Duhh. Davistar unajua kufuatilia na kuunganisha wahusika wakuu wa hizi stories. Hapo upo vizuri sana kuendeleza stori hizi. Big up sana DM, Mr. Everything
Davistar Mata 👊👊👊👊🇬🇧🇬🇧🇬🇧ndizi kipukusa majini wana penda sana ,Daa hii Dunia km ujuwi upande wa pili utaabika sana,Hila kigoma mwisho wa Reli Shikamoooo
Shetani kwa kweli anatesa sana,yaani amefanya wanadamu wamekua watumwa wa mali na kuwafanya wasimuamini Mungu wa kweli,inabidi watu waridhike na wanachokipata.
Jamaaaani eti Musa alikua kibaka😂😂😂...Ninampendaga Musa automatic ata cjui kwanini Ila nampenda saaaaana jamani.Musa popote ulipo baba Kuna anaekupendaga huku🙏
Wambie hao wanaofuga rasta asili yake ni ushetani mana hizo rasta zinakuwa kama nyoka katika kichwa WAPUMBAV kweli kaz yao kufata mkumbo to wala hawajuwi asili yake.
Bro saiz naona jins gan unamtukuza mfalme wetu Yesu kristo..barikiwa brother 👏👏👏
Duhh. Davistar unajua kufuatilia na kuunganisha wahusika wakuu wa hizi stories. Hapo upo vizuri sana kuendeleza stori hizi. Big up sana DM, Mr. Everything
Nakubali kaka uko juu kama mwewe Leo varoli sio hamn kubahatisha sure 👍👏🇦🇪
Makofi kwa varoli 1,2,3 tuka paa juu nimepapenda sana apo..👏👏👏
Wow asante kwa kutuletea varoli
😂😂🤣🤣Lazima nicheke nifurahi Davista Nakukubali kaka Hata lile neno niko bowling Halipo tena raha tupu💃kwaherii mussa 🙋♀️tuko Na varoli sasa
Davistar Mata 👊👊👊👊🇬🇧🇬🇧🇬🇧ndizi kipukusa majini wana penda sana ,Daa hii Dunia km ujuwi upande wa pili utaabika sana,Hila kigoma mwisho wa Reli Shikamoooo
Valor kalibu kwenye ulimwengu wa nuru pamoja saana katika kwenye Giza jamani🙏💪🇹🇿🇹🇿🙏🙏
😃😃😃 Varol hiyo sura, daaaah kweli Mungu anaokoa.
🤣🤣wew
Umenichekesha wewe 😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂
Hi
Nakubali Mr dav ila usisahau kutuletea mchawi doi
Duuh Mr volor in the house...bado wife wake dav
Ovaroli aliye taradadi yaan amechangamka asubutu 😂😂😂😂😂😂
Umempendaa ee🏃♂️
@@credo7837 kusema kweli nimempendq bureee tena anahadithia na ya mussa chesa ambayo alituficha 😂😂😂😂
@@pili3750 🤣🤣🤣acha namim niskilize duuh
Bado tunapeperusha bendera kazuramimba 😂😂😂😂😂😂 kwa bwana valori
Sanaa😂
good job, Davistar
Shetani na baba mkwe wake, wanalia...🎶🎵
Shetani na mama mkwe wake,wamekalia misumari🎶🎵
Sijasikiliza lkn wacha ni comment tu pamoja Mr everything
Mr everything 👍
Leo nimejitahid nimewahi 💃💃💃
Duhh!!👍 Davistar safi kabisa
🥑🍉🍇🍎🍒🍓🍅🍍🍌🍋🍊🥝🍎🍇
Mambo vipi mimi ni Davistar mata😊😊😊😊
Huyu jamaa yupo straight sana kuliko chessa
Mr Davistar 👍🏻👍🏻👍🏻
Varol ana sura ya kazii sana alafu mbishii san
🤣🤣🤣🤣🤣 Valoli in the house...piga kelele kwa Valoli akeeeeee!
Kwa jinala yesu amen 🙏
Mh hapo kweny kumpasua mtoto 🙌 wamama wanazaa kwa uchungu nyie munawapasua watoto wao😭
leo umetuletea varoli dereva wa vyombo vyetu vya usiku😂😂 alitudondoshea chesa wetu huyu 😂😂
Wazee wa kazi
Du! Hii nayo kali kwelikweli!
Hawa jamaa hawaendi straight jaribu kuwahoji ili tupewe mtiririko mzuri wa story
Mungu atukuzwe 🙏
Ehh mungu wangu Tusamehe wengine hatujui tunao yafanya 🙏🏿🙏🏿
Sijachelewa nipo nawakilisha na Mr davistar mata
ingeandikwa ALEYEKUA MCHAWI... mana ashamuona na kumnyenyekea bwana kwa sasa
Varol yuko vizur sana katika usimuliaji
Safi harudiii story kabs
Anasumulia vizuri kuliko Mussa
Dav huko kwenye msitu chunga Sana majoka
Kujen huku mambo ni 🔥🔥
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Twamuomba MUNGU awaokoe wote kwa uwezo wake..
Amen
Amin
Waganga hao mnawapata wapi? Sauti cio mzuri
Ndan 💃💃💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
Hili jamaa lilikua na roho moja ngumu sanaaa, Yaan kama mrundi
Duh, aisee overall amechangamka
Nashangaa watu wanachukwua nafasi kubwua ya kufuta mapepo na majini na dawa ya uchawi lakini wanasahau na mungu
Safi sana
Varol ulikwenda kwetu sumbawanga??? Duuuu kweli khatari
Varori mbona musa wetu ulimudodosha siku Ile makario pwaaaa chini
Varoli ana sura ya Kazi kweli kweli
Ww uyu mtu mbadii aise
😂😂😂😂
Davistar, uwe unamwuliza ilikuwa mwaka gani
Dav anafeli sana kwenye kuuliza mwaka ambao tukio lilitokea. Inaathiri kwa kiasi fulani mtiririko wa matukio.
Jamani leo namimi nimewai😘
Hongera
Moja leo
Duh
Hatari
wow! unaelezea vizuri sana point by point
Kweli
Dereva mwenyewe
Shetani kwa kweli anatesa sana,yaani amefanya wanadamu wamekua watumwa wa mali na kuwafanya wasimuamini Mungu wa kweli,inabidi watu waridhike na wanachokipata.
Leo nipo uwiii 😂😂😂
Kuachana na dhambi ni maamuzi ya kupongeza na kumashukuru Mola mlezi kwani Mola umuuongoza amtakaye na kumuacha katika upotevu amtakaye.
Chapa nembo Davistar Nakubal
In de house 👩💻
Ndani
Washaaa
Mtu Makini
28 tupo makin dav
Hahahaaa. Ovarol unafunguka km mozila
Jaman
Kesho nitaangalia acha nisome koment kwanza😂
uko nyuma kumbe😂😂😂
@@ayshamahariq6665 nikonyuma kivip😂
@@ayshamahariq6665 duuh story ya zamani sana hii bado unafatilia wangu😂
Valor yuko vizur
Ovaroli 😳
Varoli nachomkubali anaga maneno mengi
Kwakwel 😂
😀
Duuuu wachawi wanajua Human Anatomy kwa kiwango cha kutisha sana.
Uyu mwamba du anaogopesha
#credo-kashinga njoo mzigo mpiya huu hapa🙄🙄
Dah Mambo yamepamba
19 hapa ...tupo kazuramimba
Valori unaweza ruka kama roket
Jamaaaani eti Musa alikua kibaka😂😂😂...Ninampendaga Musa automatic ata cjui kwanini Ila nampenda saaaaana jamani.Musa popote ulipo baba Kuna anaekupendaga huku🙏
Over all anamambo,
Ovaroli mambo moto
Dunia imekwisha watu wanaadhirika wenyewe
Heee ....nani kaona rangi ya ovarol ni ya asili kabisa na vyema anawakilisha African colour gonga like tuendelee na story
😂😂😂😂😂
@@fatmamucha4419 unacheka African colour
WA
👀
Hivi kumbe ukianza kudokoa unaishia kwenye uchawi🙄...maana Mussa pia alianzia huko.
Hata yule mbaba aliyekuwa Jambazi alisema kama wizi unaanzia nyumbani
Hii story ndo balaa kama movie
Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo Jana na leo
Upo wajina
@@fatmamucha4419 nipo wangu
Wambie hao wanaofuga rasta asili yake ni ushetani mana hizo rasta zinakuwa kama nyoka katika kichwa WAPUMBAV kweli kaz yao kufata mkumbo to wala hawajuwi asili yake.
Nyingine tena
Acha kidogo nimalizane na mussa chesa naja
Mmmh
Kiboko Hadi namuogopa
@@estermarua167 😀😀😀😀
Uchawi mmbaya!!
OVERROLL KANIFURAHISHA SANA HAJAONGEZA VITU KAMA MUSA ALISEMA ALIPOKELEWA NA JINI SHARIF ,NA MAIMUNA ,
mh varoli mjengoni
Wa 15 leo
Uchawi kwel upo
Jomon watu mkuje huku ovaloli yupo mjengoni dereva wake musa chesa 😁😁😁😁😁😁😁
Tumefika
Hii ni kali
🇰🇪🙄🙄🙄