Asc sheikh wetu hassan . Nataka niongea kidogo about the guy who said he is athiest . You could have choose for him and teach him also about islam . Bt instead umempea kidogo pressure . U know the guy is already confused na wewe umemongezea . So inshallah hapo unanipata vizuri . And u guyz are adoing agood job and i pray one day u can make all churches in mukuru reupen to amosque . Inshallah .
Sheikh Hassan inshaallah asiwapeleke mbio hao watu, Muda mwengine wanahitaji uvumilivu na kuwapa maandiko mengi mpaka aelewe, na asipo elewa mnamuacha tu aende
Sheck Hassan u let me down today subhanaAllah, the 3rd guy mwenye amesema he don’t have a God was almost about to be Muslim but our Sheck he didn’t guide him accordingly 🥲🥲🥲…. Please that guy come back again when we have Sheck Salim wollahi by now ange kua Muslim
In sha Allah if the kofia guy the (3rd)come back and took shahadaa I’m ready to buy him Kanzu and Quran please Sheck Salim bring that guy again i promise he want to learn more
Mashekhe kazi yao ni kufunza na kuonesha njia..na anae mfanya mtu kuislim ni Allah na Allah anajua miyoyo ya waja zake km kweli wanataka kuongoka.. Musiwalaumu mashekhe kwani wanajua kazi yao na wanajua aliekuja kuuliza au alikuja kupoteza mda.
Assalamu Alykum Salim Dawaa Naomba musichukue masuali ya mulizaji wa kwanza huyu mfupi mjeuri kiburi Hana heshima ya kuliza masuali na kumheshimu Shekh Hassan..please don't entertain such stupid person.Shukran
Tafadhalini waislamu acheni kumpa makosa sheikh Hassan. Kujeni nyinyi basi kama munajua sana kumliko.
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu... mazbut ndani ya railway grounds Allah awahifadhi nawapenda sana
Mansha Allah brothers
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu ayyuhal ikhwanil qiram. Allahumma Barik
Maashallah Sheikh Hassan Mwisho amemnasa aliyesema hana Dini yeye ni Pagan 😂😂
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Asc sheikh wetu hassan . Nataka niongea kidogo about the guy who said he is athiest . You could have choose for him and teach him also about islam . Bt instead umempea kidogo pressure . U know the guy is already confused na wewe umemongezea . So inshallah hapo unanipata vizuri . And u guyz are adoing agood job and i pray one day u can make all churches in mukuru reupen to amosque . Inshallah .
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Sheikh Hassan inshaallah asiwapeleke mbio hao watu, Muda mwengine wanahitaji uvumilivu na kuwapa maandiko mengi mpaka aelewe, na asipo elewa mnamuacha tu aende
Inn shaa Allah
Masha Allah❤
مشأ الله تبارك الرحمن
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Sheck Hassan u let me down today subhanaAllah, the 3rd guy mwenye amesema he don’t have a God was almost about to be Muslim but our Sheck he didn’t guide him accordingly 🥲🥲🥲…. Please that guy come back again when we have Sheck Salim wollahi by now ange kua Muslim
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana nimefurahi kuwaona tena biidililah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
The 3rd guy was there too learn and took shahadaa but our Sheck Hassan keep pushing him away 😢😢 ati u don’t have religion subhanaAllah
Inn shaa Allah we will check it
Masha Allah
SH HASSAN MTU KAMA HANA DINI FUNDISHA UISLAMU USIMKEMEA PLS.
In sha Allah if the kofia guy the (3rd)come back and took shahadaa I’m ready to buy him Kanzu and Quran please Sheck Salim bring that guy again i promise he want to learn more
Inn shaa Allah
Mpagani ana Amini Yesu 😂😂😂😂 Njia ya muongo ni fupi
Umeona anajificha kwa shamba la njugu na mgongo unaonekana
@salimdaawah123 🤣🤣 Wanafurahisha
@salimdaawah123 alimjulia wapi na haamini Kitabu chochote...🤔 Wagalatia jameni 🤣
Yesu hapeleki waisrael mbinguni , bali yesu anapeleka waisrael wa zama zake mbinguni . Sio wa zama za Mussa wala zama za nabii yoyote mwingine
Kabisa
Mashekhe kazi yao ni kufunza na kuonesha njia..na anae mfanya mtu kuislim ni Allah na Allah anajua miyoyo ya waja zake km kweli wanataka kuongoka.. Musiwalaumu mashekhe kwani wanajua kazi yao na wanajua aliekuja kuuliza au alikuja kupoteza mda.
Masha Allah
Quran 46:9 Ndio Rafiki yetu alikuwa amesahau.... 😂😂😂
Yani Wakristo hawana maswali.🤔
Wataelewa tu pole pole inn shaa Allah
Assalamu Alykum Salim Dawaa Naomba musichukue masuali ya mulizaji wa kwanza huyu mfupi mjeuri kiburi Hana heshima ya kuliza masuali na kumheshimu Shekh Hassan..please don't entertain such stupid person.Shukran
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Again wasting time