MUHADHARA 🔴 HISTORIA YA SHEIKH ALBANY|🎙️ SHEIKH QASIM MAFUTA حفظــه اللــه تعالـــى ورعــاه

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @abuuruwaydatvTz
    @abuuruwaydatvTz  9 місяців тому +1

    ua-cam.com/video/6cNuVyXjK3A/v-deo.html&si=_d20bPQjsHDNpYQM

  • @abdulrahmanzaid-g5r
    @abdulrahmanzaid-g5r Рік тому +4

    Allah ampe umri mrefu tuzidi kufaidika nae sheikh abul fadhl kassim mafuta

  • @OmaryJuma-zd2nq
    @OmaryJuma-zd2nq 29 днів тому

    حفظك الله يا شيخنا

  • @Shuaiblalehussein98Hussein
    @Shuaiblalehussein98Hussein Місяць тому

    Masha Allah

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 11 місяців тому +1

    Shekhe qasim Allah akuifadhi nashari Shekhe nakupenda kwajili ya Allah hukwepeshi mambo yeyote ktk Dini uposahihi ktk marejeo tangu nasikiliza ktk mnakasha ya dufu na akina azuba NK alhamdulillahi Allah akulipe kheri Shekhe qasim

  • @ilyasomar7588
    @ilyasomar7588 Рік тому +2

    ALLAH amhifadhi Sheikh Abul Fadhwl ....ampe umri wa kheir aitumikie Dini ya Allah,
    Nasi tufaidike na Ilmu yake .
    ALLAH aturuzuku ilm naafi3

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 4 місяці тому

    Maashaa Allaa

  • @khamismuhammad
    @khamismuhammad Рік тому +4

    "مَن ضيَّع اﻷصول حُرِم الوصول، و من ترك الدليل ضلَّ السبيل"

  • @OmaryJuma-zd2nq
    @OmaryJuma-zd2nq 29 днів тому

    Maashaa Allah, mtu wamaana kabbisa

  • @IssaKilala
    @IssaKilala Рік тому +2

    Asalam alaikum warahamatulahi wabarakatu kwa kweli shekhe qasimu Allah akuhifadhi maana unatupa vtu adimu Sana kama tupo na wanajuoni wa maka na madina

  • @clement3525
    @clement3525 Рік тому

    Wallah ALLAH awape kheri

  • @abuukhalidassalafiyassukum8767

    Mashaallah

  • @tanzaniaseriesinswahili5700
    @tanzaniaseriesinswahili5700 Рік тому +2

    Mashaallah twakupata vyema kabisa

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf Рік тому +1

    ❤ maa shaa Allah, baarakallahuh fiika yaa sheikhunaa Abal fadhil.
    Twastafidi

  • @AleyKalcha
    @AleyKalcha 10 місяців тому

    Maashallah

  • @universitylink
    @universitylink Рік тому +1

    Mashaallah, mawaidha mazuri sana yenye elimu

  • @hashimiddy4142
    @hashimiddy4142 11 місяців тому

    Mashallah

  • @allyhassan9318
    @allyhassan9318 Рік тому

    Baaraka llahu fiik shaikhanaa aba l fadhl

  • @fadhilimussa5067
    @fadhilimussa5067 Рік тому

    حفظه الله شيخ أبلفضل

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +1

    Shukran shehe

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +2

    Hapa Shekh Abulfadhli unamzungumza mtu ambae ni miongoni mwa Maulamaa ninao wapenda sanaaaa.
    Na ktk Maulamaa ambao nawakubali sana ktk usluub wao wa Da'wah ktk zama hizi.
    Shekh Albani baadhi ya tabia zake ktk Da'wa ktk kuamiliana na wenye kumukhaalif zikitaka kufanana na Jabal min Jibaali Al'ilmi-Shaykhul-Islaam Ibni Taymiyyata.
    Allaah awarahamu Maulama wetu wapendwa, waliokwisha fariki, na awahifadhi walioko hai.
    Na atujaalie tuwe niwenye kunufaika na Elimu zao.

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz  Рік тому

      Mashaallah pia mie nimependa sana hii historia na Inshaallah tutaiweka ya sheikh ibn taymiyah

    • @omarally6819
      @omarally6819 Рік тому +1

      @@abuuruwaydatvTz Dah!
      Yani historia ya Ibnu Taymiyyata Lazima Mashaayikh waigawe na kuiwekea vikao visivyo pungua vitatu au vitano, kwani Historia ya Huyu Aalim nimuhimu sana kwa waislamu, khususan zama hizi.
      Kwa sbb huyu Aalim alidhulumiwa sana na kufitinishwa na kuchongewa kwa watawala.
      Kwaio nawaomba Mashaayikh wafanye tafiti za kutosha kuhusu historia ya Ibnu Taymiyyata Allaah amrahamu.
      Allaah awalipe kila lakheri, tuko pamoja.

  • @sharikynanguka3716
    @sharikynanguka3716 Рік тому +2

    Barakallahu feekum akhy

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz  Рік тому +1

      Waifyka baraka llah akhy

    • @sharikynanguka3716
      @sharikynanguka3716 Рік тому

      @@abuuruwaydatvTz na ni vzur sanaa kutuwekea ta'arekh za maulamaa wetu

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz  Рік тому +1

      @@sharikynanguka3716 Naam nikweli kabisa akhy

    • @sharikynanguka3716
      @sharikynanguka3716 Рік тому +1

      @@abuuruwaydatvTz maana muj'tama'aa unamuozo sanaa ni wengi tumeshughulishwa na historia za wachezaji tu

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz  Рік тому +1

      Nikweli kabisa akhy Allaah atufanyie wepesi

  • @onlinehealthytanzania8886
    @onlinehealthytanzania8886 Рік тому

    😍😍😍

  • @allyhassan9318
    @allyhassan9318 Рік тому +1

    Tunamweshim imam albani muhadith kama ilivyo binadam hupata n hukosea hajakingwa n makosa allah amrehem

  • @abuusaad6546
    @abuusaad6546 Рік тому

    💞💞💞💞🤝🏻

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +2

    Hawa masufi majaahil yaliojawa na chuki na choyo na hasad hayaachi kuwatovukia adabu Maulamaa.
    Na hata waambiwe nini na waelimishwe vipi hawaelewi ila wachache walio Rehemewa na Allaah Azza Wajalla

  • @hajechawajecha182
    @hajechawajecha182 Рік тому

    Assalamu alaikum, Akhi vyema na salama msingetumia picha za viumbe

  • @KhalifaAbdallah-uh5dk
    @KhalifaAbdallah-uh5dk Рік тому +1

    Assalamualaikum naulizia huu muhadhara ni wa tarehe ngapi

  • @abuuruwaydatvTz
    @abuuruwaydatvTz  Рік тому +5

    USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL HII ILI KUPATA DARSA NK

  • @yasinkassim7131
    @yasinkassim7131 Рік тому +1

    Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh!! Lakini huku kutatiza kwenye hadithi alizopokea sheikhe Albani hata sheikhe ibnu uthaimin ameusema mimi nina clip ya sheikhe ibnu uthaimin anasema hivyo

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz  Рік тому +1

      Nadhani Hilo sheikh amelizungumzia ndani kama ukisikiliza Kwa makini akhy si wafahamu sheikh albani pia ni kiumbe hajakamilika

    • @yasinkassim7131
      @yasinkassim7131 Рік тому +1

      Mashaallah, sheikhe Albani Allah amrehemu amefanya jitihada kwa nafasi yake Allah aikubali jitihada yake na sisi Allah atupe subra katika hizi ikhtilafu zetu ambazo zimejaa kejeli na matusi🤲

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz  Рік тому +2

      Amiin ni kweli kabisa sheikh alifanya kazi kubwa sana ila watu wamejawa na chuki uadilifu hawana wanamtukana na kumsema vibaya

    • @yasinkassim7131
      @yasinkassim7131 Рік тому +2

      Sheikhe abuu ruwayda kazi ya kushuhulikia hadithi ni kazi ngumu sana kwa hiyo ni juhudi kubwa sana amefanya sheikhe

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz  Рік тому +1

      @@yasinkassim7131 hakika Akhy mkarimu Allaah amrehemu sheikh

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 Рік тому +4

    mcweke mziki

  • @IsmailMandia
    @IsmailMandia Рік тому +1

    Chuki tu hizo sheikh hawana lolote

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 Рік тому

    mawahab mnasauti mbayaa

    • @fadhilimussa5067
      @fadhilimussa5067 Рік тому

      Wew mwenye sauti nzurii mawaidha yako wapiiii tukiskieee??? Ili tukuone ulivyo na Sauti ya warembo

    • @mussasaid2796
      @mussasaid2796 Рік тому

      Sauti ya kidume hiyo

    • @abushaddad989
      @abushaddad989 10 місяців тому

      Kama wew una sauti nzuri kaimbe taarabu

  • @Abduli-xl8iv
    @Abduli-xl8iv Рік тому +1

    Albany aonekan nyie hamuonekan ndio munaelimu zaid au vp

  • @OmaryJuma-zd2nq
    @OmaryJuma-zd2nq 29 днів тому

    حفظك الله يا شيخنا

  • @abuuruqayyatv9949
    @abuuruqayyatv9949 Рік тому +3

    Mashaallah