo ikichezwa mahali lzma pawe na kilio😥😥
pole mungu akukumbushe kumuombea misa
wimbo mzuri sana huu!! nimeupenda kwa kweli!!!! nimeupenda sana jmn kama umeupenda pia like tujuane
Tumshukuru Mungu pamoja kwakupitia nyimbo hizi
hakika wimbo umenibariki sana
Wimbo unanibariki mno amani tele
Kwakweli Mungu ni Mkubwa, katika uwezo anaowajalia watumishi wake...wimbo huu unainua nyoyo kwa Mungu katika tafakari tulivu, wimbo unaleta amani, furaha na upendo kwa jirani na kwa mtu binafsi...mtunzi ubarikiwe sana...😊😊😊
Amina
daa asee Asante sana kwa wimbo huu, hakika nimeutafuta kwa mufa mlefu sana Zaid ya miaka 2, maana nilikuwa cujui jina lake, lakn Leo mwez wa6 2022 nmesearch lahayo baht nzr nimeupata. wimbo huu uko na baraka ndani yake, na muimbji abarikiwe🙏🙏🙏
Amina
Nimefurah xana kusikia inaniweka karbu sana na uwepo wa mungu
Hongera mtu wa amungu tuendelee kumsifu na kumwabubudu Mungu wetu
Nyimbo nzuri zinaonesha uwepo wa Mungu kwa njia ya fumbo la ajabu. Mungu akubariki sana.
Kwa kweli wimbo huu ni wa zamani kidogo, lakini niliutafuta sana nikikumbuka enzi hizo, tukiimba wakati wa kuabudu Sacrament Takatifu... Hakuna unanisogeza karibu kwa Mungu..! Mungu Awabariki enyi Waimbaji
Amina
Asante mtunzi wimbo unanikumbusha mbali sana enzi ya utoto wangu
Amina
Amen, nice songs of catholic church may God bless all catholic people and increase their faith
Ameen
Amina
Yesu nataka nikupende nihabudu milele touch me more,more you less me touch all the world Thank you
Kwa kweli wimbo huu unanifanya nizame ktk roho na kuonja pendo la Yesu. Nakupa moyo wangu wote without reserve. I love you Jesus.
Amina Tumshukuru Mungu Anayetujalia haya yote nakushukuru pia kwa kuwa karibu na chanel yetu hii
Kongole kwa mpiga kinanda
Wimbo mzuri sana Mungu atubariki kupitia wimbo huuu
Sifa kwake Mungu wetu
Amina nyimbo inakumbusha uwepo wa mungu
Tumshukuru Mungu
This has always been my favourite song ... ahsante kaka John Maja, Mungu akubariki
Thanks for the nice so it's so meditatetive and nourished our soul thanks dear Jesus for ur love continue guide and protect me dear lord
Kazi nzuri
Kila navoimba na kusikiliza namkumbuka marehemu mama yangu..alikuwa mkatoliki hasa tena asiyeyumba R.I.P mama
Apumzoke kwa Amani Mama yetu
@@JohnMaja AMINA
Nyimbo za kikatoliki ck zote zinanibarki na kunirudishia amani inayokuwa imepotea kwa muda huo mbarikiwe sana
Amina dada maria tunakushukuru kwakutuangalia na kutusikiliza
Yesu waniita
Nakupata vzr ndugu unanikumbusha kinanda chako nadhifu ndani ya magomeni
Ooh Mungu mwema nakushukuru kwa kuiangalia chanel hii Mungu akubariki
Wimbo huu ni unanigusa saana moyo wangu
Nice song
Amen
Ibiika Kwezi Safi Sana John kwanyimbo nzuri Sana
Amen
Goo song
🙏🙏🙏💕🙏
Wooow
Amina
🙏🙏🙏
Amina
🎉