Hii film ni nzuri sana, mlipofeli ni pale mlipokatisha ikawa ndoto. Kuanzia pale watazamaji tuliomakini hatuielewi hata nyie waandaaji wenyewe hamuielewi inavyoendelea. Ukiangalia kwa umakini hata alipotoka kwenye ndoto huyo mke wa FAHDI matukio hayakwenda sawa na ilivyokuwa kabla ya ndoto. Au mnataka kusema mwanzo wa film wote ulikuwa ndoto mpaka hali alipoamka ndipo film inaanza!?. Jitahidini sana kuwa makini na hii film... Mimi binafsi nipo kwenye channel hii kwasababu ya film hii tu.
@@shakirashakira-gc2yw walifeli pabaya sana kufanya ile iwe ndoto. Haina ladha kwasasa maana hata kama ni ndoto haiendelei kama ilivyoishia kabla ya ndoto.
Mwisho mtapoteza hata hao watazamaji kidogo waliobakia,mwanzoni mlikua mkipost baada ya masaa 5 unapata imeangaliwa na watu zaidi ya 10,000, leo siku ya tano views hata 7000 hawajafika!
Duh hata nilisahau coz kila saa nilikuwa nikifatilia episode 15yani leo kama bahati nimepata next but musicheleweshe tena rinnah kiboko ya samran😂😂😂😂😂😂nitampatia chakula shemegi kuna wewe
Daa tushasahau vo Ila sio mbaya from Oman 🇴🇲nmba moja like napokea❤❤
Kheee mwaka mzima hadi nimesahau nilipo achia 😎but it's ok
Wallah tena,kumbe tuko wengi😊😊😊
Hii film ni nzuri sana, mlipofeli ni pale mlipokatisha ikawa ndoto. Kuanzia pale watazamaji tuliomakini hatuielewi hata nyie waandaaji wenyewe hamuielewi inavyoendelea. Ukiangalia kwa umakini hata alipotoka kwenye ndoto huyo mke wa FAHDI matukio hayakwenda sawa na ilivyokuwa kabla ya ndoto. Au mnataka kusema mwanzo wa film wote ulikuwa ndoto mpaka hali alipoamka ndipo film inaanza!?.
Jitahidini sana kuwa makini na hii film... Mimi binafsi nipo kwenye channel hii kwasababu ya film hii tu.
Ukwel kabisaa pia mimi sielewi
@@liliy-u3n hii EP sijaielewa kabisa. Najitahidi kuendelea kuangalia kwasababu niliipenda sana mwanzoni ilianza vizuri haswaa
Ata mie sielewi
@@liliy-u3n walishindwa nini kuendelea Antii kaolewa!?.
@@shakirashakira-gc2yw walifeli pabaya sana kufanya ile iwe ndoto. Haina ladha kwasasa maana hata kama ni ndoto haiendelei kama ilivyoishia kabla ya ndoto.
Mashalla jamani tumewamisi sana
Asanteni sana ila mwachelewa sana mpaka tushasahau jamani from kenya 🇰🇪
Shukraaaan saana habibty wallah shida sio sisi tunapata changamoto ya CAMERAMAN tunaomba radhi kwa hili
@@sallysaidy685changamoto ya pesa au hamna uyo camera men?
Japo haieleweki lkn nzuri mashaallah ❤ 😍 ♥
mm sielewi hapo maan tayari alikuwa mke mdogo wa fahad lakin saiv n mfanyakaz
haieleweki tenaaa sasaaaaa
Duuu ttz vyabure asanteni
Mashaallah ❤️ Alhamdulillah mmerudi tenaaaa
wanakaa snaa bwana hadibtwasahau
Mbona ghaflaa sisi tushawasahau n km hakuna nia ya kuendeleza bora ataa musiilete kwasabb tushasagau
Eeeeeh kitamb had nimekwishasahau ivooo ila naipend ssna hii movie mashallah
Mnakaa sana mpaka tunasahau
Manshallah kazi nzuri
Love from TZ
Jmn mbona mnaichelewesha sana mpk tunasahau
Hantii ndio mwanamke wakowa jamanii
Jmn mpk tumesahau ilikuwa inaendaj😂
Aslm alykm karibuni kupata film yeti hii na kama ndio zawadi yetu ya EID.
TUNATANGULIZA SAMAHANI KWA UCHELEWAJI WETU 🙏
Mwatusokotaaaa bwanaaaa
Mnachelewa miezi
Mnachelewesha sana ndg zang but asanten piah
Hii filamu asaivi haieleweki badala mpeleke mbele mwaturudisha nyuma hata mvuto imepoteza pia mwachelewesha kuitoa😢
Yes❤
Mashaallah tabarak ❤
Mashaallah Kaz nzur
Kumbe hajamuuoa nilijua mkewe WA pili wanatuchanganya
Mnakosea pamoja tu mnacheleweshakuitoa Raha take ionozane
Asante sana jamani ni nzuri but mumeishelewesha Mimi nikajua imeisha
he inamaana hakumuoa anti ilikuw ndoto mh haieleweki ten kwakweli imekuw mbaya
Ilikua ndoto😂sema ndefu km nn
Loh atimae muendelezo hapa sijui baada ya hapa mpaka mwez wa ngapi
mwakani dadangu
Mashaallah ❤️
Nilikuwa nisha sahau kwel
MASHA'ALLAH ❤❤ Back in action...thanks to you all 💕
Shukraaaan kipenz ❤❤❤
Yaan baada ya meiz 10 ndo mwaleta jaman
Jamani mnaichelewesha sana😢
Jamani huyu antii siilikuwa ashaolewa na mwenye nyumb mbn imerudi nyuma
Ilikuwa bibi mkubwa anaota.ilikuwa ndoto ile
Leo sielewi tunaaza tena au tunasonga mbele maana mlikua mke na mme sasa leo nasikia baba
Hahahahhaha
Tunaanza😂
Kitambo hadi tushasahau
Tunawaomba msiishie hapo jamani tunaipenda sana hii movie na tunajifunza mambo mengi
Siielew tena hii tamthilia.na hiyo.inakaa miez ndio kabjsa
Musicheleweaheee
Mwisho mtapoteza hata hao watazamaji kidogo waliobakia,mwanzoni mlikua mkipost baada ya masaa 5 unapata imeangaliwa na watu zaidi ya 10,000, leo siku ya tano views hata 7000 hawajafika!
❤
Mashaallah
Shukran 😊
Nawewe usiache hela. Yakula
Miziki mengi mnakera punguzeni
Miziki mengi mpka munakera punguzeni
😂😂😂😂😂😂😂kipande chengine tusubiri mfunguo mosi wa mwaka2025
Shukran tabarakha
Hii movie ilipotea muelekeo toka pale ilipoingia ndoto mimi siielewi kabisa ipo ndoto ipi kweli
Hao ñdio wanawake ila huyu kisrani kimezidi
Daaah mmepotelea wapi ndugu
Tunaomba radhiiiiiii tunashida na CAMERAMAN wakorofi na hata ukibadilisha ndy yale yale
Ndoto imepoteza uhondo wa hii filam sielew ata alaf nmnachelewesha 🤣
Huyu antii si alikua mke mdogo jamani sielewi
Ilikuwa ndoto😂
Duh hata nilisahau coz kila saa nilikuwa nikifatilia episode 15yani leo kama bahati nimepata next but musicheleweshe tena rinnah kiboko ya samran😂😂😂😂😂😂nitampatia chakula shemegi kuna wewe
😮😮😮😮😮
Kama zali vile
Mke kisirani huyo😂😂unaongea namume km unaongea namtt wako.anavyokunja hiyo sura sasa
mbona mmecherewesha Sana muenderezo
An mmenishangaza jmn kumbe ilkua ndoto tena?????????
Sasa huyu anti so kashaolewa au inakuwaje mbona si elewi
❤❤❤❤❤
Sasa ya 14 mbona haipo?
Nanyiny.hamueleweki.mwaka.mzima
❤
❤❤