NYERERE BABA YETU TUNAKUSHUKURU SONG BY (T.O.T) Komba.
Вставка
- Опубліковано 3 лют 2025
- “Wimbo huu nimaalumu kwa Mwl.Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania. Ndani ya wimbo huu Marehemu Kapten Komba ameongea mambo mengi makubwa ambayo Mwl Nyerere aliyafanya ikiwemo la Kuuwa Udini na Ukabila.Karibu kuusikiliza wimbo huu wenye mafunzo makubwa juu ya Nchi yetu ya Tanzania🇹🇿. #rip #nyerer🙏.
Naupenda sana huu wimbo jmn, still2024 bado nausikiliza❤. Mwenyezi Mungu aendelee kuwapumzisha viongoz wetu, na wote waliotangulia mbele za haki
Kazi zuri,huu wimbo unanikumbusha kwenye ajari gorofa kariakoo,😢😢😢😢😢😢🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nani yupo hapa 2025
😂 mapema tu hata January haijaisha
❤❤❤niko hapa
Tupo
Niko hapa
Tupotupo hp na nyimbo yetuuuuu
Munguuu ibariki Tanzania 🇹🇿,Ata Nikiwa nimekufa munguuu nakuomba uendelee kuilinda😢😢🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
MTUNZI WA WIMBO HUU AJENGEWE MNARA RIVER SIDE DAR ES SALAAM,
Baba yake Moses nape nnauye
@@expensiveboy2443 Waoooo Saafi RYTHIM YAKE INANIKONGA MOYO
anaitwa moses nnauye
SI Komba katunga na kuimba au
@@LabaniAkyooaliutunga hayatu Moses Nnauye akauimba hayatu Jonh Komba.
Komba hawezi kupata mrithi kwa uimbaji huu ni mzur sn
Kila niusikiapo huu Wimbo huwa napata Hisia kali sana za Uzalendo kwa Nchi yangu!!..TANZANIA!❤❤❤
Wangapi 2025 tupo hapa
Marehemu Captain Komba hana Mpinzani ktk Medani ya Uimbaji Kwaya Tanzania.
Mungu ampekauli dhabity komba daa hakika kilanafsi itaonja umauti
Am a Kenyan but I really love Tanzania ❤ a very humble nation
Thank you 🙏🏿
We love you Kenyans, ndugu zetu
Asanteni ndugu zetu
Welcome Daniel...welcome Kilimanjaro Tanzania.
Welcome Daniel...welcome Kilimanjaro Tanzania.🎉
RIP kapten Komba umeutendea haki huu wimbo sifa ulizoeleza za nyerere ni kweli kabisa alale pema baba wa Taifa.❤❤❤💚💚💚🌹🌹🌹🤲👌🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Pumuzikeni kwa Amani, Nyerere,Karume, Mkapa, Magufuri, Kijazi, Mfugare, 🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭
Komba😭😭😭
😭😭😭😭 Magufuli ulikuwa tabasamu lawengi
Baba wa Taifa daima tutakukumbuka,Mtumishi wa Mungu.
Uyu komba ni hatari sana nyimbo zake zimejaa uzalendo sijaona kama komba kwenye utungaji
Ngao yetu Umoja tumeshikilia
Ubarikiwe sana Mzee komba historia itakukumbuka daima
Kwa kipaji chako kilichotukuka
Alama ya Tanzania na Africa mzima wataendelea kukumbuka
Hakika nyimbo zenye mvuto na hadhi kubwa mziki!
Marehemu Komba hajapata Mrithi ktk utungaji na uimbaji wake. Mwenyezi Mungu amrehemu.
Huu wimbo amekopi wote, hajatunga yeye
Hakika kwa kazi nzuri. Pumzikeni kwa amani.
Hongera sana Mzee komba Kwa kipaji kilichotukuka
Historia itakukumbuka
Nchi yangu pendwa Tanzania ❤❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
WHEN CCM WAS REAL CCM! GOOD MEMORIES
Best of the best comlade Komba no like you
Bado tupo nayo 2024
Asante sana kwa zawadi ya maisha pumzika kwa amani cpt
Capt John Komba, R.i.p fundi Sana music,
Yani kifo jamani ni kitu hatari sana! Yani hapa ndipo tukifika tunamvulia Mungu kofia!!! Mungu hakika ni fundi!
Huu wimbo watumika kwenye hafla nyingi za kiserekali nayanga mkono hoja ajengewe mnala waheshima ndio
Rest in peace.cpt komba tutakukumbuka kwa nyimbo nzuri za umoja wa Taifa letu
Wimbo mzuri sana unahamasisha uzalendo na siyo udini ukabila,ubinafsi nk viongozi inabidi wajitahidi kutembelea humo
Asante MUNGU Kwa ajiri ya Maisha ya hawa watu tulioishi nao na leo tunazidi kukuomba MWENYEZI MUNGU uwapumzishe kwa amani milele Wazee wetu Nyerere,Amani,Mkapa, Magufuli,Wilbard,Komba nawengine wote wasio na wakuwaombea. Amina.
RIP CAPT COMBA UMEUTENDEA WIMBO HAKI❤❤🎉🎉🎉🙏🙏
Hakika
RIP iende pamoja na Mtunzi wa wimbo huu mzee wetu MOSES NNAUYE,,, pia alitunga TAZAMA RAMANI
Nyerere ni mmoja tu alafu asumbui
Kiazi wewe
Rip capt Komba pengo lako halitazibika taifa linakulilia 😭😭😭
Africa na dunia yote inamkumbuka baba.
Nani yupo na Mimi jamani 2024-11-04😢
🤛🤛🤛🤛🤛🤛
Hongera Mzee komba Kwa kipaji chako kikuu
PUMZIKA KWA AMANI BABA ..PIA MAGUFULI NA WENGINEO WOTE VIONGOZI WETU.
hakika
Shukrani za binadamu haziaminiki hukugeuka muda wowote huyu siyo wa kumsahau
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pokea maua yako huko uliko
Songs that sometimes bring me closer to ccm 😅🎉
Jamani watu wangelikuwa wanarudi duniani mwalimu Nyerere angelia kwa uchungu makubwa sana make Tanzania siyo aliyokuwa nayo .alikuwa na watu wachache ila saaivi mamilioni
G.O.A.T👍🏾🔥🇹🇿
Niwekeeni aliyoimba hayati Moses nnauye ni nzuri sana
Inaitwaje?
It's so beautiful country,,, because of peace people
Kuna nyingine iliimbwa na mwamama kwenye msiba wa nyerere ilikuwa nzuri
Inaitwaje mkuu wangu
@@RickVisualsWamama wa Zanzibar walimuimbia Mama Maria kumpa pole ilikuwa nzuri sana sijawshi kuiona wala kuisikia tena.
Nimetafuta sijapata kabisa
Mtunzi wa wimbo huu mzee wetu MOSES NNAUYE,,, pia alitunga TAZAMA RAMANI
RIP Capt John Komba
rip bibi titi Mungu asamehe viongoz wetu
RIP our leaders, 🇹🇿🇹🇿😭😭😭🙏🙏❤️
Its my favorite song❤😢
Like me
Alale pema baba wa taifa
Very emotional
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kipaji hii.
Great;tz cant understand this deep english🙏🙏🙏😂
Swahili
Iwe remember you father rip
Atatokea kwa kweli❤
Good song ,
Kabisa
Pumzika kwa amani Hayati Mwalim Nyerere.
Rip dady we missing you alot
Kabisa
Rip Komba hakuna tena Kwaya
Hakuna kama Komba
Kabisa kaka
RIP Captain Komba.
😎
🔥🔥🔥💔💔
2024
Hakika tuna kila sababu ya kumuenzi Hayati nyerere kwani alijitoa kwaajili ya Amani tuliyo nayo sasa watanzania Daima tudumishe Amani🇹🇿 #Tanzania
R.i.p komba na nyerere
R.i.p kept komba na mwl nyerere
Amekufa
Rest in peace🇹🇿
Wàpumzike Kwa Amani🙏
Amina 🙏🏿
😊
100%
100
Sichoki kuisikiliza hii nyimbo
Asante mkuu
May your soul rest in peace Komba
Nyimbo hii warirekodi mwl nyerere akiwa hai au amefariki???
Amefariki tyr 😢😢😢
Huu wimbo uliimbwa na JKT Mgulani mwalimu akiwa hai,alipofariki ndio Komba na TOT wakaurudia
@@francis9610-k2pkoo wameongezea mashairi🤔
2025 🇹🇿 yetu
Mtu Kama Komba tutampata wapi?
Kabisa mkuu
Sijui😭Kuna mapengo hayazibiki😭😭
☹️☹️☹️☹️
22 JAN 2025
😰🥺🥺🥺🥺
Translation?
🥺🥺🥺🥺
ORIGINAL VERSION YA HUU WIMBO ULIIMBWA NA MWANAMKE SIJUI NI NANI NAUOMBA KAMA UNAO
Nitauweka kaka utauona
Nitauweka kaka utauona
Naomba msaada wa original version ya huu wimbo
Ni kweli. Uliimbwa na mwanamke. Nakumbuka uliimbwa sana kipindi cha maombolezo ya kifo cha Mwalimu October 1999.
Among the worse leader wver happen
🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺😔
15/03/2024 ila bado nyimbo ni mzuri, pumzika kwa amani John Komba.
Kabisa yani
Komba hakuna tena kwaya