UFUO | SEHEMU YA 01 |.
Вставка
- Опубліковано 7 кві 2024
- Kijiji kina ingia kwenye matatizo makubwa saana mpaka kupelekea vifo vya wana kijijini.
Na upande wa pili wachawi wana endelea kuutafuta ufuo kwa sababu zao binafsi.
Karibu kufatilia tamthilia hii ya UFUO uburudike na ujifunze kitu kwenye maisha.
Mbn utam umezdi😂😂😂.sinaga tabia za kuchelewa chelewa😂😂😂😂
It's big and fantastic one
Kaka kwema
Kwa uyu mwenye kiti ni msukuma kweli kweli
Safi sana
Bi migomba unapendwa na mimi❤❤❤
Ila mmeua sana...tasnia yetu inazidi kupamba moto...safi sana
😂😁😁😁😁Mm npo hapa kwajl ya butua 😂😂😂😂😂shabiki wa butua
iko poa sanaaa🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana jameni
Mnaanzisha move haziishi mnaleta nyingine
Umeonae mwenyewe
kazi nzuri
Daaa wa pili leo
Hapa nipo na tiza kipande cha kwanza na sijakimaliza lkn movie iko vizuri sana chibu na timu yko maua yenu nawapa🎉🎉🎉🎉.
Kipande chapili kisichelewe jmn😅
Acha umbea
Noma
🔥
Chapombe aja lewa why 😂
Yaana kipara unanifurahisha😂😂
🔥🔥🔥🔥
Daaa 8me pendz sn kupind Cha kwaz
Next plz ❤❤
Yaan brother chibu content zako ni really kabisa
Ningetamani sana kama upande wa description ingewekwa synopsis ya story (short summary) ingesaidia kujua haswa kisa kinahusu nini na inhemuwezesha mtazamaji kujua story inahusu nini kabla ya chochote
Kweli 🖐️
Kabisa
Kipara namkubali Sanaa
CHIBUUUUUUUUUUUU HII NOMA KWELI
Butua anajua sana🔥🔥🔥
Fantastic
Nakubali❤❤❤❤❤❤
Chibu unajua bnaah
Nice work🎉
much love
Chibu kaka
We chura😆
Kipara wanna man🔥🔥
Keep it up mwamba
Waa nikali
Mbnr mwenyekitu anaongea kama mkenya alfu mmeru😂😂😂
Sanaaa broooh
👏👏👏
🎉🎉🎉
Clam vevo's crew,,all talented 🎉🎉
Nyamikuti acha kuwanga mucana
🔥🔥
❤
❤❤❤
🧨
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Chibuuuuuu?
Yet
😅😅