KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi achambua matukio tata Derby ya Kariakoo, aigusa Azam - 15/08/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Mwamuzi mstaafu wa soka nchini Osman Kazi ameyachambua matukio tata yaliyojiri kwenye mechi ya #DerbyYaKariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC, mechi ya mshindi wa tatu Simba dhidi ya Coastal Union pamoja na fainali ya Ngao ya Jamii ambayo ilihusisha Yanga SC dhidi ya Azam FC.

КОМЕНТАРІ • 143

  • @AminaShawa
    @AminaShawa 25 днів тому +3

    Osmani kazi umezingua tukio la azizi ki ww ulita azizi asiruke avunjwe mguu ile ni penait alali kabisa

  • @bubelwaishengoma6649
    @bubelwaishengoma6649 26 днів тому +2

    Tukio la Aziz Ki lilikuwa penati tusipepese.

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 25 днів тому +4

    Ah kumamake huyu mzee muongo nilikuwa sijawahi kumfuatiliaga ila kwenye kipindi chake cha kipyenge katk kujadili matukio tata ya michezo yote ya ngao ndo nimegundua kuwa huyu mzee ni muongo na kama sio kuendeshwa na hisia basi mpira hajui, 😂😂😂😂😂😂

    • @jaylosalphonce9659
      @jaylosalphonce9659 25 днів тому +1

      We unataka kusemaje

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 24 дні тому

      @@rukaka_jr4514 ...yeye na wewe nani asiyejua mpira..??..yeye fifa wanamjua wewe tfff hawakujua😂😂..na kuonyesha kwamba hujui mpira hujaelewaw chochote alicho,ungumza 🤣🤣🤣

  • @gonnetheboss1708
    @gonnetheboss1708 24 дні тому +2

    Hii ya mwisho haiwezi kua penat coz uyo kijili kaingia kwenye njia ya boka sio boka kuingia kwenye njia ya kijili

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 26 днів тому +1

    Yaani wew othuman sijawahi kukukubali toka ukuwa mwamzi maana ujinga anaofanywa na elisasi na jonesia wew ushawafa yia zaidi yanga

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 24 дні тому

      @@AlfredRutaguza ..utakuwa unaendeshwa na ushabiki zaidi...,😂😂😂...hata mwisho wa siku utasema VAR inawaonea Yanga

  • @paulshija7632
    @paulshija7632 26 днів тому

    Huyu Kazi mnafiki kweli.

  • @user-um1vp8to2u
    @user-um1vp8to2u 26 днів тому +1

    Othman kazi huko sawa ktk hio Redcar ya ngoma unaongopa balaa kisha hutoi hukumu unahadithia wakati sote tumeona...mnaleta fitna kubwa baada ya game.tafuta la kufanya baba.

  • @user-tb5gp4wi4e
    @user-tb5gp4wi4e 26 днів тому +1

    Ingewezekana mashabiki tuachane na hiki kipindi wanafki

  • @kizakizapetro6205
    @kizakizapetro6205 26 днів тому +1

    Kweli nimekubali kama kaze Simba Lia lia kuanzia sasa kutoka SOUTH AFRICA siangalii tena

    • @christopherndenga2645
      @christopherndenga2645 25 днів тому

      Yanga huwa mnalalamika sana hata kwenye vitu vinavyohitaji wataalamu

    • @christopherndenga2645
      @christopherndenga2645 25 днів тому

      Yanga huwa mnalalamika sana hata kwenye vitu vinavyohitaji wataalamu

  • @user-tb5gp4wi4e
    @user-tb5gp4wi4e 26 днів тому +2

    Wewe mzee uchambuzi wa kpyenga umekushinda ingia kwenye I ada uache unafki kabombe achana na huyo mzee mnafki sana hajielewi Ana mapenzi na simba

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h 19 днів тому +1

    Aziza hakuguswa kabisa na che

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 26 днів тому

    Osman kaz we ni simba tuna kujua mzee wa maokoto

  • @munongomeshili7612
    @munongomeshili7612 26 днів тому

    Uchambuzi nzuri sana !!!

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 25 днів тому

    Nawakubali sana ile inaonesha leo hamkujiandaa vizuri

  • @JustinMachuba
    @JustinMachuba 12 днів тому

    Kipindi nikizuri ila kinatuumiza na akina msaada kwa tim iliyopoteza omben ata kiwe kitengo maalum kwenye kila mech ili iwe var

  • @gonnetheboss1708
    @gonnetheboss1708 24 дні тому +2

    Kijili ajawin mpira buti alienda kwenye njia ya boka

  • @prospermbwambo2265
    @prospermbwambo2265 25 днів тому +1

    Kaze hujaona mguu wa kulia wa azizi kuguswa au uzee unanakusumbua

    • @malietamaliet
      @malietamaliet 25 днів тому

      nikolo uyu mambo ya yanga aonagi wanaonewa ila Azam na Simba ndo wanaoonewa

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 26 днів тому

    Unaniudhi sana othuman kaz

  • @HenryCastuli-jz3cx
    @HenryCastuli-jz3cx 26 днів тому

    Asumani kazi ww nimnafiki sana kumbuka hujaanzia leo kawaidayako utetee simba sijawahi kuona ukiongea kasoro za simba

  • @user-fs4vu1qu8k
    @user-fs4vu1qu8k 25 днів тому +1

    MECHI YA FAINAL YA YANGA VS USM ALGER MSODA ILIKUWAJE

  • @Philipopetro-oj9ph
    @Philipopetro-oj9ph 26 днів тому

    ❤❤

  • @YohanaJelemia
    @YohanaJelemia 26 днів тому +15

    Asumani kaze hawezi hata siku Moja aseme yanga imeonewa ila Simba sehemu nyingi utasikia Simba walikuwa sahihi wameonewa

  • @chandembikitu4081
    @chandembikitu4081 26 днів тому

    Yanga Moja(1)-(0)Simba kazi iendelee ,Ila VAR akikabidhiwa huyo itakua shida

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 26 днів тому +1

    Halafu VAR ISHAFIKA NA IPO YA MOBILE VAN KWA NINI HAMKUWEKA KWENYE NGAO NA IMELETWA KWA LIGI NA NGAO NI UFUNGUZI WA LIGI NDO MAANA MCHEZAJI AKIPATA RED CARD KWENYE NGAO ITATUMIKA, MPAKA KWENYE LIGI.

  • @paulwambura5857
    @paulwambura5857 12 днів тому

    Othman Boka alikua kanyanyua mguu kupiga mpira...kaukosa mpira Kijiri ndio kaingia kwenye paja la Boko na kujifanya kuzuiwa...upo very bias Othman na hichi kipindi itakua unaangalia ww na Wana simba siku zijazo😂

  • @mogzugunda3872
    @mogzugunda3872 13 днів тому

    kuna watu wanakuminya kiunoni pasipo kukusukuma mlijue na hilo

  • @pinielloilole4340
    @pinielloilole4340 26 днів тому

    Moja ya vipindi vilivyopoteza mvuto Azam tv ni kipenga cha mwisho. Kazi hawezi kuisemea Yanga vizuri ndio maana aliwahi kuchezea kichapo kwa wachezaji. Mnapoteza muda kumfuatilia

    • @PaulSengo
      @PaulSengo 26 днів тому

      yanga uongo uongo mwingi huwezi tetea uongo man

  • @AyubuThobias-ud8xm
    @AyubuThobias-ud8xm 26 днів тому

    Fact

  • @paulwambura5857
    @paulwambura5857 12 днів тому

    Hilo tukio la Diara kurudishiwa halina uhalali maana kapombe alikua off side na hamtaki kujadili hiyo offside kwa sababu za kishabiki....Othman acha ushabiki utapoteza credibility...tunakuamini

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 26 днів тому

    Kabla ya kuanza kutuambia uchambuzi hakikisheni mna uhakika wa matukio yote kuliko kutuambia hamukuwezi kuona vizuri. Mara angle haionekani vizuri boresheni hizo angle muzione na kutuonesha nasi tuzione ili utata ujulikane

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 26 днів тому

    Na sisi tunajua Sheria na macho tunayo kaze na ushabiki Kwa Simba na Azam
    Sometimes mnaegemea upande mmoja sikuizi sio kama zamani

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 24 дні тому

    var ulaya wanaangalia mkono usitupange boss

  • @user-bd1gj1ie4l
    @user-bd1gj1ie4l 26 днів тому

    Aina shid 2 young 1simba

  • @GoodluckDaud
    @GoodluckDaud 26 днів тому

    Simba damu hao

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 25 днів тому +1

    VAR haina mtumiaji

  • @mwajuma4437
    @mwajuma4437 25 днів тому

    Kipyenga Cha mwisho ndio sehemu pekee ambayo waamuzi Huwa wanaumbuka

  • @user-kk3tv6kw1o
    @user-kk3tv6kw1o 24 дні тому

    Kazi anaichukia YANGA

  • @nasskidy5471
    @nasskidy5471 26 днів тому

    😅😅😅ya max kumrudishia diara ipo sawa ya azizi ki kufunga na kukataliwa ni yakawaida mnoooo😅😅😅

  • @robertktembah3090
    @robertktembah3090 24 дні тому

    Wew mnakitu Oman kaz

  • @issarahe8416
    @issarahe8416 26 днів тому

    Hamna mtu hapa kipenga Cha mwisho

  • @HappyClogShoes-hp9ho
    @HappyClogShoes-hp9ho 22 дні тому

    Huyu mzee simba wa kufugwa 😢😢😢😢

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 25 днів тому

    Nyie yanga mnapenda kulialia sana Sasa mmepumzika kumtukana kalia kisa mnashinda tff mmepotea na mwaka mtararamika sana

  • @mussadaudi-dx9xj
    @mussadaudi-dx9xj 22 дні тому

    Hakuna kitu hapa

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 25 днів тому

    Hiyi Natowa Chaleng Ni Ni Penant Ya Aziza...Othman Kazi Ondosha Uprnzi

  • @kingwerason7319
    @kingwerason7319 26 днів тому

    hamjui kuchambua match kama vile hamjasoma

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 26 днів тому

    ACHA kupenda

  • @ExecutiveHouseKeeperElewana
    @ExecutiveHouseKeeperElewana 26 днів тому

    Othman Kazi na mwenzio hamkitendei hski hiki kipindi
    Mnafanya uchambuzi kwa ushqbiki. Chenille hizo,bora VAR zifanye mbski uzandiki went hamna maana kbs

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 26 днів тому

    Wacheni hadith mnaharibu kipindi

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 23 дні тому

    Huy Mzee fala sn hakuna kitu hapo

  • @AllyKhamis-xr9cs
    @AllyKhamis-xr9cs 25 днів тому

    ii aliochezew kijil n clear penalty ila n ile aliofnyiw Aziz ki n penalty

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 25 днів тому

    Prince Dube hakusukumwa, ila alivutwa akashindwa kukimbilia mpira.

  • @samsoncheyo9275
    @samsoncheyo9275 26 днів тому

    Ingependeza iwapo na marefa husika mngekuwa mnawapa nafasi na wao ya kujitetea kuliko kuwakosoa tu

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 26 днів тому

    Hiyo penati amesukumwa

  • @minicooper9642
    @minicooper9642 25 днів тому

    Huyu chizi
    Sasa refa apige filimbi faulo ndani ya boxi alafu isiwe penalti kweli
    Huyu kweli kazi

  • @MwedadiMwedamsangi
    @MwedadiMwedamsangi 21 день тому

    Kikubwa kolo alifungwa

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 26 днів тому +1

    Dube kavutwa na kuachiwa sio kusukumwa msiyumbishe ukweli wa matukio.

    • @khamisihussein8777
      @khamisihussein8777 25 днів тому

      hawajielwi nao hawa dube alikuwa ana win ule mpira na kashivutwa ila kipenga eti akushikwa shem on

    • @jumamakuri9176
      @jumamakuri9176 25 днів тому

      @@khamisihussein8777
      Mchezaji mkubwa anayejitsmbua hawezi kushika na kung'ang'ania kishamba alafu ndani ya 18, lazima dube angeanguka unless ange win mpira

  • @Sugal67
    @Sugal67 26 днів тому

    nimwwasikiliza #KipengaChaMwisho game ya Yanga v Simba ni 2-1 .....

  • @donatusalfred582
    @donatusalfred582 25 днів тому

    Kwa hali hii VAR ataiongoza nani,maana kazi ndo hivo unavurunda

  • @AllyKhamis-xr9cs
    @AllyKhamis-xr9cs 25 днів тому

    Wew asuman kazi ni simba damu, ila ile aliofanyiw Aziz ki n clear penaltly apo umechemka

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 24 дні тому

    Rudini mkaangalie tukio la mzinze kipindi cha pili dakika kama ya tano hivi ile ni clear penalty kafanyiwa ndani ya penalty area

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 25 днів тому

    Kaze ukiacha unafiki kwa baadhi ya timu utafanya vizuri ila raaa sivyo utakua unafanya vizuri

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 26 днів тому

    Kwanza kabla ya hili koblani alimpanda baka

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 26 днів тому

    Staki kuangalia tena kipindi hiki hakisemi ukweli

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 26 днів тому

    Hovyo

  • @gidionbarabojick3080
    @gidionbarabojick3080 25 днів тому

    Indirect free cick ndani ya box inaitwaje?

  • @kagetaabdallah3712
    @kagetaabdallah3712 25 днів тому

    Wamuzi wa mechi ya yanga walipewa magizo yanga ifungwe kina karia na tff yake sema wameikuta yanga ipo vizuri alafu yanga kubwa kuliko wao. Kazi ni shabiki mkubwa wa simba hapo anaongea unazi tu

  • @deokibona2835
    @deokibona2835 26 днів тому

    Mashabiki wa Simba furaha yao ni kutafuta offside kwenye magoli ya Yanga. Na kwa staili hii mtapata tabu sana.

    • @BisekoDaudi
      @BisekoDaudi 26 днів тому

      Usilazimishe,acheni mazoea.

  • @allysaidi-uy9rm
    @allysaidi-uy9rm 18 днів тому

    Kijili hajauwin mpira ni 50 kwa 50

  • @khamissalim2132
    @khamissalim2132 25 днів тому

    Mnamsema sana osman kazi lkn huyo mtangazaji mnajua kuwa na yeye ni yanga?

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 23 дні тому

    Acheni wataalam waongelee mpira. Sisi shabiki tunatumia mihemuko zaidi

  • @AllyKhamis-xr9cs
    @AllyKhamis-xr9cs 25 днів тому

    Asum kazi huna uchambuz wowot

  • @billshine_
    @billshine_ 26 днів тому

    Kumbe!!

  • @omaraliomar1671
    @omaraliomar1671 24 дні тому

    Kazi ww ni Simba ni Chemalone umejua ni penalt ila ukasema ni indirect freekick kwa vile hakukuwa na body contact wakati Chemalone alikusudia hasa kufanya faulo lkn Boka ambae hakukusudia kufanya faulo bali kagongana na Kijili kwa bahati mbaya umesema penalt sasa alikusudia kufanya faulo unasema indirect lkn ambae hakukusudia eti ni penalt duh! Kweli Kazi.

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 21 день тому

    Huyu nikibaraka wa Simba pia mwanachama lazima aisemee timu yake yanga acha kuhangaika naye huyu ni adui namba Moja wa yanga Bora hata mangungu kuliko huyu

  • @nickbrown8350
    @nickbrown8350 25 днів тому

    Kuna clip dube anasukumwa

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 24 дні тому

    hapo kapombe anapiga v=pass na wakati kipa ameacha uwazi mengine anatuletea mjadala kipa kaacha goli mukwala yupo hapo funga linatoa pass

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 15 днів тому

    Hili zeee ni simba mbona

  • @chrissantkaunda9958
    @chrissantkaunda9958 26 днів тому +1

    Othman kazi sijawahi kumuelewa kabisa,yeye anateteaga makolo tu,kwake ni mara chache sana sheria kusimama upande wa Yanga

    • @PaulSengo
      @PaulSengo 26 днів тому

      yanga uongo uongo mwingi huwezi tetea uongo man

  • @paulshija7632
    @paulshija7632 26 днів тому

    Ila kumbe huyu jamaa ni mnafiki kweli kweli, dube kasukumwa kabisa, afu mnasema hakusukumwa au macho yenu mabovu

  • @chiengwalu6312
    @chiengwalu6312 25 днів тому

    Kijili ndiye alimfanyia madhambi Boka sababu Boka alikuwa mbele na kijili amekuta tukio limefanyika sasa alitakiwa kumkwepa.

  • @dennismayunga9845
    @dennismayunga9845 25 днів тому

    Wachambuzi mmekosea ni penalty hiyo. Nani alikuwa krb na mpira kt ya Mutale na mlinzi wa Coastal?

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 25 днів тому

    Ngoja nitoke wanasimba na Azam hao hawana lolote.

  • @sendeumwipi8872
    @sendeumwipi8872 25 днів тому

    Hiyo indirect free-kick ya Aziz Ki kuchezewa faulo unayosema mchambuzi mpira utawekwa wapi? Na Wachezaji Simba wangesimama wapi?

  • @user-kn2nj4jo7p
    @user-kn2nj4jo7p 26 днів тому

    Kabombe apo ujielewi ssispia tunamacho tumeona acha uyanga bro

  • @robertjohn9375
    @robertjohn9375 24 дні тому

    Faul ipo kwa Fred karuka huku anamwekea mikono defender asiruke

  • @newtoncavancy2747
    @newtoncavancy2747 19 днів тому

    Othumani kazi ni shabiki wa simba lia lia

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 26 днів тому

    Huyu OSMAN KAZI Azam wameleta VAR Tunashukuru ila waendeshaji wa VAR huyu mtu OSMAN HAFAI KUWA KTK CHUMBA CHA VAR MAANA ITAKUA YALE YALE REFA ATAIUA YANGA AU HUYU ATAIUA YANGA HAFAI KABISAAAAAAA HATA KULUMAGIA

  • @simonnjovu586
    @simonnjovu586 26 днів тому

    Dube hapo kasukumwa makusudi.

  • @user-sz6ht5wm2g
    @user-sz6ht5wm2g 25 днів тому

    Huyo Kazi ni shabiki wa Simba na uchambuzi wake Young-Africans anakosea kilasiku na mechi alizochezesha alipokuwa mwamuzi kama ni mechi za Yanga basi itakuwa ngumu ikiwezekana anapoteza kabisa anajulikana Jangwani huyo

  • @mohammednkussa2264
    @mohammednkussa2264 26 днів тому

    Saut zenu ziko chini mno

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 25 днів тому

    Paschal unakosea mwache mtaalamu aongee siyo wewe kuwa sehemu ya mtaalamu

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 24 дні тому

    kayoko siku zote anajiona colina akitoa macho yake makubwa anaona yupo sahihi, refa wa hovyo sana, game nyingi anawahi kufanya maamuzi ya hovyo haraka mno. virefa km hivi ni hapa hapa tu

  • @aloycesimon1371
    @aloycesimon1371 18 днів тому

    Mbona Mwamnyeto alivyoangushwa amjazungumzia???

  • @sallumlugoma
    @sallumlugoma 25 днів тому

    washabiki wa yanga mbona unatukana sana kwani ni lamia uangalie si uache

  • @user-tb5gp4wi4e
    @user-tb5gp4wi4e 26 днів тому

    Unafki huwo unamaliza bando tu

  • @kagetaabdallah3712
    @kagetaabdallah3712 25 днів тому

    Uyu jamaa ni shabiki mkubwa wa simba awezi kusema kweli

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 26 днів тому

    Mbona kusukumwa haivutwi karibu?

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 26 днів тому

    Wanafiki wa yanga mmerudu

  • @mvinjemwakivaha3927
    @mvinjemwakivaha3927 20 днів тому

    Mi ntakua siwaamin Tena ninyi kipenga ch mwisho sa mbona hamuoneshi kipindi dube anapasiwa mpira hamkuonesha mpira ukiwa umetoka Bali mmeinesha mpira ungali miguuni mwa alietoa pass Sasa mnachambua nn ninyi waongo watupu cntowafuatilia Tena waongo sn ninyi kumbe

    • @hassanissa5293
      @hassanissa5293 17 днів тому

      Offside inaanza kuangaliwa kwa mpigaji pass ya mwisho mpira ukiwa mguun kwake ukiwa unaanza kutoka

    • @EmanuelRyoba
      @EmanuelRyoba 9 днів тому

      Et si penalty ni directly frick ki du hatarii

  • @user-vh6po4xw5c
    @user-vh6po4xw5c 23 дні тому

    Wasenge kweli hamna lolote mbwa nyinyi azizi kii mguu wa kulia umeguswa alafu mnakataa tafuteni vya kufanya ujinga mtupu