Mbarikiwa AMEMSIFIA MPINA. Huyo ni TAJIRI kuliko WABUNGE WOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz День тому

    Utu wema ni hazina kubwa mbele za mungu. Ee Mungu tusaidie kuenenda kwa kadiri ya mapenzi yako. Zaidi sana kutenda haki na kuwajali wanyonge ambao ndiyo mfano wa sura yako. Tunapokuabudu tukuabudu kwa moyo na kweli bila unafiki. Mungu utuhurumie

  • @Meiruzibwe
    @Meiruzibwe 9 днів тому +1

    Mungu amekuweka kwa wakati muhimu sana 🙏
    Mch. Mbarikiwa wewe umebarikiwa songa mbele ulipo nipo🙏✍️

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp День тому

    Sauti ya mungu hawezi kunyamazishwa na mwanadamu asieijua kesho yake.

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 9 днів тому +2

    Mm naombea sana sana tena sana ire ndege iriopita kure irani na malawi ingepita na huku tanzania ipunguze wezi

  • @josephkmarwa7425
    @josephkmarwa7425 6 днів тому

    Mpina..umuhimu..wako..hapa..duniani..unaujua..watanzania..wengi..tuko..pamoja..kwa..mungu..ushi..maisha..marefu..amen

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 9 днів тому +2

    Be blessed 🙏🙏 mbunge mpina

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 9 днів тому +2

    Mungu akusimamie mbarikiwa kwa kuliona hilo jamani.. Mpina tumchangia kea lolote..

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 9 днів тому +1

    Mungu azidi kukutumia kadri apendavyo! 🎉🎉🎉🎉

  • @user-tn7ic2ky3i
    @user-tn7ic2ky3i 9 днів тому +1

    Ubarikiwe mtumishi mpina ni mtu wakuingwa mfano wa Makufuli

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 9 днів тому

    Nimekukubali Kweli na Ujumbe Umefika hata kama Awabadiliki Tuwashitaki kwa Mungu.

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv День тому

    HAKIKA MPINA MUNGU AKUBALIKI SANA WATUMISHI WA MUNGU WANAKUOMBEA KAMA UNAVYO ONA

  • @KamardinTebe
    @KamardinTebe День тому

    Mpina alijitowa Sadaka kwa ajili ya watanzani

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 8 днів тому

    Covid mnawaonea sana,mbona wabunge wa CCM ndo kimbelembe kumtosa Mpina na kushinddwa kuwatetea watanzania.

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o 8 днів тому

    Kweli gwakukaja Mpina waMemuonea sana.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 9 днів тому

    Kweli mubalikiwa ukiwa muoga kama ndugayi mama mama nimekosa kusema nchi imeuzwa

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 9 днів тому

    Mpina heli ufukuzwa kuliko kua chawa spika Baki na covd19

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 9 днів тому

    Hakika atalipwa mbinguni na duniani

  • @petermwenda6470
    @petermwenda6470 9 днів тому

    Nimependa muda clip imeruka

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  9 днів тому

      Hahahaha baba bado tupo tunatafuta kufunua majina yetu

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 9 днів тому +3

    Mchungaji huyu anaongea kweli

    • @SamackIshirin
      @SamackIshirin 9 днів тому

      Bwana yesu asifiwe sana mtumishi wa mungu mbarikiwa ongereni sana kazi ya mungu

    • @user-xh8kd9ze7o
      @user-xh8kd9ze7o 9 днів тому +1

      Anaongea kweli mtupu

  • @charlesphilipo3533
    @charlesphilipo3533 7 днів тому

    Bakisha maneno ,,,unaonywa kila mara lakini wapi,,,,punguza matusi hubiri neno la Mungu achana na mambo ya siasa

    • @user-qy7he6cl8w
      @user-qy7he6cl8w 6 днів тому

      Ufahamu wako ni mdogo bila D mbili hutamuelewa mbarikiwa

    • @charlesphilipo3533
      @charlesphilipo3533 6 днів тому

      @@user-qy7he6cl8w mmefeli sana nyie mnayemtukuza huyo mpuuzi wenu mbinguni hamuendi

    • @gasperelasto8842
      @gasperelasto8842 День тому

      😂😂😂😂😂umenichekesha sana​@@user-qy7he6cl8w