Kayumba nakukuba sana yaani zaidi ya sana nyimbo zako. Yaani nazikubal mno yaani kwanyu kila mda ni nyimbo zako tu duuuu hongera sana maana ujumbe mzuri kwenye nyimbo zako
Huu wimbo Nilikua Nausikia Sana ikabidi niutafute maana it's a Beautiful Song Especially kwa Wanaoumizwa na Mapenzii Ngoma Kalii Sana Ujumbe mzuri sana
Vita Vya Mondi na Kiba vime harib Bongo Flava vyafanya mpaka misiki mizuri kama hii yakosa Views na likes zinazo Stahiki.. Big Up Kayumba,,, Hujanbwaga kabisa.. Keep Going Strong
My dearest kayumba hapa ndio sisemi kitu unakipaji dogo utani kando hongera kwakazi nzuri, napenda nyimbo zako Yani hazini choshi kuzkiliza congratulation
Such a beautiful tune, I have been playing ever since i discovered it even though i don’t understand the language, a fan from Ghana 🇬🇭, you nailed it ✌️
Nakumbuka nilikesha kuangalia mashindano ya biss mwaka ule na hakuna kingine nilikuwa nakuangalia ww kayumba naleo bado unahaso hongera sana mwanangu pambana kama ulivyo pambana mwaka ule ulivyo kuwa unaki pigania kipaji chako unaweza kayumba walah
nakubali kaka unajuwa kwenda na wakat kwa sasa mapenzi yanawaliza weng kwahyo maumvu imekuwa kama tulizo na kujpa iman pamoja mzee hongera utunz mwema kaka one love
Yani kayumba kaimba huu wimbo umeniguza sana mm like zenu kama unaukubari wimbo wa maumivu
Nazipenda kazi zako mung akusaidie
Oi napenda mdada nataka nixhee naee life
Tuliopata majeraha yamapenzi please naomba gongeni like hapa kwa 2024
Kayumba nakukuba sana yaani zaidi ya sana nyimbo zako. Yaani nazikubal mno yaani kwanyu kila mda ni nyimbo zako tu duuuu hongera sana maana ujumbe mzuri kwenye nyimbo zako
Huu wimbo Nilikua Nausikia Sana ikabidi niutafute maana it's a Beautiful Song Especially kwa Wanaoumizwa na Mapenzii
Ngoma Kalii Sana Ujumbe mzuri sana
Unaimba kama wao tu ila wanajifanya wanakukazia hakuna kukata tamaa mwanangu endelea kuangusha mawe wataelewa tu one day
Nikweli kabisaaaaa
Kabisaaa
Umenena k2
🔥👊💯
Ngoma nzur
Dogo Kayumba Wewe ulikuwa Mkali Toka Bongo Star Search!! huku unaendeleza tu!!! Uko poa sana Kayumba Big up sana!!
Nimeisikiliza wakati wake asante kwa maumivu😭😭
Kayumba nimeanza kua shabiki ake kwanzia ngoma ya katoto 🔥🔥🔥
*Kuimba mziki sio mpaka uwe na sauti nzuri hapana, mashairi na ujumbe unatakiwa ufike kwa watu,kayumba nakuelewa Sana Kaka!*
Wa kwanza.....kama ume kubali. Hii ngoma piga like yako hapo
Uko vzul
Yuko vzr sana namkubali sana toka bss
gudi
Ngoma ime gongaaa kongaaa
Nice
JAMAN KAYUMBA ANAJUA AISE
Kama umeikubali Gonga like aisee kwa support
Big up broo
Vita Vya Mondi na Kiba vime harib Bongo Flava vyafanya mpaka misiki mizuri kama hii yakosa Views na likes zinazo Stahiki.. Big Up Kayumba,,, Hujanbwaga kabisa.. Keep Going Strong
Yes is true
well said
Sana
Kweli kabisa kijana waabie kabisa
❤nazikubari, sana
AMBAO MMEUMIZWA 2024 MJE APA MUWEKE LIKE ZENU😪😪
Mimi nimeumizwa na mke wangu kipenzi mwezi huu wa November taree 30/2024 😭😭😭😭🤲
Kama umeielewa hii ngoma kama mm gonga like twende sawa
kayumba wew ni msanii. ila utakamilika endapo ukikalibia king music. kalibu sana king music
Uniunge kaka 😊
🙏🙏🙏🙏 Imenigusa wallahi ahsant Kayumba
Napenda kaz zake kayumba anaiba sana
Mwamba pambana ngoma Kali Sana gonga like Kama umeielewa
Kabisa kushea siyo vizuli kabisa unajuwa kuimba kayumba nyimbo zako zote nzuli hakuna nyimbo mbaya yakwako 💓💓💓💓💓💓💓💓 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💞
Karibu kings music watufaa xna gonga like kma we n King's family
Kali kayumba
cide da cruiz kwaya ya mtakatifu kibaaa
Kabsa anafaa
Cide da cruiz umeona eeee alafu tutampa na mo fire ashushie
Acha kumpoteza
Nyimbo nzur naikubali san
Kama umeikubari ngoma gonga like za kutosha
My dearest kayumba hapa ndio sisemi kitu unakipaji dogo utani kando hongera kwakazi nzuri, napenda nyimbo zako Yani hazini choshi kuzkiliza congratulation
Usipocheza utatikisa japo kichwa ama mmguu kayumba ni🔥🔥🔥
Sana baba nakubali kazi zako
kayumba kazi nzuri like tu hap
Hapa umepiga na ukaua.huwezi toa kichupa zaidi ya hiki.umetugusa wengi big up
Kalisana bro kamavipi njoo King's music man
nice broo kwa ngoma hii umetisha
Nakubali kayumba umenkiumbusha mbalii saaanaaa 🙏🙏🙏🙏 ilove this song
Uko vizr kayumba
Kayumba kaja na kinyumba iki cha video. Kama una mkubali gonga like hapa
Mi Ntakuja kufa jomonii kayumba ma love yangu kwako kama yoote😘❤❤❤
Uko vizur my brother
Very nice song kayumba😍😍love kutok kwang kam zote zikufikiee
Looking into my eye
Kushare sio lengo languu nisamehe ..... Natetea hisiaa.zanguu... good point
Baba nilikuwa nasbiria hiki chombo gud sana
Iko poa
Sana
Kayumba unaweza wasafi nimekaribia kuhama
Nice
Sana mdau kayumba unajua
❤napenda sana hue wimbo
Hongera dogo,,hii Kali zuri,, kama mnamkubali huyu gonga like, twende pamoja adi king music
Kaka unaweza saaanaa vizuli mtangulize MUNGU tuu kW kazi zako
da hongera dogo lang good music flavour komaaaa unaweza
Gooo masta
Ni dhambi kutosupport mziki mzuri wenye ujumbe kam huu
Mashairi mazuri sana jmn like kama unakubaliana na mm
Maumivu umebamba sana big up kayumba kaza man like nyingi kwako.
Such a beautiful tune, I have been playing ever since i discovered it even though i don’t understand the language, a fan from Ghana 🇬🇭, you nailed it ✌️
Good song
twenzetu kings kayumba nomaaaa thana hii kitu
Kayumba useme uko bali tu na mimi lakini tugekuwa p1 nigekupa zawadi kbs kwa songs zako love u more kayumba niko🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Aroni Kashindi nice music jmn
asante kayumba kazi nzuri
jmn nmekosa like 😖😖 asante kwa #maumivu
😂😂😂😂
@@rebecahagaikatuba3551 kwanini unamcheka mwenzako jamani😂😂😂😂😂
Noma
Rebeca Hagai Katuba 😂😂😂 let's give him likes 😂😂
😂🤣🤣🤣
Ahsante kwa maumivu ni lengo la mungu kukuweka dunia ili Chaka ze Don nijione Kama naishi kwenye nchi yenye wasanii
Kayumba we kaza mwenyewe tu,achana na makundi,Mara king musc, achana nayo, asikushike mtu ao wanga tu
Kweli kayumba ndo umekamilika kuwa msanii wa BONGO flava kaka kaza kamba utafika waliko mbosso na ata zaidi yao .Inshallah.
KAYUMBA ni real voice of LOVE WE NI FUNDI WA NYIMBO ZA MAHABA!!!
wee kiboko kaka kaza buti pia ndengneza ngoma zinazo chezeka wee noma
Wow kayumba you kill it boy keep it up 😍❤
Nakumbuka nilikesha kuangalia mashindano ya biss mwaka ule na hakuna kingine nilikuwa nakuangalia ww kayumba naleo bado unahaso hongera sana mwanangu pambana kama ulivyo pambana mwaka ule ulivyo kuwa unaki pigania kipaji chako unaweza kayumba walah
Aki this guy has nice voice man big up broo💪💪💪💪
kayumba ww unajua tangu bong starsaech naye fnya vzr kwenye game ni we tuu hongera
This boy will kill us with awesome melodious songs 💓💓🇰🇪
Songs is good
Unamyumbisha ata Queen Kiba daadeki wewe #Usafini utafaa
Keep it up bro I love it so much
Nilijua wanipenda daaaah sometime mademu xio watu wazur.. kama yamekukut gonga like
Mamen ndo siy wat wazur
Wimbo mzur hongera kayumba
Nakubali kazi yako kayumba mungu akufanyie wepesi unanigusa sana kk
We boya unaweza ngoma yako iko poa sana kuliko za king music yaakubisha abishe ila ukwer ndio uo
Acha kumlevya kijana bali mpe pongezi kwa kazi yake nzuri
vzr sana
nakubali kaka unajuwa kwenda na wakat kwa sasa mapenzi yanawaliza weng kwahyo maumvu imekuwa kama tulizo na kujpa iman pamoja mzee hongera utunz mwema kaka one love
My best singer so far🇰🇪
Nice Sana nimekubali
Muziki mzuri, sauti nzuri!!! Love u kayumba
Huyu dogo anajua sema tanzania hatuna kitu cha kupeana nafasi🙌🙌🙌 yaan walio juu wanataka wawe wao tu
Nice one keep it up Kayumba love you so much
Kaza buti brother watu wanakuelewa San m nikiwa wakwnza toen wimbo mmoja na beka haika itakua vyema
Nimeikubari uko vizur kayumba Asante kwa maumivu
We jamaa mziki unaujua na unauweza,
Kichupaa konkii nyimboo konkii
ngomaaa tamu sanaa jamonii hongeraaa
Walaupun tdk tau artinya tapi cumn senang lagu dan nadanya...
❤❤❤❤❤love sana kaka yangu mungu akulinde milele nakuja mwaka kesho nikuone
Ngoma Kali sana hii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakupenda bure kayumba
Duuuh ataree sana aisee 💗 umemaliza aisee
Ngoma Kali saaanaaaaaa
Naupenda uuu wimbo sikujua kama kayumba ndio kaimba nimeutafuta mpkaa nimekoma
king music siku wakitoa nyimbo Kali hivi lzm Mvua ya mawe inyeshe
Abdul Mwanga acha ushabiki ww mavi angaria Toto
Umetish kk big up saaan
puuz kwel ww, hujaon nymb y masozi?? Tim king tutakuumza
Rudia tena kusema uyo utumbu wako
Nakukubali sana
Huu mziki kila siku lazima niusikilize kayumba big up🎉
kaz nzur kayumba
Dogo umepambana umetoka bss mpaka now Ongeraaa Sana
Napenda kazi zako sana
Kaza kaza buti kayumba tupo pamoja ngoma zako zote zimekua zahisia kinoma mkali
I wish to see kayumba very far in his music career 🙏
Wasafi na king music bona ndogo anajuwa toweni ndogo huyu anaitaji msahanda .
kayumba uko vzr sana yani
Uko vizuri Sana nimeioenda sana
Edward Ezekiel iko good
Asante kwa Maumivu xante kuyumbaa
Wonderful song good work kayumba
Pp
kazi njema Home Boy kazi imekaa poa sna
The definition of good music 🔥🔥😍
It's 2024 and this song is still a master piece 👌😘
Mwanangu sana #kayumbajuma👏👏👏
Mnavyohimbanga ndo vinavyo tokeyaga tu duniani🎉🎉❤❤❤
Woooow iko nzuri sana
Ngoma Kali sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
nakukubariiii hom boy, since day one mkubwaaa tunafanya yetuuu vs chibaaaaizoo
Kayumba hauna mpinzani Mzee bba
Nan Yuko apa 2024❤