Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine - Prof. Fikeni Senkoro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Prof. Fikeni Senkoro akidadavua uhusiano uliopo baina ya Kiswahili na taaluma nyingine.

КОМЕНТАРІ • 4

  • @MichaelTonga101
    @MichaelTonga101 4 місяці тому

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 5 місяців тому

    Nimepata fursa ya kukaa katika darasa la Prof. Senkoro japo kwa mtazamo wangu namuona hapendi "Kiswahili" cha Unguja na Pemba.

    • @femksenkoro3739
      @femksenkoro3739 4 місяці тому

      Astaghafirullah! Ni huyu Prof. mimi au mwingine?

    • @永轩黄
      @永轩黄 9 днів тому

      Shikamoo, bwana. Mimi nilianza kujifunza Kiswahili kwa muda mfupi na nilitafuta video hiyo. Lakini uwezo wangu wa kusikia sio mzuri. Je, unaweza kuniambia profesa huyu alisema nini kwenye video hiyo?