Ukweli utabaki ukweli kuwa YAC ina kikosi kipana chenye Wachezaji wenye vipaji vikubwa na wamejengewa stamina kubwa. Timu pinzani zenye uwezo wa kuifunga, japo goli moja, ni chache sana. Michezo yake 7 hadi sasa imefungwa goli 4 (goli 2 za Ausburg) wakati imefunga goli 15 (timu 3 zimefungwa goli 4)
Abisai weka rekodi vizuri, Yanga alimfunga USM Alger 0-1 pale Algeria aggregate ikawa 2-2 ila Yanga wakakosa ubingwa kwa sheria ya goli la ugenini kwasababu walifungwa kwa Mkapa 1-2
Kuhusu yanga Bado hamjaongea huyo oruma ni mmoja wawalioiponda yanga ila Leo ameufyata kuhusu yanga, ila siku yanga wakileta caf champion league nyumbani ndomtajua yanga Yuko kwenye level Gani kimpira ..

Yanga Bingwa
Mtangazaji ana shape😂😂
Kiukwel huyu dada anaboa kisenge acha mtu amalize kuongea bac nn unakatisha mtu akiongea hajamaliza kujibu usha pachika swal lengine 😢
Hatujasare na usm algers walitufunga kwetu tukawa funga kwao tukatolewa kwa kanuni
Hajatolewa ilikua mwisho wa mashindano ni fainal ilee
Kila wakati huyo mwanamke akitaka ktoa hoja wanaume munaongea juu yake very rude respect guys.
ORUMA MCHAMBUZI MAKINI:
1. YOUNG AFRICANS AIM TO BE AFRICAN CHAMPIONS
2. NA HII NI NIA YA HERSI NA GHARIB
3. WACHEZAJI WANAO KILA ENEO
Abisai weka rekodi vizuri, Yanga alimfunga USM Alger 0-1 pale Algeria aggregate ikawa 2-2 ila Yanga wakakosa ubingwa kwa sheria ya goli la ugenini kwasababu walifungwa kwa Mkapa 1-2
Usituda ganyanye Absai Yanga ishida bado moja algeria siyo sare
Oruma anajifunza uchambuzi hana data au huwa hawezi kusanya data za uhakika kufanya uchambuzi
Wachambuzi wajiandae kabla kwenda kwa kipindi..utafiti kuhusu team husika..waje na takwimu ili kuipa nguvu hoja zao
YANGA BINGWA 😁
Mmh kuna vitu unachanganya
Huyu dada anakera jamani
Jamaa ndio wanakeraa
peananeni muda wa kuongea,mnatupigia kelele aisee
Kuhusu yanga Bado hamjaongea huyo oruma ni mmoja wawalioiponda yanga ila Leo ameufyata kuhusu yanga, ila siku yanga wakileta caf champion league nyumbani ndomtajua yanga Yuko kwenye level Gani kimpira ..
Mchambuzi Ramli hyo. Alikuwa anatuoiga vita yeye na jemedari 😅😅😅😅
Hapo uruma umetulisha matango pori Morinyho mwaka huo hayupo cheleasee alikua potooi
Mdapiga kelele sasa hata hamjishitukii
🥸🥸
Yani hitching kidada kina kela yani kina halibu kipindi kinaongea ujinga tu wake wachambuzi nafasi tuwa sikilize una pay uka pay uka tu wewe mchambuzi
ZOGO SASA YANGA BINGWA CAF
Mwanamke ana mdomo uyu
Sasa unajua hizo tim mwaka huu wamesajili nani wewe mchambuzi gani unazungumza ya jana bwana
Tuambie ww kwan hao wamesajilije?
Yani alie mweka huyu dada hapo pepo ataisikia kinaboa kinaboa kikuma kinauliza swali mtu haja jibu kinapachika tena swali