SEBA MISUKOSUKO: “MIMI NDO VAN DAME WA BONGO, NAHANGAIKA KUTAFUTA WADHAMINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 565

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 8 місяців тому +151

    Huyu jamaa anajua sana kuigiza, hasa movie za action, wanaomkubali seba twenzetu na LIKE ZAKE. 👍

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 8 місяців тому +31

    Filam pekee ambayo Haijawahi kupatikana tena' Tanzania na Africa mashariki ni Filam ( MISUKOSUKO ) Jeplas na Sebastian ni filam ya Kimataifa' na haijawahi kupatikana tena Africa mashariki, filam bora zaidi ya MISUKOSUKO
    Hawa Jamaa ni HATARI sana 💪💪🔥🔥 👏👏👏

    • @fj8317
      @fj8317 8 місяців тому

      Hiyo kauli haijawai tokea filamu kama Ile ni uongo wewe sio mtazamaji wa filamu za Tanzania sidhani kama ulishawai kulipa tiketi mliman city kwenda kucheki filamu

    • @CHEKAtvSIMBAvsYANGA
      @CHEKAtvSIMBAvsYANGA 8 місяців тому

      @fj8317 Mpige na vibao anazingua, Africa mashariki ni kubwa na Industry ya filamu imekua kwa kiasi cha ajabu sana.

  • @BoniphaceMagai
    @BoniphaceMagai 8 місяців тому +32

    Kwakweli mpo vizuri sana makaka zangu

  • @mohamedjuma9522
    @mohamedjuma9522 8 місяців тому +2

    Sema tu wivu watanzania huyu jamaa anajua 🎉sana 254 tunamtambua sana Seba 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jacksonkitta7219
    @jacksonkitta7219 8 місяців тому +27

    Humo Kuna kasinka au chang'aaa daah Sebastian mwanangulo kitambo sana

  • @LeonardMarca
    @LeonardMarca 8 місяців тому +15

    😂😂😂 kuna kitu nilikuwa najishangaa Hadi mimi mwenyewe seba aliigiza kama MTU mmoja mbaya sana kwenye misukosuko ,katili mporaji yaani kama MTU flani hivi asiye mstaarabu ,, cha ajabi nilikuwa nakuwa upande wake na kumsaliti j plus mtenda mema SEBA NAKUKUBALI SANA MCHIZIII RESPECT TO EATV😂😂 LOVE YOU

    • @CHEKAtvSIMBAvsYANGA
      @CHEKAtvSIMBAvsYANGA 8 місяців тому +5

      Kumwambia Seba 'Love You' na wewe unaitwa Leonard, sio jambo jema sana.

    • @paulmwadzame8261
      @paulmwadzame8261 8 місяців тому

      Hehehe apo napo kweli

    • @MeshackBrayson
      @MeshackBrayson Місяць тому

      😂😂😂 DAaah kishoka ni chawa kuliko baba levo

  • @philipjones-yq4ec
    @philipjones-yq4ec 8 місяців тому +62

    Inaonekana hayupo Sawa uyo Seba

    • @KingMohaliyy
      @KingMohaliyy 8 місяців тому +1

      Umeona kumbe pia ww

    • @rubberbandman1213
      @rubberbandman1213 8 місяців тому +2

      Hapana mbwembwe tu

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 8 місяців тому

      Mbwembwe gani mtoto wa kiume, kama haitaji kuhojiwa mbona anahojiwa halafu moja ya sapoti ni kuhojiwa ili watu wakuone na wewe mwenyewe ujue namna ya kujitangaza.​@@rubberbandman1213

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 8 місяців тому

      Mateke yamemchengua medula oblangata imecheza, ama tuseme dish limeyumba.😂

    • @Onesmojuliuslemgoha
      @Onesmojuliuslemgoha 8 місяців тому +2

      Alukuwa ameshapiga vyake😂😂😂

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 8 місяців тому +10

    Huku kdg nmeanza kumwelewa lakn kule ista aise ckumwelewa kbs

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 8 місяців тому +1

    Asante bro kuku ona jimmymaster nimekutananae mzee wa mishe hapoi kitaa japo hataki kutuonyesha mavitu Yale ya kitambo one Love nawakubal kinoma noma ❤

  • @yasinizedi4246
    @yasinizedi4246 8 місяців тому +23

    Uyo ata ukikutana nae mtaani yupo kimya sana unaweza sena anamatatizo ila ndo alivyo ivyo

  • @victorianbenardnachenga6839
    @victorianbenardnachenga6839 8 місяців тому +25

    Seba anaigiza jinsi alivyokuwa anazungumza boss wake wa zamani wa kuitwa Charles Mbowe(R.I.P legend)...!!!

  • @sulempemba1747
    @sulempemba1747 Місяць тому +1

    Jamaniyeee yani huyuseba kapotea namkubali sana 🎉

  • @offblogmedia
    @offblogmedia 8 місяців тому +14

    i grew up watching these guys' movies... fear of failure inawezakua imemfanya awe addict kwenye some drugs that's lead to the way he is now.. but it's not too late to change. wapewe support so they get back into shape mentally

    • @SniperSamson
      @SniperSamson 8 місяців тому

      Ni kweli anatumia kilevi Frani naona tu namna anavyoongea ila inaonekana imemuathiri

  • @Josamjosam8
    @Josamjosam8 8 місяців тому +40

    Mwamba kapiga kitu ndo mkaenda kumuoji wacha ayamwage

    • @SambroSwediBC
      @SambroSwediBC 8 місяців тому

      Daaah yani Watanzania nawapendaga sana, mana amkosagi maneno😁😁😆

    • @CHEKAtvSIMBAvsYANGA
      @CHEKAtvSIMBAvsYANGA 8 місяців тому +1

      Kabla ya camera lazima ushtue kaka, hata baadhi viogozi hupiga mmea kidogo afu ndo wanaanza kutuletea upembuzi yakinifu.

    • @SambroSwediBC
      @SambroSwediBC 8 місяців тому +1

      @@CHEKAtvSIMBAvsYANGA😂😂

  • @FatumaShabani-mp9vt
    @FatumaShabani-mp9vt 8 місяців тому +15

    Mtafuteni jimmy mponda na yeye jamn nimemisi jaman 😭😭😭 j please mtafuteni jimmy jamn

  • @MNHAMAOFICIAL
    @MNHAMAOFICIAL 8 місяців тому +10

    Kwelu sio Maju

  • @shikokanjora1493
    @shikokanjora1493 8 місяців тому +97

    Sikumweliwa Seba Instagram imebidii nifwate full interview uku😅😅😅😅😅😅😅😅😅wapi like za 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

    • @djcrushton
      @djcrushton 8 місяців тому +4

      Na mimi pia

    • @FadhilNassor-xz3ww
      @FadhilNassor-xz3ww 8 місяців тому +2

      ww kama mim😃😃😅😅🤣🤣

    • @miriyamasanja6766
      @miriyamasanja6766 8 місяців тому +2

      Na Mimi ndio nimejia icho icho😂😂😂😂😂😂

    • @miriyamasanja6766
      @miriyamasanja6766 8 місяців тому +2

      Na Mimi ndio nimejia icho icho😂😂😂😂😂😂

    • @spartachize122
      @spartachize122 8 місяців тому +1

      Yaani wewe ndo mm kabisa😂

  • @musaabdi7818
    @musaabdi7818 8 місяців тому +30

    Duh. Mwanetu hayupotena na sisi wameshampiga Ase😭😭😭😭😭

  • @mussajafarisideboy-lt2vp
    @mussajafarisideboy-lt2vp 8 місяців тому +10

    Wapo vizuri sana wapeni kazi tume wamiss

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 8 місяців тому +5

    Nawakubali sana hawa jamaa tunasubri kazi zenu mpya tupo pamoja Seba na Mr jimy

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 8 місяців тому +17

    Nashangaa tamthilia za saiv wanaweka madubwasha kibao wakat waigizaji wa maana wapo hawawapi connection

    • @fj8317
      @fj8317 8 місяців тому

      Madubwasha kivipi acha kudharau watu bro dhama Zimebadilika hata Nigeria sasa hivi wanaopewa nafasi ni kizazi kipya

    • @CHEKAtvSIMBAvsYANGA
      @CHEKAtvSIMBAvsYANGA 8 місяців тому +1

      Huyu mwamba kaongea kwa uchungu sana

  • @chadyptz3137
    @chadyptz3137 8 місяців тому +20

    Sebastian mweyekete mwanangulo.... Rudi kwenye tasnia ya film brother.... Mungu awalinde mi pia nataman Sana kufanya kazi katika film za action

  • @braytonbrayton9658
    @braytonbrayton9658 8 місяців тому +2

    Nakukubali Sana seba for real wote

  • @robbyysmchimba4477
    @robbyysmchimba4477 6 місяців тому

    Jaman ndukngu zangu wa Tanzania mashabik wa seba kaka yetu ayupo sawa kabisa jamana wa tz🇹🇿 wenzangu duuu 😭😭🙏🙏

  • @selemantx
    @selemantx 8 місяців тому +10

    Ila seba muhuni sana anavyo jibu

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 6 місяців тому

    Mmmmm seba jp mpo hongeleni sana

  • @allyhabibu1117
    @allyhabibu1117 8 місяців тому +4

    Mtalam mwenyewe mnoma sana

  • @kennethmasha5507
    @kennethmasha5507 8 місяців тому +19

    kazi kazi,,mwanenu BAD BOY awape ramani

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 8 місяців тому +20

    The guy is in a good shape

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 8 місяців тому +11

    Dah ila co kesi walitambulisha sana hii inchi yetu

  • @matugarecords
    @matugarecords 8 місяців тому +2

    Jamaa yupo vzr sana

  • @allykimeru944
    @allykimeru944 8 місяців тому

    Safi sana nimefrahi kupata taarifa zao😊

  • @alvintemba8378
    @alvintemba8378 8 місяців тому +10

    Mwamba anaendelea kujidunga huku interview Inaendelea 😂😂😂

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 8 місяців тому +7

    Seba akili kubwa sana yaani 👏🏻👏🏽👊🏽✊🏽😃😃

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 8 місяців тому +13

    Ayo maji mbona anakunywa kakunjaa suraaaa ivyooo aseee

    • @abuumkota5505
      @abuumkota5505 8 місяців тому +1

      kwaiy unataka kusema yanaweza kuwa sio maji ni gongo auu😄😄

  • @IbrahimMsovu
    @IbrahimMsovu 8 місяців тому

    Nakubali Sana Kazi zao ni hatarrrrrrrrre 🎉

  • @SajoAbel
    @SajoAbel 8 місяців тому +1

    Namshauri seba akanyagie hapo hapo anarudii mjini

  • @medaicetz
    @medaicetz 8 місяців тому

    Dah noma sana seb na jimy ni vioo vsivyovunjika mpak kesho watu watajtzam kuptia wao ila kwa har nayoiona kweli Tusapotin harak sana man tunavochelew dah har ndo kama hyo kwa macho na uskiv mzur utagundua kuna kitu hakiko saw may be ni stress za muda mref😢

  • @Saidy-eu1hc
    @Saidy-eu1hc 8 місяців тому

    Jaman seba rudi bongo move nakupenda mnoooo

  • @rodrickibrahim
    @rodrickibrahim 8 місяців тому +7

    kama humjui uyu mwamba unaweza sema kalewa lkn apo yupo gado kalifiti jichanganye uone ✋

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 8 місяців тому +8

    Amelewa hayo maji.Anayoongea mie sijayaelewa😂😂😂,au sijui ni akili yangu tu nzito.
    Okay,haikoni.....endelea kunywa maji.😂😂

  • @ramadhanimwambeni1259
    @ramadhanimwambeni1259 8 місяців тому +7

    Ila huyu nkama ameonja kamyeso😂😂😂 hayuko sawa ❤❤❤😂😂😂 ila nawakubali sana hawa jmaa wawili good job my brothers😂😂

  • @YohanaKanyerere
    @YohanaKanyerere 8 місяців тому +1

    Huyu jamaa nmemuelewa 🙏wanahitaji saport

  • @alexmathias6620
    @alexmathias6620 8 місяців тому +8

    😂😂😂😂dogo kashapigwa za uso Kama Chid benzi kashakula ndum anahitaji msaada

  • @klystry1234
    @klystry1234 8 місяців тому +13

    Hii ndo interview ambayo huwezi kuelewa wala kucomment

  • @TimotheoNkuze
    @TimotheoNkuze 8 місяців тому +1

    Nakukubari sana mkuu

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 8 місяців тому +29

    Eatv nyiny ni mafala sana kwamlivyoiweka hii habari ni kinafki sana😡😡😡😡

  • @samoy5481
    @samoy5481 8 місяців тому +7

    Hayo kwenye chupa sio maji mwamba anakata wese mdogo mdogo mpaka interview ishii kitaeleweka tu,,,kama hauna D tatu huwezi elewa

  • @ChrisantEmanuely27
    @ChrisantEmanuely27 8 місяців тому +31

    Seba ndo anaongeaga ivoivo uwezi kumuelewa

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 8 місяців тому

      😂

    • @ZuwangaTz
      @ZuwangaTz 8 місяців тому

      Kabisa 😂😂😂

    • @TinaMwasekaga
      @TinaMwasekaga 8 місяців тому

      Simuelewi

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 8 місяців тому

      anajibu ambacho hajaulizwaa 😂😂 watu wanawaza kaz kwann hawaigiz yy anasem wapo

    • @james-lx6rf
      @james-lx6rf 8 місяців тому

      @@faidhamyovela179 kwan wee hujaelewa nini hapo

  • @fredrickomondi9307
    @fredrickomondi9307 8 місяців тому

    Kabisa I love my people Jimmy I solute you sir

  • @TigerRobmshu255
    @TigerRobmshu255 8 місяців тому +8

    Kwa haraka haraka huyu mchizi ayuko Sawa physically mentally inaonaonekana yuko addicted na drugs au ulevi maana hata appearance yake inaonyesha kabisa,, na kwa kile walichokifanya kipindi kile hawakutakiwa kuomba wafadhili Hawa watu wanajitosheleza kabisa wao wenyewe tu,, acha pombe na drugs brother tuliza akili wewe

  • @anitavictor-ig1jp
    @anitavictor-ig1jp 21 день тому +1

    Nmefulahi sana, nimekumbuka mbali sana jaman, mtafuten na j pblas a.k.a baba Lulu. 😂😂

  • @prezyb1699
    @prezyb1699 8 місяців тому +7

    Huyu jamaa ukirudia kuskiliza mara ya pili ndo unajua yuko sawa wala sio dishi

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 8 місяців тому +21

    Lamata awape kazi hawa jamaa…wako vizuri

  • @Jafaly_MATELEPHONE
    @Jafaly_MATELEPHONE 8 місяців тому +12

    Mmmh comment zinadhihilisha TZ tunatatizo la mungu watu😱😱😱😱😱

  • @jullythedone8615
    @jullythedone8615 8 місяців тому +1

    Kwani hayo maji Yana wingi gani mbona hayaishi na nimeupe Sana lakini sawa Kuna watu Miungu watu wanawaharibu watu zetu pendwa tuliowapenda toka tunajifahamu

  • @miriyamasanja6766
    @miriyamasanja6766 8 місяців тому +7

    Yani najaribu kumuelewa ila simuelewi nabaki kuchanganyikiwa😂😂😂

    • @abubakarjabir3132
      @abubakarjabir3132 8 місяців тому +1

      Hapana msikilize vzuri, Yuko vizuri kabisa

  • @jacksonMwaisumo
    @jacksonMwaisumo 3 місяці тому

    Yaani hawa jama noma sana

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 8 місяців тому

    😂😂😂😂 Seba wa misukosuko 😂😂 natamani kumuona Jimmy ❤❤

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 8 місяців тому +1

    Tumekumis snaa sebaaa

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x 8 місяців тому

    Daaa kitambo sana❤❤❤❤

  • @djnangaxtwo2975
    @djnangaxtwo2975 8 місяців тому +9

    Ilo wei la kichwani umechola na Panga au msumeno

  • @BakariHamisi-ke6zv
    @BakariHamisi-ke6zv 7 місяців тому

    kaka rudi mungu atakufulia zaahidi

  • @luka-gs4cc
    @luka-gs4cc 8 місяців тому

    wamepotea sana bhna

  • @DamasFaustine
    @DamasFaustine 2 місяці тому

    I like this guy

  • @kiya0910
    @kiya0910 8 місяців тому

    Nawapenda Sana hawa Jimmy na seba😂😂😂❤

  • @GeluadaMbepera-ys5wt
    @GeluadaMbepera-ys5wt 8 місяців тому

    Tunaomba muendelee na kazi aise

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 8 місяців тому

    Muko vizuri

  • @DominicMulwa-x5o
    @DominicMulwa-x5o 7 місяців тому

    E News mko sawa.

  • @maulididdi7360
    @maulididdi7360 8 місяців тому +1

    Inaonekana hayupo sawa

  • @TilferMtiga
    @TilferMtiga 8 місяців тому

    Anaonekana hayuko sawaa jaman😢😢 sjui wana shda gani jamn

  • @MickyElius
    @MickyElius 8 місяців тому +3

    Kweli hayo anayo kunywa siyo majiii aseee😅😅😅 hicho kitu kikali

  • @AlhajiRocky-xd5vl
    @AlhajiRocky-xd5vl 8 місяців тому +4

    Jaman mm sijafaham chochote

  • @PhaterialVision
    @PhaterialVision 4 місяці тому

    Huyu jamaa yupo sawa kweli jamen mbona kama hayupo sawa

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 8 місяців тому

    Sébastien mwanangulo sauti ya kikorofi😂😂😂😂😂😂

  • @dameboyboy2068
    @dameboyboy2068 8 місяців тому

    Nakubal kaka

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 8 місяців тому +11

    Konyagi ileeee kene kopo nmeinusa

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 8 місяців тому +4

    Wapi seba ,wapi mponda

  • @HalimaAthumani-he5bd
    @HalimaAthumani-he5bd 8 місяців тому +1

    Mh uyu shoga jamani

  • @issanaseeb7699
    @issanaseeb7699 8 місяців тому +8

    Huyu seba mbona kama simuelewi anarudia rudia maneno kama kadata

  • @AshuraBodi-sq7fm
    @AshuraBodi-sq7fm 8 місяців тому

    Ila huyu 🤔🤔🤔😨😨

  • @HeroJoseph-nm8pv
    @HeroJoseph-nm8pv 8 місяців тому +1

    Ila bongo kubwa sana inaweza kumeza wasani wasisikike wala kuonekana ivi wanajificha wap? Sasaivi ili ujuwe MTU Bado yupo ama hayupi mpaka mtandaoni daa sio POA

  • @Tagy21
    @Tagy21 8 місяців тому +1

    Misukosuko part 3 wapi

  • @sadicknyange1917
    @sadicknyange1917 8 місяців тому +1

    Dahhh nimecheka sana akimaliza hayo maji hatoondoka hapo mwache akapumzike

  • @AdrianAyubu
    @AdrianAyubu 8 місяців тому

    Hayupo sawa seba really yan

  • @aminahussain3058
    @aminahussain3058 8 місяців тому

    Nawaoubari sanaaa

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 8 місяців тому

    Seba nakubali sanaa

  • @Osama-dy9et
    @Osama-dy9et 7 місяців тому

    Daah bro seba umri umeend kidog

  • @marryhancy1632
    @marryhancy1632 8 місяців тому +1

    Huy comedian sijui kapiga vitu vyeti😂😂😂

  • @chobushaka7650
    @chobushaka7650 8 місяців тому

    Namiss sana movie zao

  • @salumuwembo-fo5rr365
    @salumuwembo-fo5rr365 8 місяців тому

    Ooohh Seba amekuwa mze🥺🥺🤔🤔

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 8 місяців тому +9

    Hawa wametengeneza movie kali haijawahi kutokeq

  • @JohnMfyagisa-c7u
    @JohnMfyagisa-c7u 8 місяців тому +1

    Icho kidole sasa afu jaamaa yaani kama ayupo sawa iviii

  • @LabbanPaul
    @LabbanPaul 8 місяців тому

    Wapewe sapot

  • @dmblackfilmz
    @dmblackfilmz 8 місяців тому

    HUYU ni master toka zamani

  • @edgerjohn
    @edgerjohn 8 місяців тому +5

    Hayo sio maji hayo😂😂😂😂

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 8 місяців тому +2

    Seba yale mangumi alochezea ya mereran arusha yamechomoa waya mmoja...jman j plus ulimfny vby mwenzio...
    Ila ninawapenda sanna hawa watu

    • @PABLOESCOBAR-b2p
      @PABLOESCOBAR-b2p 8 місяців тому

      😂😂 ayuko saw kiakili

    • @dashuu5295
      @dashuu5295 8 місяців тому

      @@PABLOESCOBAR-b2p wallahy cku akihojiwa jplus naomba mungu awe Yuko salama mana seba jmn nmehudhunika au ndo kaja kivyengine

  • @mariamutemu9494
    @mariamutemu9494 8 місяців тому

    Nimekaa na mateja tofaut nawajua sana uyu anavuta ungu tu .. kwaelini

  • @goodluckmichael3492
    @goodluckmichael3492 8 місяців тому +9

    😂😂😂😂jamaa anajua bdo ni jambaziii

  • @MwadukaChimera
    @MwadukaChimera 7 місяців тому

    Ft sana nipe nyengne kali