VYUO KUMI (10) BORA TANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • ORODHA YA VYUO KUMI (10) BORA TANZANA
    TOP 10 BEST UNIVERSITIES IN TANZANIA
    This uniRank page features the 2008 Tanzanian University Ranking of all officially recognized Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria:
    1.being accredited, licensed and/or chartered by the appropriate Tanzanian higher education-related organization
    2. offering at least four-year undergraduate degrees (Bachelor degrees) and/or postgraduate degrees (Master or Doctoral degrees)
    4. delivering courses predominantly in a traditional face-to-face, non-distance education format
    Universities are ranked by our exclusive uniRank University Ranking™ which is listed as global university ranking by the IREG Observatory on Academic Ranking and Excellence.
    The uniRank University Ranking aim is to provide a non-academic League Table of all Tanzanian Universities based on unbiased and valid web metrics.

КОМЕНТАРІ • 44

  • @wemaurasa7266
    @wemaurasa7266 4 роки тому +16

    bora kitaaluma au majengo?

    • @AmbitionPlus
      @AmbitionPlus  4 роки тому +2

      Level za elimu (CERT, DIP, MASTERS, PHD), Ubora wa elimu, uwezo wa kubeba watu wengi na performance yake

    • @bamanyasalvius123
      @bamanyasalvius123 4 роки тому +3

      Acha zako ni lini UDOM kikazidi SUA

    • @AmbitionPlus
      @AmbitionPlus  4 роки тому +2

      @@bamanyasalvius123 Angalia kwenye description utaiona source, Things change sio kila siku SUA au UDOM itakua pale pale wanavyopanua wigo wa faculty, ku-improve performance na kuongeza wanafunzi ndani na nje ya nchi wanaendelea ku-RANK juu.

    • @KadeFue
      @KadeFue 2 роки тому

      Hii ranking chupli chupli.. Rank za maaana ni Webometrics, Times High, QS na Shanghai Ranking.. Hizo zote hazitambui UDOM kwa ngazi yoyote..

    • @mwasianoezekiel5150
      @mwasianoezekiel5150 2 роки тому +1

      @@KadeFue ikumbukwe Udom ni chuo kichanga Zaid ya ivo vyote, but they are doing wonders. their first graduands ilikua 2010 till now only 12 years since establishment. Iko na fantastic courses and their students wapo very competent have met several alumni From udom they are very Smart my friend so it deserve to be where it is. Pia hizo sources zako zinawez kua genuine Kwa mtazamo wako.

  • @getrudanorbert8738
    @getrudanorbert8738 2 роки тому +5

    Ivi vyuo n 10 bora kwa majengo lakini sio taaluma asitudanganye eb njoo n data zilizoshiba

  • @captainamerica8874
    @captainamerica8874 2 роки тому +5

    TIA now🔥🔥🔥

  • @richardbenny156
    @richardbenny156 2 роки тому +4

    Moshi university vipi? Bosi hapo nahisi ulikuwa unaangalia magorifa na sio taaluma, namba 1 hadi 4 umeenda vizuri 5 hadi 10 umeingia Choo cha shangazi yako au umeoa binamu yako.

  • @user-mj2we1vu7v
    @user-mj2we1vu7v 4 місяці тому

    Perfect 😊😊❤❤❤ I admire and i love it ❤❤❤❤😂😂😊😊😊😊

  • @SilvesterApolo
    @SilvesterApolo 2 місяці тому

    UDOM🔥🔥🔥kupata course work tu unashangilia ni moto

  • @linahcaro4780
    @linahcaro4780 Рік тому +3

    Makumira 🔥🔥🔥🔥

  • @geoffreysoloshija1909
    @geoffreysoloshija1909 4 роки тому +4

    Ooh nice

  • @esterjuhudi9011
    @esterjuhudi9011 3 роки тому +3

    Best course

  • @arafamachiya9368
    @arafamachiya9368 11 місяців тому +2

    Muuu hayo majengo watu wanasahau kijijin kwao

  • @janethshedrack9614
    @janethshedrack9614 10 місяців тому +3

    bora ki majengo au

  • @AbdallaMpambika-bp6ub
    @AbdallaMpambika-bp6ub 5 місяців тому +1

    Bishaneni ila SAUT mwanza ni chuo bora sio majengo tuu hata kitaaluma

  • @MoPlus-o8m
    @MoPlus-o8m Місяць тому

    Sasa jaman mabro na massta n chuo gan kizur kitaaluma,kimaradhi,na maixha kiujumla? Tujuzen jaman man cc wahtimu wa juzi apa tucj tukachagua vyuo ambavyo vna hard life

  • @LeticiaSospeter
    @LeticiaSospeter Місяць тому

    Kipo wapi?

  • @priscaemmanuel3932
    @priscaemmanuel3932 Рік тому +2

    Sifa za kujiunga na hicho chuo.

  • @melkizedeckmushi5433
    @melkizedeckmushi5433 8 місяців тому +1

    Bira kwa aspect ipi?

  • @munyentwalicallixte
    @munyentwalicallixte 3 роки тому +5

    What's about tuition fees in UDM?

  • @ndulumaduhu3914
    @ndulumaduhu3914 Місяць тому

    Udom oyeeeeee em tujuaje bac

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 місяці тому

    Ardhi Kiko vinzuri ila hujaitendea haki siyo Cha 8 labda Cha 3 au 4

  • @johnnyamase7662
    @johnnyamase7662 3 роки тому +3

    How about lgti jmn

  • @mambotvburudani3248
    @mambotvburudani3248 2 роки тому +1

    Kimajengo sawa ila kitaaluma udom ni ya mwisho

    • @josiahdominick863
      @josiahdominick863 10 місяців тому

      Ushakutana na alumini wa udom uko mtaani au unaongea tu??

  • @stellastanley5673
    @stellastanley5673 2 роки тому +4

    Udsm saf

  • @AbdallahRashid-rr2rw
    @AbdallahRashid-rr2rw Місяць тому

    Waongo

  • @robinsonwanjara9617
    @robinsonwanjara9617 2 місяці тому

    Ni vigezo gani vimetumika!

  • @samsononesmo8884
    @samsononesmo8884 2 роки тому +2

    KCMC? BUGANDO

  • @akshaydavid159
    @akshaydavid159 4 роки тому +3

    Mbona KIU sijakiona au kimesahaulika

    • @AmbitionPlus
      @AmbitionPlus  4 роки тому

      hakipo kwenye top ten kwa mwaka 2020

  • @SophyWaziri-re6wu
    @SophyWaziri-re6wu 3 місяці тому

    What about KCMC jmny

  • @vicentjames5691
    @vicentjames5691 3 роки тому +3

    Bugando, kairuki???????

  • @historicalzanzibartv
    @historicalzanzibartv 2 роки тому +1

    Ardhi ya 8?hapana

  • @user-tb3xq2cu3o
    @user-tb3xq2cu3o 5 місяців тому

    U

  • @FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI
    @FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI 9 місяців тому +1

    SAafi