🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 29

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 19 днів тому +1

    Dunia hii Usimwamini tena Hata Mtu labda Mamako Mzazi tu ndiye wakumwamini

  • @RobartNgwembe-m3h
    @RobartNgwembe-m3h 19 днів тому +2

    Wakati mnatoa ruhusa ya hicho kikundi kufanya shughuli za kilimo mlikuwa hamjui kuwa hicho ni chanzo cha maji? Mbona mnakuwa wababaishaji, daa nchi hii ni ngum sana.

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 19 днів тому +3

    Kama halali haitoshi hata halamu haito faa poleni wafiwa

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 19 днів тому +1

    TANZANIA MTU AKIIBA MKATE ANACHOMWA MOTO MTU ANAVUNJA NYUMBA ANACHIEA TU

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 19 днів тому +1

    Iyo ndio ccm bana

  • @MonayLai
    @MonayLai 19 днів тому

    Hii nchi imeshaharibika ukiona viongozi hawayakemei basi matukio kama haya na ya utekaji lazima yaendelee kuwepo, inasikitisha sana kwa kweli

  • @JohnMagudi
    @JohnMagudi 16 днів тому

    mpaka mipara chichi inakuwa hivi mlikuwa wapi ,ubaya ubwela kweli

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh 18 днів тому

    Shikamoo Tz

  • @mrmtei9654
    @mrmtei9654 19 днів тому +1

    Kwanini kila kitu mnamtaja Rais,chapa kazi kwa kujiamini bro kila kitu rais,rais why?.

    • @AliJuma-go4rc
      @AliJuma-go4rc 19 днів тому

      Punguza wivu Kwa mambo yasiokusaidia chochote ndugu fanya kaz utafute hela wao hata waseme kwani wamezid au wamepungukiwa wap na ww umepata shida gn?

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 19 днів тому

    JAAAAMAAANIIIII WAENDEEE WAPIII VIJANAAA HAOOO??? NII KUUUWANAAAA KABISAAA

  • @user-qm7sv3gq4x
    @user-qm7sv3gq4x 19 днів тому

    AMA KWWLI UKISHANGAA YA MUSA ,UTAONA YA FILAUNI. DUH!

  • @MonayLai
    @MonayLai 19 днів тому

    Migogoro ya ardhi bado tatizo kubwa halaf huyu waziri asichague migogoro tuu ya kutrendi kwenye vyombo vya habari atatue migogoro kwa wananchi wa chini asitangulize siasa

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 19 днів тому

    Nyuma zawadi zinabomolewa kweli ccm mkowapi😊

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 19 днів тому +3

    mlikua wapi toka wanaanza miaka yote

  • @MonayLai
    @MonayLai 19 днів тому

    Alah hilo la kubaka jamani yule mkuu wa mkoa mbona hatusikii tena kesi yake au ndio kama kawaida imeshawekwa kapuni?

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 19 днів тому

    NII MATESOOO SANAAA. KUUWANAAA TUUUI HAPO TUSIKUBALIII. UONEVUU SANA😭😭😭😭🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭

  • @tobiaskigodi3780
    @tobiaskigodi3780 19 днів тому +3

    Viongozi walikuwa wapi kuzuia mapema kabla watu kuotesha miti hiyo,nyakati nyingine viongozi wamechangia tatizo!

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 19 днів тому

    Roho mbaya hiyo hamna lolote waachieni Vijana Watanzania Wapate Riziki Zao hawaibi Wala Sio Majambazi Hii inawasadia vijana wasifanye matendo Mabaya mbona mwanzo mlikubaliana nao wakapanda hii sio Sawa subiri maparachichi yakuwa kisha mtoe lakini tutafuatilia kuchunguza nani anachukua hii Biashara utakuta wao ndio wanakitaka kwa manufaa yao binafsi hayo twayajua sana.

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 19 днів тому

    AJILA HAKUNA SASA NINI TENA???

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 19 днів тому

    Majina sita nayajua yalikua hayamo kabisa kweny wafanya biashara kariakoo sijui yametoka wapi

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 19 днів тому

    Jamani na nyie ni wauaji Sasa mpaka parachichi zimeanza kutoa matunda mnaleta Sheria zenu mwanzo mlikuwa wapi viongozi wote wachukuliwe hatua mojawapo wawalipe hao vijana pia viongozi hao wawajibishwe ina maana hawafanyi KAZI zao kiufadhaha je hao vijana wstaendelea kweli

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 18 днів тому

    Viongozi hawa vijana kabisa nauhakika watafuatilia watoke maofisini na kwenda kwenye tukio na kufanya ufuatiliaji

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 19 днів тому

    HAPANAAA KWANINII? VIONGOZII MNAFANYA NINIIIII?????? DAMU ITAMWAGIKAA

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 19 днів тому +1

    Mh!!

  • @RamadhaniMsagati
    @RamadhaniMsagati 19 днів тому

    Maigizo had lin

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 17 днів тому

    Sasa mipalachichi ni miti na kwenye vyanzo vya maji panatakiwa kupandwa miti ivi KWELI hao viongozi wanazo akili tinamu au Kuna ajenda zao au visasi au wana wivu na hao vijana Sasa ole Wao hao wanao amuru miparachichi miparachichi ing'olewe wataisoma namba wapuuzi hao

  • @user-kj5jp2ii5n
    @user-kj5jp2ii5n 19 днів тому

    Wajinga hao maafisa, kwani maparacgichi yanaharibu je mazingira? Kwani ni majengo hayo? Maparacgichi ni miti ambayo nayo yanatunza mazingira, labda kuna sababu nyingine siyo mazingira!.