Mungu Asante kwaupendo wako Asante kwakunifungua katika kifungo cha shetani mpaka sasa naomba uniwezeshe na kunipa loho mtakatifu wa kuniongoza katika safari ya kurijua neno lako na kunipa tena nguvu ya maombi Asante sana mungu wangu
Mungu naomba uniondolee ndoto za mapepo ndoto za majini mahaba fungua uponyaji juu ya familia yangu fungua milango juu ya wadogo zangu watoto wangu wakawe kichwa na ombi langu kubwa Rojo mtakatifu usiniache nishike mkono
Amen 🙏 Amen najiungamanisha na madhabau haya kutoka Saudi Arabia naomba mungu aniinulie watu sahihi kwangu watoto wangu wawe vichwa na Sio mkia abaliki kile ninacho kupata kiongezeke na kuzidishwa nipe neema na hekima na busara nipandishe Imani mwaka huu unikute kwangu Amen muwekee ulinzi wa familia yangu
Najiunganisha nikiwa Saudi Arabia,Mume wangu akapokee uponyaji,Mungu akatusaidie tumalize mjengo unaendelea,Jamii yangu ikaendelee vyema bila kurudi nyuma katika ka jina la yesu kristo,
Mungu naomba fungua kila kifungo kilicho fungwa juu ya maisha yangu, familia yangu pamoja na ndugu zangu. Na pia kwa wale wote wasiyokuwa na uwezo wa kuomba kwa namna moja au nyingine wafanyie wepesi wa kutambua kuwa wewe Mungu ndiyo Mkuu 🙏🏽🙏🏽
Nijiunganishe kwa yesu pepo la kutokwenda kanisani linitoke nipandishwe cheo kazini na kumheshimu na kuheshimiwa na kila mtu nikumbukwe na wakubwa na wadogo walionisahau wanikumbuke magonjwa katika familia yangu yatokee pia watoto wangu wakawe kichwa na siyo mkia
MUNGU naomba kibali kwangu na uzao wangu watoto wajukuu mkwe kazini, miradi, biashara, afya, ndoa, mahusiano vibali vitokee kabla ya mwaka kuisha hadi tushangae ktk jina la YESU
Naomba MUNGU niondolee ndoto mbaya roho ya hofu na nywele kusisimka niguse MUNGU wangu leo niondolee mawazo mabaya🙏
Ahsante paster. Umetumwa na Mungu ndiyo maana neno limenigusa, nakuomba nitamkie Neno nami nitafunguliwa vifungo. Amen
Eeh MUNGU nikumbuke na mm baba katika jina la Yesu
Asante Mungu kwa neema ya uhai, ukazid kuniimarisha ktk maombi. Wafungue watoto wngu na familia yngu
Amen napokea kibali katika jina la Yesu
Mungu Asante kwaupendo wako Asante kwakunifungua katika kifungo cha shetani mpaka sasa naomba uniwezeshe na kunipa loho mtakatifu wa kuniongoza katika safari ya kurijua neno lako na kunipa tena nguvu ya maombi Asante sana mungu wangu
MUNGU wangu kupitia maombi haya naomba ondoa roho ya mauti juu yangu🙏
Amen, YESU nikumbuke Afya yangu, nipone sukari,
Yesu nisameh makosa yangu ukumbuk maisha yangu
Naomba Mungu akanipe maariha ya kumjua na aniinue kihuduma
Naomba Mungu aniponye nitembee tena, na asaidie watoto wangu wafaulu na kupata kazi,
Nabarikiwa kwa neno lako bwana.. nifungulie njia za mafanikio yangu Mungu najua unatenda
Mungu naomba kufunguliwa na roho ya madeni niwe huru
Mungu fungua Kila vifungo nirivyo fungwa pamoja pia na Familia yangu niwezeshe mungu kwa Kila jambo
Yesu naomba unipe nguvu ya kuomba
Mungu fungua baraka juu yangu na familia yangu,,,,niingize patakatifu nikakumbile wewe
Ninajiunganisha na hii madhabau Mungu nikumbuke Amen
Najuingamanisha na ibada I kwa jina la Yesu
Najiunganisha namazabahuya mungu shida.zote ziishe kwa amani
Naguswa sana na haya maombi ubarikiwe sana.from Kenya
Najiunganisha na madhabahu hii ya mungu
Mungu nishushie nguvu ya maombi
Ameen 💪🙏
Mungu fungua kila kifungo kilicho fungwa kwenye maisha yangu familia yangu na nduguzangu
Najiunganisha n madhabahu haya pamoja n Familia nyangu neno nako nikawe Murata nalituvushe salama
Ee Mungu naomba unijaalie neema na kuvuka salama ktk kipindi hiki ninachokipitia huku nikiunangalia uponyaji wangu kupitia msalaba mtakatifu, Amen 🙏
Naomba uponyaji wa mwili na roho
Mungu naomba unisaidie hii vita upigane mwenyewe
Nashukuru Mungu katika kila eneo la maisha yangu
Asante sana ubarikiwe Mtumishi, Hakika Leo anga limefunguka, nakupata vizuri, tupo pamoja
Mungu naomba mpe dada kibal cha kupata kazi
Nmejiunganusha muda huu namshukuru mungu numejifunza mengi nanimefunguliwa kwajina la Yesu
Eee Mungu nisaidie kufungua kila kifungo, familia, uchumi, na ndoa
Nimejiungamanisha na hii madhabahu ya Bwana yesu MUNGU ni mwema
Yesu nakukabiz kila kitu mungu wangu nimechoka nitakase Yesu na damu yako
Amen mtumshi wa Mungu
Asante Yesu
Barikiwa mtumishi wa Bwana
Amina nami nahitaji kpona leo sukjua
Nakushukuru Sana roho mtakatifu ambae hujaniacha hata sasa unanipgania
Napokia kibali cha kazi ya kudumu kwa jina la YESU KRISTO aliye hai. AMINA 🙏
Asante Yesu kwa neno lako Roho mtakatifu atusaidie
Mungu naomba uniondolee ndoto za mapepo ndoto za majini mahaba fungua uponyaji juu ya familia yangu fungua milango juu ya wadogo zangu watoto wangu wakawe kichwa na ombi langu kubwa Rojo mtakatifu usiniache nishike mkono
Mungu naomba uniponye
Amen 🙏 Amen najiungamanisha na madhabau haya kutoka Saudi Arabia naomba mungu aniinulie watu sahihi kwangu watoto wangu wawe vichwa na Sio mkia abaliki kile ninacho kupata kiongezeke na kuzidishwa nipe neema na hekima na busara nipandishe Imani mwaka huu unikute kwangu Amen muwekee ulinzi wa familia yangu
Najiunganisha nikiwa Saudi Arabia,Mume wangu akapokee uponyaji,Mungu akatusaidie tumalize mjengo unaendelea,Jamii yangu ikaendelee vyema bila kurudi nyuma katika ka jina la yesu kristo,
Madhambau iliopandwa kinyume na mapenzi yako kwa boma yangu nayakataa katika kina la Yesu
Asant Bwana Yesu
Ninajiunganisha Mungu nikumbuke
Najiungamanisha katika ibada hii kwa jina la Yesu🙏🏼
Naomba maombi yenu hasa ninapo jiandaa ili niende kupatiswa jumapili kwa ajili ya kupokea yesu maishani mwangu
Nimejiunganisha katika jina la YESU
Mungu naomba fungua kila kifungo kilicho fungwa juu ya maisha yangu, familia yangu pamoja na ndugu zangu. Na pia kwa wale wote wasiyokuwa na uwezo wa kuomba kwa namna moja au nyingine wafanyie wepesi wa kutambua kuwa wewe Mungu ndiyo Mkuu 🙏🏽🙏🏽
Mungu naomba ukanifungue Kila kilichofungwa na adui kwenye maisha yangu na watoto wangu na familia yangu yote. Amen.
Nakupata vizuri niliwa Tanga mjini
Namtukuza Mungu kwa maneno lake nimetweka nyavu kilindini jina la Bwana litukuzwe
Taarifa ya talaka naikataa katika jina la YESU
Najiungamanisha na ibada hii katika jina la yesu
Ameen❤
Ee MUNGU ondoa pepo la kula kupitiliza kwa mwanangu ktk jina la Yesu
Amen amen amen
Nakataa kukataliwa kwa simu za kazi
Amen Amen
Asante kwa maombi ubarikiwe
Nimejiunganisha muda huu karka juna la Yesu
Najiungamanisha🙏🙏🙏
Namshukuru sana Mungu kwa yote na maachilio haya toka kwa pastor wetu Amen
Amina mungu nimwema
Nijiunganishe kwa yesu pepo la kutokwenda kanisani linitoke nipandishwe cheo kazini na kumheshimu na kuheshimiwa na kila mtu nikumbukwe na wakubwa na wadogo walionisahau wanikumbuke magonjwa katika familia yangu yatokee pia watoto wangu wakawe kichwa na siyo mkia
Nakushukuru Mungu kwa kila jambo asante Bwana Yesu
Najiungamanisha kwa jina la yesu christo mungu anifungue na iwe nuru kwangu
Ee mungu nikubuke na mm
Eee mungu fugua pepo lakulala wakati wamaombi nifugulie matatizo niliyo nao uniponye mungu wangu kwako hakuna kinacho shindikana nipookee 🙏🙏🙏🙏😭 3:51
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana nakupsta vizuri huku Mbeya
Eee mungu nahisi nimefika mwisho leo namini kupitia neno lako machozi yangu yamwekwish
Mungu niondo kwenya tamko la mume wangu alinitamkia mabaya nikaanza kuumwa hadi Leo bado naumwa
Najiunganisha kwa Jina la Yesu
Amen
Nimejiungaamanisha mda huu Mungu yu mwema dada
Mungu nimwema nashukuru kw kunipa uwezo wakuingia mahali hapa
MUNGU naomba kibali kwangu na uzao wangu watoto wajukuu mkwe kazini, miradi, biashara, afya, ndoa, mahusiano vibali vitokee kabla ya mwaka kuisha hadi tushangae ktk jina la YESU
Katikati ya wale wanaoenda kutendewa nami Bwana nikawe miongoni mwao katika jina la Yesu kristo , 41:22
Asente yesuu
Ndio nakufuata muzuri hapa Kinshasa
Amen 🙏🙏🎉🎉🎉❤
Amen neno hili likawe tiba natamka njia pasipo na njia
adui jipange nakujaa😂😂😂
Fungua milango kwa mume wangu
MUNGU naomba kupitia ibada hii nitambue kama mchumba niliye naye kama nisahihi
NGUVU ZA MUNGU ZIPITE KWENYE NYUMBA YANGU KTK JINA LA YESU
Badlisha hatima yangu Ebenezer niponye na dhambi inayonifarakanisha
Napokea kibali niolewe mwaka huu
Amina Mungu akatutendee pamoja Mwakani turudi na hushuhuda katika madhabahu ya siri za biblia 47:36
@lissanicholas6374 Ameeeeeeni kubwa,, ikawe hivyo kwa jina la yesu 🙏🙏
Mtumishi naomba link ya maombi ya ukili kila siku asubh..
NAHITAJI KIBALI KAZINI,NAHITAJI UZAO,ULINZI
Hivi kweli mfungo umepita au bado unakuja?
Samahani naomba link ili nijiunge na group za wasap za madhabahu hii ya siri za biblia
Nitoe magumu ninayopitia maana kwako hakuna.gumu y0te yanawezekana kwako
Asente yesu
Asennte yesu
Asante Mungu kwakutuokowa juya Adui zetu asa wale wanao tamuka mabaya nakuya andika juu yetu
Nimejiungaamanisha mda huu Mungu yu mwema dada
Amina mungu nimwema
Amen
Amen