LESO FULL MOVIE
Вставка
- Опубліковано 21 бер 2024
- #mbwelamedia # sengomk # Zumbavevo
#clamvevo #comedy #filamu #akabenezer #africawedeytv #snakeboy #africawedeytv #mwakatobe #afrakoma #filamu #amaghanatv #comedy #kicheche #kichechecomedy #joti #xxl #behindthescenes #wachawi #mlevi #mwizi #malaya #sengomk #directorkakoso #kiparavevo #mrmwanya #diamondplatnumz #harmonize #mariootz #zuchu #utanioa #nampenda #rayvanny #simbasc #yanga #azamtv #sinemazetu #mapenzi #dvoice #nyimbompya
Latest Nigerian Movie This WeeK
Laughter Nation Comedy Club
South Africa New Comedy
Barry Katz Entertainment
Kenyan Comedy Videos
Ujinga za Victor Naman
Comedy Tanzania 2023
Ghanaian Comedians
aKabenezer Comedy
Kenyan Comedians
Nollywood Movies
Pixar Short Films
Zizinga Comedy
African Comedy
Comedy Video
Ghana PranKs
VicheKesho
Short Movie
f
NEW MOVIE AFRICA WORLD WIDE
#AMAGHANATV
#CRIMINALGHOST
#GhanaMovies
#NewEntertainerMovies #CelebritiesParties
#GhanaEntertainment #LatestGhanaMovies
#GhanaMovies2018 #BestGhanaMovies ##AFRICAWEDEYTV# #AKABENEZERCOMEDY
#LIKEEVIDEOS
#TRENDING#
#APPLE#
#LIVE#
#RECENTLYUPLOADED# #CARDPLAYGAMES#
FAUZY#
#AFRAKOMA#
#BUSTY#
#newkumasitv #,
#AKABENEZER#
#KYEKYEKU#,#39/40#comedy - Фільми й анімація
Wanahomkubali mbwela tujuwane hapa nduguzangu
Ahsnt
Vipi
Hahahaha
❤❤❤❤❤
Mbwela akosawa kapisa na penda film zake zapendeza sana❤❤🎉
❤❤❤❤❤❤Weee mbwela wee ak umelipiza kisasi adi nimefurahi xn 😂😂😂😂😂yan upo serious xn kw kaz zako hongera xan ❤❤❤❤❤❤
Twendwe kazi sasa we🎉🎉🎉nye mnapenda leso gonga like hapo
Nakubal 🙏🙏🙏
🙏🙏🤲🤲🤲❤️❤️❤️❤️
Mzee wa noma bwela umekuja kivingine nakupenda bureeee
Kati ya move uliwah kuniliza week nzima nalia ni ile big boss mbwela ulifikia kipind cha kufa na hukutaka ukaamua kuoa haraka na ukafa sku ya harus yako aisee nililia sana mtoto wa hillary sitosahau ile movies🥲🥲🥲🥲🥲
Ni ipi iyo ebu nieleze niitafute
@@mimahmimah1595 inaitwa big boss yupo mbwela na vevo
duh Ile ni hatar sana
@@mimahmimah1595 big boss
@@mbwelamedia3469 sawa mbwela wetu
Bravo ❤ ❤❤❤❤
Kazini nzuri kaka mbwela...mlungu akuzidishie inshallah
Ahsnt Amin inshallah
Cjachelewa wala cwez kkuangusha kabisaa,,,,love your movies n u more,,,hongera san bro
karib sana
Nampendaga zumba jamani ❤❤hongera sana kaka mkweli nawe nakupenda sana ❤❤❤
Mbwela,nakupenda ❤😂
Kaka mbela you're always the best much love grom kenya ❤🥰❤️❤️
Zumba wa nyokooo mbwelaa nakukubali sana broo👏👏👏❤️
Mbwela god bless you🎉🎉 Allah azd kkuongoza n uzd kufany vzr zaidi 🎉🎉❤ more lov big up🤙
Upo vizuri mbwela
Nashukur Sana
Mwela namkubali sana
Nampenda sengo na mbwela jaman khaa
bonge la filamu,safi kabisa ,derick, Kenya 🇰🇪
Uyu mkaka napenda movie zakee. Sanaa anajua jamn we mwambaa❤❤❤🎉🎉🎉
Nice one job 🎉🎉🎉
Kaka mbwela unatisha snaa kakaangu kazi nzur sana kaka
Ahsnt Sana nashukur Sana dada ang
Mbwela nakubali sana kazi zako hee series kali sana❤❤❤🎉🎉🎉
ahsnt sana nashukur
Very good bwela kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Big up mbwela kisa kizuri yani filisika ujue rafiki na mkeo yani pa sengo mtiani mkubwa na ndivyo walimwemgu waivyo kabisa
safi sana kaka iko vizuri
Waaaa nimetazama filamu za kibongo ila hii kali pambe mbwelaa
Nikweli runakuoenda hassa hivyo hambadilishi majina nzuri sana
Zumba wanyoko 😂😂😂😂 haki mbwela
Kaz nzur sana mbela tunakutakia her uzid lifanya vitu vzr
mbwela nakupenda sana kutoka Kenya , sifuna
Bro nakuelewa movie zako zipo sawa
daaa uko vzur sana mbwela hadi unatisha kaza kaka utafika mbali..ilanengekuomba uweke na subturtile kwenye movie zako engependeza sana kwawasiojua kiswahili
Napenda sana move zako❤❤❤
Kaz Kaz kk
Balaaa zito
Big boss ama big kaka cuz nimeitafuta hiyo sijaiona
Mbwela the big boss itarundi lini lakini . naitamani sana tafadhali Fanya kitu Tena , season 2 big boss please do something mbwela.
Napenda hii Movie njo ya kwanza naiona inabindi nijitahindi nifwatiliye yote Mubarikiwe sana
Hongeren sana kwa kazi nzuri
Nakubali kaka mbwela movie zako niko kenya
Nakukubali sana brother mbwela🎉🎉🎉🎉
Mbwela big up sana broo yan movie nzuri mashallaah ❤❤❤
Umeweza kaka
Nashukur Sana
Nakubal sana
Kazi zako ni za kupendeza sana Mbwela yaani nazipenda endelea nao
Hongera sana nawakubali
tamu tupu mwanzo mwisho from kenya
Big up kwa hii movie
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
mbwela nakuelewa sana
Penda❤❤ sana kaka mbwela
🎉ni nzuri Kaz Yako ndugu jtahidi tu picha ionekane vzuri
Good work guys
Thank you
NAKUPENDA SANA MBWELA WATCHING FROM KENYA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ahsnt nakupenda pia 💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
@@mbwelamedia3469 ❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana ❤❤❤
Mbwela umefanya vizuri zaidi kwenye snack boy na biharusi big up bro🎉
Mbwela mamb vp mtu wangu leo na comment kwako si eti sikufatilizii lah hasha mi n fun wako sana ila sema tu rupo chini ya maji kwenye big boss nilikuepo hata bi harusi na nyinginezo nyingi yu ila acha niseme tu upo vzr kaka naipenda nji ya Tanzanian kila kitu chao kiko vzr
Asante sana kaka na karibu sana Tanzania
Mov nzuri sana
Nakupenda pia
Upewe mauwa yk🎉🎉🎉🎉bwela
Iko pw Ila saut imetushusha kidogo kaka, ila big up san
Nakubali,sana,
Nakubali broo
Nice one
good movie
thank you
Mbwela n mkuu, nakukubali sana
Wow shukran bweraaaa❤❤❤❤❤❤❤
Mafunzo bora 100
Mbwela baba huna baya siez amka bila kutembelea chanel ako✍️
Wee jamaa kwann muvis ukiangalia hata uweje lazima ulie sio pouwaa punguza hisia kaka 😢😢😢😢
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉 sana kaka mbwela
Ahsnt Sana nashukur
I love it am watching in Kenya
Kaka uko fiti
Nashukur Sana
Watching thia from kenya ...This movir has got a lesson brother keep it up the good work Mr Mbwella
good job mbwela ❤❤❤🎉
Mbwela🔥🔥🔥🔥
😅😅😅bella weee kiboko
MAASHAALLAH KEEP GOING BRO
ahsnt nashukur
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mcumba wangu mbwira ico kishati umekitowa wapi nakukunywa mayi na karanga siyo vwakwako 🇧🇮
Ninavyo jua bado haijaisha Big boss tumaliziani bwana
Good job bro
Pole sana❤
ahsnt
Kazi mzur mbela we ni jembe
Ila ili lakupigwa na kuosha vyombo imeniuma jmn😢 Anywei Mungu akubalik Moi Man❤
Ahsnt nashukur Sana Amin inshallah
Mwangu mbwela umeuwa👊 much love from kenya
Ahsnt
Kazi zuli
Ni nzuri inafunza mlete ngine jmni
ahsnt usjal Zipo
usjal zipo
Pwagu kapata pwaguzi
Yani zumba anasura ngumu ya ujambazi tu jamani😂
nàwakùɓali sana
Huu mji unaitwaje Kwa mnaojua
Umeisoma et
pa1 daima
🙏🙏
B
Mussa
Mussa tu
Kazi nzuri sana ❤
Mussa