Tamthilia za pwani official
Tamthilia za pwani official
  • 23
  • 2 480 301
Kivumbi
Kivumbi
Переглядів: 6 690

Відео

KIVUMBI
Переглядів 764Рік тому
KIVUMBI
Fedheha Movie 1
Переглядів 4,8 тис.2 роки тому
Fedheha Movie 1
FUNZO SHORT FILM (TAMTHILIA ZA PWANI)
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
BROUGHT TO YOU BY - MWAMBA PRODUCTION. TAMTHILIA ZA PWANI GROUP. STORY BY - MUSA ATHMAN FILMED AND EDITED BY - DIRECTOR KAY CONTACT MUSA ATHMAN 254 735576202 CONTACT DIRECTOR KAY 254 748171399
MSALITI SHORT FILM (TAMTHILIA ZA PWANI)
Переглядів 1,8 тис.3 роки тому
BROUGHT TO YOU BY - MWAMBA PRODUCTION. TAMTHILIA ZA PWANI GROUP. STORY BY - MUSA ATHMAN FILMED AND EDITED BY - DIRECTOR KAY CONTACT MUSA ATHMAN 254 735576202
Nafsi Episode 1
Переглядів 9 тис.4 роки тому
Wasanii waliokuletea sinema ya Dhulma kwa hivi sasa wanakuletea tamthilia mpya kwa jina "Nafsi". Sinema hii itakuwa inapatikana ndani ya youtube channel yetu. Ili usikose uhondo huu, Subscribe Channel yetu ya youtube ndio uweze kuzipata episode zote. Pia kama ungetaka kusaidia kikundi chetu kwa njia yeyote ile, unaweza wasiliana na Musa namba yake ya simu ikiwa 254735576202
DHULMA part 3
Переглядів 177 тис.5 років тому
Assalaamu Aleykum warahmatullaahi wabarakaatuh.Watazamaji wetu wa channel ya tamthilia za pwani tuna imani ya yakini kuwa mpo vyema.Tunawatakeni sana radhi watazamaji wetu kwa kukosa kuweka kazi zetu kwa kipindi kirefu sio kutaka kwetu ni kwa dharura zisizo epukika.Walaakin sasa tumerudi rasmi kwa kasi mpya na nguvu mpya.IN SHAA ALLAAH kwa uwezo wa mola tutafanya kazi nyingi nzuri musiketi mbal...
Kivumbi kime timuka timtim jiandae na uwe karibu ujue ni kivumbi gani
Переглядів 4,9 тис.5 років тому
Kivumbi kime timuka timtim jiandae na uwe karibu ujue ni kivumbi gani
Dhulma part 3.Usikubali kupitwa mambo yamezidi kupamba moto
Переглядів 51 тис.5 років тому
Watazamaji wa tamthilia za pwani musiwe mbali tumewaandalieni mambo mazuri mazuri.Twawaombeni muwe na subra kengine musisahau kushare link zetu na ku subscribe
Dhulma part3
Переглядів 106 тис.5 років тому
Assalaamu Aleykum tuombeeni mungu In shaa Allaah hini dhulma part 3 ipo njia baada ya mda mrefu watu kulalama
Miongoni mwa scene zilizo pendwa
Переглядів 13 тис.5 років тому
Miongoni mwa scene zilizo pendwa
Dhulma movie theme song
Переглядів 25 тис.6 років тому
Dhulma movie theme song
MASAIBU SERIES EPISODE 7 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
Переглядів 113 тис.6 років тому
MASAIBU SERIES EPISODE 7 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
MASAIBU SERIES EPISODE 6 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
Переглядів 70 тис.6 років тому
MASAIBU SERIES EPISODE 6 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
MASAIBU SERIES EPISODE 5 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
Переглядів 70 тис.7 років тому
MASAIBU SERIES EPISODE 5 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
MASAIBU SERIES EPISODE 4 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
Переглядів 70 тис.7 років тому
MASAIBU SERIES EPISODE 4 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
MASAIBU SERIES EPISODE 3 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
Переглядів 54 тис.7 років тому
MASAIBU SERIES EPISODE 3 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
MASAIBU SERIES EPISODE 2- Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
Переглядів 51 тис.7 років тому
MASAIBU SERIES EPISODE 2- Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
MASAIBU SERIES EPISODE 1 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
Переглядів 124 тис.7 років тому
MASAIBU SERIES EPISODE 1 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
DHULMA FULL MOVIE PART 1 (OFFICIAL H.D)
Переглядів 486 тис.7 років тому
DHULMA FULL MOVIE PART 1 (OFFICIAL H.D)
DHULMA FULL MOVIE PART 2 (OFFICIAL H.D)
Переглядів 1 млн7 років тому
DHULMA FULL MOVIE PART 2 (OFFICIAL H.D)
SIRI OFFICIAL TRAILER
Переглядів 2,6 тис.7 років тому
SIRI OFFICIAL TRAILER
DHULMA MOVIE OFFICIAL TRAILER
Переглядів 35 тис.7 років тому
DHULMA MOVIE OFFICIAL TRAILER

КОМЕНТАРІ

  • @MaydaKhamiss
    @MaydaKhamiss 4 дні тому

  • @shuweikhasalum9836
    @shuweikhasalum9836 14 днів тому

    Mm ninaupenda xna huu mchezo ila naipenda zaid iyo qassida naomba jina lake

  • @aminajuma2265
    @aminajuma2265 Місяць тому

    Rahma nakupenda sn

  • @aminajuma2265
    @aminajuma2265 Місяць тому

    Zubeda nakupenda sn

  • @KomboHakimu-g3v
    @KomboHakimu-g3v Місяць тому

    Maasha Allah

  • @mariamomran6144
    @mariamomran6144 Місяць тому

    Good

  • @YussufSaid-l9p
    @YussufSaid-l9p Місяць тому

    Hii movie tupo tunatazama maaka 2025 yan imetupenjea

  • @YussufSaid-l9p
    @YussufSaid-l9p Місяць тому

    Wadau wangu vp apo naombeni like zenu🎉🎉🎉🎉

  • @SudiJuma-f5f
    @SudiJuma-f5f Місяць тому

    😊😊😊

  • @BabuBabu-u7n
    @BabuBabu-u7n Місяць тому

    Naipenda sana

  • @AllyMaulid-r2d
    @AllyMaulid-r2d 2 місяці тому

    Maashaĺlah

  • @MwanaidiOmary-y1e
    @MwanaidiOmary-y1e 3 місяці тому

    Mashallah 3:02

  • @مستورهالعنزي-ي6ه
    @مستورهالعنزي-ي6ه 3 місяці тому

    Mashaallah mimi ni mkenya najivunia pia

  • @ZenaRamadhan-sx4rb
    @ZenaRamadhan-sx4rb 4 місяці тому

    allahu akbar allahu bariki

  • @ItsLEYLER
    @ItsLEYLER 4 місяці тому

    Madam saumu❤ mwenye. A lovaa mtandio wa red na buibui la butterfly ❤

  • @Juleibib-q7s
    @Juleibib-q7s 4 місяці тому

    Mashaallah.. Ndugu zangu naomba mu subscribe Chanel yngu mm pia Ni Wa Mombasa

  • @Juleibib-q7s
    @Juleibib-q7s 4 місяці тому

    ASSALAM alaikum

  • @aishaahmed3363
    @aishaahmed3363 4 місяці тому

    Team musa athman

  • @HassanOmar-kd9br
    @HassanOmar-kd9br 4 місяці тому

    😂❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AbubakarBakar-ok1ti
    @AbubakarBakar-ok1ti 5 місяців тому

    Mungu awalipe kwa filamu nzuri

  • @AbubakarBakar-ok1ti
    @AbubakarBakar-ok1ti 5 місяців тому

    Asanteni sana movies nzuri sana mungu wape kwahili

  • @AzizyAlly
    @AzizyAlly 5 місяців тому

    mashallah

  • @MwanaMosha
    @MwanaMosha 6 місяців тому

    Mashaallaah mung awazidishie nimejifunz sana

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 7 місяців тому

    Alafu mama yusuf ana rafiki mzuri kweli mashaallaah Mungu amzidishie imani

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 7 місяців тому

    Rahma una roho nzuri sana mdogo wangu ❤❤❤❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 7 місяців тому

    Kwakweli inasikitisha sana maskini mama Yusuf pole sana 😢😢😢

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 7 місяців тому

    Kazi nzuri sana nawapenda sanaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 7 місяців тому

    Mashaallaah ina mafunzo mazuri ❤❤❤❤

  • @Shish789
    @Shish789 7 місяців тому

    ❤❤❤❤ love it

  • @SughraMahmoud
    @SughraMahmoud 7 місяців тому

    Mashallah movie nzuri sana

  • @UmmyShaban-xv6cl
    @UmmyShaban-xv6cl 7 місяців тому

    Muvi atari dana

  • @RidhaaHamisi
    @RidhaaHamisi 8 місяців тому

    Kwakweli mov kamahiz ndio zina faa kuangalia inafundisha sio mov za mapenz hate hazifahi kuangalia ukiwa na familia

  • @Elmajor4
    @Elmajor4 8 місяців тому

    mashaallah hussein mungu atupe moyo km wak

  • @Elmajor4
    @Elmajor4 8 місяців тому

    tunaomba mama zetu wasiskilz sana mnn ya dada zetu

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 8 місяців тому

    Mwanadamu hujafa hujaumbika usimchukie mtu pasi sababu hujui atakaekufaa 😢😢😢😢

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 8 місяців тому

    Mmmmh mama kiboko huyu jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 8 місяців тому

    Mashaallah mtu nduguye ❤

  • @IngabireMariam-o7n
    @IngabireMariam-o7n 8 місяців тому

    SoMo ilo

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 8 місяців тому

    Bi ray mbona huna imani 😂😂😂😂

  • @fatmaali3940
    @fatmaali3940 8 місяців тому

    Mashallah

  • @Haroub-i3q
    @Haroub-i3q 8 місяців тому

    Maashaallah hii muvinzuri

  • @Haroub-i3q
    @Haroub-i3q 8 місяців тому

    Vipihuyo mwenyekangaya blue ameolewa kamabado miminamtaka

  • @mwanarusimusa3620
    @mwanarusimusa3620 8 місяців тому

    Kwa huyu ni mama wakambo ama nini.

  • @AminaDuba-f9q
    @AminaDuba-f9q 8 місяців тому

    wallahi hi movie inauzinisha😢

  • @ziadamohamed9554
    @ziadamohamed9554 9 місяців тому

    Kwakweli ujumbe mzuri mno tena sana kimaadili imani subra uvumilivu tunafunzwa mengi mno kuhusu hii

  • @salumsaid8515
    @salumsaid8515 9 місяців тому

    Mashaallah movie iko vizuri Allah akubarikini

  • @FundiSm
    @FundiSm 9 місяців тому

    ❤mashaallah 🤝

  • @AbubakariSalum-t4i
    @AbubakariSalum-t4i 9 місяців тому

    Asante ni sana kwa kutuleteya moves yenyemadili mazuri sana ishallah Allah atawalipa kheri nyingi

  • @NgamoAbudo
    @NgamoAbudo 9 місяців тому

    Machaallah

  • @sophlynkei6226
    @sophlynkei6226 9 місяців тому

    😍😍😍😍😍😍😍mashallah