swaumu zetu episode 1 MKOJANI,SAMOFI,HAJI ADAM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @abumuhammad7802
    @abumuhammad7802 7 місяців тому +7

    Hii ni funzo kubwa sana. Wazazi munakubali mabinti waishi na wanaume ambazo hawajaoana. Muogopeni Allah siku zote sio Mwezi wa Ramadhani tu.

    • @SabitinaCute-ns8eu
      @SabitinaCute-ns8eu 7 місяців тому +1

      Kweli yani mwanaume ikifika ramadhani anakuludisha inauma sana

    • @abumuhammad7802
      @abumuhammad7802 7 місяців тому

      ​@@SabitinaCute-ns8eu fikiria umauti ukukute munazini Kwa nyumba ya mzinifu mwenzio

  • @JoramAljabry-bo3bd
    @JoramAljabry-bo3bd 7 місяців тому +5

    Waislam wa dar ndio life yao hyo wanapnd kumuas Allah huku wakiheshimu mungu wao Ramadan baada ya ramadhani zina pale ple

  • @seiphkaira6637
    @seiphkaira6637 7 місяців тому +20

    Nilitaka kushangaa tunakaaje kinyonge ramadhani na Mkojani gang ipo yaani nyinyi ni WATU WA MAANA KABISAA😂😂

    • @justinekamgomba5026
      @justinekamgomba5026 7 місяців тому +2

      Watu wa maaana kabisa😅😅

    • @seiphkaira6637
      @seiphkaira6637 7 місяців тому

      @@justinekamgomba5026 Jamaa namkubali sana na kundi lake wanatuliwaza sana

  • @iddriskiponda3688
    @iddriskiponda3688 7 місяців тому +6

    Shekhe kamungisha mzee wa hekima maneno ya busara ❤❤❤am from kenya 🇰🇪

    • @jumannefeluzi7428
      @jumannefeluzi7428 7 місяців тому

      Tangu lini kamugisha Kawa shekhe waisilam majina Hawa

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 7 місяців тому +3

    Kamugisha nakupenda rafik yangu🎉🎉 umependeza mnooo

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 7 місяців тому +3

    Wow nilishinda nikitafuta 😊nawatakia Ramadhan Mubarak jamani wapendwa

  • @KhalidOmary-bq7gl
    @KhalidOmary-bq7gl 7 місяців тому +1

    Ni vizuri na inafundisha imenoga

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j 7 місяців тому +1

    Kamgisha mdogo wangu 😂😂umenyowa ila ukizipunguza ndo unadamshisana

  • @BarakaBright-xi3ku
    @BarakaBright-xi3ku 7 місяців тому +13

    Likes basi hata 10

  • @Starmboeaclassic
    @Starmboeaclassic 7 місяців тому +2

    Big up..mkojani gan lama gang

  • @fuadking597
    @fuadking597 7 місяців тому +4

    Hii swaum imepoa sana tofaut na swaum ya msimu wa kwanza

  • @MwanakhalifaRamadhani-ql5kt
    @MwanakhalifaRamadhani-ql5kt 7 місяців тому +5

    Mkojan ungebadilisha jina mbna swaum zetu ulitoa hilo jina

  • @mandellahduncan7904
    @mandellahduncan7904 7 місяців тому +2

    Big up watayarishaji na pia watazamaji

  • @mohammedsaleh3051
    @mohammedsaleh3051 7 місяців тому +2

    Tunakosea sana Sisi ni waislamu mambo ya kukaa pamoja mke na mume mukizinzi haifai alaf eti mwezi mtukufu wa Ramadhan bi mkubwa anarudi kwao makosa sana na dhambi tupu Tumuogope Allah mda wote sio Ramadhan tu tubadlike milele dini ni ya kila siku sio Ramadhan mtu anatubia siku za Kawaida mtu anfanya machafu

  • @MisangaNassoro
    @MisangaNassoro 7 місяців тому +2

    Ndio naanza kuchek swaumu zetu ila kwa uzoefu wangu najua itakuwa imepoa ngoja tuone

  • @jackoboabunuasi-hb4qc
    @jackoboabunuasi-hb4qc 7 місяців тому +2

    Kama Kawa oso online tuko pamoja

  • @kakazkanda
    @kakazkanda 7 місяців тому +1

    👁️👁️ swaumu 1

  • @abbasshukuru5436
    @abbasshukuru5436 7 місяців тому +5

    Saf sana 😂😂

  • @rajabjuma1450
    @rajabjuma1450 7 місяців тому +2

    Tulio penda episode mpya naombeni Like

  • @JoelTeti-q3w
    @JoelTeti-q3w 7 місяців тому +3

    Mmmh kwaiyo Uyo jamaa amenyoa ndo amekuwa ivyoo?

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 7 місяців тому

    Mkojani gang watu wa maana kabisa

  • @ommymehmed8880
    @ommymehmed8880 7 місяців тому +3

    Uislam hauruhusu hata kuishi na mwamke ambae hujamuoa kisheria tena ya dini....
    Uislam umekataza yote machafu na mabaya sio kwa kwa mwezi wa ramadhan tu ,bali ni kwenye maisha yote ya uhai wa binaadam....binaadam ndio wanaofanya mabaya na sio Uislam.

  • @abelfrancis2265
    @abelfrancis2265 7 місяців тому +3

    Mkononi 😂😂😂😂😂nilitaka kushangaa

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 7 місяців тому +4

    Kamugisha kanyoa 😂

  • @Michaelplusamla
    @Michaelplusamla 7 місяців тому +6

    🎉🎉🎉

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 6 місяців тому

    Mashallah ❤❤❤

  • @Bakr_salim
    @Bakr_salim 7 місяців тому +3

    Mkojani shika maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nashmytimimy8017
    @nashmytimimy8017 7 місяців тому +1

    Hilo gari la mkojani linatumika kwa show zote😂

    • @vitusjumah
      @vitusjumah 7 місяців тому

      We fara umenichekesha

  • @nassormattar6455
    @nassormattar6455 7 місяців тому +3

    Wakwanza saumu zetu

  • @Abuu_Maysarah
    @Abuu_Maysarah 7 місяців тому +1

    Alustaaaaaaaaaz Hajj

  • @KenyWell-qp2ub
    @KenyWell-qp2ub 7 місяців тому +3

    Samofi movimba

  • @yusufu-ls5kv
    @yusufu-ls5kv 7 місяців тому

    Mashallah

  • @petromihayo8632
    @petromihayo8632 7 місяців тому +3

    Nikataka kushangaa swaum zetu msimu huu hakuna?

  • @ndupdatestz
    @ndupdatestz 7 місяців тому +4

    Kwahiyo hivi waislam Kwenye mwenzi wa Ramadhan tu ndo hamzini mwezi ukipita ni Kunyengana tu

    • @MohamadSimba
      @MohamadSimba 7 місяців тому +1

      hapn muda wot zinaa ni haramu ktk wiisilam haifai mtu akizin amepata dhambi wisilamu haumruhus mtu kuzin ila niwatu wenyew wanakosea kufany jamb hil mwez waramadhn kutokan n utukuf wak kwa iman zetu nmwez mtukufu ambao kitab kitakatif kimeteremshwa mwez huu kutokan na utukuf wak ukitenda jema moj bc unalipwa zaid kulik miez mingin py ukitend kosa unaandikiw dhambi zaid kwhy zinaa ya mwez huu dhamb yak nkubwa san kulik zinaa ya miez mingin kam ilivy ukafany zinaa kweny nyumb ya ibada nkosa kubwa kulik zinaa kweny sehem nyingn

    • @NtunzwenimanaFaustin-t1w
      @NtunzwenimanaFaustin-t1w 7 місяців тому +2

      Brother dhambi ni dhambi ukizini December ni sawa sawa na mwenye amezini mwezi Ramadhan

    • @hudhaifswamir4494
      @hudhaifswamir4494 7 місяців тому +3

      Kama umezini ramadhan mchana kuna kafara yake mzeee na kama umezini usiku pia kuna laana zake ramadhan hukmu yake ni tofauti na miezi mengine kuna hukmu ya kuzini na kuna hukmu ya kuzini mwezi wa ramadhan

  • @Jumajey457
    @Jumajey457 7 місяців тому +1

    Kamugisha kanyoa

  • @abdallahsalehe4422
    @abdallahsalehe4422 7 місяців тому +1

    Makoto nimesikia😂

  • @HusseinDjuma-cn2ox
    @HusseinDjuma-cn2ox 7 місяців тому +2

    Nilikua najiuliza vipi mbona mzigo sijauona wa swaumuzetu mpk ss

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 7 місяців тому

    MashaAllah wapendwa tuko pamoja kuwasapoti

  • @jacksonseleman3160
    @jacksonseleman3160 7 місяців тому +3

    Session 3 jomn jomn

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 7 місяців тому +1

    ubaya iko wap

  • @salimresa5582
    @salimresa5582 7 місяців тому +2

    Good

  • @YashkurNassor
    @YashkurNassor 7 місяців тому +1

    Fujo ziko wapiii😂😂

  • @buchotz
    @buchotz 7 місяців тому

    Kamgisha umenyoa hapo ndo umependeza

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 7 місяців тому

    mkojani bin darwesh bin tarbush

  • @francetesha7583
    @francetesha7583 7 місяців тому +1

    Bado itachangamka tyu

  • @mwajumasaid7306
    @mwajumasaid7306 7 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @SideeWaBiharu-rg9tw
    @SideeWaBiharu-rg9tw 7 місяців тому

  • @jumannefeluzi7428
    @jumannefeluzi7428 7 місяців тому

    Acheni kuchukua dini yenu kwenye maigizo tengeni muda msome Elimu sahihi mfumo was maigizo Ni mfumo was makafiri

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 6 місяців тому

    Yani MUNGU wa waislam Buana kwa hiyo MUNGU wenu yupo kwenye mwezi wa RAMADHAN tu ila miezi mingine hayupo na kuzini mwezi huu ndio dhambi ila miezi mingine ni Sawa!?? 😂😂😂

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 7 місяців тому

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @taswiramedia
    @taswiramedia 7 місяців тому

    USTADH ua-cam.com/video/W16uSe6hmAk/v-deo.htmlsi=CVRpEkcviEF_tV1y