Tutumainie Mungu Baba wa milele ambaye msaada wake haukomi kwetu usiku na mchana. Chochote kile kina mwisho ni Yeye Yesu hana mwisho, wakutegemea na Yeye Alfa na Omega. You're a blessing to us thank you so much. May blessing follow you forever.
Yeremia 17 5 : Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana. 6 : Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. 7 : Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake. 8 : Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.
@paschalcassianoriginal9411 niwachache wasemao kweli ya mungu wengne wanafuata kiki zakidunia mungu akubariki sana kwa kufanyika Sauti kwa ajili yakuokoa kizazi chetuu!!
Sina ya kukubariki lakini mungu akubariki paul cheki kutoka kenya. Nakumbea uishi miaka mingi mutumishi umetumwa na mungu kuokoa kisasi hiki
Amen mtumishi abarikiwe ❤
Powerfull
Tutumainie Mungu Baba wa milele ambaye msaada wake haukomi kwetu usiku na mchana. Chochote kile kina mwisho ni Yeye Yesu hana mwisho, wakutegemea na Yeye Alfa na Omega.
You're a blessing to us thank you so much. May blessing follow you forever.
Ukweli kabisa mutumishi WA mungu 🙏🙏 nyimbo zako zinanibariki sana
Mungu akubarik sana mtumishi
Kweli kabisa barikiwa wanadamu wanachoka,wanabadilika.
Yesu nisaidie nikutegemee mpaka mwisho
Kweli kabisa 🙌 MUNGU ndiye rafiki mkubwa Sana kwa maisha yangu 😢😢😢😢😢😢😢
Namutegemeya Mungu tu barikiwa sana mutumishi❤❤❤❤
Hapa Kenya nyimbo zako tunazipenda saana
Powerful I like the grace you have!!!
KAZI NZURI SANA KAKA❤❤🎉🎉🎉
Amina amina
Amen amen hakika Mungu ndo Kila kitu kwetu
Amen wimbo wa nguvu sana ubarikiwe mtumishi wa BWANA ni kweli kila kitu na mambo yote ni umtegemee MUNGU wa mbinguni💃💃💃 Amina 🙏🙏🙏
Kazi nzuri ndugu katika bwana wetu yesu kristo, chochote kitokacho kwa mungu kinakubalika.
Ooooh Jehovah nilie mtegemea amenisalitiiiiiiiii oooooooh nalia MUNGU pekeee ndio wa kumtegemea Asante kwa wimbo huu naona kuponywa
Nitamtegemea Mungu hadi mwisho,hata mawimbi yawe makali vipi Mungu atabaki kuwa Mungu wangu na tegemeo langu.Barikiwa mtumishi wa Mungu.°
Hakika nyimbo ni nzuri,, hongera sana kaka 🙏
Kazi nzuri sana!!
Hallelujah 🙌 Hallelujah 🙌 Hallelujah 🙌 Hallelujah 🙌 Hallelujah 🙌 Hallelujah 🙌
wimbo wa kiapo cha damu na kuzimu malizia izo nyimbo nyimbo kal sana izooo
Yeremia 17
5 : Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.
6 : Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.
7 : Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake.
8 : Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.
Nyimbo nzuri sana mutumishi wa mungu❤❤❤
Kaka paschal mungu akuinuee zaidi dunian na ata uzma wa milele hakika ukikosa mbingu binafsi ntamuhoji mungu kwa mamlaka alionipaa!!
😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤😂
@paschalcassianoriginal9411 niwachache wasemao kweli ya mungu wengne wanafuata kiki zakidunia mungu akubariki sana kwa kufanyika Sauti kwa ajili yakuokoa kizazi chetuu!!
Amen baba
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🙏
Inafana na nyimbo ya bonny mwaitege❤
Goood message bro
kwali mchungaji hiuwimbo umetoka lini
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
Ameeen 🙌🙌 Mungu anatosha
Kaz yako ni njema
Ubalikiwe 🎉🎉🎉🎉🎉
Tumain langubni mungu tu
Hallelujah 🙏
Amen amen
by God grace 🙏🙏
AMEN AMEN
Asante kwa ujumbke mzur❤
Amen 🙏
Ameeeeen
🙏🙏 Will you please my brother in Christ translate in English
unishike mkono na mimi mdogo wako
🎉
Vile masongs and preachings unakimbiza mbio,it seems hatuna time in this earth the rapture may take place any time
❤❤❤
Kaz yako ni njema
Amen
❤❤