The only best University in the world is what problems teach you in a real life and how you solve them, we call it "how you learn from your setbacks" to be more creative even to create value for yourself, family and community.
Vyuo vikuu bora zaidi barani AFRICA 13. MANSOURA UNIVERSITY (EGYPT) 3:05 12. University of Nairobi (KENYA) 3:40 11. Addis Ababa University [AAU] (ETHIOPIA) 4:30 10. North-West University [NWU] (SOUTH AFRICA) 5:00 9. University of Pretoria [UP] (SOUTH AFRICA) 5:46 8. University of Ibadan [UI] (NIGERIA) 6:10 7. University of KwaZulu-Natal (SOUTH AFRICA) 7:05 6. Cairo University (EGYPT) 8:05 5. University of Johannesburg [UJ] (SOUTH AFRICA) 9:05 4. American University in Cairo [AUC] (EGYPT) 9:55 3. Stellenbosch University (SOUTH AFRICA) 10:40 2. University of the Witwatersrand (SOUTH AFRICA)11:20 1. University of Cape Town [UCT] (SOUTH AFRICA) 12:50
@@martinstarford8557 usisahau km mko na madeni hadi nchi mmeuza kwa wachina wanawpiga viboko mchana kweupe mtakuaje mbele kwa east Africa na madeni yote na mnapigwa fimbo na watu weupe bado mnatawaliwa unajisifu ujinga🤔
I am a Proud University of Nairobi student❤️
Same bro
naomba nitafute naiitaji hicho chuo
SNS saluti makali safi sana nimependa na nimejifuza ku2 humu ndani .
The only best University in the world is what problems teach you in a real life and how you solve them, we call it "how you learn from your setbacks" to be more creative even to create value for yourself, family and community.
Wow brother sky nakukubali Sana, you are the best, UCT is fire💥💥💥
Shikamoo SA.🙌🙌
Sijawahi kufika South Africa lakini kama muafrika najivuniaga sana hiyo inchi everywhere I pass kufuatana na jinsi inavyo endelea kwa sasa🇿🇦❤
Kuzuri sana kimuonekano lakini watu wake ni wanaukatili sana nchi ya kimafia
Labda ukatili huo umetokana na Madhara ya Apartheid Policy.
Congole kwa University of Capetown South Africa (UoCS)
Na hakuna Wageni saana Marekani na Canada toka Africa kusini ,Wanajitegemea saana
@@Mpakauseme wazungu ni wengi mno
Vyuo vikuu bora zaidi barani AFRICA
13. MANSOURA UNIVERSITY (EGYPT) 3:05
12. University of Nairobi (KENYA) 3:40
11. Addis Ababa University [AAU] (ETHIOPIA) 4:30
10. North-West University [NWU] (SOUTH AFRICA) 5:00
9. University of Pretoria [UP] (SOUTH AFRICA) 5:46
8. University of Ibadan [UI] (NIGERIA) 6:10
7. University of KwaZulu-Natal (SOUTH AFRICA) 7:05
6. Cairo University (EGYPT) 8:05
5. University of Johannesburg [UJ] (SOUTH AFRICA) 9:05
4. American University in Cairo [AUC] (EGYPT) 9:55
3. Stellenbosch University (SOUTH AFRICA) 10:40
2. University of the Witwatersrand (SOUTH AFRICA)11:20
1. University of Cape Town [UCT] (SOUTH AFRICA) 12:50
University of Nairobi Kenya🇰🇪🇰🇪🥳🥳🥳🥳we shine on top 10
#Skywalker tusaidie ufanye utafiti kuhusu University of Timbuktu, the oldest University of all time
Hongera SA
Congratulations Nairobi University 👏
YOUR CONTENT IS GETTING BETTER AND BETTER,GOOD JOB!
Congrats Nairobi university
Naona Egypt na south africa tuu
ASANTE KENYA TENA KUWAKILISHA EAST AND CENTRAL AFRICA!
Asante kwa taarifa
I'm proud to study udsm
Wale wanangu wa MWECAU, SAUT, UDOM, UDSM, MUCE, UOA, MAKUMIRA etc TUBAKI UMO
Shikamoo SA & Egypt
Nice content
South Africa 🙌
Congratulations to Nairobi University
Kenya wanajitahidi kidgo mashallah mana nchi ndogo Sana kenya
Kenya ikiwa ndogo na ug je 😅
kenya kwa upande wa elimu ipo vizuri sana
Nyie tanzania nchi kubwa mmefanya nn kenya itakua mbele yenu kila kitu najifunia kenya mfalume wa East Africa
@@martinstarford8557 Toba Toba nimeandika vibaya kwani hayaa poleni hongereni
@@martinstarford8557 usisahau km mko na madeni hadi nchi mmeuza kwa wachina wanawpiga viboko mchana kweupe mtakuaje mbele kwa east Africa na madeni yote na mnapigwa fimbo na watu weupe bado mnatawaliwa unajisifu ujinga🤔
kweli bongo bahati mbaya
South nomah
Vipi kuhusu University of Dar es Salaam Tanzania
Duu haipo kabisaa
Udsm kwa bongo sawa ila ukitoka nje udsm ni cha mtoto sana.
Yaani ukiwa nje ya inchi Zungumzia open university of Tanzania, st.Augustine , etc lakini udom na udsm hivyo ni vya bongo tu na Afrika mashariki
Tanzania ya ngapi jmn
Tuliosoma vyuo vya kata sasa....
Haha 😂😂😂
South 🙌
Hadi Nairobi University ingekua tu hapa
Chuo cha Tanzani kinaongozakwa ngono tu
MUST hakipo
😂😂
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Fanyeni tafit za vyuo vinavyoongoza kutengeneza malaya ili tanzania tuwe namba 1
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Umalaya nivio vyote duniani
Hapo Udsm unaweza ukakuta cha kwanza
bongo uswahili tu
Dah
Tanzania hakuna hata kimoja bora duh😁😁
Sns ✔️✔️✔️✔️✔️✔️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
The best universities in Africa
Kwanini misri n'a SA ndio vinaongoza kwakila kitu Africa kwakua vingisana
Kuna ngozi nyeupe nyingi na juhudi saana
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
good
UoN
Hakuna hata chuo kimoja kutoka kwenye nchi za francophonie ? Duh
Hee serious?Wanawadharau kwa vile hawatumii Anglophone
Hata Degree zao si internationally recorded and not recognized even in Canada or USA imagine
@@trophywilson7211 but their system of education is very tough comparatively to the anglophone countries
Usd na UDOM vp
Choka mbaya
Usd ndo chuo gani hapa nchini ?
tanzania si tunadaganyana tu na magambo tu za i have degree bt ukwel bila bila
@@gracejulius3966 cha kutengeneza Dollar hahaha
.
oeeeee,,,,,fanya video zenu ziwe fupi,,,,,,kuna mastori mengi hayafaidi
Wewe kama huna bado sisi hayatuhusu.
Freshii,,,mi mtu bize😂😂 mwanzo ameweka chuo changu namba kumi,,,kama hayajuhusu reply ya nini sasa
🤣🤣🤣
Hee tunayataka