Poleni vijana wa Kitanzania kuwa na vibibi wa kizungu naona mmewaiga dada zenu ambao uwa na vibabu vya kizungu, utakuta wamekula maisha huku Ulaya wamezeeka na hawawezi kupata wanaume huku wanakuja huko Africa kujichagulia wapenzi . Poleni sana
Semeni na nyie maana nilisha ongea kua huyu mtangazaji hana good customer service uongozi wa wasafi TV walione hili swala na walichukulie Sirius hata kama ndio kupata kazi kwa mchongo hapana 🙌😃
ni vile tu hujui , huonag msanii akiwa na jambo lake au nymbo mpya ndo unamwona kweny interview??? bas ujue interview ni sehem ya promotion na hapa wanafanya maksud kwa makubaliano kabsa ili tu interview ivute wengu. hio milango alogonga ustgmee kulkua na watu hawa ni wasaniii
Wayyy ilo litangazaji lifukuzwe Kaz tu.coz cyo heshima kwa kwel utaingiaje kwa mtu bila ridhaa yake unalazimisha mahojiano aiseee Kwanza ujamuandaa mtu kumuoji than unalazimisha mahojiano.kiruuuuuuu tv yenye adabu tz n miladi Ayo peke ake tu
Oya jifunze ku respect privacy ya mtu umeingia kama mwizi abu mfanyiye diamond hivo uone Yani huyu reporter hana aibu ata kwa mke wa watu hawo hawo wanakuingizia mshahara kwahiyo waheshimu wasani na binadamu wote. This is for the whole production team.
@@salim02tv24 Siwezi amini msani anakubali hayo ndani kwake wakati kabisa unaona analazimishwa kweni toka lini kumingilea mtu hivo dio reporting ni Sawa labda aliambiwa watakuja lakini sio kwa style hiyo na maneno hayo cha ajabu watu wanafurahiya ujinga uwo toka lini tunawazarau wanawake wa mtu na yeye mweyewe nakuta reporting wakati huwo ni umbea tu arudhiswe shule jama na kitamba chake kichwani 😂
@@abbasmoledina. Wewe sio content creator, huwezi elewa haya hata kidogo, kupata habari ya kipekee sio lelemama, angefanya kawaida kuingia tu na kukaa na kuhojiana tusingepata flavor yoyote
@@brandsmedia4861 kwahiyo content creators wana licensing yakufanya vituko kama hayo au mnona kwa diamond hamuongai nai hivo na unaweza juwa vipi issue zangu (this content and anyone supporting this type of viewing really needs to level up there game and stop being so unprofessionals) how would you feel if that was ur house and ur girl and some idiot walks in ur house and talks to u with zero respect shame on you for calling this content
Kazi zenu ni nzuri ila kuna vitu vina feli jamaa apunguze papara huwezi fungua au kushobokea milango ya watu au kushobokea mwanamke wa mtu bila ruksa kiasi hicho ni kumshushia heshima badilika bro utakutana na saa mbovu utaondoka na sura kazaa ndg yngu
Siri 5 Kuhusu Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Kwa Wanandoa... ... Je, upo kwenye ndoa lakini huna amani na ndoa yako? ... Je, tendo la ndoa kwako ni tatizo? ... Je, umehangaika kutafuta mtoto au umeambiwa unazalisha mbegu pungufu? Je, unahisi ndoa yako ipo hatarini kuvunjika kwasababu unahisi mke wako anachepuka? Kama majibu ni NDIYO, basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako usipuuze kusoma hii makala... Tafiti Zina Sema ndoa 3 hadi 4 kati ya kumi zinavunyika kila mwaka... kwasababu ya mwanaume kushindwa kushiriki tendo la Ndoa barabarani.. wanaume wengi wanapenda sana kupuuzia vitu hasa ushauri kuhusu afya zao pia kuhusu lishe... Kama ni wewe unapitia hizi changamoto hapa chini basi Soma makala hii hadi mwisho... 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege. 2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kumwaga mbegu za Kiume. 3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito. 4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa. 5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima. Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume kama umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na Kama unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho? NITAKUPATIA USHAURI WA JINSI YA KUTUMIA FORMULA MAALUM YA KUTATUA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA ASILIA PASIPO. KUTUMIA DAWA YOYOTE. Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa. Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0784161431 au piga simu usaidiwe haraka.
Duh!huyu mtangazaji yuko so intrusive....tangu lini mtu unaingia kwa watu na kufungua milango bila ruhusa...hata kama ni mtangazaji wa udaku its too much
Mtangazaji ila hapo umezngua kidogo. Wazungu mabibi saiv kuliwa na vijana kawaida sana.Suala la kushikana mikono hilo tumejfunza kwa Hamokinyesi na Diamond 💎
@@009biafra8 ilo jina ni la baba yako ama kaka yako mana simujuwu yani kuna watu utadhani hamuna akili tunaongea mengine naweye una coment yasiyo husika aca shobo utadhani ni mwanaume ulio ashwa🤮🤮
It's all about love enjoy maniga Fobby❤️🔥🔥💪
Poleni vijana wa Kitanzania kuwa na vibibi wa kizungu naona mmewaiga dada zenu ambao uwa na vibabu vya kizungu, utakuta wamekula maisha huku Ulaya wamezeeka na hawawezi kupata wanaume huku wanakuja huko Africa kujichagulia wapenzi . Poleni sana
Asante sana
Maybe someone love much more dark skin on man than light.. just fact..
Wallah njo tumalizie huku nmecheka Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dull a he is very funny guy 😄😄😄😄😃😃😀😀😂
Hiyo njoo tumalizieee mie hoii🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣ss ww umeuliza jina unaenda ndan kufanya nn embu njoo tumalizie uku jmn nimecheka mie
Semeni na nyie maana nilisha ongea kua huyu mtangazaji hana good customer service uongozi wa wasafi TV walione hili swala na walichukulie Sirius hata kama ndio kupata kazi kwa mchongo hapana 🙌😃
ni vile tu hujui , huonag msanii akiwa na jambo lake au nymbo mpya ndo unamwona kweny interview??? bas ujue interview ni sehem ya promotion na hapa wanafanya maksud kwa makubaliano kabsa ili tu interview ivute wengu. hio milango alogonga ustgmee kulkua na watu hawa ni wasaniii
@@stephenemganga3604 nisahihi kabisaa ila ukiona malalamuko yamekua mengi ujue Kuna sehemu ambayo hatendi kama mwenye Mali 🙏🙏😃
Mhhhh huyu mtangazaji wa refresh anakiherehere😏😏
Wayyy ilo litangazaji lifukuzwe Kaz tu.coz cyo heshima kwa kwel utaingiaje kwa mtu bila ridhaa yake unalazimisha mahojiano aiseee Kwanza ujamuandaa mtu kumuoji than unalazimisha mahojiano.kiruuuuuuu tv yenye adabu tz n miladi Ayo peke ake tu
Njoo tumalizie huku vipi😂😂😂😄
🤣🤣🤣🤣🤣 due chizi Sana anataka kuingia kwa watu kwalazima uyo Ni mmbea Sana
Huyu jamaa napenda sana job yake
Mwanangu Ngumbuchi umetisha sanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Dada zenu wa kibongo hawaishi shida na tamaa njaa kali
njooo tumalizie🤣🤣🤣
Nakubar
Du anazingua sana
Ila hyu paparazzi ipo siku mtasikia kachezea,,anagonga milango ya ndani hovyo,kaambiwa I'm preparing myself anamzamia hukohuko😳
Oya jifunze ku respect privacy ya mtu umeingia kama mwizi abu mfanyiye diamond hivo uone Yani huyu reporter hana aibu ata kwa mke wa watu hawo hawo wanakuingizia mshahara kwahiyo waheshimu wasani na binadamu wote. This is for the whole production team.
Iyo inapangwa na nimaridhiano ya pande zote mbili kabla ijapandishwa youtube
@@salim02tv24 Siwezi amini msani anakubali hayo ndani kwake wakati kabisa unaona analazimishwa kweni toka lini kumingilea mtu hivo dio reporting ni Sawa labda aliambiwa watakuja lakini sio kwa style hiyo na maneno hayo cha ajabu watu wanafurahiya ujinga uwo toka lini tunawazarau wanawake wa mtu na yeye mweyewe nakuta reporting wakati huwo ni umbea tu arudhiswe shule jama na kitamba chake kichwani 😂
@@abbasmoledina. Wewe sio content creator, huwezi elewa haya hata kidogo, kupata habari ya kipekee sio lelemama, angefanya kawaida kuingia tu na kukaa na kuhojiana tusingepata flavor yoyote
@@brandsmedia4861 kwahiyo content creators wana licensing yakufanya vituko kama hayo au mnona kwa diamond hamuongai nai hivo na unaweza juwa vipi issue zangu (this content and anyone supporting this type of viewing really needs to level up there game and stop being so unprofessionals) how would you feel if that was ur house and ur girl and some idiot walks in ur house and talks to u with zero respect shame on you for calling this content
@@brandsmedia4861 Na kwasababu yawatazamaji kama havo dio watu wanapata mguvu kufanya vikuko hayo lakini sio kizuri kama hutakipenda wewe
Kazi zenu ni nzuri ila kuna vitu vina feli jamaa apunguze papara huwezi fungua au kushobokea milango ya watu au kushobokea mwanamke wa mtu bila ruksa kiasi hicho ni kumshushia heshima badilika bro utakutana na saa mbovu utaondoka na sura kazaa ndg yngu
I like ur life style
Foby namkubali san kula tu vitu mzee wangu
Siri 5 Kuhusu Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Kwa Wanandoa...
... Je, upo kwenye ndoa lakini huna amani na ndoa yako?
... Je, tendo la ndoa kwako ni tatizo?
... Je, umehangaika kutafuta mtoto au umeambiwa unazalisha mbegu pungufu?
Je, unahisi ndoa yako ipo hatarini kuvunjika kwasababu unahisi mke wako anachepuka?
Kama majibu ni NDIYO, basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako usipuuze kusoma hii makala...
Tafiti Zina Sema ndoa 3 hadi 4 kati ya kumi zinavunyika kila mwaka...
kwasababu ya mwanaume kushindwa kushiriki tendo la Ndoa barabarani..
wanaume wengi wanapenda sana kupuuzia vitu hasa ushauri kuhusu afya zao pia kuhusu lishe...
Kama ni wewe unapitia hizi changamoto hapa chini basi Soma makala hii hadi mwisho...
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.
2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kumwaga mbegu za Kiume.
3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.
4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.
5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.
Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume kama umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na Kama unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?
NITAKUPATIA USHAURI WA JINSI YA KUTUMIA FORMULA MAALUM YA KUTATUA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA ASILIA PASIPO. KUTUMIA DAWA YOYOTE.
Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.
Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0784161431 au piga simu usaidiwe haraka.
Njoo tumalizie😅😅😅😅alisikik mtuhumiwa
Interview za michongo
Unaenda wp 🏃 njoo huku tumalze 😆
We go soon ❌
We will go soon ✅
Njoo tumaliziee😂😂😂
He found so beautiful bride🤦🏼♀️🤦🏼♀️🤦🏼♀️.
Hapo kwenye njoo tumalizie huku😀😀😀😀
Good job
Fobby fanya muziki acha ujinga🤣🤣🤣
Duh!huyu mtangazaji yuko so intrusive....tangu lini mtu unaingia kwa watu na kufungua milango bila ruhusa...hata kama ni mtangazaji wa udaku its too much
😅😅 unaenda wapi njoo tumalize Hulu 😅😅
Nimecheka so hard njoo tumalizie unaenda wapi? 🤣😊🤣🤣
😂
😆😆😆unaenda 🏃wapi njoo tumalze huku
Duwe mbea Sana asee 😂😂
Kula ilo zigo rakizungu mwaya ninazikubari sana nyimbozako aswaaaaa kitanda duuu ngomanoma kishez
Mmm sijapenda duuh huyu ataaribia watu penzi Lao walaah
😂😂foby unazingua 😂😂 yani muoga kinoma ila wabongo vieleele Kama uyo mtangazaji
Sema mtangazaj nimecheka alivyomwita huy mzung na kutk kumfata ndani 🤣🤣🤣🤣
Iwe Bibi iwe nn 😂😂😂😂daaa
Nyie kwel mbona mnaficha mficha pch ,,,,kutafkir sio camera tuvipande pande
Waandishi jaaamaanii 😃😃😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jmn mtangazaji
Mtangazaji ila hapo umezngua kidogo. Wazungu mabibi saiv kuliwa na vijana kawaida sana.Suala la kushikana mikono hilo tumejfunza kwa Hamokinyesi na Diamond 💎
Huyu mtangazaji mshamba sana
Kweli foby
Unaenda wap njoo tumalizie 😂😂
😄🤣😂😆😄🤣
KAZA
Mzungu wa Zanzibar uyo kashakaa Tanzania Sana ila wabongo bhana😂😂😂
😂😂😂 njoo tumalizie unaenda wapi ??Fobby kakamatika
Wendap huko
Ngoja nicheke tuuu
uyu mtangazaji huwa mjinga sana
😁😁😁 milango ya watu
Due miyeyusho 😂😂😂😂
Et linex AF unacheka
Mwamba mbea huyo😂😂
Duo unawafata wazungu kingereza chenyewe mpaka utizame juu
Dooh mumenikumbusha mbali
ilo limama mbona kama linamtesa foby...🤣🤣🤣
Sasa wewe mtangazaji umemfuata uyo mzungu mbio mbio ulitaka kujiweka wewe au?
Jamani
Yaaan ningemkata mabao ya kutosha 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣mtangazaji👋
Wasitudanganye bana interview inakuwa ishaandaliwa tayar hiyo miwan ye anashinda nayo nyumban
mtangazaj yupo makin sana
huyu mwandishi fala sana aisee.
Wangoni sio watu Wa mchezo tuko fireee
Hii tabia ya waandishi wetu akiuawa mtu ndio watajifunza sio professional kabisa;unalazimishaje kuingia kwenye nyumba na vyumba vya watu?
Waandishi muwee mnajua na watu wanahitaji private piaa huyu mwandishi hanaa uwaledi fukuzeni kazii
Mtangazaj ustaarab F kabisa unafungua mlango bila kuelekezwa
Huyu sijui mtangazaji au paparazzi. Bwege kbs, wala hajui kazi yake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 KOMAZAAA MZEE BABA
Mtangazaji ww mbea haya kumkimbilia mzungu wawatu ivyo 🤣🤣🤣🤣
Awo awo wazungu munawasamanisha kuliko hata thahabu munakosa kusaminiyana wenyewe watakuja kuwawekeyeni sumu
Uyu ni mbea sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SONG TOWN ON 🔥
Kwaiyo dogo foby anatupotezea maboya sio mbona anamfukuza mwandishi
MAIGIZO..KWA MAANA SIJAONA CHA MAANA ZAIDI ALICHOKUJA KUKIFANYA HUYO MMAMA WA KIZUNGU..
🤣🤣🤣🤣 you have right🤣🤣🙃
Uyu jamaa ndomana katimuliwa eatv
Star wetu uku songea
Maisha ya userengeti boy sio maisha .
Mbona Aliyah siku hizi hatukuoni tunasikia sauti tu si kama zamani?
Mh sio kwa mmama uyo
Mmh
We mbona ww usibitishi kama umeliwa na mond 😂
😁😁😁😁Duh hatari
wee mtangazaji mbona huna nidhamu nafamilia zawatu???,Unaanza kumparamia mke wawatu ili iweje,Subiri uje ukutane nachizi akufumue utie adabu boya wewe.
Usicho kijuaaa kinacho tokea apo ni atenshen tuu ni vitu ambavyo vishapagwaaa ndugu
@@muddymussa9007 kanahasira utadhan ni mke wake halafu unakuta ni kabachela
@@anchortechnicx5014 kabisaaa
@@muddymussa9007 noma
🤣🤣🤣🤣😂😂 ameumbuka 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣njoo tumalizie
Huyu kijana hana adabu
Huyu jamaa anataka kuliwa maana anapigo za kabwili milangon mwa watu
Huyu mtangazaji huwa hana nidhamu
Huyu mtangazi mbona kama haziko sawa.....
Hilo zungu bonge la shangingi
duu anajuwa
Nimecheka jmn
Wabongo bwana 🤣🤣
Ila wew mtangazaji ipo siku utapigwa shauri yako🤣🤣🤣🤣
Na Hàmokinyesi ama?
@@009biafra8 ilo jina ni la baba yako ama kaka yako mana simujuwu yani kuna watu utadhani hamuna akili tunaongea mengine naweye una coment yasiyo husika aca shobo utadhani ni mwanaume ulio ashwa🤮🤮
presenter mpumbavu huna adabu.
Njoo tumalizie
Nimecheka sana ni bibi mshamwona
Kaza kiuno kaka mihela iyo
Likaka limbea ili