Mungu naomba iniweke mbali na dhambi Ili Kila ninalolipmba lipate kibali MBELE zako na maitaji yangu wewe mungu unayajua naomba weka hofu Yako ndani yangu niogope dhambi Kila siku na Kila saa nakutafakari wewe mungu wangu Asante baba🙏🙏
Asante Bwana kwa kuwa umwema, asante kwa neema yako , ninakushukuru kwa toba ya kila asubuhi na msamaha unaonipatia, asante kwa maombi yangu ya leo,sikia sauti yangu na kilio changu Bwana, amen.
Praise the Lord, mm hupenda kkufuatilia SNA kwa mafundisho yako OK nlikuwa nkiomba sana nasikia sauti ya mungu at a nkilala mapewa vifungu vya Bibilia lkn saii sijui shida iko WAP csikii sauti wala neno zii at a nguvu ya maombi pia sins naomba unisaidiee
Ninajiunganisha na madhabahu ya Siri za bibilia mungu naomba unisamehe dhambi zangu ambazo nimekukosea ww mungu kwa mawazo kwa maneno kwa vitendo na kutokutimiza wajibu ninapokea msamaha wako baba
Baba naomba msamaha pale nilipokosa unisamehe Bwana naomba rehema kwa ajili ya biashara yangu kwa ajili ya wstoto wangu nisamehe Bwana nisamehe hata pale nilipofika pa kukata tamaa nitie nguvu Bwana niweze kuamini zaidi usiniache Bwana nahitaji msaada wako peke yako ili niwe huru
Asante mungu kwa neema ya juu nimemaliza cku Yale natubu mbele zako Mimi nimkosaji wa malakwamala naomba msamaha wako nawaza mabaya maneno mabaya najufulu nisamehe baba unifungue kwenye kifungo Amen 🙏🙌 nawapata vizuri kutoka Saudi Arabia napokea muujiza na uponyaji wangu Leo
🙏 Asante 🙌 kwa 🙏 neema 🙌 yako 🙏 kuu 🙌 uliyonionyesha 🙏 cku 🙌 ya 🙏 Leo 🙌 juu 🙏 ya 🙌 watoto 🙏 wangu 🙌 sijapewa 🙏 talifa 🙌 mbaya 🙏 yote 🙌 hayo 🙏 wako 🙌 chini 🙏 yamukono 🙌 wako 🙏 Asante 🙌 baba 🙏 kwa 🙌 wema 🙏 wako 🙌 Amen 🙏🙌 scholastica Saudi Arabia
Mungu naomba rehema zako katika maisha yangu nionshe unitakase Bwana najua mimi ni mdhambi nisiyestahili kabisa ila kwako Bwana niokoe katika mikono ya mwovu shetani
Ahsante Yesu NAMINI utaniponya magonjwa yote maana SIKUWA mtu wa kufunga hata masaa 6. Naamini kwa nitamaliza siku zilizo BAKI na kuniponya sukali, presha figo vidonda ya TUMBO pingili za mgongo na uvimbe na uchumi. Yesu ataniponye amina.
Eee MUNGU naomba unirehemu rehemu uzao wa tumbo langu rehemu wazazi wangu rehemu ndugu zangu rehemu mume wangu mrehem iren steven rehemu uzao wangu kizazi cha kwanza mpaka cha nne
Mungu naomba rehema zako katika maisha yangu nioshe unitakase Bwana najua mimi nimwenye dhambi nisiyestahili kabisa ila kwako Bwana niokoe katika mikono ya mwovu shetani

Mungu wangu naomba unikutanishe na maisha yangu âme amen amen
Asante Bwana kwa kuwa umwema, asante kwa neema yako , ninakushukuru kwa toba ya kila asubuhi na msamaha unaonipatia, asante kwa maombi yangu ya leo,sikia sauti yangu na kilio changu Bwana, amen.
Yesu ni samehe unirehehu Baba usinipite Kwa huruma zako yesu nararua moyo wangu nihurumie uangalie dhambi zangu
Nakushukuru Mungu kwa hatua hii baba yangu
Nafukuza roho zakukataliwa ziondoke kwangu kwadamu ya yesukiristo Amina 🙏🙏🙏
Bwana Yesu na nguvu zako naomba ziwe juu maisha kuyasaidia nisipoteze neema hii nakupenda sana Mungu muumba nataka nione msaada wako
Tusaidie Yesu tukomboe kwa dam Yako iliyomwagika msalabani tukomboe usituache
Asante Yesu. Unapogusa wengine Bwana na Mimi ni guse
Ahsante sana mtumishi wa MUÑGU maan umenifundisha mengi nabarikiw sana mtumishi wa Bwana
karibu ndani yangu,karribu maishani mwangu Bwana Yesu..ahsante Bwana
Mungu nakushukuru kwakunipa Kigali cha Toba na msamaha Asante yesu
Asante Bwana kwa kunisamehe dhambi zangu na makosa
amen..nipo hapa Bwana, nisamehe dhambi zangu. niponye na maradhi
Praise the Lord, mm hupenda kkufuatilia SNA kwa mafundisho yako OK nlikuwa nkiomba sana nasikia sauti ya mungu at a nkilala mapewa vifungu vya Bibilia lkn saii sijui shida iko WAP csikii sauti wala neno zii at a nguvu ya maombi pia sins naomba unisaidiee
Asante mungu kwa neema yako na kwa toba na msamaha
Natubu makosa yangu yote mbele yako ee yesu mwenye huruma
Amiina
Nimefata maombi ya toba, naomba Mungu aniwezeshe kuchunga hii wokovu yenye nimepokea kukupitia.
Asante Mwenyezi Mungu kwakunisamehe dhambi zangu,Mungu wangu nakuomba maongezeko kwa kiroho,niongozwe na Roho mtakatifu mahali popote,amen amen.
Naomba rehema MUNGU wangu Mimi ni mwenye dhambi nisamehe
Asante bwana yesu 🙏🙏
Ninajiunganisha na madhabahu ya Siri za bibilia mungu naomba unisamehe dhambi zangu ambazo nimekukosea ww mungu kwa mawazo kwa maneno kwa vitendo na kutokutimiza wajibu ninapokea msamaha wako baba
Baba naomba msamaha pale nilipokosa unisamehe Bwana naomba rehema kwa ajili ya biashara yangu kwa ajili ya wstoto wangu nisamehe Bwana nisamehe hata pale nilipofika pa kukata tamaa nitie nguvu Bwana niweze kuamini zaidi usiniache Bwana nahitaji msaada wako peke yako ili niwe huru
Nimemurudia Mingus wangu mtumishi wamungu nilikua nimeanguka nisaidie mtumishi wamungu
Asante mungu kwa neema ya juu nimemaliza cku Yale natubu mbele zako Mimi nimkosaji wa malakwamala naomba msamaha wako nawaza mabaya maneno mabaya najufulu nisamehe baba unifungue kwenye kifungo Amen 🙏🙌 nawapata vizuri kutoka Saudi Arabia napokea muujiza na uponyaji wangu Leo
🙏 Asante 🙌 kwa 🙏 neema 🙌 yako 🙏 kuu 🙌 uliyonionyesha 🙏 cku 🙌 ya 🙏 Leo 🙌 juu 🙏 ya 🙌 watoto 🙏 wangu 🙌 sijapewa 🙏 talifa 🙌 mbaya 🙏 yote 🙌 hayo 🙏 wako 🙌 chini 🙏 yamukono 🙌 wako 🙏 Asante 🙌 baba 🙏 kwa 🙌 wema 🙏 wako 🙌 Amen 🙏🙌 scholastica Saudi Arabia
Mungu naomba rehema zako katika maisha yangu nionshe unitakase Bwana najua mimi ni mdhambi nisiyestahili kabisa ila kwako Bwana niokoe katika mikono ya mwovu shetani
naomba toba kwaajili ya mwenendo wangu. nisamehe Bwana mimi mwenye dhambi.
Najiungamanisha na mazabahu hii ya Siri zabibria mungu naomba unikumbuke na unisamehe makosa yangu yote🙏🙏🙏
Asante Baba kwakua umetusikia
Ahsante Yesu NAMINI utaniponya magonjwa yote maana SIKUWA mtu wa kufunga hata masaa 6. Naamini kwa nitamaliza siku zilizo BAKI na kuniponya sukali, presha figo vidonda ya TUMBO pingili za mgongo na uvimbe na uchumi. Yesu ataniponye amina.
Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasi nyingine mbele ya uso wako naamini nimekombolewa kwa damu yako na nimesamehewa dhambi AMINA
Ahsante Yesu kwa wema ahsante Kwa Kwa ajili ya watoto wangu ahsante Kwa kila k2 juu yangu🙏🙏🙏
Asante Yesu kwa msamaha wako
asante kwa kunisamehe na kuniokoa ameen
Bwana Asante Kwa kunisamehe rehema zako ni za milele
Asante Yesu ❤
Asante yesu kwakunisamehe asante Kwa ajili ya watoto wangu
Bwana nitakase uchafu wangu wote😭🙏
Ee mungu wangu nahomba neema yako
Amen Amen Amen Amen Amen
Asante yesu kwa msamaha na kunifanya combo kipya ndani yako amina
Nirehemu natubu dhambi zangu naomba unisamehe mahali nimekosa
Usinipite mungu naomba nguvu zako
Tusamehe ee yesu
ASante Yesu.
Naomba Rehema Mimi ni mwenye dhambi nisamehe
ASANTE YESU !!
Than you Lord !
Nisamehe ee yesu
Sna Madhabahu ya kuhudumu nimetoka Arusha nmehamia dar sijapata kanisa mtumishi
Usinipite mwokozi naomba uniponye ugonjwa huu unaonisumbua
Eee MUNGU naomba unirehemu rehemu uzao wa tumbo langu rehemu wazazi wangu rehemu ndugu zangu rehemu mume wangu mrehem iren steven rehemu uzao wangu kizazi cha kwanza mpaka cha nne
Amen.
Thank you for your forgiveness Father ❤
Nihurumie nimete da dhambi
TUSAIDIE MTUMISHI
Nahitaji rehema zako
Mimi sina linky hata moja humu linki za maombi nipate mke na mtaji
Thank you Lord for forgiveness
ASANTE
Una hudumu wapi
Asante Bwana yesu kwa msamaha
Mungu naomba rehema zako katika maisha yangu nioshe unitakase Bwana najua mimi nimwenye dhambi nisiyestahili kabisa ila kwako Bwana niokoe katika mikono ya mwovu shetani
Amen Amen Amen
Amen 🙏