Poleni San wa Tanzania wenzangu hata kwetu wapo Mungu atawasimamia🙏🏼 Hongera Sana Mkuu wa mkoa Mwenyezi Mungu aendelee kukusimamia ktk majukumu yako💪🏽👍
Magufuli ni RAISI Bora sana katika wote Yani utendaji wake safi sana, na kusimamia miradi. Yani basi tu kazi ya MUNGU Haina makosa. Rest in peace magufuli😭
Tupishe basi Magufuli muda wake ushakwisha, tumepona na udikiteta siye maana ambako angetufikisha Mungu anapajua, yeye aliyemruhusu awe duniani alimchukua, Kama angeona hajamaliza Kazi yake basi angemuacha zaidi
Msoga timu imerudishwa na aliekuwa nyuma yako wa karibu kila idala majipu na kiongozi wa nchi anayetuongoza jipu bwaju bwaju mungu akulaze mahala pema peponi jpm tu nakukumbuka amina
Very right, my fears are that even this so called mkuu wa mkoa appears not to go far with this .I don't know really when Africa will pull itself successful from this sludge of corruption. Always there has to be a personal force like Magufuli for state affairs to grind aptly instead of institutional drive.
Inasikitisha sana. Mradi mkubwa kama huu unaendeshwa kiuni. Waziri akisimama ni mbwembwe nyingi, matokeo hatuyaoni. Mama wakati umefika kuteua watu wenye uwezo sio takrima. Nimeumia sana kama mtanzania. Wakandarasi hawana uchungu na nchi hii. Mhindi amepata kazi kabla ya work permitt. Inauma sana. Tutamkumbuka JPM daima.
Hongera mama na waziri wako makamba mnaupiga mwingi hii ndio tz ya leo na wanataka kusifiwa mda wote ukisimama kukemea unaonekana ni mpumbavu na mjinga wa hali ya juu si jui tumerogwa na nani daaah
Magufuli alikua anamapungufu yake lakini Tumepoteza Jembe 😭😭😭,Lakin jaman Tz inamaana hatuna wasomi Mbona wanaweza wakiaminiwa hawa Ngoz nyeupe wanatudharau sana
Hawa ngozi nyeupe ningekuwa Rais wasingethubutu kunichezea ningewafunga na ningejua ni watu wa taifa gani ningewapiga stop wasikanyage Tanzania ningejua nchi yao huenda imewatuma watuhujumu.
@@Baba-nm4qz mzee comment yako ndo hiyo hiyo unarudia kila sehemuuu 😂😂😂😂 He is our champ na naamin siku moja tutapata kiongozi chuma kama yeye apa Tanzania na wapigaji wote watayayuka 😂
Ni kweli. Kwetu CHANIKA mkandarasi wa ndani kidaraja kidogo tu alitumia mwaka mmoja kukijenga! Kidaraja cha miezi mitatu ama miwili, katumia mwaka miezi na nane!
Ndio mkome kubabaikia hao mnaowaona kama miungu yenu safi sana hao ndio wawekezaji wazuri tena waongezeeni mikataba 🤣🤣 RIP mzee baba Magufuli 🙏 wezio huku mbele ni mwendo wa nguo KANIKI
Such kind of cases leads to poor Monitoring and Evaluation in many projects of Tanzania thus why our project failed. We need to find people who are well committed and have enough expertise In our project
Rip magufuli kuleni pesa uku mtaani njaa kali taifa linahangamia mkija kushutuka somalia na Sudan inawahusu mtakuja kumbuka shuka kumeshakucha kweli mmetufanya sisi manyumbu
SPK, si ajabu ni kigogo mmoja wa CCM. Ndio maana hili limeisha. TANESCO wanajua kinachelea, ndio maana wanajitafuna. Pia hawa watu wanachelewesha maksudi maana wanajua TZ kwa sasa umeme hatuna.RIP JPM
Kila mda tunakatiwa umeme ingali kuna watu wanatuchezea, upuuzi huu s wa kuvumilia hata kidogo tanesco hapo arusha ni jipu, Eeh Mungu mbariki mama Tanzania
Ongezeni tozo tujazie hapo tulipoibiwa mana kwetu ndipo ndpo lilipo ficho lenu. Pahala pakupozea umeme kitaifa panaenda kombo tangu mwez May viongozi wakubwa wa nchi hamtambui had kaenda RC 😭😭😭
Yani hii dhalau aliyoonyesha uyu mzungu nimesikia hasira utadhani ni mimi ivi uncle Magu angekuwepo wangeweza kujibu hivi kwa dhalau uwiii Baba rest in peace yani leo leo wangepanda ndege kulud kwao yule jamaaa alikuwa na maamuz ya kishujaa hakuna mwingine Tz kwishaa
Mkuuu wa mkoabna kupongeza Sana kwailo hata mgao wai WA umeme Kwa Arusha maeneo ya kijenge juu na kimandolu unakatika katika Sana bila mpangilio mtusaidie kwailo
Kiongozi yoyote aliyepewa dhamana ya mkoa au wilaya, au dhamana yoyote hapa nchini ni lazima asimamie haki za watanzania kwa ufahasa otherwise tutakuwa tunaishi katika hali ya ukoloni au ujima ndani ya ndan ya nchi yetu, kesi hizi ni nyngi sana katika project zinazoendelea hapa nchini
Tanecko majingaa sanaa yanaona tatizo halafu yako kimya wakati nchii niyao alafu hilo limenejaa yani hongera mkuu wa mkoa ila fatiliaa kuna madudu Kama hayaa mengitu ndani ya mkoa hajazunguka sasa nchi nzima mbona hatumwenzi magufuli vizuri au mlimchukuli poa kipindiii kilee
Nimepitia jumbe nyingi sioni zikiwaunga mkono viongozi waliopo,hebu tuwaunge mkono wateuzi wetu,nchi kwa asilimia kubwa miradi yake haipo sawa kiusimamizi wapigaji ni wengi ila tunaiamini serikali mtasimamia kodi za watz"Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika"
Chumaa. RIP kazi ya Mungu aina makosa
Magufuli tutakukumbuka Sana baba yetu 🙏🙏🙏🙏
🙏🏾🙏🏾
jammani 😭😭😭 kazi ya mungu haina makosa mungu aziweke roho za marehemu wote na mjomba ailaze roho yake mahali pema peponi.🤲🤲🤲
Magufuli umeondok ikiwa tunakuitaji Sana Tanzania Mzee wetu,,,,Lala salama uko uliko mambo c mambo
Acheni unafiki kila Kitu magufuli
Basi tukutaje wewee 😂
@@abdallahomary5032 😂😂😂😂😂🙏🙏
@@abdallahomary5032 😂😂
@@abdallahomary5032 sasa kutaja mtu asieweza kukusaidia huoni kama nao ni ujinga.. fanya maamuzi magumu siyo kulilia marehemu
Poleni San wa Tanzania wenzangu hata kwetu wapo Mungu atawasimamia🙏🏼
Hongera Sana Mkuu wa mkoa
Mwenyezi Mungu aendelee kukusimamia ktk majukumu yako💪🏽👍
Laz
Safi kabisa mkuu, hawa wazungu ovyoooo mnoooooo hii ni kazi ya makamba mbona wa Tz wanaweza kazi tena wakae mwaka
Hahaha
Bulldozer ameondoka inchi inajitawala , watu wako kwenye kulamba asali tuu😭😭😭😭
Baba etu magufuli alisema tutamkumbuka , nakweli tunamkumbuka, R.i.p kepenzi chawa TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Magufuli will be missed forever. Hongera mkuu wa mkoa walau kwa kuwabana hawa watu. Wabane hadi mradi ukamilike.
Magufuli ni RAISI Bora sana katika wote Yani utendaji wake safi sana, na kusimamia miradi. Yani basi tu kazi ya MUNGU Haina makosa.
Rest in peace magufuli😭
Kwako ndio rais bora
Kuua upinzani kulikua maana Gani,hebu twambie wewe kama sio kukurupuka
Aiaee.
Tusamehe Magu
Mungu akulaze mahala pema peponi
Napenda sana kwa jinsi Tanzania 🇹🇿 inavyo chezewa safi sana MAGUFULI KATUKANWA SANA TENA SANA nasema tena safi sana 🤣🤣🤣 RIP mzee baba Magufuli 🙏😭😭😭😭
hapa kw staili hii ukuu wa mkoa ataukosa maana inaonekana hii mifumo haitakiwi sa hv,, watawakwaza wawekezaji
Kwakweli rest in peace jpm 😭😭😭😭
Kumanina walahi..🤬🤬
Tupishe basi Magufuli muda wake ushakwisha, tumepona na udikiteta siye maana ambako angetufikisha Mungu anapajua, yeye aliyemruhusu awe duniani alimchukua, Kama angeona hajamaliza Kazi yake basi angemuacha zaidi
@@daimavlog mkundus ww
Doooo mungu wangu nchi inatokomea na kuteketea wizi mtupu
Magu allisemA haya
Kuna viongozi wa kui wa mikoa na wa wilaya wapo vizur sanaa katka utendaj kazi. MUNGU awalinde na kuwapa maisha malefu.
Dah Pole sana Mama angu Shuma utashinda tu mwamini Mungu
Angekuwepo hayati magufuli hapo mhuuuu mungu amlaze mahali pema peponi ndiyo uhujumu uchumi huo
Yaan upumbavu huu unafanyika waziri yupo, Rais yupo...Yaan Kweli RIP 🙏 😢 Magufuli
Makamba kaweka miguu juu tu
😂😂😂😂
Huyu ni kiongozi mzalendo lazima utakuwa raisi kwa nguvu za mwenyezi Mungu miaka 1000000000000 respect.
ACHENI wajipigie tu! Miela si ipo tu yakupiga bhana!🤗🤗 Tz chaka la maalamia wa mpunga.
Wamejibu vizuri sana, sijaona dharau.
RIP VIVA Magufuli😭😭🙏
Mbona mradi haukuisha tangu 2020 na yeye alikuwepo acheni upumbavu
Mbona unaumia akitajwa Magufulii mzee
Atabaki kuwa Icon milele hata ukichukiaa 😂😂😂
@@abdallahomary5032 😂😂😂😂😂👏🤝👏
@@Baba-nm4qz RIP MWAMBA
Piga kazi mh.mkuu wa mkoa
Msoga timu imerudishwa na aliekuwa nyuma yako wa karibu kila idala majipu na kiongozi wa nchi anayetuongoza jipu bwaju bwaju mungu akulaze mahala pema peponi jpm tu nakukumbuka amina
Kwa Sasa Wasafi Media Kwa Habari Mko Namba Moja Hapa Tanzania Mko Kila Mkoa Kabisa Sasa Ni Mda Wa Kanzisha Kipindi Cha Wasafi News Wasafi Tv Big Move🚀
Wakienda hivi kweli watakua namba moja Ila waache kuweka habari za kimbea na hamonize na Mambo ya michawa leteni habari za msingi Kama hizi
Kweli una akili sana media zingine wamekuwa machawa wa ras
Mutanikumbuka tna mutanikumbuk kwa weme Rest in peace jembe letu hakika ha2wez tena kupata kiongoz kama ww
Hiyo ndiyo CCM na serikali zake. Hakuna linalokwenda. Wageni wanawafanya raia wanavyopenda. Allah atusaidie.
Ngoja tuendelee kuchezewa mpak awamu ii kuisha tutafika tumechoka sana
KINYAAA, KICHEFUCHEFU AND SHEM ON YOU......RIp MAGUFULI......
Rip tanzania 🇹🇿 mnaliwa hela na hamujui anae kula hela zenu🤣🤣
Wanakamatwa na gar nzur hvii
Makamba safi mama samia oyeee ni kweli kabsa mnafanana na magufuli akuna tofauti 😭😭
ndugu utakula chuma juzi jamaa wa go..v kasema wapo wengi kule koloni ila hawjisemi,,
R.I.P Baba tunakukumbuka
Baba yupi sasa?
Baba Ako aikuw tanexko
kabisaaaaaaaa
uyu mama samia siyomkari
urais siyo siyasa tu! ukali kwanza
💔💔😭😭😭
Tutamkumbuka sana jp magu lichimondi Tena imeludi
Magu Magu Magu we are missing you dearly … this country is in ruin and the leader daily on flights … poleni watz
Sasa kwanini uwandike kiingeleza kibovu c andika kiswahili 2
@@hajjiomary2383 wee kingereza hukijui dugu' learn English
This is what happens when a nation depends on foreign aid and investments.
It depending with which Foreign nations to deal with. Bt not Country of those 2 people I've seen.
100% truth
The project is funded by loans not aid
@@mcback4384 Aren't loans the new form of slaverly. The terms given to African nations are deadly
Very right, my fears are that even this so called mkuu wa mkoa appears not to go far with this .I don't know really when Africa will pull itself successful from this sludge of corruption. Always there has to be a personal force like Magufuli for state affairs to grind aptly instead of institutional drive.
God have mercy on us
Waajiriwa wanasauti zaidi ya boss!
Tunahujumiwa tukiangalia!!
Safi sanaaaa Mongela, kumbe bado kuna watu wenye uwezo wa kufatilia vitu
hongera sana mkuu wa mkoa. ila ni AIBU sana kwa viongozi wetu na mikataba ya hovyo
Aibu tupu, eti anaupiga mwingi loo mmh. Poleni sana watanzania wenzetu.
Inasikitisha sana. Mradi mkubwa kama huu unaendeshwa kiuni. Waziri akisimama ni mbwembwe nyingi, matokeo hatuyaoni. Mama wakati umefika kuteua watu wenye uwezo sio takrima. Nimeumia sana kama mtanzania. Wakandarasi hawana uchungu na nchi hii. Mhindi amepata kazi kabla ya work permitt. Inauma sana. Tutamkumbuka JPM daima.
Lord give us another brother like JPM
Only Chadema will change life of many Tanzanian, ccm to be on power is the huge crisis to the Tanzanians life
@@majormajomjohn3775 chademaa matapeli labia
True
🙂
Lord took him, he knew was toxic for our democracy may he rest forever. Tundu Lissu he is the brother we need
😭😭😭tanzania yangu kilakona madudu shamba la bibi
Daaaaaah R.I.P MJOMBA
Na bado tunazisubiti na Yuro.
rip baba jpm tutakukumbuka kwa mema yako
Izo ngurewe wakiziachia haki Mwalimu Nyerere ataamkaa 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲
utashangaa Mongela Katenguliwa yani Nchi hii haipendi haki hata kkdogo aliependa haki Mungu alishamchukua
R.I.P Daddy Magufuli 😢😢😢this is shame this shame this is shame to this country but what i know is nothing is powerful than GOD 😢😢😢😢this is Fvkn crazy
I really miss uncle MAGU 🙄😔😔 Legendz die young
Hongera mama na waziri wako makamba mnaupiga mwingi hii ndio tz ya leo na wanataka kusifiwa mda wote ukisimama kukemea unaonekana ni mpumbavu na mjinga wa hali ya juu si jui tumerogwa na nani daaah
Rest in peace baba😭 mam endelea kupand ndege
acha tu ndugu, yule jamaa alisema tutamkumbuka
Alale salama kweli maana mambo ya kijinga yanarudi hakuna hata anayeshughulika kila mtu anashughulika na lake Magufuli babaaaaa😭
@@khalidmohamed454 to
💔💔💔😭😭😭😭
🤣🤣🤣🤣 kwakweli aendelee kupanda ndege
Na watatudharau sana aiseeee. RIP JPM😥😥😥😥😥
Mkuu wa mkoa hongera sana .
Daaa wazir wa nishati yupo lakin
Magufuli alikua anamapungufu yake lakini Tumepoteza Jembe 😭😭😭,Lakin jaman Tz inamaana hatuna wasomi Mbona wanaweza wakiaminiwa hawa Ngoz nyeupe wanatudharau sana
Hawa ngozi nyeupe ningekuwa Rais wasingethubutu kunichezea ningewafunga na ningejua ni watu wa taifa gani ningewapiga stop wasikanyage Tanzania ningejua nchi yao huenda imewatuma watuhujumu.
Mbona alikuwepo 2020 na mradi ulitakiwa kuisha mwaka huo?
Wapo ila kazi wanayoiweza ni kuiba tu
@@Baba-nm4qz mzee comment yako ndo hiyo hiyo unarudia kila sehemuuu 😂😂😂😂
He is our champ na naamin siku moja tutapata kiongozi chuma kama yeye apa Tanzania na wapigaji wote watayayuka 😂
RC mongela Mungu akuzidishie Sana tena Sana hekima na uzidi kutenda kwa hekima na ushujaa huo huo mkuu
Uchunguzii ufanyike. Kuweka ndani hivi si vizuri. Iinakuwa kosa toka mwanzo, nani kawaleta hao???. Tuponye kidonda, chanzo chake nini???
Hii ni shida ya ufisadi tu kazi kama hizi siku hizi Ma engineer wazawa wanaweza kufanya kwa asilimia 100.
Ndio wanaweza
Sw kwaio kawap kaz ss
Ukiona Mkandarasi anajeuri jua anauhakika wakubwa hawatamfanya kitu
Ni kweli. Kwetu CHANIKA mkandarasi wa ndani kidaraja kidogo tu alitumia mwaka mmoja kukijenga! Kidaraja cha miezi mitatu ama miwili, katumia mwaka miezi na nane!
@@TamuzaKale ok
Yan ilikua hakuana kuuliza ...mmh daah ttzo 🙏 atusaidie
Ndio mkome kubabaikia hao mnaowaona kama miungu yenu safi sana hao ndio wawekezaji wazuri tena waongezeeni mikataba 🤣🤣 RIP mzee baba Magufuli 🙏 wezio huku mbele ni mwendo wa nguo KANIKI
Ongera mkuu sema anao wangusha ni mkuu wenu apo ni kazi bure tamkoka la kumtoa lipo njiani
Uncle Magu wanyonge hawali na vinywa vyao. Duh inauma Sana
Such kind of cases leads to poor Monitoring and Evaluation in many projects of Tanzania thus why our project failed. We need to find people who are well committed and have enough expertise In our project
Hatari sana ..............
Rip magufuli kuleni pesa uku mtaani njaa kali taifa linahangamia mkija kushutuka somalia na Sudan inawahusu mtakuja kumbuka shuka kumeshakucha kweli mmetufanya sisi manyumbu
Magu rest in peace we miss youuuu...miradi haita Isha kabisaaaaa........
Kunawatu walizeeka hatare ila kwa sasa wamerudi kuwa vujana tena wamenenepa hatare.Mungu atusaidie
Ooooo africa magufuli akiangalia haya kwakweli anaumia Sana, kushindwa kuendelea chenye mzee aliwaanzia noma Sana ooooo africa
Makamba juuu
SPK, si ajabu ni kigogo mmoja wa CCM. Ndio maana hili limeisha. TANESCO wanajua kinachelea, ndio maana wanajitafuna. Pia hawa watu wanachelewesha maksudi maana wanajua TZ kwa sasa umeme hatuna.RIP JPM
Kila mda tunakatiwa umeme ingali kuna watu wanatuchezea, upuuzi huu s wa kuvumilia hata kidogo tanesco hapo arusha ni jipu, Eeh Mungu mbariki mama Tanzania
Ongezeni tozo tujazie hapo tulipoibiwa mana kwetu ndipo ndpo lilipo ficho lenu. Pahala pakupozea umeme kitaifa panaenda kombo tangu mwez May viongozi wakubwa wa nchi hamtambui had kaenda RC 😭😭😭
R. I.P Magufuli
Hongera sana mkuu wa mkoa
tutamkumbuka milele john p
Subuhanallah. Poleni sana
Huu mradi n hatar sana 😢😢 shida wakandarasi hawasemi ukweli wao wanasumbuliwa na hao hao watanzania mpaka mkandarasi anachoka
Mm nampa big-up
R.I.P Doctor Magufuli
Nimemkumbuka magufuri
Waziri yuko wapi?
Duhhh mwendazake keshaenda haya tutayaona mengi sana
Angekuwepo jpm
Washafukuzwa wengi tu
Mwamba alikuwa hataki mzaha wa kipuuzi.
Mnawakamata mabeberu mtawekewa vikwazo mtakua hamuendi marekani 😄😄😄
Yani hii dhalau aliyoonyesha uyu mzungu nimesikia hasira utadhani ni mimi ivi uncle Magu angekuwepo wangeweza kujibu hivi kwa dhalau uwiii
Baba rest in peace yani leo leo wangepanda ndege kulud kwao yule jamaaa alikuwa na maamuz ya kishujaa hakuna mwingine Tz kwishaa
RIP John Magufuli tutakumbuka Sana
Nzuri hiyo
Mbaya sana hii... Serikali iko wapi!? January anafanya nini ofisini!??
Safi mkuu wa mkoa kwa uwamuzi mzuri
Mkuuu wa mkoabna kupongeza Sana kwailo hata mgao wai WA umeme Kwa Arusha maeneo ya kijenge juu na kimandolu unakatika katika Sana bila mpangilio mtusaidie kwailo
Baba baba tunakukumbuka sisi watoto wako
Mbona mradi haukuisha tangu 2020 na jpm alikuwepo?
@@Baba-nm4qz mzee mbna kila anapotajwa JPM unaumiaaa
Unataka atajwe naniii?
@@Baba-nm4qz 🤣🤣 tulia BORO la Kirugulu likuingie kunako
Kiongozi yoyote aliyepewa dhamana ya mkoa au wilaya, au dhamana yoyote hapa nchini ni lazima asimamie haki za watanzania kwa ufahasa otherwise tutakuwa tunaishi katika hali ya ukoloni au ujima ndani ya ndan ya nchi yetu, kesi hizi ni nyngi sana katika project zinazoendelea hapa nchini
Hii nchi kweli 😢
Wanarembua rembua😁😁😁
Tanecko majingaa sanaa yanaona tatizo halafu yako kimya wakati nchii niyao alafu hilo limenejaa yani hongera mkuu wa mkoa ila fatiliaa kuna madudu Kama hayaa mengitu ndani ya mkoa hajazunguka sasa nchi nzima mbona hatumwenzi magufuli vizuri au mlimchukuli poa kipindiii kilee
Yani huyo meneja nae fukuza ajielewi kabisa
Ubalikiwe sana mkuu wa mkoa bado wakina magufuli bado wapo
Nimepitia jumbe nyingi sioni zikiwaunga mkono viongozi waliopo,hebu tuwaunge mkono wateuzi wetu,nchi kwa asilimia kubwa miradi yake haipo sawa kiusimamizi wapigaji ni wengi ila tunaiamini serikali mtasimamia kodi za watz"Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika"
Waafrica noma sana kabisa
Tukifanya kosa kwao ..risasi,,nyonga.. wao je
Umeme wa KUTOSHA TZ ni kiini macho !!
Waziri yuko wapi? Januari Makamba oyeeee
Kiingereze chenyewe mkuu wa mkoa hajui Kuna kazi kweli hapo..
SAFI SANA NA BADO, , ADI AKILI ZA WATZ ZIAMKE MANINA