Vzur sana hakuna ushirikina kufaulu tena hapa juu wametuchosha hawa washirikina mwanzo naomba ashikwe na kitu kizito huyo Sania mpaka ajutie ushirikina wake
Kwa wanangu wote wapambanaji bila kujali wakati gani mgum unaopitia ✝️☪️ Weka imani na uamini unachokipambania One Day Yes mungu sio babu Yao Bali niwakwetu sote na wote tunaamin hivyo🎉🎉🎉
Daaah kiukwel sijapend jmn mbn iv mnaturudish nyuma bhn inabid mov iwe inaelekea wakat wakujutia zatt aolew awe na mimba na zuuh nay aw na mimb alaf aw wajutiee kish boss nay aache kujipndekez then iish ila ss daaaah kiukwel mm sijpnt 😂😂ila sant😊
Mm kiupande wangu naona kama hii movie wanataka kuiharibu endapo kama Kai atamwacha zuu wakati zuu ndie staring wa hii movie coz yeye ndio alikuwa house girl
Kenny niwakati wko wakuikosa furaha ss naona umeanza kuitambua thamani ya Kai nandii ni too late.....Kai nakupengeza kwa msimaamo wko mpende mkeo kwa hali na Mali nawfatilia nkiwa Kenya nawapenda saanna kwa mafunzo yenu mazuri🎉🎉🎉❤❤❤❤
Not in hospital Not in jail Not sick mbona usimushukuru mungu kwa kukupa uhai
Alhamdulillah ❤
Jamani wanao subiri zatiti Na Tasha wafunge ndoa gongeni like happy
Tupoo
Jamani wanaotaka zatiti asikubali hizo picha Mpaka aongeye Na Tasha wagonge like hapa
Wanaosubiri harusi yawo wagonge like hapa
Umo umo
Jamen kai n mume bora maan anajua thaman ya ndoa yake wangapi wanamkubali kai yaan han tamaa kabisa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani nani kamwona cand alivyopendeza ndan ya abaya❤❤😂 tujuwan hap
Hi niko hapa na wanao sema Zuri ni mjamzito
Jaman sania kayakanyaga😂😂 mama kashamuona na aliambiwa ahakikishe hakuna anaetakiwa amuone😂😂 kwisha atuachie tasha wetu❤❤❤❤
Sania anajipika na mafuta yake
Akatulie na huko na ukosefu wa adabu wake
Nimependa
Aaaaaah siamn macho yangu Leo wa 5 kumbe Busati Tv mnatoa mda huu 😂😂😂 like zote kwangu jmn😂😂😂
😂😂
😂😂😂
Hatimae jua lina waka kwa kendy ❤❤team strong kujeni hapa 😂😂
Mashaallah kapendeza lkni 😂😂😂
Jaman ili tuwapende nyinyi na move yeni zstiti aolewe na tasha tuuuu kendi na huo nyoo wa choon watesek ili wajifunzeee
😂😂😂😂😂😂
Tasha ni bingwa kushauki wezake yy sasa ana usom wa kuchimba visima 😂😂😂
Team strong mpo ndani 🎉🎉🎉
Mwanamke wakibendu nampenda msitaarab
Vzur sana hakuna ushirikina kufaulu tena hapa juu wametuchosha hawa washirikina mwanzo naomba ashikwe na kitu kizito huyo Sania mpaka ajutie ushirikina wake
Hongeren kwa kazi nzl❤
Kwa wanangu wote wapambanaji bila kujali wakati gani mgum unaopitia ✝️☪️ Weka imani na uamini unachokipambania One Day Yes mungu sio babu Yao Bali niwakwetu sote na wote tunaamin hivyo🎉🎉🎉
Amen🙏🏼
Amen
Amen 🙌🙏
Amen
Amina 🙏🙏
Goma la afya Hilo movie kariiii sana🎉🎉🎉🎉
Mr Tasha unawindwa kuwa makini cn maadui wamekuzunguka salaam ashaazirika kendy nae pia muazara utamfika boss kakataliwe sembuse ww mlevi😂😂
Shida ww tena umekuwa mcha abaya Sania naye kiboko wap mama Tasha mashallah ❤❤
Mm naona boss akizidi kwa kai bibi atakuja na msimu wake kwa sababu alisema alikuwa aende kijijini lkn lkn sasa haezi kwenda kwa sababu ameonyeshwa
Weee mpelekezi w chiko, jinsi chamkonde alivyioumbuka ndivyiohiyvio nawe utaenda kumbukamr.tasha Hana baya na mtu😢
Canday candy candy nimekuita mara ngapi ww na sania mtaishia kuhangaika mpaka lini😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uyo mpemba mmoja anaongeya kama chumvi nying . Napenda sana 🫣
Kwel vo yaan
Umeona eeh
Zuuur anamimbaa ❤❤❤❤❤❤ asante kai❤❤❤
Jamniii sania han haya huyuuu ivi kwan mapenz yanarogwa jmn hem nambien zatiti wetu stk alie ten jmn km unaamn gonga like 😢😢
Yaan kisania jmn kwaza kinampotosha cendy balaaa yaan aaaaah😂
@@TeresaSefu😂😂
Yaaani sania amenisinya sana walai na huyu Candy
Sania lazima akosee masharti
Aya mm wa mwisho sasa🎉🎉🎉🎉
Ila mista Tasha uwe makini wakat unaongea na sania kuna aliepoga picha ambae ni rafki ake chikooo 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
Jordan nawe mbn unakuwa mjnga sasa unafalia vtu havkuhusu, sjapenda
Sijui anataka nn huyu jordan
Team strong 💪 hatulali kweli🎉🎉🎉😊😊❤@Busati Tv tunawapenda sana kutoka Saudi Arabia
Najifunza vitu vingi busat TV mungu awabariki wote
Tashaa umevaa yebo leo
Ndani ndani from Kenya nawafuatilia Mimi naomba Tasha kamuoa zatiti hikishania kurudi kwa huyo babawake
Jamani mmemuona bi Shekhat 🎉kendi gonga lake kapendeza
Wakwanza Niko hapa Riyadh KSA ❤❤ weka like team strong ❤❤
Zuu pole mimba haitatoka Ni majaribu tuu.kai jikaze utashinda mungu Yuko upande wenu.
Daaah kiukwel sijapend jmn mbn iv mnaturudish nyuma bhn inabid mov iwe inaelekea wakat wakujutia zatt aolew awe na mimba na zuuh nay aw na mimb alaf aw wajutiee kish boss nay aache kujipndekez then iish ila ss daaaah kiukwel mm sijpnt 😂😂ila sant😊
Wanaishiwa story
Sania kimekurambaaaa😂😂😂
Kiukweli me naon Kam jua Kali wanarusish nyuma to zuu ingebid asahv awe na amani zatit nae awe na furah kwa tasha@@Alexismadimo
At mm natak iishe tuendelee na il ya mama😂
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
Sania niwahi kukwambia huezi badilika maisha yako ona sasa bd unalizimisha maji kupanda mlima. Maua kwa mama Tasha 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Usijali best mbina tupo pamoja sana🎉
Haya wadau kujeni huku tuanguke na house girl sasa mambo ni fire 🔥🔥 busati tv congratulations nawapenda sana 🥰🎉🎉🎉
Hakuna Kurara Paka Nitazame House Girl 😌😌❤❤❤❤❤ Zuuuh Inshaallah Utapona ❤❤❤❤
Jaman nan anapenda Sania akosee masharti ya mganga ili asimpate Tasha😂😂
Mara ngapi na kishavurunda😂
@@zainabzain3434😂😂😂😂
@@nasrachimamy 🤣🤣🤣
Kama hunaiman zuuuh ana mimba ya khaii a.ka.a mama kijacho please like hapa tujuane 🤲✊👊🤛🤜🤜🤜👏👏👏👋
❤
❤❤🎉🎉
❤❤❤
Nipo nyum yako
❤
Mm kiupande wangu naona kama hii movie wanataka kuiharibu endapo kama Kai atamwacha zuu wakati zuu ndie staring wa hii movie coz yeye ndio alikuwa house girl
Sure Tena sio utan
Wa kwanza jmn nipen like zangu
Candy na kamkondee hamtofanikiwa ngoo,, lzm kiwarambe kwa Mabaya yenu mlodenda
Muko vizuli sana ❤❤❤🎉🎉
Wa kwanza,,hongera sana Kwa kutochelewesha movie🎉🎉
Tash sania muchaw kavunja nazi murangoni kwangu mama tasha nakupenda❤
Wow bro kai baki na huo huo mzimamo boss hataki kuona ndoa yako ikisimama
Leo nmewahi jamanpenda sana guys
Kendi ,,sania na chiko yaani nawaombea mteseke mpaka mwisho
😂😂😂umesema hauna huruma
Wenye wnazidi kumwombea Mr Tasha ili ndoa yake na zatiti ifaulu wagonge like hapa
Harusi tunayo hatuna piga kelele kma hujalala weweeeee from Oman 🇴🇲
Tupo live😂😂
Nitumie namba ako tuchat bas shost
@@ZamzamMusa-ve5tc 😂😂😂😂😂
Mbona wacheka jaman
Kwahiy sasa
Yaan candi umeona uvae abaya kabisa 😂😂😂na bado utavaa kimasai mana kai ako ndi tumboni kwa zuli 😂
Misumari huo
Sania ndio anataka kuharibu vitu huku😢😢😢😢😢
Hashindwee
Ila sania na waganga! Candy nawe nikab gani hio komwe lote lipo nje,nyoo😂😂😂
😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Uleonaee
Hiii move ishaanza kuaribika iishe tu bn
Mmmmh uyu sania 😢mbona kamzidi shetani
Sana tu yani uyu kila prani anazo kaone lalivyo kauka 😂😂😂
Jaman “”””my mother vp”””” au ndo tusubir mambo mazur hayatak haraka😊
Sania kakosea shart ajipange kwa lolote
Oooh
Kenny niwakati wko wakuikosa furaha ss naona umeanza kuitambua thamani ya Kai nandii ni too late.....Kai nakupengeza kwa msimaamo wko mpende mkeo kwa hali na Mali nawfatilia nkiwa Kenya nawapenda saanna kwa mafunzo yenu mazuri🎉🎉🎉❤❤❤❤
waaah camera man jmnii😊😊staki mmharibiee mr tasha na zatitii mm jmnii mbnaa mnawafnyia hviii ..😢😢 waachni wapendnee ....hatiimaa tiimaa tiiimaa hatiimaa timaa ×3ya ndo ya yetuu
Mapema ndio i likey kazi nzuri sana busaliti 🥰🥰🥰
Nilisema mimi malizeni hii series inakoelekea mnaharibuuuu
Kazi nzuri sana
Sania mucawi mapenzi hayalazimishwi Sania wevipi ,Candy leo kava ninja makubwa 😂😂
Bravoooo Kai zuuuu mama kijacho
Ila Sania 😂😂 Bora Ata kakamatwa😅
Wa kwanza jmn
Nimefurahi masharti yamganga Kwa Sania yamevunjwa ameonekana na mama tasha
Sania kimekuranba jicho limekuona
😮candy huhuhuhuh uwiiii baibuwi tenaa
Nipeni lake zangu from Congo 🇨🇩
Inaenda kuharibiwa sasa, asa season 3 itakuwaj 😮😮
Napenda huo wimbo bna
Nawapenda jamani wote ❤❤
Wapiii house girl nawapenda Tim zatiti jaman
Tasha Mungu akusimamie jmn naogopa kwelii kitu kibaya kicje kukupata😢😢
Haya ahsanteeeeeee mganga
Jamani mchumba wa kibendu mzuri ivyo
Nilijua tu Sania atayakoroga😅😅😅
Nawapenda sana❤❤
Mpo vizru sana hadi rah🤩
Wa kwanza kutoka Kenya pia Gulf mpo ndani,,Wacha nimalizie kuwatch kabla ya kuomba like kuja
Tupo hapa juba, Kenya oyeee
Nootore buna etariki❤❤
@@12omochildren omogusii ominto uko ndani
Tasha kama tasha mnaomkubali washable gonga like
hongera kaka kai
Nawapenda san busati TV kazi Zuri san❤❤❤❤❤
Wanao mkubali Tasha gonga like😂❤
Good job
Huyu camera man ataka ushahidi wa uongo apelekee zatiti 😂😂😂nani ameona kama mm
Mama p ❤
Nafurai sana kama nitaona mutoto wa kai,
Watu hamlali duuh nawakubali hii mmei like ❤❤❤
Tupo sana
Jaman watu hawalali 😂😂
Bendera chuma mlingoti chuma tafuta upepo wako mbuzi weweeeeeeh 😂😂😂
Kand umejigeuza maraika😂😂😂❤❤❤
😂😂😂sania kamekua mwanga😂😂waaah ndio maana haunenepi kumbe ni mshirikina❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Wa kwanz Leo..nimuone zatiti Wang
Jmn Sania kanza uchawi😂😂😂
Sania kakosea masharati ya mganga kitamkuta kitu