DHULMA part 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Assalaamu Aleykum warahmatullaahi wabarakaatuh.Watazamaji wetu wa channel ya tamthilia za pwani tuna imani ya yakini kuwa mpo vyema.Tunawatakeni sana radhi watazamaji wetu kwa kukosa kuweka kazi zetu kwa kipindi kirefu sio kutaka kwetu ni kwa dharura zisizo epukika.Walaakin sasa tumerudi rasmi kwa kasi mpya na nguvu mpya.IN SHAA ALLAAH kwa uwezo wa mola tutafanya kazi nyingi nzuri musiketi mbali watazamaji. Tunaomba ushirikiano wenu kwa kushare kazi zetu na kusubscribe.jaza yenu ipo kwa mwenye Ezi

КОМЕНТАРІ • 42

  • @aslamhoussein6865
    @aslamhoussein6865 4 роки тому +3

    Maasha Allah M/mungu awazidishie juhudi katika kazi zenu za kheri inshallah.

  • @ibrahimomar1073
    @ibrahimomar1073 4 роки тому +2

    Jamani watusubiri sana part 3.Masha Allah muko vizuri.

  • @anisabakari5298
    @anisabakari5298 3 роки тому

    Mwendelezo plz hongereni mambo ni 🔥🔥🔥🔥 sana uyu mama kiboko duuuu

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 роки тому

    Mashallah movie nzuri sana

  • @maryamhilal4019
    @maryamhilal4019 3 роки тому

    He mbon ndog Mashaalh kaka ashkua mkubw Lkn hu hatujaufahamu mbna

  • @fisadikiwembe9787
    @fisadikiwembe9787 4 роки тому +5

    part two iliishia husen ashawasamehe wazazi wake wakaishi kwa aman

    • @nelsonmhali7957
      @nelsonmhali7957 4 роки тому

      Yaan hii part 3 wamekosea jmn wakt part 2 picha ishaisha jmn bt tee

  • @saumrajabpalomar9569
    @saumrajabpalomar9569 4 роки тому +1

    Jamani twasubiri part 3 plzzzzzzz✌️✌️✌️✌️✌️

  • @akjunior5542
    @akjunior5542 5 років тому +4

    Am waiting eagerly for this part 3.....but u left us in suspense......but Masha Allah..... So nice

    • @mathiassteven6695
      @mathiassteven6695 3 роки тому

      I guess Im asking randomly but does any of you know a tool to log back into an Instagram account..?
      I was dumb lost the password. I appreciate any tips you can give me.

    • @mathiassteven6695
      @mathiassteven6695 3 роки тому

      @Justin Jesse Thanks for your reply. I found the site on google and im in the hacking process now.
      Takes quite some time so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.

    • @mathiassteven6695
      @mathiassteven6695 3 роки тому

      @Justin Jesse it did the trick and I now got access to my account again. I am so happy:D
      Thank you so much, you saved my ass!

    • @justinjesse6417
      @justinjesse6417 3 роки тому

      @Mathias Steven Happy to help xD

  • @khamisramadhan5775
    @khamisramadhan5775 4 роки тому +2

    MashaAllah nzuri Sana Allah awazidishie

  • @ustbll6181
    @ustbll6181 3 роки тому +2

    Dah sijamuona firdaus alivyokuwa mkubwa

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +3

    Masha Allah mbona kiduchu mwatuonjesha tu

  • @abunusaibah1240
    @abunusaibah1240 4 роки тому +6

    From Tz, Assalaamu alaykum, Kaz nzur maashaallaah keep it up!! Narudia keep it up coz kona hii ya FILAMU/TAMTHILIYA ZENYE MAADILI imesahaulika sana, najua mna changamoto nyingi sana lkn msiwache please!!!
    Ila kitu kdg kuhusu hii part3 cjapata connection ilorandana vzr kati ya part2 na hii part3 coz nakumbuk mwisho wa part2 husein alipata scholarship akenda masomoni, na tukaambiw baad ya miaka 10 alirejea na kuwasamehe wazaz wake wakaishi kwa amani, sasa hii clip yaonesha ni km bdo yupo hapoapo na wazazi wake yuanyanyaswa vilevile na hendi shule, hpo kdgo yakanganya, part3 ilitarajiwa ioneshe kwanz husein kakua mkubwa na amefanikiwa kimaisha yan kamaliz masomo kwa ufaulu mzur, na kwa tabia yke njema kapat kaz nzur ama biashara nzuri.
    Na kwa upande mwingne tuoneshwe maisha mabaya ya zubeda kama matokeo ya malezi mabaya ya kudekezwa, lkn kwa roho nzuri ya husein kawasamehe wote na kawa msaada mzur kwa familia (ilokuw yamnyanyasa hpo kabla)
    Afwan

    • @tamthiliazapwaniofficial4361
      @tamthiliazapwaniofficial4361  4 роки тому +1

      Shukran tutasawazisha Walaakin kuna nzuri nzuri za maadili zipo njiani In shaa Allaah mutafurahi.Twashukuru kwa ushauri wako na kuenzi kazi zetu Kay suu

    • @abunusaibah1240
      @abunusaibah1240 4 роки тому

      @@tamthiliazapwaniofficial4361 Maa Shaa-a LLaah, Allaah akuwafiqisheni, Twasubir kwa hamu sana

  • @shakiraaswalah9917
    @shakiraaswalah9917 5 років тому +4

    A.a jmn mbona mwatuweka kwa taharuki kidogo sana jmn

  • @mwajumanangameta6567
    @mwajumanangameta6567 4 роки тому +2

    Mmh hatali

  • @fisadikiwembe9787
    @fisadikiwembe9787 4 роки тому +4

    hili chezo halifahamiki mbonaaa

  • @swafiamohammed1708
    @swafiamohammed1708 4 роки тому +3

    Aslm alaykum
    Sasa hussein alikua ameenda masomoni mbona amerudi kwa mamake nakuendelea kunynyaswa? nakuendelea k

  • @alisheikhbabu2986
    @alisheikhbabu2986 5 років тому +3

    Masha Allah ni Nzuri Lakini ni fupi

  • @mariamshemweta328
    @mariamshemweta328 3 роки тому +1

    V

  • @mwanarusimusa3620
    @mwanarusimusa3620 5 місяців тому

    Kwa huyu ni mama wakambo ama nini.

  • @ameenaalameena4968
    @ameenaalameena4968 4 роки тому +1

    Sasa tuwaelewen vp mara kiswahili mara kizungu heeee

  • @zamratallly4148
    @zamratallly4148 3 роки тому +1

    Sasa si part2 tuliambiwa km hussein alirudi na akawasamehe wazazi wake? Sasa mbn ipo hivi???

  • @mesalimumwabidia5607
    @mesalimumwabidia5607 4 роки тому +2

    Kazi nzuri lkn kizungu cha nn!!?

  • @mrmuyaballo6606
    @mrmuyaballo6606 3 роки тому

    Kizungu .....? Swahili tamu mkovizuli 🙏

  • @twaharmbegambega5824
    @twaharmbegambega5824 3 роки тому

    .