HISTORIA YA KUTISHA YA PRINCE MCHUNGAJI ALIYETAKA KUISAMBARATISHA FAMILIA YAKE YOTE BABA NA MAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому +4

    😂😂😂😂😂Leo tumefikiwa makamanda wa Yesu oyeeeeee💪

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +5

    Nduguzangu
    Dunian gapa hakuna miyungu 2
    -Hakuna Mungu aitwayr Yesu
    - Hakuna kitu kanisa
    - Hakuna dini iiteayo ukristo
    - Hakuna mtıöe wala nabii sasa hivi
    -

    • @nickyliz5261
      @nickyliz5261 Рік тому +2

      Hayo ni maoni Yako ndugu yangu ingawaje inakinzana na Neno la Mungu wa kweli .

    • @elizabethasajile9380
      @elizabethasajile9380 Рік тому +4

      Kama hakuna sisi hatujui moja tulijualo na tumelishika hakuna aendaye kumuona Mungu bila kupitia kwa Yesu kristo yeye ni njia kweli na uzima, achana na ubishi wa mazoea karibu na weka moyo tayari kujifunza 7bu Mungu ni roho yapaswa kumuabudu ktk roho na kweli

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 Рік тому

      @@elizabethasajile9380 Amen amen dada Elizaberth mungu akubaliki sana kumwelewesha uyu ndgu.

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 Рік тому +1

      @@nickyliz5261 Kweli ni maoni yake binafsi, yaliyo kinyume na Neno la Mungu.

    • @petermwaibofu7580
      @petermwaibofu7580 Рік тому

      Kwahiyo nabii ni yule "violence military leader"

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому

    Waa huyo .mama alikuja na mauchawi jamani navile mulikuwa 10

  • @nickyliz5261
    @nickyliz5261 Рік тому +2

    Stori hii nzuri ni funzo kwa wazazi wachukue majukumu na waache kutelekeza watoto wao hata wanapogombana.

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 Рік тому +1

      Amen ubarikiwe sana kwa maoni yako mzuri sana ya kufundisha.

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 Рік тому

    Sheby hayo macho hujafunga😂😂😂

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Рік тому

    Shebby 🔥

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 Рік тому

    Shebby hujafumba macho 😅😅

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 Рік тому

    ❤️❤️❤️❤️🔋

  • @tututz100
    @tututz100 Рік тому

    J.boys 1999

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому

    Sheby acha uhuni 😂😂😂hujafunga macho

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому

    Huyo babako sahizi akisikia hii interview atajutia sana

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 Рік тому +1

      Kila jambo lipo kwa kusudi la kufundisha wengine.
      Ni kama baba alifanya makosa, ila usiangalie makosa ya aliye kosea, jiangalie wewe mwenyewe usije kukosea ivi. Maana yeye aweza kutubu na kusamehewa kabisa mbele za Mungu, na akafanya vizuri.

    • @happinesskitali164
      @happinesskitali164 Рік тому

      Hili n kusudi la Mungu kila mtu ajue madhara ya kuchepuka

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 Рік тому

    😂😂 eti funza

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 Рік тому +5

    hamna kitu ya commander wa yesu hizo majina ni kwa shetani where in the bible? fake alert

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 Рік тому +1

      Usiwe unahukumu kabla ya kusoma biblia ukaelewa maandiko.
      Tambua kwamba shetani hakuwahi kuanzisha maisha asipokopi kwa Mungu.
      Sima maandiko wewe, Mungu Baba anaitwa Bwana wa majeshi, ana majeshi ndio sisi na malaika wake.

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Рік тому

      @@princepaschal9963 Hajui msamehe Tatzo wengi wanasomewa maandko hawasomi wenyew

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Рік тому

    eti kamanda wa yesu wakristo kwa kuchekesha😂😂

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 Рік тому

      Unacheka wewe kwa sababu ya hitikadi zako binafsi zilizo kinyume na Mungu Baba.

  • @johnjoseph1106
    @johnjoseph1106 Рік тому

    1

  • @nolascochaule9342
    @nolascochaule9342 Рік тому +1

    Muwe mnaangalia sehemu za kufanyia interview kelele nyingi Bado na nyimbo duuu

    • @marryjoely8091
      @marryjoely8091 Рік тому +1

      Nenda watafutie wewe coz hamna kelele apo🙃

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  Рік тому

      Angalau umesema wewe... wengine wamezaliwa kukosoa tu

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 Рік тому +1

      Napendaga utulivu wako sheby.. ❤️❤️

    • @rerisamba
      @rerisamba Рік тому

      Sheby saa nzingine unakuaga na majibu