Sina Wa Kutegemea - Essence Of Worship FT Boaz Danken

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025
  • Zaburi 20:7 Hawa wanataja magari na hawa farasi, Bali sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu. Some trust in chariots, and some in horses: but we will remember the name of the LORD our God.

КОМЕНТАРІ • 347

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 Рік тому +131

    Wao wakitaja magari sie tunataja Mungu hallelujah nani anae kubali kuwa hawa miamba wakiimba wimbo wa pamoja nguvu za Mungu zinaonekana nione like Moja hapa

  • @damarisokili1100
    @damarisokili1100 Рік тому +52

    Kenyans 🇰🇪 fikeni huku tugonge likes,bwana ni nuru yetu tumuogope nani??

  • @devisbrown1290
    @devisbrown1290 Рік тому +69

    To anybody who's reading this, i pray that whatever is hurting you or whatever you are constantly stressing about gets better: May the dark thoughts, the overthinking, and the doubts exit your mind right now. May clarity replace confusion. May peace and calmness fill your life.
    Amen🙏🏾🙏🏾

  • @thomaslukubi7299
    @thomaslukubi7299 10 місяців тому +5

    wengine wanataja baba zao,wajomba zao,nguvu zao ila sisi tunalitaja jina la Bwana

  • @jaynembondo1851
    @jaynembondo1851 10 місяців тому +1

    This song is truly my life story.....Ever dependable God

  • @MinilaPia
    @MinilaPia Рік тому +3

    Hakika najivunia Yesu wangu.ndiye namtegemea

  • @philipkarisa3743
    @philipkarisa3743 Рік тому +7

    Sina wa kutegemea ila wewe Mungu wetu.pokea sifa na utukufu🙌🙌🙌

  • @MinilaPia
    @MinilaPia Рік тому +3

    Huu wimbo umeniongezea ujasiri na uhodari wa rohoni.Nikaze zaidi kumtumikia Yesu kwa Ujasir

  • @jonathankamau3885
    @jonathankamau3885 Рік тому +23

    I have no other argument I have no other plea. My hope and trust is in Jesus.
    Love from Kenya🇰🇪

  • @jamesshammah1454
    @jamesshammah1454 Рік тому +18

    Ayayayaah😭😭Uwepo Uko Hapa🙌🙌🙏🙏...my GOD,wakitaja vitu vyao vidogo vidogo MIMI Nalitaja Jina YESU🇰🇪🇰🇪🇰🇪Baraka Watumishi 🙏🙏.Pokeani Upendo wangu wa Kristo💕💕💕🙏🙏

  • @mwangyfrank4109
    @mwangyfrank4109 7 місяців тому +5

    Who listens to this song every morning before you start the day?This song is my favourite Na huwa inanibariki Sana.God bless you Essence of Worship Team Na Pastor Boaz Danken 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dianaakinyi6833
    @dianaakinyi6833 Рік тому +8

    I feel like this song should have been longer ….. indeed hatuna mwingine wa kutegemea Ila Yesu Kristo 💃🏾🎉🎊🥳🥰❤️🙌🏾

  • @lemayianleyian2883
    @lemayianleyian2883 Рік тому +10

    Brother Gwamaka and the entire essence team
    1. Good song
    2. Nice lyrics.
    3. Super arrangement
    4. The song really vybed with Apostle Boaz Danken...aliutendea wimbo huu haki(...tugari tutatu...na tuvitu kidogo kidogo)
    GLORY TO JESUS. I love you, Kenya loves you and we are always praying for you guys.

  • @oscarmudachi1128
    @oscarmudachi1128 10 місяців тому +1

    Nakutegemea wewe Mungu Kweli wewe ni tegemeo Kuu katika Maisha yangu.

  • @djjude254
    @djjude254 11 місяців тому +2

    Siku wahi kufikiri Nita jipata Niki tamka maneno haya kuwa sina wakutegemea Bali wewe yesu

  • @oscarmudachi1128
    @oscarmudachi1128 10 місяців тому +1

    Pokea utukufu na adhama Mungu uliye Mtakatifu katika Enzi Yako.

  • @chungabrand9838
    @chungabrand9838 Рік тому +2

    Sina cha kutegemea Ila Jina la Yesu

  • @JackySt-c9h
    @JackySt-c9h Місяць тому +1

    Sina wakutegea mm ila bwana ....Hallelujah 🎉

  • @SecheJaphet
    @SecheJaphet Рік тому +2

    muinulie watumish wa Bwan kwel wimbo unabariki na kutia moyo sana , kwel YESU anawatu

  • @LoiceRiziki
    @LoiceRiziki 9 місяців тому +4

    💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾🥰💐💐💐💐💐💐 Nguvu ya MUNGU iko hapa kweli,sina wa kutengemiya ila wewe Yesu hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @faithibari1992
    @faithibari1992 Рік тому +4

    Yesu pekee wakutegemea. Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @christinemwandiki4197
    @christinemwandiki4197 2 місяці тому +2

    Nakutegemea TU wewe yesu sina mwingine

  • @LydiaMuthoki-bz2xg
    @LydiaMuthoki-bz2xg Рік тому +1

    Sina wa kutegemea ni yesu following from Kenya 🇰🇪 God bless you ministers

  • @faithwangari5523
    @faithwangari5523 Рік тому +26

    Powerful declaration 🙌 the Lord is my light and my salvation...I shall fear no one 💯Sina wa kutegemea ila wewe Bwana 🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jaynembondo1851
    @jaynembondo1851 10 місяців тому

    Bwana ni nuru yangu nimwogope nani

  • @valaryaseyo1702
    @valaryaseyo1702 Рік тому +8

    What a powerful song.
    Some trust in horses
    Some trust in chariots.
    But we will trust the name of the Lord.

  • @evagatheru2809
    @evagatheru2809 Рік тому +3

    Muujiza wangu ni wewe Mungu. Nibariki na pesa nijenge muthaiga nyumba Asante sana Yesu

  • @LusiaJohnSanga
    @LusiaJohnSanga 2 місяці тому

    Jamani huu wimbo ninaufurahia sana.maisha yangu yote ❤ Yesu

  • @HezbonBakiliye-cx6cj
    @HezbonBakiliye-cx6cj Рік тому +1

    Yesu kwangu ni rafiki msaada upatikanao wakati wa mateso.. sina mwingine ila Mungu pekee

  • @dannienimrod8713
    @dannienimrod8713 Рік тому +2

    Hakika sina wa kutegemea ila YESU mwana wa MUNGU!
    The solid bass line and the young drummer's skills wananifanya nasmile tu hovyohovyo 😊

  • @helenmshana6225
    @helenmshana6225 Рік тому +3

    Haleluya Haleluya! Hakika ni baraka kukutegemea Yesu Kristo uliye hai. Utukufu kwa Mungu! Mungu awabariki sana Essence of Worship na Boaz Danken

  • @israeljacobshadrack2786
    @israeljacobshadrack2786 Рік тому

    Sure sina wa kumtegemea zaidi ya Yesu. Natamani kumfaham zaidi, yaani ivi vitu vya duniani kumbe havina msaada katika maisha ya mwanadamu

  • @everlynwanjiku6320
    @everlynwanjiku6320 Рік тому +1

    We have a Name brethren,that at the mention of that name, everything must bow, may it be sickness and diseases,lack and want, financial stress , family struggles, joblessness etc.
    We have a name !! He owns everything,lets trust in HIM COMPLETELY

  • @kiremah
    @kiremah Рік тому +12

    Your sound technician does it so well, lighting is good, vocals are on point too, instrumentalists 👏 👏 👏

  • @FloridaKatutu-wd7se
    @FloridaKatutu-wd7se 7 місяців тому +1

    Nguvu zangu ni Wewe
    Uwezo wangu ni wewe 🙌

  • @pendomangi8400
    @pendomangi8400 Рік тому +2

    Hakuna WA kumtegemea ila Mungu tu. Wimbo mzuri sana Mungu azidi kuwainua

  • @nelithamimwani4516
    @nelithamimwani4516 Рік тому +1

    Hakika hakuna kama MUNGU wa mbinguni ni mwaminifu sana sina wa kumtegemea ila wewe YESU🙏

  • @mercykhanyeleli2715
    @mercykhanyeleli2715 10 місяців тому +1

    22/03/2024 replaying this music in my mind!! Very anointing,.

  • @stellamrema5303
    @stellamrema5303 Рік тому +5

    Namshukuru Mungu kwakuwepo kwenye Ibadan hiii aiseee nguvu iliyo kwenye hiii Nyimbo ❤❤

  • @NeemaTem2020
    @NeemaTem2020 6 місяців тому

    Wao wakitaja magari, geisha, nyumba, watoto sisi tunalitaja jina lako Yesu......... Sina wa kutegemea Ila wewe Yesu

  • @mosetisamwel764
    @mosetisamwel764 Рік тому +3

    🎤🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nguvu za waebrania zinatoka kwa YESU Kristo

  • @LusiaJohnSanga
    @LusiaJohnSanga 2 місяці тому

    Sina wakutegememea jamani maisha yangu yote❤❤❤❤❤

  • @JESUS354
    @JESUS354 2 місяці тому

    Hakika, nguvu zangu ni WEWE MUNGU tuu,nikutegemeaye❤❤:

  • @ponsiananombo9423
    @ponsiananombo9423 Рік тому

    Mtumishi gwamaka Mtumishi boaz mkimba pamoja kunanguvu yamungu inashuka kwanguvu uwepo waMungu unatawala Mungu awabariki sana sana

  • @MariamAthumani-pk8ye
    @MariamAthumani-pk8ye 8 місяців тому +1

    Sina wa kumtengemea bila wewe yesu wangu nakupenda sana 🎉🎉❤

  • @sallymumbi7300
    @sallymumbi7300 Рік тому +1

    Kwa kweli sina wa kumtegemea ila wewe yesu. Heqrd this song yesterday and it ministered to me in a very personal way.
    Mbarkiwe Essense of worship na Boaz Danken

  • @kimandoluArusha
    @kimandoluArusha 10 місяців тому +1

    Mbarikiwe Mimi Johnhope drummer👍👍👍👍👍😂😂😂😂

  • @peaceshamah4509
    @peaceshamah4509 Рік тому +1

    Nakutegemea wewe yesu🙏
    Oooww l trust in you Yeshua 😭😭 you are my ability,my strength,my hope...
    My refuge and fortress

  • @MariamFrance-fl2jf
    @MariamFrance-fl2jf 2 місяці тому

    Sin wa kutetemeka ila nakutegemea wew mungu wangu na sto kuacha daima na wew hutoniacha

  • @boniphacegospel6764
    @boniphacegospel6764 Рік тому

    Hakika hatuna wa kumtegemea ila ni YESU pekeake aliyetufia msalabani na akayachukua masikitiko yetu.🙏🙏🙏🙏

  • @onjalaakinyi6865
    @onjalaakinyi6865 2 місяці тому

    It is from you God that i draw my strength. Sina wa kutegemea ila ni wewe. Hallelujah

  • @donking-d4t
    @donking-d4t 3 місяці тому

    Asante Mungu wangu kwa ajili ya watumwa wako wanaokuimbia

  • @anethphilbert229
    @anethphilbert229 Рік тому

    Huu Wimborne una nguvu saana, umeniinua na kunikumbusha kuwa YESU ni kila kitu.mbarikiwe saana..

  • @liznjambi4089
    @liznjambi4089 3 місяці тому

    Yani Niko katika Hali ngumu....huu wimbo umenibariki...na kunifariji...mungu abariki mtunzi was huu wimbo

  • @MALAHOCLARICE-zt2xv
    @MALAHOCLARICE-zt2xv 8 місяців тому +1

    The kind of Annointing that this song carries is forever

  • @catherinekarigaca1469
    @catherinekarigaca1469 4 місяці тому

    Nimebarikiwa na huu wimbo, Sina wa kutegemea ila Yesu 🙏🏽

  • @DanielDaudi-m4c
    @DanielDaudi-m4c 3 місяці тому

    Ni kweli hatuna wa kutegemea zaidi ya huyu yesu mwokozi Rafiki wa kweli nyakati zote.

  • @darlingqueendee3822
    @darlingqueendee3822 2 місяці тому +1

    Ninategemea yesu pekee

  • @Jambi254
    @Jambi254 Рік тому +2

    Wanataja vitu vidogo tu lakini mimi namtaja Yesu'🙏🙏

  • @eddiemwamfupe
    @eddiemwamfupe Рік тому +8

    The right song at the right time!! Asante Yesu

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 9 місяців тому +3

    My trust is in you oh my LORD❤

  • @stellamrema5303
    @stellamrema5303 6 місяців тому

    Sina wakutegemea kwenye chochote zaidi Ya kukutegemea wewe Yesu 😭😭 Nguvu zangu niwewe chochote kile kwenye Maisha yangu ni wewe😭😭😭

  • @dinakyoma5977
    @dinakyoma5977 Рік тому +1

    Tuvitu tudogo tudogo ... Ooh hakika , tunalitaja Jina la Bwana

  • @anneopondo-ru4vp
    @anneopondo-ru4vp 9 місяців тому +2

    Sina WA kutegemea ila wewe Yesu🙏🙏🙏

  • @shalomnyakundi5946
    @shalomnyakundi5946 Рік тому +3

    Am the 2cond

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 3 місяці тому

    Wimbo huu unaponya sanaaa mwezi wa 10 huu napata nguvu na huu wimbo....

  • @voliansifuna5050
    @voliansifuna5050 Рік тому +2

    Huuuu,,Eeeish sina wa kutegemea ila wewe Yesu😢😢

  • @LucianaKitonga
    @LucianaKitonga 4 місяці тому

    AMEN🙏Sina wakutegemea Ila wewe YESU🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @rachelbrighton511
    @rachelbrighton511 Рік тому +6

    Waooooh naisubiri Sana NAAMINI maisha yangu yatahudumiwa kwa namna ya kipekee na nitamuamini MUNGU kwa viwango vya juu Sana 🙌🙇🙌

  • @EliwanjeryYona
    @EliwanjeryYona Рік тому

    MUNGU azidi kuwainua Sana kwa Kaz yenu nzur tunabarikiwa na kupokea Aman katika BWANA YESU

  • @annengige7022
    @annengige7022 Рік тому

    Sina wa kutegemea Ila wewe Yesu, muujiza wangu ni wewe Kristo. Imani yangu ipo kwako

  • @SarahNamukama-xn7et
    @SarahNamukama-xn7et Рік тому

    Wana taja ma gari, Wana taja farasi, wana taja pesa… Lakini sisi ni YESU Christo yeye nguvu yetu uwezo wetu tegemeo letu 🔥

  • @ndindinzioka9430
    @ndindinzioka9430 Місяць тому

    ❤❤much love from kenya. Hallelujah to the heavens to Jesus

  • @hellenombonya9427
    @hellenombonya9427 Рік тому +4

    Blessed is the man that puts his trust in God.
    This is the word of God!🎉🎉🎉

  • @FlorenciaKazimoto
    @FlorenciaKazimoto Місяць тому

    This is Song Is So powerful,Sina wa kutegemea ila wewe Yesuuu❤

  • @luluedson7356
    @luluedson7356 Рік тому +1

    I surrender to you Jesus, I am nothing without you

  • @marynganga5988
    @marynganga5988 11 місяців тому

    I have listened to this song over 10 times

  • @esther_nyaga
    @esther_nyaga Рік тому +1

    Kwa kweli hakuna mwingine wa kutegemea , such a beautiful song. Sisi tutataja Jina la Yesu 🙌

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 4 місяці тому

    Wallah sikua najua kama nilishawahi iangalia hii hadi nika comment kumbe miezi 8 iliyopita nilishaitazama napo kumbe nililia sanaaa......hakika hii imejaa NGUVU YA MUNGU ALIYE HAI NIMEJIKUTA NALIA NAMWAMBIA MUNGU SIKU YA MWISHO USINIACHE KATIKA UFALME WAKO NAMI NIFIKE NIKUCHEZEE NA KUKUABUDU, NIMELIA SANAA....HAKIKA GWAMAKA UMEJAA UTUKUFU WA MUNGU ALIYE HAI YESU AKUTUNZE....

  • @MadinaAjaa
    @MadinaAjaa 3 місяці тому

    Who shall I fear ...I only depend in God 🙏🙏

  • @diananekesa9343
    @diananekesa9343 Рік тому +2

    Wooow sina WA kumtemgea ila wewe bwana
    Bwana no nuru yangu hallelujah

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 місяці тому

    How come ndo naufahamu Leo huu wimbo
    Tena nimeusikia upendo redio nikaja kuutafuta
    Thank you Jesus

  • @jessekariuki8188
    @jessekariuki8188 Рік тому +1

    ❤❤❤ ,am just in love with the words in this song,Sina wa kutegemea ila wewe yesu

  • @belindahluyo2094
    @belindahluyo2094 Рік тому +2

    Dear God, I have no other strength apart from you🙌🙌

  • @lynnadala4098
    @lynnadala4098 3 місяці тому

    Fire fire 🔥 wa kutegemea ni Bwana Yesu

  • @ingozescopion
    @ingozescopion Рік тому

    Sifa za ufalme lazima ziwe ibada za sifa Sasa Hawa ndo waimbaji wa Ufalme wa Mungu aliye hai

  • @ErickEnock-kr9uj
    @ErickEnock-kr9uj Рік тому

    Sina wa kutegemea ila ni ww tu YESU wangu nakupenda sana ww YESU

  • @kilifaithadventures
    @kilifaithadventures 5 місяців тому

    How can I like this a million times!!?...😊

  • @samuelmuthoka278
    @samuelmuthoka278 Рік тому +3

    Sina mwingine wa kutegemea kabisa ila Yesu.

  • @faithchebet8834
    @faithchebet8834 Рік тому

    Amina, hakuna mwingine kama yesu tegemeo letu amina amina. Ni yesu tu

  • @mildrednekesa5025
    @mildrednekesa5025 Рік тому

    Wanataka magari na farasi, acha mie nimtaje na kumtegemea yesu💪🏿

  • @francisekerapa1320
    @francisekerapa1320 Рік тому +1

    My God my God 😭 😭😭😭

  • @joyceswila968
    @joyceswila968 2 місяці тому

    Nguvu zangu ni wewe uwepo wangu ni wewe maisha

  • @TWRWomenofHopeTanzania
    @TWRWomenofHopeTanzania Рік тому

    Sisi tuna tajiri wa matajiri yumo ndani yetu si mwingine ila ni yeye Yesu. Mbarikiwe

  • @karypendo9428
    @karypendo9428 Рік тому

    Sina wa kumtegemea ...Ila wewe Yesu...uliyeiondoa aibu ...

  • @BeatriceMutunga-x5l
    @BeatriceMutunga-x5l 2 місяці тому

    Ameni najivunia kuwa na yesu

  • @josphatkitenge1170
    @josphatkitenge1170 Рік тому

    ❤❤❤❤❤
    Sina wa kutegemea ila wewe Yesu,
    Only you Yesu.
    Ni wewe pekee nitataja💖💖

  • @tysonmbilinyi6126
    @tysonmbilinyi6126 Рік тому +3

    Waaow it's nice song Sina wa kutegemea
    God bless you essence 🎉

  • @stevengeremiah8956
    @stevengeremiah8956 2 місяці тому

    Mafuta juu yamafuta 🔥🔥 kiukwel nyimbo nzuri🤝 aliekata kipande akaweka TikTok

  • @sinthiaotieno2854
    @sinthiaotieno2854 Рік тому

    Nimwogopee nani Jamani,Nina jina kuu ,Jina Yesu 😌😌