Sorry brother,mi ap mna C ya box,C ya chemistry,geog mna D,physical ckubahtka kusoma but also mathe mna F,na nilpendlea nisome PHARMACY hiv apo ikoje brother for your advice????
Course ya nursing inahitaji ufaulu gan kwa sababu sijachukua physic na nimemaliza kidato Cha nne 2023 ufaulu wangu ni mathematics Nina D chem C biology C George c
Katka afya unaweza chukua pharmacy tu ndo haihitaji phy, na pia nakushauri kama ni pharmacy fanya uamuz mapema ukasome mana nayo pia inajadiliwa siku za mbele itahitajika sifa ya ufaulu katik phy.
Kiufup ni hivi, medical doctor ni mtu aliyesoma degree ya udaktari, so unaweza soma hadi A level ndo ukaenda kuchukua MD chuo kikuku miak mitano, but usipoenda A Level badi unaweza enda collage ukasoma coz ya utabib yani Clinical officer CO miaka mitatu, ukimaliza ukafaulu ndo unaenda chuo kikuu kusoma hyo MD miaka mitano pia.
Medical laboratory ni lazima usiwe na F ya Physics, chemistry na biology ,hiyo no mizizi mathematics kuna vyuo vingine havizingatii sana..kwa waliotoka advance wanaoweza kuchukua medical laboratory ni wenye PCB.labda pharmacy angalau sifa zao ni chemistry na biology zaidi ,mengine hawazingatii kwa colleges,ila nayo saiv PCB kwa waliotoka advance ... Kwaio nimkosoe kidogo alietuelezea listi ya kozi
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza 2023 Nina biology c, chemistry c , mathematics c geography d lakin sikubaatika kusoma physics siwez nikasoma course yeyot
Habary min nime maliza kidato Cha 4 mwaka 2023 Nina physics d, chemistry d na biology c nilikuwa naomba kuuliza naweza nikasoma coz ya medical laboratory
inacompetition sana skuhz ila ukiwa na cutting point ya 3-9 kwa masomo matatu yaani PCB unaweza chaguliwa though kuna private ambao wanaweza chukua zaidi ya hyo
Samahan nimemalza kidato cha nne 2023 nina physics c, chemistry c na biology d nataka kusoma doctor of dental surgery (DDS), je naweza kusoma au ufaulu wangu haurusu
Mm nmepta d ya biology na c ya chemisry na f ya physics naeeza kuxomea phamarcy
Mtu anayetaka kusoma nursing awe na ufaulu gan?
Kozi ya pharmacy ni lazma uwe umesoma physics ?,kwa diploma
Mimi nimemalz kidat cha nne nimepat physics D chemistry C na biology C je nawez kusomea medical doctor
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we una utani form four medical doctor ya nn
Labda clinical medicine kpnz
Labda clinical medicine kpnz
Samahani naomba ushauri nina phy f chem B and bios B je naweza kusomea pharmacy 8:05
Pia kwa ufaulu wang ununishaur nitak coz gani chemistry C biology C na physics D
Nina F ya physics D ya chemistry na cC biology unaweza kusoma cozi gani kati ya hizi ushauri naomba
Omba pharmacy
Mm Nina cc zot kasoro phys jee nawezaj kusoma medical doctor
Medical laboratory sciences inahitaji ufaulu gani?
Je unatakiw usome masomo gan ili upate coz ya md
bro samahani na medical laboratory unahitqjik uwe naufaul gan
Vp huko naweza kupata mkopo huko??
Pia mimi phiycs nina D piano chemistry ninaC na biology ninC upanishad intake coz gan nimeishia 4m4
What about pharmacy
Vipi coz ya environmental health science ipo je kwenye masuala ya ajira?
Ada zao kiasi gan
Nikiwa na ccc ya chemistry, biology na geography naweza kusoma coz ya nursing?
Naomba ushauli physics f biology c chemistry d naweza kujiunga na cours gani kati ya hizo tano
Ivi clinical medicine in course nzur?
ni nzuri sana pia shda competition kwa mtaa
Kama una C chemistry,C geography na D biology afu pia una D basic mathematics kozi ya kusomea?
Explain the requirements
Na ada zao kids gani
Samahani medical laboratory inahitaji ufaulu gan?
Me sjasoma physics unanishaur nsome course gani
Kaka samahan naomba namba yako kuna mamb natak kuulz kwa undan kuhus vyuo na hiz course
Mim nimemaliza 4m4 2023 phy D, Chem B, biology C, math D je naweza kusoma. Coz ya DDS, au nursing ila. napenda kusoma pharmacy je nifanyaje?
Nenda advance
Kwnn
au unapenda chuo
Natak niende chuo sas
Sawa Dada Rita
Kaka me nimepata D ya physics c ya biology na c ya chemistry je nawez kuchukua course gan
Yoyote utakayo unaweza soma, ila ndo utaanzia level ya diploma
Je kama una combination ya CBG unaweza ku apply medical laboratory.
Je,medical doctor ni lazima ufike kidato cha 5 &6 ?
Sorry brother,mi ap mna C ya box,C ya chemistry,geog mna D,physical ckubahtka kusoma but also mathe mna F,na nilpendlea nisome PHARMACY hiv apo ikoje brother for your advice????
Samahan uncle, mimi nmemalza kidato cha nne mwaka 2023 nmepata physics D,chemistry C,na biology C,je ni coz gan ya afya inaweza nifaa?
Je naweza somea clinical medicine kwa ufaulu wa chemistry C,physcisD na biology C?
Nursing kikawaida inahitaji niwe na ufaulu gan et?
Kwa level ipi? Diploma au degree?
Thanks a lot
Asante kwa kutuelemisha kwa ilo.Tunaomba Kujua nivyuo gani bora ambavyotitaweza pata hizokozi
Vp koz ya radiology na nursing ipi n ngumu kuisoma kwa mwanafunzi
Kwa Colleges uwe na physics, chemistry,biology, na mathe.kwaliotoka advance uwe na PCB
Mimi nataka kusomea nursing je organic chemistry ipo??
Kunaitajika ufaulu gani katika kozi hizo za sayansi?
Atleast 1/9 kuna baadhi ya kozi apo unaweza kuzisoma kwenye vyuo vizuri
Kaka PCM anaweza soma Radiography
Nahitajiii nambaaa yakoo
Ukiwa na f ya phy unaweza kusoma md au kipi kati ya hv
Broo samahan ukipata ufaulu wa chemistry C, biology D , physics D unaweza ukasoma kozi gn ya afya
Course ya nursing inahitaji ufaulu gan kwa sababu sijachukua physic na nimemaliza kidato Cha nne 2023 ufaulu wangu ni mathematics Nina D chem C biology C George c
Haiwezekan labda pharmacy 😢
Katka afya unaweza chukua pharmacy tu ndo haihitaji phy, na pia nakushauri kama ni pharmacy fanya uamuz mapema ukasome mana nayo pia inajadiliwa siku za mbele itahitajika sifa ya ufaulu katik phy.
Medical doctor unatakiwa kuwa na ufaulu wa ngp?
Kiufup ni hivi, medical doctor ni mtu aliyesoma degree ya udaktari, so unaweza soma hadi A level ndo ukaenda kuchukua MD chuo kikuku miak mitano, but usipoenda A Level badi unaweza enda collage ukasoma coz ya utabib yani Clinical officer CO miaka mitatu, ukimaliza ukafaulu ndo unaenda chuo kikuu kusoma hyo MD miaka mitano pia.
Just tell us the grades na vyuo vinavyotoa kozi hizoo
Nahtw Franco nimemalz form 4 Nina c-biology na c-chemistry naweza soma kozi ya medical doctor
Kama mtuu hajasoma phisics na chemistry anaweza kusomea course gan kat ya hzo
Kaka mm Nina nlsoma PCB nikapata phyC.bioC.na chemC..naweza kusoma nursing
Medical laboratory inatakiwa ufaulu gan 5:37
Vp medical laboratory or science lazma uwe na ufaulu ngani a level.
Aslm alykm mim nauliza iyo coz ya miyonz wanataka ufaulu upi
Uwe Umesoma physics kwanza kwenye masomo yako cz wanaconsider sana somo Hilo,kma hujasoma physics ni ngumu kukubaliwa
Samhani broo mm nimesoma cbm combination ss je naweza kusomea kozi gn mzuri nilikuwa natk pharmacy ila kwa vigezo vya tcu sipati
Habari na we za pata nambako nikuulize kitu kuhusu izi kozi samhn lkn
tafadhal kwan ukiw na f ya physics unawez kusoma mediacal labiratory
Je ufaulu wake unakuaje kwa hizo kozi zote
Mimi nimemaliza kidato cha 4 nimepata phy c,chemistry A na bio A
Nataka kusomea radiography kutokana na kuwa na soko kubwa je upanishad vipi
Mim nimepat Nafas ya kusomea medical laboratory kwa chuo cha decohas khs wanyam je iko pw
Samahani naweza pata namba yako ili nikupigie nikuulize zaidi kuhusu hizi coz
Mm nilimaliza form four 2014
Naweza apply now?
Yes unaweza apply dear
Medical laboratory ni lazima usiwe na F ya Physics, chemistry na biology ,hiyo no mizizi mathematics kuna vyuo vingine havizingatii sana..kwa waliotoka advance wanaoweza kuchukua medical laboratory ni wenye PCB.labda pharmacy angalau sifa zao ni chemistry na biology zaidi ,mengine hawazingatii kwa colleges,ila nayo saiv PCB kwa waliotoka advance ... Kwaio nimkosoe kidogo alietuelezea listi ya kozi
Vip kuhusu. Clinical officer?
Mimi nataka nisome md lakini sijapata one ya nane je naweza kusoma hiyo kozi
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza 2023 Nina biology c, chemistry c , mathematics c geography d lakin sikubaatika kusoma physics siwez nikasoma course yeyot
Unawez kipenz
Habary min nime maliza kidato Cha 4 mwaka 2023 Nina physics d, chemistry d na biology c nilikuwa naomba kuuliza naweza nikasoma coz ya medical laboratory
Radiography unaweza kujiajiri
Yeah uhakika, unanunua portable ultrasound ambayo unaweza kwenda nayo popote pale alipo mgonjwa
M na chem b. Bio b. Phy. D na math ndio f je apo naweza kusoma course gan izo n marks za fom 4
Bro naomba namb yako
Nimekwelewa sana
Nahiyo course ya radiogr inahitaji ufaulu upi
Lazima uwe na physics
Nimemaliza kdato cha sita kijana wangu ana Chemia c fizikia c biologia d anafaa kozi gani
Ufaulu wa pharmacy ni upi ❤
Masom yot matatu upat kuanzia D
Nimepata B ya chemistry, C bi ology, na D physics je nursing inanifaa au C.O
Nina f ya physics d ya chemistry d ya biology ninaweza kusoma course gan kati ya hizo
samahan naomba unitajie chuo kinachotoa koz ya medical doctor katika ngaz ya diproma ambapo nimemaliza kidato cha nne
Ni nzuri sana.
Ahsante sana
Je ninabidii nifaulu vp advance nasoma cbg iliniweze kusoma nursing au orography
laboratory science unatakiwa ufauru soma gan
Xmhn iyo course y mwish lazim uwe n ufauli w credit gn ili usomee
inacompetition sana skuhz ila ukiwa na cutting point ya 3-9 kwa masomo matatu yaani PCB unaweza chaguliwa though kuna private ambao wanaweza chukua zaidi ya hyo
Radiography inahitaji pass zipi kwa mwanafunzi wa advanced level?
Kwa Muhimbili wanahitaji C ya chem na kwa bugando wanataka D ya chem ili kuchukua batch
Et Nina biology b chemistry b na physical c koz gan inanifaa
Samahan nimemalza kidato cha nne 2023 nina physics c, chemistry c na biology d nataka kusoma doctor of dental surgery (DDS), je naweza kusoma au ufaulu wangu haurusu
Unaruhusu
Je nursing siyo coz bora??
Nursing ni coz ambayo mtu yupo sure akimaliza hawez kaa mtaani cz sehem ni nyingi..both public and private
Phy C, chem B and bio B je na weza kusoma medical doctor
Sifa za kujiunga na medical doctor
Je kama ni chem B, bios C, phy F na math c he nawez kusomea medical doctor au kozi ipi itanifaa
Hapo Bila physics hakuna course yeyote ya Afya utasoma
kwa ufaulu wa physics ulioupata nahisi haiwezekani kupata hyo course
PhysicsD chemistryD na biology E anaweza kusomea nn kwenye afya
Aslm lykum nataka kujiunga na coz ya mionzi je natakiwa niwe na ufaulu gan na vyuo vyake vinapatikana wapi?
Naomba unitajie ufauru md
Samahan nimemaliza meals 2023 kidatocha nne physics d, Chem,d bios d maybe, c
Nna c-chemistry c-phy c-bios B-mathe ipi n coz bora kwang
mnaohitaji kusoma kozi za fyaa chuo kiko singida mjini nibest sanaa
Naomba namba nimpeleka mwanangu
Je unaweza kusoma medical doctor ukitokea kidato Cha nne?
Naomba kujua vyuo vya ddt pamoja na radiology
ddt??? kwa radiology ni Muhimbili, Bugando na Benjamin Mkapa
Naomba kujua radiology inahitaji ufaulu gani?
Ufaulu ap kwenye MD ni upi bro na mda wa masomo
Tuliomalizaaa form four jeeee
Naitwa Rozi antony nimaliza cha nne mahitaji kujiunga na kozi ya medicine naomba kujua Ada ni ngapi
Je medical doctar ni lazima upite advance
hapana, si lazima..unaweza anza na Diploma then ukaja kuunganisha Degree kama ufaulu wako utaruhusu
Unyama
Sasa mm nataka nijiunge na MD lkn nimemalz form four Nina division 2
Kwa level hyo anza na clinical medicine (CO)
Kwahy kwa waliomalza form4 kuwaj
Kwa waliomaliza form four, inategemeana na ufaulu wako pia maana kila course ina ufaulu wake