hey how does God dance look like and r are you looking what they r doing or listening to what they r saying? God knows them from their hearts but not from what they wear has we came with nothing we'll go without anything so take care of your heart DUDE
asante kwa wimbo huu basi kwa eshima ya kwaya ninaomba uniongezee nyimbo nyingine asante sana kupokea ombi ili mungu akulinde milele
Asante sana kwa kutubariki na wimbo mtamu kweli kweli. Asifiwe bwana, Amina!
Waoh!sauti zenyewe nizakuvutia kweli and the rythm is fantastic.Heko mt.Cecilia
Sauti ya tatu, heko heko👌🏾👌🏾👌🏾
Safi sana zinanikumbusha mbali hizo nyimbo za mt. Sesilia arusha
Hii ndo the Mighty mt Cessilia, hizi ndo nyimbo halisi za kikatoliki sio siku hizi watu wanaimba kisabato
Wimbo ambao kila siku lazima niusikilize, na hunipa Amani
Nyimbo nzuri sana ata mungu anafuraha sana kwawimbo huu
Talanta kweli ulipewa kaka mkunde...kipawa ulichopewa twashukuru kwa kuikabidhi kwetu pia...hongera kwa kazi yako njema...
Ebai papa?
Mkude ni noma kwa kinanda huna mpinzani.
kwa iyo ntaliimbia sifa jina lako mungu wangu
Nani yupo hapa Julai 2024????? Nimekumbuka nyakati za kuwa kiongozi wa kwaya (2009-2011)
UPLIFTING MY SOUL............. SO BLESSING
wimbo mzuri sana
thanks so much for this wonderful song.am such a great fan.Coz am always blessed through your songs.thanks and regards from Germany.
I realize Im kinda randomly asking but does anyone know of a good site to stream new movies online ?
@Major Kai flixportal
@Chaim Stetson thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :D I really appreciate it!
@Major Kai glad I could help :D
Wimbo mzuri sana unanibariki
Dah! Mnavyopokezana mashaili rakha balaa
Bwana nakupenda .. huu wimbo umenikuza toka mdogo add saiz 2023 mungu n mwema
Nice picture watoto wa bana
💞💕💔 Bwana nakupenda, wewe Mungu
Ameni mbarikiwe sana
Amen kwani astahili sifa
mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Bwana nakupenda na roho yangu yote.
nyimbo nzuri sana
bwana nakupenda sanaaa!
Wawwwooooo!
nice voice
🙏🙏🙏
Zaburi 18
What a massage.!!?!!
wimbo huu ni chakula changu cha siku lazma niusikie kwanza ndo faraja ya siku ndo inapatkana
Ameni
hey how does God dance look like and r are you looking what they r doing or listening to what they r saying? God knows them from their hearts but not from what they wear has we came with nothing we'll go without anything so take care of your heart DUDE
Luky Duby.
amina
Watoto wa kipapa
amina
+Happy Evarest bwana nakupenda wewemunguwangu asante kwawimbo mzuri mno nabarikiwasana