Alikuwa ni makamu wa Rais kipindi Magufuli kaanza ujenzi, yani nafasi ya karibu mno kujua A hadi Z ya mradi huo kuliko mimi na wewe, alikuwepo kwenye hiyo miradi kama insider, kuliko nyinyi mnajifanya mnajua mno hiyo miradi. Halafu miradi inakamilika akiwa kama Rais, anaijua hiyo miradi kuliko sisi wote.
Mungu mkuu Tanzania 🇹🇿 yangu nakupenda viva mwanza
Makufuli 💔💕💕💕
Mwanza itapendeza sana
Reli ya juu iendane na majengo marefu iyo seem inapswa kujenga majengo ya kupendezesh jiji sio izo nyumb za igogo
Tren za juu juu kaanzisha nani..? Mbaka useme fulani anatisha...... kwanini usiseme magu ametisha
Magufuli lais wangu
Mwanza sehem gani hapo!? Kama ni barabara ya kutoka buhongwa kwenda mjini haipo ivo, pia treni imeanza lini kupita!? kama mlivyoonyesha inapita
ni mfano tu..computer zinafanya hivi vitu
Mfano wake elawa
Huo mziki ni nyimbo ya nani
Mmmhii kwer
Hatari
Vizuri
Mama Samia?how?
Hahahaha ndo nashangaa
Alikuwa ni makamu wa Rais kipindi Magufuli kaanza ujenzi, yani nafasi ya karibu mno kujua A hadi Z ya mradi huo kuliko mimi na wewe, alikuwepo kwenye hiyo miradi kama insider, kuliko nyinyi mnajifanya mnajua mno hiyo miradi. Halafu miradi inakamilika akiwa kama Rais, anaijua hiyo miradi kuliko sisi wote.
Lina urefu kiasi gani?
1.4 km
Viwanja 14 vya mpira