Salamu za kuwakaribisha wageni wa kongamano la 8 la CHAUKIDU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Mwalimu Said Omar alikuwa mwenyekiti wa kamati andalizi ya kongamano la nane la kimataifa la Chama Cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani. Pia ni Mkuu wa Idara ya Lugha na Utamaduni katika chuo cha MS TCDC. Yaliyonakiliwa hapa ni salamu zake kwa wakongamanaji chuoni MS TCDC, Arusha.

КОМЕНТАРІ •