TWENDE KWA YESU 1. Twende kwa YESU mimi nawe, Njia atwonya tuijue Imo chuoni na Mwenyewe Hapa asema njoo. Na furaha tutaiona Mioyo ikitakata sana Kwako mwokozi kuonana Na milele kukaa. 2. Wana na waje atwambia Furahini mkisikia, Ndiye mfalme wetu pia Na tumtii njoo. 3. Wangojeani? Leo Yupo Sikiza sana Asemepo Huruma zake zikwitapo Ewe kijana njoo.
ACHA UJINGA, magufuri muuaji, kaua ben saa nane, azory gwanda, kaiba uchanguzi hapo 2020, sikulaumu nalaumu ukosefu wa elimu akilini mwako, magufuri anateketea kwa shetani sasa
@@karanjakamau57 who are you to judge bro.kumbuka maandiko yanasema usihukumu usije ukahukumiwa.jiombee wewe uliyo hai sai na uombe rehema mungu akusamehe Ili siku ya kurudi twende kwa raha ya milele
Twendeni kwake aliye tuleta duniani tuache ya duni tumfwate YESU
dah, very nice song ,ubarikiwe mtumishi wa Mungu♥️♥️ Mungu akutie nguvu💪 ktka Safari yako🙏
Wimbo unaonibariki Kila naposikiliza nabubujikwa na machozi ya furaha... ahsante Yesu Kwa mwimbaji huyu 🙏
TWENDE KWA YESU
1. Twende kwa YESU mimi nawe,
Njia atwonya tuijue Imo chuoni na
Mwenyewe Hapa asema njoo.
Na furaha tutaiona Mioyo ikitakata sana
Kwako mwokozi kuonana Na milele kukaa.
2. Wana na waje atwambia Furahini
mkisikia, Ndiye mfalme wetu pia
Na tumtii njoo.
3. Wangojeani? Leo Yupo Sikiza sana
Asemepo Huruma zake zikwitapo
Ewe kijana njoo.
Ubarikiwe sana MUNGU azidi kukupa kibali kila iitwapo leo
Mungu anaweza yote kupitia uhu wimbo Mungu anipe mke sahihi kwenye maisha yangu
Barikiwa sana mtu wa Mungu
Ni rahisi kupitia wimbo huu mwanadamu kujua na kuamini kuwa kweli MUNGU yupo ! AAMEN!
ubarikiwe Sana sana
Nikisikilizaga huu wimbo huwa naonaga kama nimeshika bunduki la injili lenye risasi za NENO LA MUNGU.
Wow maneno ya kutia moyo zaidi
MUNGU AKUTUNZE MTU WA MUNGU
Amen
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Asifiwe Yesu. Naeza pata albamu ya nyimbo za Mch Mbarikiwa wapi. Zinanibariki sana sana.nimetafuta kwenye neti na youtube nikakosa. Asanteni sana
Barikiweni kikosi KAZI nyimbo
Nyimbo zenu zanivutia la
LAKINI twaitaji zingekuwa zinambatana na maneno katika kunakili ili tupate kuzielwa vzr.
Safi sana nimebarikiwa mno...
Hii Tenzi Inabariki sana moyo na roho!
Wimbo huu nikiskiliza uwa na barikiwa san mungu akubarki mutumishi upate maono mapya
Barikiwa mtumishi
Maicha Katika YESU Iko RAHA Mutamu saaaaaaaana Ah Buana Yesu Amen
Nikiuamgalia huu wimbo namuona raisi wetu magufuli mungu ailaze mahali pema peponi😭😭
🙏🙏🙏🙏
ACHA UJINGA, magufuri muuaji, kaua ben saa nane, azory gwanda, kaiba uchanguzi hapo 2020, sikulaumu nalaumu ukosefu wa elimu akilini mwako, magufuri anateketea kwa shetani sasa
@@karanjakamau57 who are you to judge bro.kumbuka maandiko yanasema usihukumu usije ukahukumiwa.jiombee wewe uliyo hai sai na uombe rehema mungu akusamehe Ili siku ya kurudi twende kwa raha ya milele
amina ubalikwe sana
@@karanjakamau57 aaya wenye akili uzeni bandari na ngorngoro kateni umeme .maana nyie mmesoma sana
Kweeel mmeimba
Mbarikiwa Mwakipesile Mungu azidi kukuinua zaid na zaid kwa kaz y Mungu
Bwana yesu ni MWema kwa wote wanaomwamini na kumtegemea ktk maisha yao
❤
Amina ubarikiwe na kibarikiwe kikos kazi kwa ajir ya injili.
amen mbarikiwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Thank u very much man of God
Ubarikiwe na Bwana mtumishi.
Ninabarikiwa Sana kupitia nyimbo zenu na mashauri.. Mungu awabariki.
Barikiwa sana na Bwana
Amin amin ubarikiwe na bwana
Mtumishi mungu akubaliki
I so love this song
Amina Baba Ahsnte kwa Ujumbe Mzuri.
Amen let's continue preaching the gospel
🙏🙏🙏🙏🙏 Nafuraha tutaiona moyo ............
Be blessed the man of God
Mungu. Awabaliki. Sana
Nabalikiwa Sana na nyimbo zenu balikiwa pia
Amen🙏
Amen
Ameeeen
Safi sana
Napata amani nikisikiliza nyimbo zako
AMEN gloire à Jésus mbarikiwa
Come to the Savior
Gloire ok Jésus christ le seigneur de seigneur
Ameneeeeen
Ameen ❤❤❤❤❤❤❤❤
Anaitwa nani
Mbarikiwa Mwakipesile
Mnanibariki Sana 🙏🙏🙏
Nawapenda sana nyie
🙏
🙏🏿💞
Saizi nabarikiwa but nauliza tu kwani channel main mlisambaratisha natafta sana sijaipatay
Channel main ilifungiwa na UA-cam hivyo hauwezi kuonekana tena. Amen
@@njiailiyonjema ooh Jesus 🤔what happened, am so sorry for that
Amen
Amen