Mwingine asilimu mbele ya mchungaji aliyekua akitutafuta kivumbi githurai 45

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @lalibazliban3650
    @lalibazliban3650 8 місяців тому +12

    Masha Allah. Mungu awapee afya na awafanye miongoni mwa watu watakao faulu kwa hii dunia na Kesho akhira

  • @Abdiidaawah
    @Abdiidaawah 8 місяців тому +9

    MashaAllah ujumbe ishaafika....watu waupokea Alhamdulillah

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 місяців тому +5

    Ma sha Allah tabaraka Rahman nampenda saaaana walim wangu kw ajili y Allah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 місяців тому

      Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

    • @abdirahmanmohamed1732
      @abdirahmanmohamed1732 8 місяців тому

      Mashaallah sheikh Salim Endelea dawah Githurai 45, watu watulivu Tu!

  • @ZaharanMalik
    @ZaharanMalik 4 місяці тому +3

    Dogo anaesoma anaakil sana anapotoa mtu shahada lazma apige dua

  • @DhB-z1p
    @DhB-z1p 8 місяців тому +5

    Mashallah tabbarkallah masheikh wetu allah awaajalie kher n awape afya njema inshallah 🤲🤲

  • @amirjibrilsaid
    @amirjibrilsaid 9 днів тому +1

    Mwalimu salim i follow your teachings, truth must be told
    Alhamdulillah

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 8 місяців тому +6

    Leo mashalla nikawa wa tano❤️👏

  • @Sal.0
    @Sal.0 8 місяців тому +3

    MashaAllah.
    Good and intelligent control from Ustad Salim, ably assisted by Ustad Hassan!
    Ai, huyu jamaa ako na Pepo Watatu Wachafu!
    TabarakAllah Team, na Wa Bebaji Vitabu!

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 місяців тому +1

      Alhamdulillah mpaka kieleweke inn shaa Allah

  • @daru2549
    @daru2549 8 місяців тому +7

    Sheikh salim hii githurai inahitaji da.wah karibu wiki moja inshaAllah pls

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 місяців тому +1

      Inn shaa Allah tutajaribu

    • @daru2549
      @daru2549 8 місяців тому +1

      @@salimdaawah123 inshaAllah

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb 8 місяців тому +2

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah ndani ya G four five...Allah awape afya na nguvu ya kuifanya daawah na awalipe malipo mema ya Jannatul Firdaus.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 місяців тому +2

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote

  • @abdirizakali6223
    @abdirizakali6223 8 місяців тому +5

    ALLAHU AKBAR
    Ma Sha Allah

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 місяців тому +5

    Iko sawa sauti

  • @mohamednurmohamed8812
    @mohamednurmohamed8812 8 місяців тому +3

    Mash ALLAH alhamdulilah neema ❤❤❤❤

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 8 місяців тому +2

    MashAllah MashAllah MashAllah
    Ma ikhwaaa

    • @bashirmahero7021
      @bashirmahero7021 2 місяці тому +1

      Mwenja Hussein Amir Yusuf anaendelea aje kaka

  • @F.j84
    @F.j84 8 місяців тому +4

    Wallai nimecheka... 😂😂Kaunga kamemwagika

  • @RajabwanyonyiJuma
    @RajabwanyonyiJuma 8 місяців тому +2

    I love it when mwalimu Salim meets a mchungaji... Huyu najjua atalala mgonjwa😂

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 місяців тому

      Hawa wachungaji hawajui wanachokifuata

  • @abdiibrahim9907
    @abdiibrahim9907 8 місяців тому +3

    Masha allah ❤❤

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali 8 місяців тому +4

    Mchungaji wahi wahi njoo ktk. Wislamu, Yesu alikuwa Mwislamu na Ibada zake ilikuwa Msikitini. Hakuacha kitu inaitwa Kanisa, wala hakuacha Ukiristo. (Hizo ni jaja ya Wazungu tu, Sasa waliamuru muoane Jinsia moja na wanaandaa, kuagiza Binadamu kuoana na Wanyama.😂😂😂.

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 7 місяців тому +1

    MashaAllaMasheheWetuAllahAwalindeDuniAni.naAkera..mchngajji.kamachungajj

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 8 місяців тому +2

    Mchungaji kichuki amefurahi sana kumuona dr salim ngugi.tizama sura zake

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 місяців тому

      Hawa wachungaji wanasema nawaharibia soko yao

    • @bausifarouk1798
      @bausifarouk1798 8 місяців тому +2

      Wasome lileandiko wachungaji niumbwa wenye choyo

  • @ibrahimhajji6210
    @ibrahimhajji6210 8 місяців тому +2

    Ustadh salim..ni Church wine not wine church.

  • @musanike3079
    @musanike3079 8 місяців тому +1

    Kimeeleweka... Mabruk Dawah team

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 8 місяців тому +2

    MashaAllah Tabarakah Rahman

  • @amirjibrilsaid
    @amirjibrilsaid 9 днів тому +1

    Surah al-ikhlas
    Qul huwa allahu ahad
    Allahu asamad
    Lam yalid wa lam yoolad
    Wa lam yallahu kufuwan ahad

  • @abdiidaawah-yv9bg
    @abdiidaawah-yv9bg 8 місяців тому +2

    MashaAllah

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 8 місяців тому +2

    Masha Allah 🥰

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 8 місяців тому +3

    Alfu mwalimu bibili inasema mwili wa musa ulichukulia n malika mikeli yuda moja ukianza 7 shetani alitaka kutumia vibaya hio weka kwa maktba yako utaelimisha hawa wakristu asalam aleikum waramtulah wabarakatu walimu

  • @edgeroba6185
    @edgeroba6185 8 місяців тому +1

    waislamu ndio wakristo kushinda wale wanajiita wakristo mashallah

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 8 місяців тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤masha

  • @SabraAbdilnasir
    @SabraAbdilnasir 8 місяців тому +2

    Mashaallah ❤

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 8 місяців тому +2

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @Paul-y3c
    @Paul-y3c 7 місяців тому

    Jambo la msingi kila mtu amwombe mungu uisilam au ukristo Ni maneno Tu ya mda

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 6 місяців тому +1

    MashaAllah Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  6 місяців тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @spinicahakama4500
    @spinicahakama4500 8 місяців тому +1

    Mashallah ❤❤❤

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 8 місяців тому +3

    Mchungaji kaingia choo cha kike😂😂😂

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 8 місяців тому +2

    Allahu Akbar ❤

  • @josemu870
    @josemu870 8 місяців тому +2

    Allahamdhullah

  • @samxx411
    @samxx411 8 місяців тому +1

    Nimechelewa kuangalia nilikuwa bize ila nakuamini mwalimu najua ujumbe umefikisha na umefika, watajuwa tu hao kama hawajuwi.

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 2 місяці тому +1

    Mimi lazima nipite kila siku kwa mpya na kwa yakitambo

  • @gakobwaadija7949
    @gakobwaadija7949 8 місяців тому +1

    Masha Allah

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 8 місяців тому +4

    Wuyu mchungaji afadhali ni mustaarab

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 8 місяців тому +1

    Masha Allah.

  • @aliraeeq
    @aliraeeq 8 місяців тому +2

    Ujumbe umefika .Tutaelewana tu inshallah

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 8 місяців тому +2

    Hap kama kwajengaa

  • @omyboy6550
    @omyboy6550 8 місяців тому +2

    Plural of respect, in English that is what it's referred

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 8 місяців тому +2

    Wachungaji niwengi

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 8 місяців тому +1

    Nilipamic sana ghethorai

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 8 місяців тому +2

    Poor mchungaji naona amehurumiwa...angeulizwa maswali hana jibu.

  • @Paul-y3c
    @Paul-y3c 7 місяців тому

    Kweli kabisa wambiye

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 7 місяців тому +1

    Astaghafurullah..laadhwim..kanisani.mchungajiAnatafutanani🤣🤣

  • @MaureenShamala-r2i
    @MaureenShamala-r2i Місяць тому

    Waisilamu Kwan n Wana wa israel

  • @andrewnjuguna688
    @andrewnjuguna688 8 місяців тому

    Aty muhammed,angeekwa kwa bible,aty jamaa hamngepatikana,na jamaa anaamini😢😂😂

    • @binseif2216
      @binseif2216 8 місяців тому

      Bible yalitolewa maneno mengi kalamu ya uongo iliingia

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 місяців тому +1

    (Tufanye )inamaana ya fumbo kuonyesha ukubwa wake

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 8 місяців тому +1

    Ametoka kanisani ama biashara

  • @AbassIbrahim-gr7ki
    @AbassIbrahim-gr7ki 7 місяців тому +1

    We have employed many truck driver of Cristian in our transport sector of fuel and loose cargo
    Tel them please

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 8 місяців тому +1

    Ukiona wanasilim jumamosi na jumapili huwa wanarudi hasira za kutoleshwa sadaka kanisani

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 місяців тому

      Hawa wakristo wengi wamechoka na ukristo

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 8 місяців тому +1

    Akiguza insecurity kwa waislamu je Turkana, pokot, samburu ni waislamu?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 місяців тому

      Yeah good question ni chuki tu wamewekwa kuhushu uisilamu

  • @LukasSamson-ji1jw
    @LukasSamson-ji1jw 8 місяців тому

    Uyo anaejiita mchungaji arijiita yeye hajaitwa na mungu Biblia haijuw

  • @abdirahmanadan654
    @abdirahmanadan654 8 місяців тому +1

    Sauti😢

  • @adamshuu
    @adamshuu 8 місяців тому +1

    Sauti

  • @WilliasDanieli
    @WilliasDanieli 25 днів тому +1

    Naomben mtu kwenye namba ya Hwatsapp yahuyu mwalimu anipatiee nashida nae. Anielimishe jambo