Hakika nakupenda Tanzania kuliko hata nafsi yangu ninavyoipenda , naumia Sana nikiona watanzania wananyanyaswa na viongozi walioapa kuwalinda Watanzania na Mali zao lakini hawafanyi hivyo nawachukia Sana.
Kwa hakika Tanzania ni nchi yangu sina mahali pengine pa kukimbilia ila ni Tanzania hakuna atakaenishawishi kwa gharama yeyote kuisaliti Tanzania yangu nzuri.
841kj afande juma naawakumbuka
824KJ, Kanembwa JKT Kigoma..
Operstion Mererani Mujibu wa sheria, Danger Coy, Platoon namba mbili. Wanangu wa Afande Njau. Gonga Like hapo pita iviii
Naapa naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa.
Maneno matamu sana. Naipenda Tanzania ✨ yangu. 🔥🔥🔥
Hakika
Mwanang wa Maramba JKT
Tupo pamoja
Jambo mike afande manyama😂
❤❤
Afande manyama namkumbuka pia😂😂
830 KJ Kibiti Pwani ✊👊
Home kwetu huko ila mm nilikuwa 842KJ
Hakika nakupenda Tanzania kuliko hata nafsi yangu ninavyoipenda , naumia Sana nikiona watanzania wananyanyaswa na viongozi walioapa kuwalinda Watanzania na Mali zao lakini hawafanyi hivyo nawachukia Sana.
Kiukweli Jeshi la wananchi ndiyo Jeshi pekee iliyobaki na nidhamu ya hali ya juu na uzalendo uliotukuka.💪🏋️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dah.. 841KJ OP kilimokwanza. Mafinga moja..
Nikiwa kwenye mapambani ya maisha,this is my comfort song
Kutoka 847kj milundikwa mwaka 2019 nakuw na kumbukumbu nzuri sana kila nikiskia hizi nyimbo kwakwel 😊😊😊😊😊
892 KJ, PL2, SECT. 2, (MAKUTOPORA JKT), 0PRESHENI OKOA, 1985/86
824 kj (KANEMBWA) OPRESHENI UCHUMI WA KATI 2020/2021
Int 40
841 KJ MAFINGA, OPERESHENI MIEZI SITA,1993.
Tujuane hapa
Op. Safisha 833 Oljoro 1983 kitambo sana nikiwa kijana mdogo wa miaka 19 🤸🤸
Wapi 835KJ Mujibu wa Sheria 2014 Mgambo JKT,
OP:MIAKA 50 YA MUUNGANO,,
afande Chuga,Cheichei,Awadhi,nawengine Danger coy ya demo
Ni wimbo mtamu sana ungeimbwa mashuleni watoto wapende nchi yao penda sana Tanzania
Kabisa
Najivunia Kuwa Mtanzania na nina bahati kuzaliwa mtanzania. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wanasiasa ndiyo wanaoiharibu nchi yetu linginisha uzalendo enzi za Mwalimu na sasa
Mwl Gwanchele napenda sana kusikiliza na kuimba nyimbo za kizalendo
Nakupenda inchi yangu na nitailinda mpaka kufa kwangu❤
I leave this comment because one day I will die and the thing to remember is 832KJ OP MIAKA 60 YA MUUNGANO
Every time I'm listening to this song, the sense of patriotism comes on my way. Nakumbuka few years back
Mi ni kijana wa Tanzania naipenda sana nchi yangu mungu ibariki Tanzania pia naipenda sana hii kazi
832kj forever in blood
Naipenda sana nchi yangu Tanzania najivunia kuwa mtanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️
Nikisikia chenja hizo huwa najikuta ninawajibu wa kufanya jambo kwaajiri ya nchi yangu pendwa TANZANIA
Capten comba mwalimu wetu kambini
Makuyuni JKT Operation Kambarage 1990/1991. Mungu ibariki Tanzania.
Najivunia kuzaliwa Tanzania 🇹🇿 naipenda sana nchi yangu
Nakubuka sana hizi nyimbo nikiwa jkt 842 mlale
Op magu
I love you so my much my beautifully country🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Capten komba 🤜
Tanzania my country ,wazalendo wiiiiiiii
Op Mabeyo gather here
Nimekumbuka enzi hizoooo,,,,,,nikiwa 833kj,,,,,,,Kuna namna tu jeshi lina vibe kwakwel👍👍👍👍👍👍
Mwaka gani HUO? Mimi nilikuwa huko mwaka 1983 nakumbuka embakasi, mizabibuni, mirongo minne🇹🇿
Mimi832 kj
Najivunia kuzaliwa Tanzanianapeda wajeda wetu ❤❤❤❤❤❤❤❤
When listening to this song the image of late John Magufuli comes in me,,,
May his soul continue resting in eternal peace.
Ofcs yas
@@michaelmasori4205 the same as we are
watu waote wanaona mkataba sio sahihi waimbe wimbo huu wa Naapa na ahadi..............
Huu ni wimbo embat unanitoa machos, ni ishara kuu ya uzalendo wangu
Nyimboo nzr sana nakumbuk kpnd nkoo jkt 838kj
Hakika naipenda nchi yangu.
Karibu sana
Mpka muda wa kutoroka wamepewa👊
Najivunia kuzaliwa Tanzania
825KJ OP Samia 💝
I ❤ my National Mungu aibariki nchi yangu
Naipenda nchi yangu mungu ibariki TANZANIA 🇹🇿
Lovely namkumbuka rsm matiku wa mgulani tma.viva jwee
1974
Hi
I like the song because i am group scout leader
Kwa hakika Tanzania ni nchi yangu sina mahali pengine pa kukimbilia ila ni Tanzania hakuna atakaenishawishi kwa gharama yeyote kuisaliti Tanzania yangu nzuri.
I LOVE U TANZANIA YANGU ❤️❤️❤️
Hizo ndo nyimbo za kizalendo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅
For ma county I will lay down ma life, from my blood and bones I will fight to the very end 839 KJ OPERATION SAMIA
Mwaka2009 OP KILIMO KWANZA 832KJ chini Mzee Mbele
Tanzania the Brain of Africa
Nakumbuka hii nyimbo nikiwa mgambo tanga 2008
Najivunia kuwa mtanzania amen
Naipenda mpaka nalia😑😢
Basi napendaga tu huu wimbo ninao kabisa kwenye cm
May God bless and protect our soldier Of Tanzania I love my country
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Wimbo was kizalendo natamani kuusikia muda wote.
Uzalendo oyeeeeeere!*
oyeeeeeeee
🫡
822 kj operation kikwete,,,hapo tumetoka uwanja wa mazoezi tunarejea kikosini ,,i miss those days nikiwa depo
Unatoka shamba la Dunia au😂😂
Kwenda ndombaaa
Tanzania hata Mimi nitailinda Hadi kufa
Best song evar kwa uzalendo
Hakika nchi yangu TANZANIA nakupenda mnooo
841 kj MAFINGA JKT kwa Canal Issa chalamila hatariii hiyo mwendo wa mlima nguruwe mixa kwenda idetero kubwa, kati na ndogo
Dah idetero 😂 balaa
Op miaka 60 ya jkt bravo coy
Uzalendo umemfuata mwl.nyerere tumebaki jela
Naipenda nchi yangu
Nmekumbuka sana Maramba 838 KJ
Makuyun op samia
Ulipiga makuyuni mwaka gani
Tanzania ni nchi yng🇹🇿🇹🇿🇹🇿…
Enzi hizooo 822KJ hawana bayaaaa na MJUBA
Das imenikumbusha miaka kadhaa nyuma tupo porini
Tanzania taifa rangu nakupenda sana
Kwasababumeni skout nmeipendasana
My favorite song😘😘😘
Hatuna la kusema makamanda tuko pamoja
Nakumbuka JKT mlale 2014
Makamba JKT hakika jeshini Vibe sana
Naipenda sana Tanzania ndani ya moyo wangu
Heko Tanzania my father n mother Land
Mungu ni mwema
That day I was like not me mp kavurugwa tunaimba huku tope linaingia mdomoni
Utamu kbsa
Kwell
My favorite song❤❤❤
I love Tanzania my contry
838Kj OP MAGUFULI🔥🔥🔥🔥
fantastic changers
Mimi ni Mkenya lakini Tanzania ni moja ya zile nchi ningependa kuzuru.
Karibu sana. Ujionee tanzania yenyewe
Karibu sana ndugu yetu
Karibu sana jirani
Karibu. Unapanda basi tu uko ndani ya tz
Karibu sana
833 kj mtabila kasuru iyo tuko pamoja wenzangu
Mbona 833 ni Oljoro 😛
Sahihi
Mungu ibaliki Tanzania
MGAMBO JKT 835KJ OPERATION MIAKA 60JESHI LA KUJENGA TAIFA
Sisi nimakanda ulinzi upo fiti tabora na nchi kiujumla
napenda sana jeshi
Naipnda Tanzania tunamani yakutosh
Ataree
Napenda sana
Wa Afande Nyangusi Bulombora JKT Operesheni Kambarage 19....nawapeni Hi. Alale mbele saa nane za usiku. Mestin ha ha haaaaa!!
Tanzania nitakudhimini
Cheo chochote ni Kwa ajili ya umma na siyo kitu binafsi
Tunaikosea hii nyimbo na ikitakiwa inavyo imbwa original ni nyimbo ya Uzalendo hasa. Nipo tayari kuchomwa singe mpaka nione Angola imekombolewaaaa
ntaipata wapi original?
Nzuri sana
Nzuri sana
Mungu zidi kutupa amani wimbo mzur sana kwakweli nausikiliza kila siku
Nakumbuka 825:KJ Op Miaka 50 ya Muungano,nakupenda sana nchi yangu
MGAMBO OP MIAKA 60 UA JKT
ONE LOVE
Nakubali sana