MUSSA CHESA AELEZA TUKIO ZIMA LA UJAMBAZI WA UBUNGO KUTEKA NA KUIBA PESA MBELE YA ASKARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 105

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 2 роки тому +6

    💃YESU ASIFIWE 🔥 Davista na team yote mubarikiwe❤️..nawapenda❤️.je vous aime.. 💃mutumishi Musa unapendeza kweli; ushuuda Yako ilinidjenga sana ; aksanti sana..😂😍💃 ❤️ The beauty of Gospel of JESUS CHRIST 🔥kwa YESU kutamuuuuu💃💃💃

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 2 роки тому +3

    Vizuri sana tunamsubiria na mr Meshack

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 9 місяців тому +1

    Mungu wetu halali

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 2 роки тому +7

    Amerudi tena Musa, safi sana! Ushuhuda wake ni mzto sana!
    Atupe pia mlejesho alisema kuna misukule atawarudisha kwa ndugu zao. Na sikia alipewa na fedha za ghalama hiyo!

  • @mariahjoseph384
    @mariahjoseph384 2 роки тому +7

    Karibu Musa .Kwa Yesu kuna raha sana

  • @bobkariz5663
    @bobkariz5663 2 роки тому +3

    Karibu tena Musa

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 2 роки тому +2

    Jembe Musa Chessa, karibu sana Mzee babaa

  • @marymwanziamary6623
    @marymwanziamary6623 2 роки тому +1

    Siku zote MUNGU ni mwema na yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa kwa MUNGU yanawezekana kabisa MUNGU ni muweza wa yote yeye ndiye huinua wanyonge na kuwatia nguvu hakika yeye niwa neema na mpole mnyenyekevu na anatupenda sana hataki hata mmoja wetu apotee milele MUNGU niwakuabudiwa na kupewa sifa daima milele AMINA

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 2 роки тому +8

    Jamani Mussa amenawiri kumtumikia Mungu kuna raha yake maana upo huru

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 2 роки тому +1

    Twende Kazi Mr....

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 2 роки тому +3

    Welcome mussa

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому

    Ushaur wangu unda group la WhatsApp tutakuunga mkono tutakuchangia Ahsante 🙏

  • @ajuahaoowbw3230
    @ajuahaoowbw3230 2 роки тому

    Mm nawaombea kwa mngu mufanikiwe na pia nihitaji no dkta mti mkavu

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 2 роки тому +2

    Aiseee nimefurahii Mussa wetu

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 роки тому +1

    Hoooye hoooye welcome back 💃💃🇰🇪

  • @caesarfranc
    @caesarfranc 2 роки тому +2

    Ila watanzania kujieleza shida. Unaambiwa eleza tukio la Ubungo unaeleza tukio la Mbeya. Na interviewer nae badala ya kumrudisha kwenye mstari kamwacha. Imebidi niache tu kuangalia

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 2 роки тому +3

    Musa chessa ako na afya nzuri naona.. Kwa kweli mungu ni mwema.

  • @judiehance1736
    @judiehance1736 2 роки тому +2

    Kweli kwa Yesu kutamu, brother Musa kapendeza ,shavu, ,

    • @omarchuo2178
      @omarchuo2178 2 роки тому +2

      Sadaka ndo inamtoa shavu sio Yesu.. yesu hakuwa mkristo

    • @judiehance1736
      @judiehance1736 2 роки тому

      @@omarchuo2178 ulivyo elewa hvyo hvyo upo sahihi 100% 🤣🤣🤣

    • @judiehance1736
      @judiehance1736 2 роки тому

      @@omarchuo2178 kwani Kipindi chote alivyokuwa ana ua watu na kupora Mali ,hakuwa na pesa,? Mbona hakunenepa na kupendeza hvyo, Iko hvo hizo shughul za dhuluma zinapelekesha Sana akili , huwezi kuishi kwa Raha ,muda wote roho juu na mawazo kuzidi, Huwa wanapitia wakati mgumu Sana majambazi , ukiona jambazi kapata mwli basi ujue ni wale wakubwa wanasubir vibaraka walete, ,sahivi Musa ana amani , hawazi akaue nani,apore wapi, nk, nadhani mpaka hapo utakuwa umenielewa , hvyo simaanishi Yesu ni mkristo Wala sijaongelea habari ya dini mimi, ,nimesema Yesu kulingana na Imani yake ,

    • @revocatuspaulo6716
      @revocatuspaulo6716 2 роки тому

      @@omarchuo2178 alikuwa mama ako au kuma ww unafirwa

    • @halimazubeir
      @halimazubeir 4 місяці тому

      ​@@omarchuo2178umeongea point 😂😂😂😂yani namuhurumia katoka kwenye ukatili kaingia kwenye dini ya mchongo dini ya maokoto😂😂😂😂

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 Рік тому +1

    Kupigwa risasi hakuna dawa za kinga, ni uongo. Kama dawa zingekuwa ni kinga ya risasi basi majambazi wasingekuwa wanapigwa risasi.

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 2 роки тому +1

    Dav anaogopa kutembelewa na wazee wa kazi

  • @ramermohamedy4344
    @ramermohamedy4344 2 роки тому +2

    Jamaa muongo sana👓😂😂😂

  • @deadcrush
    @deadcrush 2 роки тому

    Indian shirt. SHALOM.

  • @davidmadjandah1995
    @davidmadjandah1995 2 роки тому

    Tunaomba namba yake

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 2 роки тому

    Mr Everything mbona sisikii hakina sauti

  • @wisdomfitnessorganization8988
    @wisdomfitnessorganization8988 2 роки тому +2

    Mungu anisaidie siku nikipata fedha niahid kutengeneza movie ya huyu jamaaa

  • @IANA2030
    @IANA2030 2 роки тому +1

    A very wise man

  • @ElihrJonesministries
    @ElihrJonesministries 2 роки тому +2

    Wale wstumishi mbona hakutaja

  • @nurusky
    @nurusky 2 роки тому +4

    Huyu tapeli tuu. Kila siku ilikua, nitawataja, nitawataja ,kumbe ilikua zuga tuu

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 2 роки тому

      Punguza ujinga

    • @nurusky
      @nurusky 2 роки тому +2

      @@jonathanntare4787 ujinga ni wewe. Unafkiri kila mtu ni mpumbavu kama wewee.. Shida ya watu kama nyie hampendi kuambiwa ukweli kwa sababu ukweli huwa unawachoma kama kisu

    • @ramermohamedy4344
      @ramermohamedy4344 2 роки тому +1

      Jamaa tapeli tu huyu

  • @macamezunguzungu241
    @macamezunguzungu241 2 роки тому +1

    Musa cheza💪

  • @gamaneliphaz7716
    @gamaneliphaz7716 2 роки тому +1

    mwambie mussa chessa kama tunamsalimia

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 2 роки тому +6

    WEWEEEEEEEEE MUSA CHESA ACHA KABISA HAKUNA STORY ILIKUWA TAMU KAMA YA MUSA KARIBU MUSA TUKO PAMOJA KAKA

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 роки тому +1

    #Musachesa nashauri hayo majina ya majambaka kayataje police ukasaidie pia upelelezi

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 роки тому +3

    Davista mulize mussa wa chawi wote ambae wa nakuja kufanya mikasa yao wote wanakuwa wachungaji

  • @baravuga622
    @baravuga622 2 роки тому +2

    Kwa Yesu kuna raha sana..Mussa Chesa kang'aa Shavu dodo..😂😁

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 2 роки тому +2

    Shida hamkamilishi story

  • @mkamajames2786
    @mkamajames2786 2 роки тому +1

    Maaana kwenye hii mpaka jamaa akaamia mbea airport ila nazani ukutaka kumuuliza sababu iliusisha serikali pindi iyo bro ila kama kaokoka aseme tu kama anavo sema ulimbania kwenye ili ila Kuna video kwa Millard ayo ya mzee wapolisi alikuepo ubungo nikakonect dot nikajua ndio walikua wakinamusa ila kaisha okoka na mungu amuongoze tu maaana ishu ya ubungo iliku nyeti sana inahusu serikali ndio maana ubarikiwe wewe na mtumishi na waangaliaji wote

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 роки тому +1

    Come back musaaaa

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 2 роки тому +1

    Hammalizi stori mnaleta mpya mbatuchanganya

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Davistar unafanya Kazi kubwa Sana zaidi ya mtumishi. Binafsi nimeelimika Sana na kukaa juu ya mstari

  • @dunimambo9360
    @dunimambo9360 2 роки тому +1

    Uyo nitapeli tu

  • @AllyMadenge-u6o
    @AllyMadenge-u6o 21 день тому

    Sinema hiyo hakuna ukweli hapo

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 роки тому +1

    Tatizo lako davistar uko mwoga sana!

  • @tiffaommy846
    @tiffaommy846 2 роки тому +1

    💃🏼💃🏼

  • @bariuezekiel5841
    @bariuezekiel5841 2 роки тому

    Mussa karudi tena karibu

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 2 роки тому

    Kari mtumishi M. Chesa

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 роки тому

    Tatizo la mussa chesa ana2danganya xna alitwambia 2mfatilie atawataja wachungaji lakin hajawataja🙊🙊

    • @pendomwahalende4869
      @pendomwahalende4869 2 роки тому

      Mbona aliwataja wakina mwamposa ngwajima wote aliwataja we ulikua wapi

  • @rehemaally700
    @rehemaally700 2 роки тому

    Saf sana msa chesa

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 2 роки тому

    Ila wanasema ukiona mtumishi wa Mungu kavaa kacha mkononi, pete, mafuta, chumvi, kitambaa, na macheni shingoni ni watu wenye nguvu za giza. Vp Mussa naona kavaa mkononi inakuwaje?

    • @davidchesco1150
      @davidchesco1150 2 роки тому +2

      Soma biblia sio kila kitu ni nguvu za giza. Mtu anaweza akawa na vyote hvo na asiwe na nguvu za giza na pia mtu anaweza asiwe na vyote hvo na akawa na nguvu za giza.

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 2 роки тому +1

      @@davidchesco1150 shukran 🙏

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 2 роки тому

      @@davidchesco1150 shukran 🙏

  • @mwakazijuma1607
    @mwakazijuma1607 2 роки тому +1

    Jamaa wa Kazuramimba!

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 роки тому

    Musa kapendeza jaman

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому

    We mussa chesa ushuda wako unafanana na wa mtume paulo utofaut wake Paulo yeye alikuwa awauwa wakristo

  • @mkamajames2786
    @mkamajames2786 2 роки тому

    Davista story ya ubungo kwani aliimalizia

  • @davidmadjandah1995
    @davidmadjandah1995 2 роки тому

    Namba yke

  • @bryanlimbi326
    @bryanlimbi326 2 роки тому

    Kama anataka kuwataja majambazi si aende kituo Cha polisi akawataje !?

  • @ElihrJonesministries
    @ElihrJonesministries 2 роки тому

    Huyoooo

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому

    Polisi wangefanya namna ya kumtumia huyu jamaa ili awasaidie kuwakamata hao majambazi maana ametoka huko na alikuwa na kampuni kubwa la ujambazi kwa hiyo kwa namna moja ama nyingine atawasaidia sana alafu wampatie na urinzi maana mpaka sasa anamaadui wengi

  • @shafiimweusi6435
    @shafiimweusi6435 2 роки тому

    Huyu mwandishi anajua ethics za uandishi sio waandishi wanaoropoka hovyo hovyo

  • @mwana4599
    @mwana4599 2 роки тому

    Wengine walishikea bika hatia walikaa miaka 9 mahanadi. Huyu vipi?

  • @suzanadeimamo7726
    @suzanadeimamo7726 2 роки тому

    Mtu mkali

  • @smakas7391
    @smakas7391 2 роки тому

    Tupo leta mapya mussa

  • @ElihrJonesministries
    @ElihrJonesministries 2 роки тому

    Karudi na mm ndio wakwanza

  • @emanwelywambura2614
    @emanwelywambura2614 8 місяців тому

    Muongo hamaha

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +1

    Majambazi, wachungaji feki, nk inapaswa watajwe majina live

  • @HamixBreshiBane
    @HamixBreshiBane 2 роки тому

    Nasikitika sana ila tatizo kuamini ni shda sasa ntafanyaje nini

  • @frankmgunjimgunji9261
    @frankmgunjimgunji9261 2 роки тому

    Yan hii story inasisimua Kama ya kuma na yule jini

  • @charlesb.mwaipeta8415
    @charlesb.mwaipeta8415 2 роки тому +1

    asianze story sasa, maana jamaa kwa story hajambo

  • @mkamajames2786
    @mkamajames2786 2 роки тому +1

    Davista muoga hahaha

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 роки тому

    Davistar 2memmis ka Dan mlete tena

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 роки тому +2

    Wale wachawi wote ambae wame fanya kipindi wame angukia kuwa ni wachungaji na mitume na wana kuwa na miujiza na wana ombea watu izonguvu mme zitowapi za uponyaji nyie msitudanganye nyie bado mna mtumikia lusfa mnapitia kwajina la mungu kudanganya watu

  • @gaomariwa7637
    @gaomariwa7637 2 роки тому

    Sante

  • @davidmadjandah1995
    @davidmadjandah1995 2 роки тому

    Namba yake

  • @musavyaemedi7498
    @musavyaemedi7498 2 роки тому

    Eme

  • @tututz100
    @tututz100 2 роки тому

    MEZAA

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому

    Sasa wewe Davistar kwanini hutaki awataje? Mwenzio amesha okoka ujue so lazima aseme ukweli

  • @rummy2345
    @rummy2345 2 роки тому +1

    Chessa kama chessa

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 2 роки тому

    Nitarejea kuona

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 2 роки тому +3

    Tatizo unaongea sana

  • @emanwelywambura2614
    @emanwelywambura2614 8 місяців тому

    Muongo

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 роки тому

    Kitambo sana

  • @RobbyJimmy
    @RobbyJimmy Рік тому

    V

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 2 роки тому

    Karudi tena mzee wa kasura mimba

  • @sharifaabdallah5667
    @sharifaabdallah5667 2 роки тому

    Mzee wa kazula mimba

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc 2 роки тому

    Madawa yalikusaidia sana

  • @davidochieng7055
    @davidochieng7055 2 роки тому

    Mussa kama unaona hii meseji yangu utaelewa ni nini ulifanya juu yangu ila nakukubali sema punguza fix

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 2 роки тому

    Karudi