Sijui nilini utanifanya nisikuelewe siku zote #Kayumba huna kiki huna habari za kishamba Ila unapenye kwa wale wenye kiki na wanabaki kusikiliza nyimbo zako gongaa like nawewe kama unakubali tumsuport mwana💪💪
Yani watu wanaroho mbaaayaa duu wimbo mzuri mtu kabonyeza dole CHINI🤣 hamtatoboa kwa wivu Wala hamuwezi kumshusha ....nyie hamgawi riziki ...uko vizuri Sana kayumba
Bonge moja la hit kwakwel daaaah kayumba unajua sana ww jamaaa huuu wimbo nimerudia kuanglia mara 7 aisee nan tupo pamoja kurudia rudia kuanglia hili bonge moja la hit from dogo kayumba hatar.....
Keep watching,keep sharing #Testimony by yours truly💕❣️ Ambassador paul ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html Don't forget to subscribe to my UA-cam channel for more information. ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html Your support is highly appreciated ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Tatizo matimu timu yakisenge ndo yanakosti,hivi marioona huyu mwamba unawezamshindanisha na konde au cjui lavalava aumboso,Hawa wakina kayumba na marioo Ni nyoko wanajua mpaka kufuru,yaani unaaikiliza mziki mtamu kinoma,tatizomatimu yao yanaharibu mziki mzuri
You re my favorite kayumba l luv yr songs very much yani dogo nakubali na nakwaminia tu Sana yn. Kilawakati afatilia nyimbozako zinanipa amani Sana moyoni biggup kayuba may God bless yr work luv you

KAYUMBA, yani ungejua jisi ninavyo upenda wimbo huu basi tu..... Yani naurudia rudia Every single time.!!!!!!! Much love from USA 🇺🇸🤝 from 🇨🇩to 🇺🇬 to 🇺🇸

Huu ndo wimbo ambao nimeutazama mara nyingi sana UA-cam...Dah huwa unagusa penyewe mzee...ila one day utakaanon toooooop....Nakuamini kuliko wanaoishi on trend....#Kayumba the great.
How i came to know you Sijui! But i must say i loooove your music my guy. My new bae in town... #tilalila tamu #CHUNGA kali zaidi.... Go go go my guy. I play the song mara 5 kwa show yangu
🥰🥰🥰😘😍😍😘🥰😘😍😘🥰😘🥰😘😍😘🥰😘😘😍😘🥰😘🥰😘😍😚🥰😘😍😘😍😘😍😘😍😘🥰😘😍😘🥰🎶🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎵🎵🎶🎶🎵🎶🎵🎵🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎶🎵🎵🎶🎵🎵🎶🎵🎵🎶🎶🎵🎵🎶🎶🎵🎵🥰🥰😘😘😘😍😍😘😍🥰😘😘😍🥰😘😍🥰😘😘🥰😍😍.....A very TOP FUN FROM KENYA ....KAYUMBA BIG UP BROH ...SHOW SOME LOVE
0% Drugs 0%Dirty photos 100% Talent Good song,good vibe🔥🔥Hii ngoma nliona katika status ya mtu nikasema mpaka nitafute full,nimekua fan wa Kayumba rasmi kuanzia leo🤝🤝🔥🔥unaenda far broo🔥🔥
I'm very proud of you ndungu I'm from Uganda currently working with Alfalah Security services Abu Dhabi UAE but I supported from round one in Bongo starsearch and I have been wanting to see your fruits thanks so much the sky is no longer your limit
I am from Papua Indonesia, and am very happy to hear this song, and I ask you to make this song in the form of Reggae music version. Thank you 🙏 success always ️ God bless
Mad bro you're di besssssst ,,,,Bongo music leader please Tanzanian I'm from Senegal but Kayumba meaning in my native language always shining is the best of the best....... Enjoying day and night
Sijui nilini utanifanya nisikuelewe siku zote #Kayumba huna kiki huna habari za kishamba Ila unapenye kwa wale wenye kiki na wanabaki kusikiliza nyimbo zako gongaa like nawewe kama unakubali tumsuport mwana💪💪
An mie namkubali mpaka naumwa jaman
Okaka hongela sana nimependa mashailiyote mungu akutie nguvu kaka
So sweeter 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Ambao. Wanasema vipaji ndo hivi. Tupia like yako twende sw 👍💪
❤❤❤
Tunaondelea kusikiliza huu wimbo 2023 tujuane😘❤️
Mm mpaka 2024
Kayumba Kenya twakupenda sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes tz+ ke
Bahuuey ka
Sana tu
Iko poa sn hiiii wimbo lv kanumba
Nzuri
hii ni product ya Bongo star search,, from Kenya 🇰🇪 we love you, adi leo 2024
Yani watu wanaroho mbaaayaa duu wimbo mzuri mtu kabonyeza dole CHINI🤣 hamtatoboa kwa wivu Wala hamuwezi kumshusha ....nyie hamgawi riziki ...uko vizuri Sana kayumba
L pop Palapa Poppy PPA l1234
1234
Good 👍
Wewe ndo mwenye Roho Chafu Umejuwa aje kama Watu Wana wivu kuhusu kayumba??😂😂
Good song
Kayumba you are not pregnant but you deliver, much love from Kenya ❣️❣️🥰🥰
Bonge moja la hit kwakwel daaaah kayumba unajua sana ww jamaaa huuu wimbo nimerudia kuanglia mara 7 aisee nan tupo pamoja kurudia rudia kuanglia hili bonge moja la hit from dogo kayumba hatar.....
Daah!! Kayumba unanifanya nirudie rudie kuitazama hii ngoma!! Una tenzi flani hivi za kiutu uzima!! Keep it up!!!
Keep watching,keep sharing #Testimony by yours truly💕❣️ Ambassador paul
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Don't forget to subscribe to my UA-cam channel for more information.
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Your support is highly appreciated
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Jama nilimpenda tangu BSS hadi leo
Kumbe ww kama mm yan hata sikumbuki nimerudia mara ngap
Vp
Mamb ayo
TANZANIA NYOKO WANAOJUA SANA NDO HAWAPO KABISA TRENDINGDUUUUU
Uchawi upo asee
Yan Hadi me nashaanga kwa hilo asee
Tatizo matimu timu yakisenge ndo yanakosti,hivi marioona huyu mwamba unawezamshindanisha na konde au cjui lavalava aumboso,Hawa wakina kayumba na marioo Ni nyoko wanajua mpaka kufuru,yaani unaaikiliza mziki mtamu kinoma,tatizomatimu yao yanaharibu mziki mzuri
Nachoamini kayumba anaimba kuliko kina sijui ibra ,,lavalava ana sauti fulani hivii amazing
...kwel kabsa ila cjui anakwam wap
Dah kayumbaeeeee umenikumbueha mengi ndugu yangu Asante mwana natamani tuonane2 hii Kali mkal wang
❤️❤️🥰
Huyu dogo anasauti nzuri na kali sana.
Mameno anayatamka yanatamkika hakuna matusi wala nini.
Dogo ni mkali sana
Nani anarudia hii ngoma kama mim kama upo gonga like twende sawa
Sorry tuko mbele pamoja kama pua
Daaaaaah.......🔥🔥🔥🔥🖒 Shabiki Damuu wa Kayumba kama kayumba utasoma hii Nakukubali sanaaa Rafki yanguu 🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
We kayumba ni balaa
You re my favorite kayumba l luv yr songs very much yani dogo nakubali na nakwaminia tu Sana yn. Kilawakati afatilia nyimbozako zinanipa amani Sana moyoni biggup kayuba may God bless yr work luv you
Haaaa
Pamoja kayumba
Kayumba baba lao
Mhhh muziki natazama peke yangu mpaka Leo kama we mshabiki wa kayumba nipe like apa👍👍👍
Nyimbo za huyu dogo nikama ubuyu wa babu issa unamung'unya huku unasinzia kwa raha
Ila kwel
Ahsante kwa ubuyu wa babu isa
Nakubali walio kwenye shida flan hivi unazisahau kwa mda kwa uhakika
Mm nshabki wa kayumba naombeni like zenu 🔥🔥👌
Ebwana mnavyoziachia huu mwezi tutakoma
😂😂😂😂
🥰🥰🥰
Umeona
Ninoma
Kayumba msenge wewe, unajua kunilia mb zangu!! Nyimbo kalii utadhani uliahidiwa Corolla!!!
Hhhahahahaha lov
Ngoma kali iyo kabisa nakama unamkubali kayumba acha like yako hapo
Safi Sana bandika banduwa nakubari ngma jiwe hiro
jamanii mimi nimechelewa naombeni like zenu ndugu zangu
Nimeisubiri sanaa hii ngomaa mwanangu 🙏🙏support Yangu n kubwa mnoo kwako Keep moving my brother
Kila ni kiwa na stress na sikiya Ihi song 🎧 tu 😢💔🥶👿
Please gonga hata kumi🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪💪
Bonge la hit
Vraiment il est fort ce type
Keep watching,keep sharing #Testimony by yours truly💕❣️ Ambassador paul
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Don't forget to subscribe to my UA-cam channel for more information.
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Your support is highly appreciated
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Nakukubali mbaya
Jiunge wasafi ujulikane ukovizuri
Bron mungu aku zidichiye kipazi chako 🎉🎉 naku kubali🎉🎉
Ngoma kali sn, kwanini huwi on top na unajua sn we jamaa
Ngoma tamu sana hata kama unamawazo yanapungua kabisa
Weuwe💥💥💥
Nimesubiri saana Mkuu...
Kitu moto..
+254 Dogo wako Slimmer The Kenyankid
Kama weww unalenda ngoma za kayumba bofya like bas inatosha 😂😂😂😂
KAYUMBA, yani ungejua jisi ninavyo upenda wimbo huu basi tu..... Yani naurudia rudia Every single time.!!!!!!! Much love from USA 🇺🇸🤝 from 🇨🇩to 🇺🇬 to 🇺🇸
Keep watching,keep sharing #Testimony by yours truly💕❣️ Ambassador paul
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Don't forget to subscribe to my UA-cam channel for more information.
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Your support is highly appreciated
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
9mm8⁸98
We unaimba. Nayumba kiukweli ata daimond akupati ata chembe sijui tatizo nini.
Nimechelewa musani wangu ninayemu penda sana 🥰🥰🥰🇨🇩🇨🇩 nikawaida kukosana shikiya bintu biakayumba
My favourite artist,nimeweka hii ngoma babake akaniongezea spika🔥🔥🔥
Japo nawasha moto,,, chunga chunga.
Usichochee makaa like kwa kayumba
Vizur sana
💯💯💯💯 big up Sana Kayumba
I swear Tanzanians ur talented can't stop listening to ur musics ,,,,,,more love from KENYA
❤️❤️❤️🇹🇿🇰🇪
Well spoken dear
Thank you our neighbour👍
Shabik wakwel jamaa anajua haipingwi iyoo 🔥🔥🔥
Kayumba brother Ngoma yako ii kali sana, mara ya tano narudia.🎉
Kayumba hiyo ngoma ni Kali Sana hongera mdogo wangu .
kayumba nakupenda
Duh bonge la ngomaaaaaaa
Sana'a tuuu
Honestly kila nikiangalia hii nyimbo natokwa chozi 😭😭 nikishangaa kipaji na uwezo wa kayumba juma
Kudadeki kuna watu wanajua, hiki ndo tulikimiss muda mrefu!!
Nakukubali sana kayumba yaan nyimbo nazipenda mno❤❤
My best artist forever....who else like dopsy middy
Hao wanaowekaga dislike,wako timamu kweli..?..ngoma kali $ana kaka Kayumba..unaupeo mkubwa $ana wa kutunga ma$hairi yanayoeleweka🙏🙏
Nakukubali sana jembe langu kayumba, mziki unautendea haki balaa.,big up sana.
Dah nyimbo kali sana
@@felistatarimo7570 kweli kabisa 100%
Ngoma kali gonga like twende sawa 🔥🔥
Jamani katika wasani wot wa Tanzania nampenda sana kayumba nyimbo zake mung akusimamie uwe marufu ndunia zima
King kayumba genious song🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿☝️🙏
Keep watching,keep sharing #Testimony by yours truly💕❣️ Ambassador paul
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Don't forget to subscribe to my UA-cam channel for more information.
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Your support is highly appreciated
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
2023 is here and this song is still a hit
Strong King Kayumba
Kama umekubali hii ngoma kali gonga LIKE
mmmh
Hiu ndio Bongo fleva jaman kwa wale msio jua ...nyie endekezeni vya kuiga tu wacha sisi tukomae na bongo yetu
Kweri buana miziki mingine imebaki ya kuiga
Wazi
Kayumba wewe ni G.O.A.T greatest of all time ❤️
Jamaa kakaa vizuri sana big up bro I support you, all the way from DRC tuko pamoja
I love it dear❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪 keep the fire burning 🔥🔥🔥🔥
Daah kayumba touching song
Sweetheart Mteule use to play this music for me...husbae nitakutunzia madhaifu yako🥰😍🥰😍🥰🥰feel much loved wherever u r....
Asante kwa hili bonge la burudani bro👊👊👊🙌
One of underrated artists but you are the best!! Nice song.
I knooooow
Some serious talent here....awesome vocals and lines. Love it
Nairobi Kenya.
Why anajuwa kuhimba ivi😩😍🤞✅
Kayumba nizaid ya WSB sjui mond sjui Nan hapa ndo moto🔥🔥🔥🔥🔥like kama unakubal
Kama wewe ni shabiki wa kayumba nipe like zako twende kazi
Keep watching,keep sharing #Testimony by yours truly💕❣️ Ambassador paul
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Don't forget to subscribe to my UA-cam channel for more information.
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Your support is highly appreciated
ua-cam.com/video/k3bd4S3SU4k/v-deo.html
Nakuaminia kayumba bgp imenibamba
Ila ninashida sana kwa mda mlefu
Appreciated ngoma kali
Oiii mamb aj me ni shabiki wa kayumba naomba saport
Nimerudi tena kuitazama leo 1/2/2024 wangapi tujuane Kayumba anajua hadi anakera
I am always joyous when I see Tanzanians still can afford to give us good music ,we are too old for those club bangers
Kali sana🤗💥💥💥
Huu ndo wimbo ambao nimeutazama mara nyingi sana UA-cam...Dah huwa unagusa penyewe mzee...ila one day utakaanon toooooop....Nakuamini kuliko wanaoishi on trend....#Kayumba the great.
How i came to know you Sijui! But i must say i loooove your music my guy. My new bae in town... #tilalila tamu #CHUNGA kali zaidi.... Go go go my guy.
I play the song mara 5 kwa show yangu
One of the best underrated artist.. Love from 254
Kaka hii ngoma uwa inaniliza sana xalutee broo
ua-cam.com/video/sqznSi2Ae-U/v-deo.html
One of my favourites from Tanzania ❤❤.. much love from Malawi🇲🇼
How is malawi😊
Mwenzako mi muungwana
Kama we muungwan Kama Mimi twende sawa hapa
Jamani ninavyo ipenda hii wimbo ni mungu tu ndo anajuwa 🔥🔥❤️❤️🙌🦋💪
Good song i like it keep it up the good work may the almighty bless you
The most underrated Bongo flavour artist,such a good voice
I know right
@@clemencemali8378 wwwwwwwwewwe
@@clemencemali8378 wwwwwwwwwwwwww
Najaribu kufikiria sababu ni nini na nakosa
Huyu jamaa anajua ila kwasasa nahis mario kamzibia pengo😊
Kayumba ww ni 🔥🔥 yani ujaua mbaka kelo saaa
Kayumba is very consistent in his melody, his identity. Bravo
This is the talent 🔥🔥🔥
mbona unawasha Moto🔥🔥🔥🔥🔥
What an amazing song and a beautiful message in it. Kayumba is underrated man 🙌🏿
Kuelewa ndiyo ngumu kuelewa pls mwenye anaelewa anifafanulie
@@sharonanzabwa-9701tena
Nakupenda Sana kayumba
ua-cam.com/video/sqznSi2Ae-U/v-deo.html
Ngoma kali Sana nakukubali 🔥🔥
✌✌ ngoma kali
Wooow 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
🥰🥰🥰😘😍😍😘🥰😘😍😘🥰😘🥰😘😍😘🥰😘😘😍😘🥰😘🥰😘😍😚🥰😘😍😘😍😘😍😘😍😘🥰😘😍😘🥰🎶🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎵🎵🎶🎶🎵🎶🎵🎵🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎶🎵🎵🎶🎵🎵🎶🎵🎵🎶🎶🎵🎵🎶🎶🎵🎵🥰🥰😘😘😘😍😍😘😍🥰😘😘😍🥰😘😍🥰😘😘🥰😍😍.....A very TOP FUN FROM KENYA ....KAYUMBA BIG UP BROH ...SHOW SOME LOVE
0% Drugs
0%Dirty photos
100% Talent
Good song,good vibe🔥🔥Hii ngoma nliona katika status ya mtu nikasema mpaka nitafute full,nimekua fan wa Kayumba rasmi kuanzia leo🤝🤝🔥🔥unaenda far broo🔥🔥
Kumb tuko wengi
Yeah👊
Jamaa anauwezo mkubwa saaaan🦓
Me pia nimeikuta status asee
Kwaivyo ndoumeamua kuniliza😭😭 nyimbo inapigia rohoni
I'm very proud of you ndungu I'm from Uganda currently working with Alfalah Security services Abu Dhabi UAE but I supported from round one in Bongo starsearch and I have been wanting to see your fruits thanks so much the sky is no longer your limit
This guy is so talented because he sing very good let's support him all
This song is so sweet my girlfriend can't stop singing on repeat
Kaka wew noma sana sema bc Tu.
Been vibing this for a century. 1M legit listening. This song is so soulful. Thanks, Kayumba & Mafia for this masterpiece
Lovely love it so much
Kayumba to the top,.much love ❤ 🇰🇪
Oooooh! My God I 'm speechless bt ur a G.O.A.T keep it up bro
I am from Papua Indonesia, and am very happy to hear this song, and I ask you to make this song in the form of Reggae music version. Thank you 🙏 success always ️ God bless
Awesome
Jaman kayumba asee na kukubali sana kk ntakusaport kadir ya uwezo wangu mungu azidi kukubariki sana big up bro🙏💪👊
How could you get the energy to underrate this star kayumba
Wozaaaaaaaaaaa nakupendea bure sauti wako qual ,Ugandan poeple likes zangu kwa Kayumba
Ngoma ni Kali🔥🔥🔥🔥I really need this
Mbona kayumba Fundii ivoo Keep it Up🎈🎈🎈
Je confirme mon frère ta du talent qu'Allah te facilite la vie
Mad bro you're di besssssst ,,,,Bongo music leader please Tanzanian I'm from Senegal but Kayumba meaning in my native language always shining is the best of the best....... Enjoying day and night