Kicheko cha Mama Magufuli Igizo la Vijana Kumbukizi ya Hayati John Joseph Pombe Magufuli Kawekamo.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 464

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 5 місяців тому +42

    Yohana 12:24_26, nazo zile mbegu zilizoanguka kwenye udongo mzuri,zimeota na kuzaa matunda mengi na mazuri, hongera sana kijana uko vizuri

  • @KazimilyEpimack
    @KazimilyEpimack 5 місяців тому +38

    Ningependa kushiriki pia kwenye hiyo Filamu mnayoiandaa kwa ajili ya Baba yetu @MAGUFULI and his political Philosophy❤👏

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 місяців тому +21

    Jamani watu wanakarama hongera Sana Kwa kumuigiza Rais wetu apumzike Kwa Amani

  • @ROBERTBALAMA
    @ROBERTBALAMA 5 місяців тому +26

    Mungu alitumia Sura yake Hayati Magufuli kwaajili ya watu wengine. Aendelee kupumzika kwa Amani. Naendelea kujifunza Falsafa zake

  • @jonaycemoshi7261
    @jonaycemoshi7261 5 місяців тому +37

    Dogo huyu ameweza sana kwa kweli na atafika mbali sana!Amenikumbusha mbali sana hadi nimetokwa machozi.Mungu akubariki

  • @Itarusii
    @Itarusii 5 місяців тому +16

    Hongera kijana. Joseph una kipaji. Kitumie vizuri. Endelea kuamasisha. Hiyo filamu itauzika sana. Hakikisheni inakuwa na kiwango.

  • @CHRISANTUSDAUDI-tn3cu
    @CHRISANTUSDAUDI-tn3cu 5 місяців тому +22

    Hongereni sana vijana.. daima tutamkumbuka rais wetu JPM..

  • @matondokija
    @matondokija 5 місяців тому +17

    Hongera kijana kwa kazi nzuri . tuendelee kumkumbuka na kumuombea baba yetu Magu

  • @anamarykaduma5639
    @anamarykaduma5639 4 місяці тому +4

    Hongera sana Kijana,Unatukumbusha maisha ya Hayati Baba yetu Mpendwa,tunamkumbuka kwa mengi saana. Iwe kumbukizi Kitaifa.

  • @FiniasEnock-uv7lo
    @FiniasEnock-uv7lo 5 місяців тому +6

    Honestly nilikuwa natizama hii igizi but nimeshindwa kumaliza kwa sababu ya uchungu. Napenda kusema you all deserve to make his film. Munaweza sana na mnajua kuzingatia itifaki na maadili ya fikra zake. I'm ready to support your film by whatever way. You're so amazing guys.

  • @AnnoyedGondola-pi2bv
    @AnnoyedGondola-pi2bv 5 місяців тому +18

    Duh huyu kijana amesababisha nimelia Tena namuomba mungu amsamehe ndugu yetu JPM makosa yake yote picha yake haifutiki kwenye Nuru ya uso wangu

  • @Ambwene
    @Ambwene 5 місяців тому +16

    THE LEGEND OF JOHN POMBE MAGUFULI TUNAITAKA SANA HIYOO

  • @user-ig1ch4gy7s
    @user-ig1ch4gy7s 5 місяців тому +5

    Hongera sana kijana, kazi unaweza tena sana. Mungu amlaze mahali pema peponi. Inauma na inafariji we really lost the man. Mungu akubariki Upande zaidi ya hapo. Songa mbele usirudi nyuma.

  • @Usxznt
    @Usxznt 5 місяців тому +23

    Mungu awabariki vijana kazi nzuri Sana,nimejikuta nalia

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 5 місяців тому +3

      Hata.mimi aisee nimejikuta nalia tu😢
      Kweli mungu alitupa mtu mzuri nasasa amemchukua tena apumzike kwa amani jembe letu.

    • @julianapatrick7911
      @julianapatrick7911 4 місяці тому

      😢😢

  • @neemamahimbo4711
    @neemamahimbo4711 5 місяців тому +14

    Aiseeee kijana ameweza sana,asante machozi yanapungua

  • @janepatrickmesso7487
    @janepatrickmesso7487 5 місяців тому +19

    Mungu ikikupendeza, turudishie magufuri, najua ni ngumu lakini ikikupendeza Mungu tunamuomba tena

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 5 місяців тому +1

      Mungu abariki vizazi vyetu tupate wakina Magufuli wengine

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 5 місяців тому +31

    Hivi kweli hii kumbukizi imeshindwa kua ya kitaifa mungu gawa sawasawa na mapenzi yako

  • @gasperymisungwi960
    @gasperymisungwi960 5 місяців тому +12

    Brilliant idea. Nitainunua filamu hiyo kwa gharama kubwa. Good memories live forever

  • @ombeniulime2768
    @ombeniulime2768 5 місяців тому +18

    JPM you deserve for your sacrifice to Tanzanians
    Kijana pongezi kwa kufahamu legacy ya mtu aliyeishi kwa aliyoyaongea

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi 5 місяців тому +4

      Mm nimesikia hii sauti na machozi yameanza kunilengalenga.

  • @zurufaseme8595
    @zurufaseme8595 5 місяців тому +40

    Unanikumbusha mbali wee kijana,ila pokea maua yako 🎉🎉🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 5 місяців тому +26

    Ukiskiliza hii utatoka machozi kama magu anaishi ndani yako

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 5 місяців тому +14

    Brilliant, kitu kikubwa sana wadogo zangu, natamani niwe na nakala ya filamu hii ktk kabati langu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 5 місяців тому +14

    Hqkika magu 😢😢😢umeondoka na tunakukumbuka kwwli hakika baki salama mola akuhifadhi pema baba magu

  • @msafwatv432
    @msafwatv432 5 місяців тому +8

    Je suis à Dakar, je suis très content pour cette video. Qu son âme repose en paix

  • @nshomajuke2553
    @nshomajuke2553 5 місяців тому +16

    Yaaaniii hiiiii soo soooo mwaaaa. I salute u pple

  • @ThomasShija-rn3fy
    @ThomasShija-rn3fy 5 місяців тому +11

    Hongereni sana. Mbegu iliyopandwa imeanza kumea yohan 12,24-26. Mungu awabariki.

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 5 місяців тому +3

      Lazma atatokea tu mwenye kuamini na kuyafanya ni kama Burkina Faso alikufa Thomas Sankara katokea Ibrahim Traore na anafanya yaleyale

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 5 місяців тому +16

    MAGUFULI was magician!!

  • @stellaphilipo5112
    @stellaphilipo5112 5 місяців тому +5

    Big up boy ,,Sauti kama ya aliyekuwa Baba na Raisi wetu wa awamu ya TANO😢..PUMZIKA KWA AMANI KIPENZI CHA WENGI pamoja na wanafamilia wenzetu waliotangu mbele za Mungu.

  • @bensonmasanja9862
    @bensonmasanja9862 5 місяців тому +17

    VIJANA WA MAGUFULI TUPO HUTAPOA SUBIRI WAKATI UFIKE..

  • @firmakisika5073
    @firmakisika5073 5 місяців тому +9

    Hongereni sana wana Mwanza. Keep it up

  • @Sebastian-to4qd
    @Sebastian-to4qd 4 місяці тому +3

    Ahsante kwa Hilo Mungu akubariki Sana kijana. Late Magufuli tutamkumbuka Daima. Tumwombee apumzike Salama. Ingawa ameondoka Lakini kiroho bado Yupo nasi. Tizama vijana wanavyoweza kuiga Sauti yake ni Kama Bado Yupo nasi. Ahsanteni Sana Mungu kwa Maisha ya Dr JPM. Ahsante kwa JPM kwa kuliongoza Taifa hili masikini. Ahsante kwa kujitolea na Ku- sacrifice your Life for our Land Called Tanzania. Ni Bahati KUBWA Sana Kwetu watanzania.

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 5 місяців тому +18

    Hiyo filamu tena nitawatunzia watoto wangu.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому +7

    Tec wako vizuri sanaaaa tafadhalini sana sambazeni jamani hii filamu pesa mtapata sana hayati Magufuli yuko mioyoni mwa watanzania ssna huyo ni sawa na Nwalimu Nyerere hawatasauliwa kabisa

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 5 місяців тому +11

    Magu😢😢😢😮😢 kila mtu alimwelewa😢😢😢😢R. I. P JPM

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee 5 місяців тому +6

    Kazi nzuri....brings back wonderful memories

  • @emanuelnyambo7486
    @emanuelnyambo7486 5 місяців тому +8

    Excellent.. Well done...

  • @JustineAloyce-lu8ux
    @JustineAloyce-lu8ux 5 місяців тому +3

    Jamani mungu azidi kumpa amani huko aliko baba yetu DR JONH POMBE MAGUFURI JPM.mwanga wa milele aangaziwe

  • @SaidMwaikambo
    @SaidMwaikambo 4 місяці тому +2

    Hongera sana dogo mungu akuongezee zaidi kipaji chako Kwa uigizaji wako

  • @calistgwaydamuy8813
    @calistgwaydamuy8813 5 місяців тому +11

    Mbarikiwe jaman kazi nzr

  • @ceciliamanfred9757
    @ceciliamanfred9757 4 місяці тому +2

    It is amazing congratulation dears you'r talented❤

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 4 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤tunakupenda sana mzee magu Mungu akupe pepo ya juu in sha allah

  • @emmanuelpolle4922
    @emmanuelpolle4922 4 місяці тому +1

    Stephano Joseph Shimba nakuona mbali kijana keep moving keep growing!

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 5 місяців тому +1

    Woow nimecheka nikalia. Good job young man ❤
    Roho ya Baba yetu magufuli ipate Rehema kwa Mungu apumzeke kwa Amani Amina.

  • @nestor384
    @nestor384 5 місяців тому +5

    Magufuli dah💔 sijui Tanzania itakuja kupata Rais tena wa aina hii.. M/mungu tuinulie Magufuli mwingine
    Please tunataka Magufuli day Ana haki na kila sifa ya kupewa siku maalum ya kumkumbuka na kuenzi kazi yake njema

  • @johnfuraha9151
    @johnfuraha9151 5 місяців тому +5

    All the best.. Good idea

  • @luciajohn8962
    @luciajohn8962 5 місяців тому +5

    Yaan nimejikuta nalia tu 😭😭😭😭 pumzika kwa aman JPM tutakukumbuka kwa mengi sana acha vijana wakuenzi na kukumbuka mambo uliyoyafanya enzi za uhai wako🙏🙏🙏🙏

  • @meshack3266
    @meshack3266 5 місяців тому +9

    Dah mwamba kaua kinomaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @theodoramzigaba4916
    @theodoramzigaba4916 5 місяців тому +5

    Dogo umetisha sana mungu akubariki sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому +19

    Nitaipataje filamu hii tunaiomba muiuze kwenye makanisa yote ya Roman Katoliki mtauza sanaaaa

    • @user-yk5gm5qj4u
      @user-yk5gm5qj4u 5 місяців тому +1

      Sio Roman Catholic tu huyu ni kipenzi Cha watanzania wote waislam, wakristo madhehebu yote wahindu , na wasio na dini ni hivyooo

    • @barakalawrence742
      @barakalawrence742 5 місяців тому

      ​@@user-yk5gm5qj4uumesema kweli

    • @SmilingAlpineVillage-ee7if
      @SmilingAlpineVillage-ee7if 4 місяці тому

      Haha sisi tunataka

  • @daynesakulu3169
    @daynesakulu3169 3 місяці тому

    Mimi ni mkongomani , nili hishi Tanzania ukimbizini , naipenda sana Magufuli ali kuwa rais nilie mpenda sana kwa utendaji kazi wake , nita endelea kumuenzi , Mungu aendelee kumpumzisha mahali pema ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-zj9uz6vz3g
    @user-zj9uz6vz3g 5 місяців тому +4

    Wewe ni kiboko😂😂, unaweza sanaaaa🎉

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 5 місяців тому +24

    Huyu ana mshinda ata baraka magufuli kwa kuigiza sauti ya magufuli

  • @AlredDeousdedith
    @AlredDeousdedith 5 місяців тому +6

    Mko Vizuri Sana Vijana Mungu Awabariki Sana

  • @user-ek6td4kt4t
    @user-ek6td4kt4t 5 місяців тому +4

    Kipenzi Cha watu wanyonge. Mtu mnyenyekevu 😭, I fill to cry but kijana ameweza kutukumbusha yote mazur mema aliyokuwa anatenda rais wetu Kwa Upendo wa dhati

  • @thobiasmasabile-cw9xo
    @thobiasmasabile-cw9xo 5 місяців тому +5

    Umetukumbusha mbali sana, na hivi tunavo pambana na warasimu, wanaouza lasiamali yataifa, tuombe sana aje magufuli zaidi ya wakwaza

  • @firmakisika5073
    @firmakisika5073 5 місяців тому +5

    Hongera sana kijana Mwenyezi Mungu akuongoze ktk maono hayo.

  • @henryngwaulanga3103
    @henryngwaulanga3103 5 місяців тому +2

    Hongereni sana,vijana mnaweza, hapa kazi tu

    • @STEVEMAGUFULI
      @STEVEMAGUFULI 4 місяці тому

      Shukurani sana mwalimu wangu❤❤❤❤

  • @chazp6436
    @chazp6436 5 місяців тому +5

    Very impressive...

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 4 місяці тому +2

    Tunakumbuka daima JPM😢😢😢😢😢 Mwaga waa milele ukuangazie ameen😢😢

  • @leonardRuben
    @leonardRuben 5 місяців тому +5

    Very good Brother

  • @user-yk5gm5qj4u
    @user-yk5gm5qj4u 5 місяців тому +4

    Nice one stephano

  • @deodatuscabwine4148
    @deodatuscabwine4148 5 місяців тому +9

    Meseji send and delivered

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 5 місяців тому +6

    Natamani ningeweza kusave ili kila mara naingalia hongerani sana mlishiriki tulimpenda sana king of afrika mzee jembe john magu rip

  • @user-ks7tr1fd5d
    @user-ks7tr1fd5d 3 місяці тому

    Daaaaaaah pumzika kwa Amani baba wa wanyonge. Watanzania bado 2likuwa 2nakuhitaj lakin MUNGU kakuhitaj zaid. Ubarikiwe sana kijana kwa kumuenz baba wa wanyonge piaa hongera sana kwa kipaj chako MUNGU azid kukuina zaid na zaid. R.I.P 😢😢😢😢Magufuli

  • @zainabuabdulahi5012
    @zainabuabdulahi5012 4 місяці тому +1

    Ipo vizuri vizuri sana hongera kijana hata ukichukua line ya uongozi itakufaa sana baadaye

  • @nassorowaziri3076
    @nassorowaziri3076 5 місяців тому +7

    Safi Sana mko vzr

  • @thebrainundefeated4792
    @thebrainundefeated4792 5 місяців тому +5

    Ila MAGUFULI dah... Our beloved PRESIDENT 😊😊😊😊....MUNGU ATAMLETA MWINGINE

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому +8

    Jamani tutainunua hiyo filamu sanaaaa

  • @agnesswai7174
    @agnesswai7174 4 місяці тому

    Dah umeipatia Sauti hiyo haswa kuliko wengine wote bro,,Big up kwa kweli🙌🙌

  • @stephanosimon
    @stephanosimon 5 місяців тому +3

    Aisee Mr Mwaka mmetishaaaa❤

  • @bahatirashidi2793
    @bahatirashidi2793 5 місяців тому +4

    Uyu kijana yupo vizuri sana ndiye aliyeigiza sauti ya rais samia

  • @marymabuga1036
    @marymabuga1036 4 місяці тому +1

    Mmmmmm
    Sina la kusema.
    Apumzike kwa Amani Rais wetu mzee MAGUFULI

  • @daniel.shao.9028
    @daniel.shao.9028 5 місяців тому +6

    Kazi nzuri....
    May God bless you all.

  • @MariumIbrahim-zm9cx
    @MariumIbrahim-zm9cx 4 місяці тому +1

    Nimelia San ongera San vijan wenzangu mmefanya kazi nzr adi mama kacheka amani ya bwan iwe nanyi

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 5 місяців тому +9

    Huyu mtu historia yake haitafuka kamwe. Ingawa wapo wajinga wanafikria wanafuta, kumbe wanajidanya.

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 4 місяці тому +1

    It's So Sensitive... 😢

  • @sananeDotto-xe7ht
    @sananeDotto-xe7ht 4 місяці тому

    Hongera sana shimba kumbe kipaji hicho bado unakiendelelza nakukumbka sana kula Mlale jkt op mabeyo songea Ruvuma 2022 big up sanaa

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 5 місяців тому +7

    Hadi mmeniliza aisee ila Mungu yupo kwa nini uliruhusu ikawa hivi

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 5 місяців тому +5

    Hongera sana

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 5 місяців тому +3

    Hskika kijana umetisha,umenikumbusha mbali

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 5 місяців тому +3

    😢😢😢ila sijui kama tutampata kiongozi Bora kama magufuli duh

  • @josephsamwel2845
    @josephsamwel2845 5 місяців тому +3

    Amina Nice job

  • @SmilingBoaSnake-sw3zx
    @SmilingBoaSnake-sw3zx 5 місяців тому +4

    Daaah inaumiza sana

  • @TabibuGift
    @TabibuGift 4 місяці тому

    Nice job brother, continue to use your talent that God grant to you

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 5 місяців тому +8

    Waio amaizing Magufuri oyeee

  • @alphoncegadafi1341
    @alphoncegadafi1341 5 місяців тому +4

    Good work

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 5 місяців тому +3

    Dahhhhh vizuri sana

  • @nipaelkinkoro3169
    @nipaelkinkoro3169 5 місяців тому

    Hongera Sana Joseph Tumia vyema kipaji alichokupatia Mungu.Hakika Rais pendwa wa Taifa la Tanzania na Afrika Mashariki hatatoka kwenye MIOYO yetu

  • @user-sj2ii4gm7z
    @user-sj2ii4gm7z 5 місяців тому

    Kijana, umefanya vizuri. Ila jambo moja ninakuomba uweke number ya simu yako ili watu waweze kukusuport.
    Tutaendelea kukukumbuka mgalme Magufuli. Rest in power King.

  • @emanuelwilliam8834
    @emanuelwilliam8834 5 місяців тому +6

    Vizuri na kazi nzuri pia

  • @gaudencemhagama7216
    @gaudencemhagama7216 5 місяців тому +4

    Asee kijana umeuza sana salute yaani magu mtupu

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 5 місяців тому

    Amazing and very interesting waooo keep it up 💪💪

  • @bakarindemanga2318
    @bakarindemanga2318 5 місяців тому +3

    Well done

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 5 місяців тому +5

    Ongeren sana viijana

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 5 місяців тому +3

    Kaz nzr sana

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 4 місяці тому +1

    Daah aisee inaumiza sana..... Yule mzee😥😭😭😭🙏

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 3 місяці тому

    Congratulations keep it up good job ❤❤

  • @kherryserera9451
    @kherryserera9451 5 місяців тому

    Hakika umetukumbushaa Rais wetu kipenz..Mwenyez Mungu ampumzishe mzee wetu Mahala pema..🤲🙏

  • @Japhary-sx3je
    @Japhary-sx3je 5 місяців тому +2

    Ongeleni sana mungu awape nguvu sana sana sana

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 5 місяців тому +1

    Jsmani mnatuumiza juzi tar 17 nimelia sn wakati wa kumbukizi yake leo tena nalia eeh Mungu wangu tusamehe kama tutakukosea tukisema jembe letu halikuondoka kwa mapenzi yako