Bwana yesu asifiwe kweli mtumishi anachosema ,mm niliagiza mzigo nikatapeliwa ela laki sita nikawa nimeyumba kiboashara mzigo ukaisha kabisa nikawa Sina pesa nyingine nikaenda kwa mtu nikamuomba aniazime pesa laki mbili, ili nikabust biashara yangu nitamrudishia lakini akanambia pesa anazo lakini hawez kunipa coz anaogopa kukopesha,nikatoka hapo kinyonge kesho yake nikaenda kazin jion nikaongozea nipite sehem nikakutana na mtu akaniuliza mbona mzigo wako umeisha nikamwambia ninamajanga sikumuomba pesa yeye akanambia nitakutumia laki na nusu asubhui ukaongezee ubust mzigo ukipata utarejesha, So hapo ndipo ninapotambua kuwa sio Kila mtu ni wakukusaidia Mungu kaweka watu maharum kwaajili yako, Mungu aendelee kukutumia mtumishi
Nakuhitaji Yesu uwe kila kitu kwangu ,mimi mwanao yatima nisiye baba wala mama ,ndugu yeyote nakuhitaji walio karibu nami wananichuna tu nahitaji msaada wako baba Yesu tegemeo langu😢😢😢
Mtumishi mbona unaongea nami kabisa Kuna Mtu aliniahidi nikamuamini nikaingia kwenye mkataba wa pesa sahii naona Kabisa kaniachia deni Niko na stress sijui pesa nitaitoa wapi nani nyingi sana Niko na hii stress MUNGU anifanyie njia niweze kulipa amen 🙏 kutengemea Mtu nikubaya Asante Kwa mafundisho
Nikweli mtumishi wa mungu wanadamu hawans wema
Asant yesu
Bwana yesu asifiwe kweli mtumishi anachosema ,mm niliagiza mzigo nikatapeliwa ela laki sita nikawa nimeyumba kiboashara mzigo ukaisha kabisa nikawa Sina pesa nyingine nikaenda kwa mtu nikamuomba aniazime pesa laki mbili, ili nikabust biashara yangu nitamrudishia lakini akanambia pesa anazo lakini hawez kunipa coz anaogopa kukopesha,nikatoka hapo kinyonge kesho yake nikaenda kazin jion nikaongozea nipite sehem nikakutana na mtu akaniuliza mbona mzigo wako umeisha nikamwambia ninamajanga sikumuomba pesa yeye akanambia nitakutumia laki na nusu asubhui ukaongezee ubust mzigo ukipata utarejesha,
So hapo ndipo ninapotambua kuwa sio Kila mtu ni wakukusaidia Mungu kaweka watu maharum kwaajili yako, Mungu aendelee kukutumia mtumishi
Nakuhitaji Yesu uwe kila kitu kwangu ,mimi mwanao yatima nisiye baba wala mama ,ndugu yeyote nakuhitaji walio karibu nami wananichuna tu nahitaji msaada wako baba Yesu tegemeo langu😢😢😢
Mungu watu tusaidie daima tumetegemea msaada wako tusiabishwe....kupitia neema hii uliyoitoa kwa ajili yangu
Mungu nisaidie
Amen amen napokea watu sahihi waliotumwa na MUNGU kwa ajili yangu na maisha yangu napokea hao watu kwa jina la YESU 🤝🙏
Ameeen mungu awe kila kitu kwetu si wanadamu yeye mungu ndie aletae mtu wakusimama 🙌🙌🙌🙌
Amen Mtumishi ubarikiwe, Hakika kumtegemea mwanadam nikupoteza mda.. Tegemeo letu ni kwa mungu pekee...
Kweli kabisa Mtumishi
Jamani huu wimbo wakuabudu unaitwaje
Very true
Nakusikia muzuri saana, Mungu asifiwe
Ameen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen hallelujah hallelujah
Amen 🙏
Hallelujah Amen Amen 🙏
Amen
Mtumishi mbona unaongea nami kabisa Kuna Mtu aliniahidi nikamuamini nikaingia kwenye mkataba wa pesa sahii naona Kabisa kaniachia deni Niko na stress sijui pesa nitaitoa wapi nani nyingi sana Niko na hii stress MUNGU anifanyie njia niweze kulipa amen 🙏 kutengemea Mtu nikubaya Asante Kwa mafundisho
Àmen
Amina 🙏🙏
Mtumishi mmi nimejaribu kukutafuta WhatsApp lakini imeshindikana, nifanyeje nipate hayo maelekesho ya njana kuusu maeneo na kazi?
Amen 🙏 🙏
Amen
Amen ❤
Amen 🙏 🤲 🙏
Amen 🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen
Amen Amen
Amen amen
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen