Mashallah Allah akupe nguvu uzidi kutuelimisha kwa maana saa hii tunaishi maisha magumu kwa kuacha idhkari na swlatu Ala nnabi.Allah atufanyie wepesi tuzidi kuyafuata mambo mema kama haya sote inshallah.na wewe sheikh wetu Allah akupe nguvu na afya uzidi kituelimisha🤲🤲
Jazaka Llahu L-khair! Allah azidi kukufungulia miongoni mwa siri za askari ili na sisi tupate Friday zako. La muhimu zaidi ni: Allah atukubaliye haya tunayoyaomba AAMIIN!
Shekh inamaana ukimaliza tu hiyo dua mara 100 hakuna kitu chochote cha kuongezeya? Na baada ya kuswali unaanza hiyo dua au kuna maneno utatamka kabla ya kuisoma hiyo dua? Naomba unijibu tafadhali!
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Wakati wa kuswali utatia nia yako ya haja. Na ukimaliza swala utasoma Dua hiyo bila ya kuongeza maneno mengine. Afwan.
Na hapo kwenye kuswali pia, ni lazma kulala kwanza alafu uamke ndipo uswali? Au unaweza ukulala mchana alafu baada ya kufika usiku ukakaa hadi ikafika hiyo saa 8?
@@AbdalaMussa-v5v Si lazima kulala kwanza kisha uamke usiku ili kuswali. Unaweza kukesha na ibada nyingine na ukifka usiku wa manane unaweza kuswali hiyo swala na kuomba dua.
الله اكبر كبيرا
Maashaallah Maashaallah shukraaan sana tumepata faida tutafuata utaratbu inshaallah ❤
❤Tabarakallah. Ameen Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazakumullah khaira shekhe wetu tulikuwa tunasubiri kwa hamu siri mpya miongoni mwa siri za Q'uran Allah akupe afya
Asante Sana kwa ukumbusho na maelekezo
Jazakhallah kheir sheikh wetu
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@BadiuraAbdallah Afwa. Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@nkurunzizaabdul-aziz7211 Waiyyaak! Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
الحمد لله رب العالمين
Mungu akujazie kila jema hapa duniani na akhera
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sheikh endelea kutupea siri ambayo wengi wana ficha na Mungu akubariki
Afwan! Insha Allah! Shukran!
Mashallah Allah akupe nguvu uzidi kutuelimisha kwa maana saa hii tunaishi maisha magumu kwa kuacha idhkari na swlatu Ala nnabi.Allah atufanyie wepesi tuzidi kuyafuata mambo mema kama haya sote inshallah.na wewe sheikh wetu Allah akupe nguvu na afya uzidi kituelimisha🤲🤲
Tabarakallah! Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sheikh Allah akulipe kheri InshaAllah
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazaka Llahu L-khair! Allah azidi kukufungulia miongoni mwa siri za askari ili na sisi tupate Friday zako. La muhimu zaidi ni: Allah atukubaliye haya tunayoyaomba
AAMIIN!
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Allahumma swali alaa sayyidna Muhammad wa ala ali sayyidna Muhammad
Swallallahu Alaihi Wasallam!
Maashallah shukran sana shekh wetu jazzakallahu kheir
Tabrakallah! Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Nakupenda kwa ajili ya Allah inshallah ntafanya hili leo
Nami piya. Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Lahaula walakuwata illa billah Yaa Rabby
Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
MashaAllah TabarakaAllah Allah akp maish mema na bor zaid
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@ Allahumma Amin Yarabby
@@FayeezAlbahassaney Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Assalam alykm warahmatullah wabarakatuh lecturer wng
Waalaikumussalam Warahmatullah wabarakatuh. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukraan jazakallah khayra❤
Waiyyaak! Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Allahuma ameen yarab
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sheikh wetu
Afwan. Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Amiina
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran
Afwan! Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Tuandikie hio Dua hapo juu tuone sote inshaaAllah
«يَا ذَا الْمَعْرُوْفِ الَّذِيْ لَا يَنْقَطِعُ مَعْرُوْفُهُ أَبَدًا وَلَا يُحْصِيْهِ أَحَدٌ غَيْرُهُ»
@Habybty shukraan jazakallah khayra
Shukran sheikh wangu Allah Akulipe wewe si mcoyo
Imeandikwa hapo chini!
@@Habybty Barakillahu Feek! Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
قبلت الإجازة
Kheiran ya Habiby. Ameen!
Shukran... je unaweza kusoma ukiwa huna udhu means ukiwa kwenye Ada?
Itakubidi usubiri. Kwa sabubu unahitajika kuswali swala ya haja kisha ndio usome hiyo Dua.
Pia neno Friday lisomeke FAIDA
Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shekhe naomba tuandikie kiswahili kwa matamshi ya kiarabi
Ya Dhal Maaruf Alladhy La Yanqatwi'u Maarufuhu Abadan Wala yuhswyhi Ahadun Ghairuh.
Allah s.w akulipe@@mohamedalidini
@@AminaMsuya-cu5qq Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashallah ❤
@@FatmaTwalib-w2q Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Nimekusudia SIRI ZA ASRARI na sio 'askari'.
Adhkar sio asraar
Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@jumahamad3723 Allah (SWT)Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shekh inamaana ukimaliza tu hiyo dua mara 100 hakuna kitu chochote cha kuongezeya?
Na baada ya kuswali unaanza hiyo dua au kuna maneno utatamka kabla ya kuisoma hiyo dua?
Naomba unijibu tafadhali!
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Wakati wa kuswali utatia nia yako ya haja. Na ukimaliza swala utasoma Dua hiyo bila ya kuongeza maneno mengine. Afwan.
Sasa hapo kwenye kuswali inaruhusiwa kutoa sauti?
Na hapo kwenye kuswali pia, ni lazma kulala kwanza alafu uamke ndipo uswali? Au unaweza ukulala mchana alafu baada ya kufika usiku ukakaa hadi ikafika hiyo saa 8?
@@AbdalaMussa-v5v Ndio inaruhusiwa lakini si lazima.
@@AbdalaMussa-v5v Si lazima kulala kwanza kisha uamke usiku ili kuswali. Unaweza kukesha na ibada nyingine na ukifka usiku wa manane unaweza kuswali hiyo swala na kuomba dua.
Tuandikie mukizungu haha chini
This is the translation in English: 'O He Whose kindness never ceases, and no one can count it but Him.'
Shukran