"KUZIMU NI HALISI IPO NA UNAWEZA KWENDA NA UKARUDI" | MCH.AMIEL KATEKELA ALIYEKUWA WAKALA WA SHETANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 29

  • @nevianvitalis1141
    @nevianvitalis1141 5 днів тому +3

    Tangia nimeanza kukufaham Mtumishi wa Mungu Amiel.kuna kitu kikubwa Sana nimejifunza .. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki zaidi

  • @esterleance5529
    @esterleance5529 4 дні тому +1

    Mungu akupe maisha marefu mchungaji wangu

  • @AbelHelandogo
    @AbelHelandogo 5 днів тому +6

    Shuhuda zako mtumishi, zimeniongezea ufahamu zaidi juu ya shetani na harakati zake juu binadamu, lakini pia jinsi ya kuishinda hii roho ya uasi..!! Endelea kutufumbua ni nyakati za mwisho kweli.

  • @GggyJhh-y4x
    @GggyJhh-y4x 5 днів тому +1

    Ameen pastor kwakwel mungu amekutoa mbali sana Jina la bwana libarikiwe

  • @TinalaSanga
    @TinalaSanga 2 дні тому

    Mungu atende makuu hao uliowapa ushuhuda wa kuokoka kwako,waachane na udini,wampokee Yesu.

  • @ScolasticaHaule
    @ScolasticaHaule 5 днів тому +1

    Kupitia mahubiri haya nimebarikiwa sana skukrani kwa neno zuri🙏🙏.

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 3 дні тому

    Mungu akubaliki mchungaji

  • @agnethapaul6057
    @agnethapaul6057 4 дні тому

    Nimefurahi sana kukuona umesimama kwenye madhabahu hiyo ya Padre..... Karibu sana mtumishi na timu yote ya promover.

  • @ElikiSeverino
    @ElikiSeverino 4 дні тому

    Amen ubalikiwe baba

  • @NeemaKiza
    @NeemaKiza 2 дні тому

    Uinuliwe juu zaidi

  • @agnethapaul6057
    @agnethapaul6057 4 дні тому

    Karibu RC

  • @VirginiahMunka
    @VirginiahMunka 6 днів тому

    You really bless me mchungaji, I pray to meet you one day

  • @RithaClara
    @RithaClara 4 дні тому

    Asante sana mtumishi wa MUNGU nimeelewa ni kwanini sifanikiwi

    • @JereminaNyamwiza
      @JereminaNyamwiza 3 дні тому

      Kwani mtumishi unajibadilisha ngozi au niutukufu wam Mungu

  • @RamadhanMarco-o5s
    @RamadhanMarco-o5s 5 днів тому

    Amina kabisa

  • @NkwimbaMbogo
    @NkwimbaMbogo 5 днів тому

    Amiina mchungaji

  • @janerosejohn8373
    @janerosejohn8373 4 дні тому +1

    Hubiri dhambi wakatoliki wanasali na dhambi madhabahuni, waokoke!

    • @caimedia
      @caimedia 2 дні тому

      Aisee, ajidhaniaye amesimama aniangalie sana asije akaanguka.

  • @HaruniEriasi-fb8yy
    @HaruniEriasi-fb8yy 3 дні тому +1

    Ww kwer mtu w mung unaingia ata kwa mafarisayo

  • @MarrySanjingu
    @MarrySanjingu 4 дні тому

    Kweli MUNGU aitwe MUNGU

  • @MwingaSheyo
    @MwingaSheyo День тому

    Toka nimeanza kukusikiliza nimejifunza mengi hata familia yangu wamejifunza mengi kupitia wewe mchungaji

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf 5 днів тому

    Minara ya mashetani ndio ipoje?

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 дні тому

    Jamni waislam wako wapi??????

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy 6 днів тому

    Amen

  • @peterwakhungu6895
    @peterwakhungu6895 5 днів тому

    Mchungaji huyo Stephen Kanumba kwenye madhabahu ni Padri wa Kikatoliki?

  • @Kingsalumoni
    @Kingsalumoni 5 днів тому +1

    Amen

  • @Elizabethmuronji
    @Elizabethmuronji 5 днів тому

    Amen

  • @MuyaHappy-j8y
    @MuyaHappy-j8y 4 дні тому

    Amen